Subhanah Allah niliyona hii story kwenye carrymastory huyo shemegi yao maskin halafu anasema huyo mtoto mkubwa ndo alikuwa kama baba kwe ye familia yake 😭💔😭Allah awafanyie wepesi mwenye familia zao 🤲🏽❤️🩹
@Ethnicfm912 ай бұрын
Ameen
@Sharmy_022 ай бұрын
Amen
@safiaothman51752 ай бұрын
Aamiin
@khadija57612 ай бұрын
Amen
@Rylee_kerrueche2 ай бұрын
Yaani hii issue ya kkoo jamani inaninyima usingizi akhiii kila nkikaa nawaza naanza kusali..Mungu awavushe kwenye hili wafiwa na majeruhi wawahi kupona.
@CristinahKimaro2 ай бұрын
Ww ni mm kabisa jana nimeamka saa 8 ucku nkajikuta 2 nalia ile mbaya,,,,nawaza mm ni nan mpaka leo npo hai😢 Mungu awatie nguvu kwa kweli..
@lisawilliam24912 ай бұрын
jaman hii habari nimelia ad basi ! basi bhana wewe ni mungu utabaki kuwa mungu tu !
@Gsamir6942 ай бұрын
Mwenye zi mungu aziweke roho zao mahali pema peponi milele na milele daima aminaa nimeumia sana tunamuomba sana raisi wetu samia awasaidie familia zao waliofiwa na waliojeruhiwa
@hamadKhamis-p6k2 ай бұрын
Jaman tujitahid kumuomba Allah turudini kwa Allah sote
@SalamaNauthar2 ай бұрын
Yaa Rabbi MOLA wetu' tustiri waja wako 🤲🤲🤲🤲
@luisojr34802 ай бұрын
Poleni Sana ndugu zetu 😢 Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema Awapumzishe mahali pema panapostahiki na Majeruhi wote Allah awatie nguvu😢
@DINASSOUR2 ай бұрын
Hapo mali imepotea ,na wanafamilia wamefariki.. Hili ni pigo na maumivu poleni sana ,mungu ndiye mpangaji
@LuluAquai2 ай бұрын
Achana na mali,watu ndio muhimu zaidi ila yote ni qadari ya M'mungu,unatakiwa uwe na istiqaama kwelikweli ili ubaki kwenye mstari na kujua huu ni moja na mtihani ambao M'mungu amenitahini,venginevyo utakufuru kwa kuongea yasiyofaa,G'aun'dhubillah min dhaalika
@abdullahmanalex23062 ай бұрын
Uhai ndo muhimu Mali Nini kwenye Maisha ya mwanadamu
@homeandaway28112 ай бұрын
😢😢😢😢😢 Mungu tufariji watanzania wote, futa machozi hizi familia
@joslinchuwa12982 ай бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu ampiganie huyu Mama c jambo rahisi wazazi kuzika watoto wao ukweli c rahisi kabisa inaumiza sana jamani. 😢😢😢😢
@mohammedrajabumwamba13222 ай бұрын
😭😭😭😭 dah inauma sana allah awafanyie wepesi inshaallah wamekufa ktk upambanaji
@zuhurakibwana4932 ай бұрын
Ee jamani pole mama, MUNGU akupe moyo mkuu kustahimili haya ni mazito jamani ah pole😢😭😭💔
@fatumashabani91222 ай бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun
@AbdallahAboubacar-sc8sr2 ай бұрын
Inauma Sana poleni sana 😭💔
@jsilvertv2 ай бұрын
Poleni sana wote safar ni moja
@johanjoha52622 ай бұрын
Pole sana mama yangu
@Khadija-u8u3f2 ай бұрын
Pole san mama mungu akupe nguvu kwenye hili hakika ni huzuni
@Maya-bm9bu2 ай бұрын
Sio kwamba tunalalamika Bwana lakini tunajiuliza kwanini Umeruhusu yatokee haya! 🙏🏿🙏🏿😭 Mungu awape Pumziko la Milele Marehemu wote
@@Maya-bm9bu hawezi kuelewa ,ila yote kwa yote bwana ilitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe🙏
@SakinaValy2 ай бұрын
Amina,,,ukiona mtu anakuuliza swali Kwa kipindi kama hik acha usijibu,,utaumiza nafsi Yako pole bro😊@@eliuskamwelwe1018
@vom842 ай бұрын
Kwa tuliokuwepo eneo la tukio, hiyo nyumba imekula watu wengi sana, MUNGU awajaalie pumziko jema.
@SallmaXg2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi😭😭
@FahadiKibavu-q6x2 ай бұрын
Inaalilah waina lilah lajiun
@Mghaza-m162 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU AWAREHEMU.AWAPE SUBRA WOTE WALIOFIWA
@DeborsJoseph2 ай бұрын
Daah jamani hii ajali inaniumiza sana najikuta nalia tu
@FatmaAlabri-lz2cw2 ай бұрын
Allah awajaalie wawe hai na salama
@KishamataSauli2 ай бұрын
Poleni sana kwa familia zilizo patwa na musiba
@stephanokanyika63212 ай бұрын
Ni sahii kabisa mtanhazaji hata mimi nawafahamu ni kweri neema alikuwa anatagemewa na familia kwa ujumla RIP NEEMA
@YusraHassani-s5s2 ай бұрын
Pole Sana mama mungu akupe nguvu
@AngelaAlfani2 ай бұрын
Poleni sana familiya
@MZUGITZ-d6b2 ай бұрын
Mungu awapunguzie adhabu yakabli
@johanjoha52622 ай бұрын
Poleni familiya pole kwa incident ya Tanzanie yote iyo mipangonya MUNGU so sad😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@patrickmarco9642 ай бұрын
Poleni sana😢😢😢
@Am-vo5cu2 ай бұрын
Poleni sana ndugu na marafiki
@daudealbertoservices52842 ай бұрын
Minhas sentidas condolências toda família enlutada.
