Historia inamapungufu kwenye matumizi ya neno Marehemu. Huwezi kusema marehemu alisoma, au marehemu alioa, marehema alianza kuumwa, marehemu alikimbizwa hospital. Akosea sana, neno marehemu lianze kutumika baada ya kuaga dunia.
@pricemlay Жыл бұрын
Asante nimejifunza
@gustavompemba1781 Жыл бұрын
@@pricemlay apo linatakiwa kutumika jina gan
@Users2523 Жыл бұрын
Kuaga dunia ni kutokwa na uhai, au kufa. Hilo neno marehemu bado ni sahihi
@gustavompemba1781 Жыл бұрын
@@Users2523 lilitakiwa kutumika jina gan
@beatusnsiima8005 Жыл бұрын
@@gustavompemba1781 Lilitakiwa itumike "Ndugu"....mpaka pale anapotamka kifo....amepatia tu sehemu kadhaa mf.umesikia pale aliposema ..Ndugu Membe alifunga ndoa...Ndugu Membe alishiriki vita ya Tz na Uganga, Ndugu Membe ali......n.k...yote kwa yote Apumzike kwa amani mzee wetu
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Mungu ni mwema Kuna watu walimkebehi magufuri iko wapi Leo hata Mimi nitaenda ila tuwe makn ndugu zangu na ulimi
@danimgaya6025 Жыл бұрын
Nipeni maua yangu. Pole Kwa familia yake
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
CV imeshiba...R.I.P mzee MEMBE
@einsteinmboje4730 Жыл бұрын
Duuuh Wat a CV 🙌
@angelaangela5805 Жыл бұрын
Hana wasifu huyo labda wasifu wa kuuza wanyama wetu nje ya nchi. Kapigwa na Mungu, na bado Wengine wanafuata.
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Nawewe kwa sbb una mkataba na mungu utabaki milele.!! hutofatia km hao wengine.!
@yunusimchala6569 Жыл бұрын
Huyo hana akili kwa hiyo ww utadumu milele
@samwelnyerere6208 Жыл бұрын
Wewe ni kilaza sana, shuleni ulienda kujifunza ujinga
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Challenge ni ww na mim kufika miaka 70
@WilbertMmary Жыл бұрын
0+
@raiswakusini4297 Жыл бұрын
Wewe ni jemedari wa kimwela mungu akupumzishe dady BM
@swalehemchora3167 Жыл бұрын
Poleni sana Chiponda
@iddikengia Жыл бұрын
mungu ampuzishe mzee wetu membe
@omegaomega3400 Жыл бұрын
R.I.P our beloved in deed "Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe"
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Mungu anajibi kwawakati inshaallah endelea kuonekana Kama walishiroki jidhihirishe kwao
@MohamedHgundumu Жыл бұрын
O
@WilbertMmary Жыл бұрын
0+
@gorethkalembo8177 Жыл бұрын
Bwana ametoa,Bwana ametwaa,Jina lake lihimidiwe💔
@SelemaniAbdaalah5 ай бұрын
❤
@marsmars5361 Жыл бұрын
Wazuri hawafi
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Wasifu umeshiba, Mzee alipiga shule tuache masihala
@hemedisalim5522 Жыл бұрын
Mwenzangu Na Mimi Apo wasifu ungesomwa kwa dakika moja tu😢 tutafute Ela ndugu zangu ili wasifu wetu uwe mrefu Kama BM😂
@violethbosha1666 Жыл бұрын
Sisi wote tutakua😭😭😭
@daudwilliam2326 Жыл бұрын
Kuwa act hawaja sema
@samwelimwaim7136 Жыл бұрын
R,I,p our father,
@healingsschool4630 Жыл бұрын
2020 Membe aligombea Urais kupitia chama Cha ACT Wazalendo na kushika nafasi ya tatu au?
@nicodemashaggite8429 Жыл бұрын
Hivi Membe na Magu walikutana huko wataongea lugha gani Tafakari😊😊
@arunamusli504 Жыл бұрын
Wawaoo
@jumamwengwa5841 Жыл бұрын
Mmmh
@allymlanda3139 Жыл бұрын
Pokeeni pole nyingi kwa hili lililotupata, R I P
@BenjaminiManyanda-os1ov Жыл бұрын
Rest in peace my father.
@trifoniambilo2400 Жыл бұрын
Rip
@nyembobea7285 Жыл бұрын
Kumbe alikuwa usalama wa taifa?
@fundikirotv Жыл бұрын
hhhhh ishi na watu vizur watu hawaeleweki
@kassim1262 Жыл бұрын
Kwani ilikua hujui kasomea uingereza ukachero
@petertabitha287 Жыл бұрын
Mbona anatambulika ama ulipokuwa unasikia ni jasusi mbobezi ulijua wanamaanisha nini
@kassimsaid4696 Жыл бұрын
Wasifu wa nani kwani😢
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Askari
@KayaOmary-he4ch Жыл бұрын
Daah kesho kwa Mungu kuna mengi watu watayakosea majibu Nenda salama Membe siri kubwa mnakwenda nazo
@esturidaruvanda758 Жыл бұрын
Duu mzee wetu anamiaka mingi lakini alikuwa bado kijana poleni sana wafiwa na tanzania yetu
@danieljoseph1610 Жыл бұрын
Wachawi sio watu wazuri,
@healingsschool4630 Жыл бұрын
Wachawi wamefanyaje? Washindwe kwa Jina la Yesu Kristo
@SauliNdinadyo-ht5op Жыл бұрын
Eee MWENYEZI MUNGU !;TUNAOMBA UMUPE MAKAO MEMA HUKO PEPONI