Ahsante sana mweshimiwa uje na kwetu manyara tunakuomba sana
@gadialmwalilino67357 ай бұрын
Makonda unapiga kazi nzuri, Wasafi Media Mnakosa weledi wa kazi, 1. Kuonesha video ya mtoto aliyefanyiwa ukatili ni dhuluma kisaikolojia 2. Mama ameelezea matusi kwa kuyataja, hamkutakiwa kuruhusu yaendelee kuwepo kwenye kumbukumbu zenu
@ColonelMoses-c4r7 ай бұрын
Makonda ibalikwa sana kaka
@StivinBanda7 ай бұрын
Mweshimiwa popote ulipo tupo fanya kazi tusikilize sisi wanyonge mungu atakulipa na ukupe nguvu na afya njema uweze tatuwa changamoto.