@MariamuMolleli2 ай бұрын
Poleni sana wanafamiliya
@mamy82202 ай бұрын
😢😢😢😢 inauma poleni sana😢😢😢
@MariamIbrahim-h7p2 ай бұрын
Duuuuuu poleni sna
@brittanypulei7892 ай бұрын
Kwa hiyo wakristo ndio wanaenda kubaya kumbe acha kuhukumu
@Rizikiskitchen2 ай бұрын
Oh God, nimesikia habari hii ila nilishindwa hata kufungua media yoyote, it is so painful. Honestly, I couldn't watch any news. What I see about this tragedy is that there was ZERO maintenance about the building. Iyo building wameijenga since mwaka gani na wamefanya maintenance mara ngapi? The owner has to go to jail, they have to ask the owner how many times did they do maintenance since it was built? Hizo bullshit hazifanyike kwa wazungu. This is my first time watching about this. It's so sad!
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Mmh aisee kufiwa kusikie
@deogratiusleonard2 ай бұрын
So SAD 😢😢😢
@Divinelinna2 ай бұрын
Neema Sanga umeenda shuja 😭😭😭😭
@JenniferJackson-m5t2 ай бұрын
kama ukilifikiria kwa makini hili yani ukute mpk sasa ni zaidi ya hao kumi na tano pia tunaomba kujua vipi kule kwenye jengo watu wameisha ndani ya kifusi 😢😢😢 kifo ni fumbo asee
@Fatima-v9k6f2 ай бұрын
From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun
@IssaIssa-h1d2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa
@LizzyOfficial-g5g2 ай бұрын
Polen wote wanafamilia 😢😢
@hamadKhamis-p6k2 ай бұрын
Matukio km haya yakitokea bc tuwe wenye kufuzu huko tunakokwenda kwa wale waislamu ndio wamefaulu kwenye hili tukio japo kuwa wamepat maumivu mara mbili lkn wanaenda kupumzika pazur San tujitahid tusifuate dini isiyokuwa sahihi
@jameslyatuu952 ай бұрын
Fufuka kwenye huo uwendawazimu wewe kabla haijawa too late
@samwa94962 ай бұрын
Hata mie Islam ila uache kudharau Imani ya mtu mna copy na kupest
@frida-oi6kw2 ай бұрын
Hivi wewe uko sawa kweli kiakili....shtuka asee kabla haujachelewa...ukubali ukatae YESU NI MUNGU..
@petermanala61382 ай бұрын
Atakuwa na kidonda kwenye upeo wake huyu Kwan Huwa mnajionaje
@RobsonLugomi2 ай бұрын
Acha mawazo finyu kijana uisilam Sio ticket ya kwenda mbinguni acha ujinga
@patrickndizeye21902 ай бұрын
Inaumiza sana😢
@dayana5513story2 ай бұрын
😢😢💔💔 mbele yetu nyuma yao 💔
@Brunoh90Tv2 ай бұрын
Hili jambo linaumiza sana akii😢
@NeemaSamson-ti8pc2 ай бұрын
Poleni jamani wapendwa wenzetu
@issazalala49072 ай бұрын
Hapa duniani tuna ishi kwa robo saa 😢tupendane jamani daaah uzuni sana
@TausiAlly-d8e2 ай бұрын
poleni sana 😢😢😢
@estermathias83542 ай бұрын
Kichwa cha family 😢😢😢
@ngaiseryjembe99482 ай бұрын
Poleni sana
@romwaldoamsi27832 ай бұрын
Inauma 😢😢😢
@MsAggie52 ай бұрын
Mungu awatie nguvu ndugu na jamaa. Poleni sana
@Gsamir6942 ай бұрын
Nimeumia sana
@shakilaAqram2 ай бұрын
Tuogope sana pesa za wasanii wanazorusha kariakoo tunachekelea watu wamepotea mjini wanapambn kurudi
@SakinaValy2 ай бұрын
Shakhla kwani Huwa wanarusha pesa kariakoooo!!!
@michaelmisana6502 ай бұрын
Polen sana 😢😢😢
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Sanga,wakinga jmn Wapambanaji haswa duh
@wangagirl35082 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢
@rodasanga13122 ай бұрын
Pumzikeni kwa Amani wanyalukolo
@nigelFirman-c2x2 ай бұрын
😢😢😢
@OnesmoEphrata2 ай бұрын
Gorofa ilikuwa ime beba zaidi ya Tani na matani Kwa Kwa nimeona lol
@akimanaarlene8512 ай бұрын
😢😢😢😢poleni sana dungu zetu wa tanzania kwa kipindi hiki kiguma tuko na nyie 😢
@surusuru19942 ай бұрын
😢🇹🇿💔💔😭
@alexmichael58502 ай бұрын
Naona machawa na nguo zao asee hatari hiii...hta Ambulance hkna...na mpo na kijani yenu.
@hamadKhamis-p6k2 ай бұрын
Na wengi wao hao walokufa ni wakiristo inaniuma San maan hapa wanakufa kikatili kwa maumivu makali na huko wanakokwenda ni kubaya Zaid tumuabuduni Allah ndio Kila kitu na vyote hivo ni. Vyake kheri na shar pia. Ni zake
@jameslyatuu952 ай бұрын
Udini tu unakusumbua polee
@IsayaJoseph-v3s2 ай бұрын
Ww ndo utachomwa moto mpaka kijambio chako kenge ww