POSH YD AELEZAUKWELI MTUPU SABABU YA KUGOMBANA MARIOO NA CHINNO / SISI HATUHUSIKI KABISA!!!!

  Рет қаралды 14,084

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер
@jaluumtanke
@jaluumtanke 2 ай бұрын
Sema Amy girl ana ropoka sana punguza kihele hele ,Aliya anauliza na wewe unarukia rukia unaharibu heshima ya tasinia inakua so swali tena inakua ni kelele Sasa .
@godfreykiwelu7253
@godfreykiwelu7253 2 ай бұрын
Bongo ngumu maswal ya Chino anaulizwa dady bway
@jaluumtanke
@jaluumtanke 2 ай бұрын
Mkikaaga postmortem Huwa mnaongea Nini maana huo so weledi kabisa ,yaan adi unamwambia Aliya anyamaze akusubiri tambua Aliya anauwezo wa kutangaza kukuzidi huo ndo ukweli wewe ulicho nacho nisauti tu zaidi ya hapo hauna kitu kingine hayo maswali yenyewe unamkopi lilomy ,ucha ushamba .
@williamdungumaro6668
@williamdungumaro6668 2 ай бұрын
Nlichogundua hawa jmaa wao biashara Yao n kudance so chino n marioo km wamegombana n wao madogo awatak kujiingiza huko
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 2 ай бұрын
Wasafi wambea jmn😂😂
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 2 ай бұрын
HAWA JAMAA WANA JUA KUDANCE KUJIELEZA HAWAJUI... PIA WANAONEKANA WANAFK
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@dejackoog8054
@dejackoog8054 2 ай бұрын
The Switch nowdayz kimekuwa kipindi kibaya sana especially Ammygal anaongea sana na kupandishia maswali juu Kwa juu hadi wanaohojiwa wamekuwa wasikilizaji tu
@SONGOMDOGO
@SONGOMDOGO 2 ай бұрын
Kataikati kutakua na beef kubwa sana ngoja tuone litaishia wapi😊😊😊
@poployalty9403
@poployalty9403 2 ай бұрын
Aliyah reduce som English sh**t ongea kiswahili nyau ww😂😂😂
@khalfansaid5962
@khalfansaid5962 2 ай бұрын
Iki kidemu chenye t-shirt nyeupe kinaropoka. Akitaki mwenzie alezee na wala mwenzake akiuliza swali lazima kitie mdomo. Pumbavu akiwezi kabisa kuhoji mtu💔
@RechoAhmed
@RechoAhmed 2 ай бұрын
Wapen watu mda wa kujib sio kuuliza nynyi na kujijibu wenyewe
@MustymediaTv
@MustymediaTv 2 ай бұрын
Hawajui kuhoji Aliyah apungue hapo
@SaidiChande-p4l
@SaidiChande-p4l 2 ай бұрын
Nyinyi acheni uchoko mtafuteni marioo mwenyewe
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 2 ай бұрын
Mbn pappy hajibu kitu 😅😅
@njoroboihastla
@njoroboihastla 2 ай бұрын
FIRST NI KWAMBA THE SWITCH INAPOTEZA MVUTO KAMA KIPINDI CHA BURUDANJI USHAURI WANGU NI KATI YA HAO MADEMU MMOJA APUNGUZWE KIPINDINI!!! ILA MSINIULIZE NI NANI? INATAKIWA APUNGZWE MTAJUA WENYEWEE📍✊🏿
@RechoAhmed
@RechoAhmed 2 ай бұрын
Ami mjuaji kumbe mshamba ajui intartaiment
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 ай бұрын
Yote hayo ni ya nini, kwasababu Marioo anakuja na Album, So nini wafanye, Wamuharbie, wanatafuta hata machangudoa, wawaulize Marioo, imekutwa jeans yake kwako.. Marioo hajakufa na Uwezo wa kumfikia wanao.. Kwanini, Ili Tu Wamuharibie...
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 ай бұрын
Afadhali mumemuondoa mtu imara. Hana ajualo.
@bamsBeywamakaz
@bamsBeywamakaz 2 ай бұрын
Marioo boy tuu hatutak kiki fanya kaz tuzione
@RechoAhmed
@RechoAhmed 2 ай бұрын
Watamgazaji mnazingua asa ami girl aache ujuaj ajui kitu ntaview mbaya
@IbrahimHussein-q9n
@IbrahimHussein-q9n 2 ай бұрын
Kipindi kina kelele sana
@babakayla4109
@babakayla4109 2 ай бұрын
Abi You talk to much😮
@juma3049
@juma3049 2 ай бұрын
Next time msilete watu wajinga kama hao kwa interview
@bennylove6021
@bennylove6021 2 ай бұрын
Ivi Aaliyah bado mtangazaji wasafi?
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 2 ай бұрын
Eeeee kabadilishaaa kipind tu
@djhajiztz
@djhajiztz 2 ай бұрын
Bongo ngumu maswal ya Chino anaulizwa dady bway
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
MIMI NI MGONJWA NAISHI KWA MASHARTI MAGUMU SANA   - MBOSSO
6:18
Wasafi Media
Рет қаралды 176 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН