WATU WATATU WAHUKUMIA KUNYOGWA HADI KUFA KIGOMA KWA KOSA LA KUMUUA MLINZI

  Рет қаралды 33,168

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@peninacharles9757
@peninacharles9757 3 жыл бұрын
Mika ndaba Ukiwa huna pesa Tanzania hii unanyongwa Hadi kufa lkn Ukiwa na pesa kesi inafanyiwa uchunguzi hata miaka kumi , Angalia wakina Seti washatoka jela ikiwa waliiba Mabilioni ya pesa
@jennytugara9470
@jennytugara9470 3 жыл бұрын
Kesi ya kuua Man slaughter na urasimu au uhujumu uchumi vipengele ni tofauti. Umetoa maisha ya Mtu. Sasa na wewe ukaonje joto ya jiwe.
@peninacharles9757
@peninacharles9757 3 жыл бұрын
Kuongoza Tz ni rahisi kuliko kuongoza family yangu acha kazi iendelee
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 3 жыл бұрын
Hawa wameuwa na siyo kuiba pekee
@robbyman6213
@robbyman6213 3 жыл бұрын
Mungu awasaidie
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Dah uku mtaani kwetu kuna wezi walimuua mlinz wakaiba TV alaf ni mzee. Inauma sana ...unatoa roho ya mtu anayetegemewa sabab ya TV... Wauawe tu
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Mwenye Kuua Pasipo Haki, Nae Auwawe Kwisha.
@omaryally5904
@omaryally5904 3 жыл бұрын
Nuru jamaa yangu unaishia jera lla kama hujauwa kwr mungu akusaidie peac $ love
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Yani wezi mtihani na kuuwa hawana hata uruma
@assfzainab912
@assfzainab912 3 жыл бұрын
Cna lakusema
@nestoemanuel2821
@nestoemanuel2821 3 жыл бұрын
R.i.p tamaa
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 жыл бұрын
Mmh jamani turidhike na Vipato vyetu
@officialsteeve2384
@officialsteeve2384 3 жыл бұрын
Mmh,,kwa upande wangu siamin kama wanakipato chochote ao mana siku zote mtu ukiwa huna ndipo unaweza chukua maamuz ya namna yyote pasipo kujali usalama wa maisha yako na ya mtu wa upande wapili,,ko kumbe kuna suala la kuwekewa mkazo kwenye matukio kama haya....
@ramathedon4001
@ramathedon4001 3 жыл бұрын
watu wanapigwa na polisi mpaka wanasema jambo bila lisilo kuwa kweli ili wasalimike alafu jaji wasema sikweli
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Ni kweli asee mtu unapigwa mpka unakiri kitu ambacho ujafanya
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Usitoe Ufahamu, Wale Wameua na Kidhibiti Wameshikwa Nacho, Ikiwa na Ww Uko na Tabia ya Wizi Iba Uone.
@ellyisidoli2192
@ellyisidoli2192 3 жыл бұрын
@@seremenikibwene8633 wambie kabisa naona Wana tetea tu
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
@@ellyisidoli2192 ukiona mtu anatetea uhalifu ni kundi lake hilo..Ila yy bado arubain yake
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Wafe2 Lakini Uchunguzi Muimu Mana Hata Wenye Kuwauwa Watuumiwa Nae Muuwaji Pia Je Mmejilizisha Kwa Ukumu Iyo
@feibegabriel522
@feibegabriel522 3 жыл бұрын
Jaman
@jamespatsonjp4935
@jamespatsonjp4935 3 жыл бұрын
Duhhh 🤔 ndio ule usemi katika maandiko ukiuwa kwa upanga utauwawa kwa upanga..😭😭😭
@nicksonruwaichi3426
@nicksonruwaichi3426 3 жыл бұрын
Siyo sawaaaa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Why???
@davidroche31
@davidroche31 3 жыл бұрын
Kwann muhimili wa mahakama unategemea maamuzi ya mwisho ya rais.....kila muhimili ujitegemee kwani hukumu kama hizi zisisubiri sahihi ya rais....
@kalengemochi9471
@kalengemochi9471 3 жыл бұрын
Kigoma yetu ukiwa huna pesa kweli huna hoja mozambique hapa
@shiflaboa8687
@shiflaboa8687 3 жыл бұрын
Duh jamani nduguzangu hao jaman: uwiii amaaa kwel mshahara wa dhambi ni mauti;
@lissacosmas6978
@lissacosmas6978 3 жыл бұрын
Du
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 жыл бұрын
Dah huyo mmoja kalowa jasho nguvu zimemuisha jaman huruma lkn kunyongwa
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 жыл бұрын
Kama waliua wacha wafe nawao.....huyo mlinzi pia alikuwa na haki ya kuishi mbona wacha wakome nawao
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 3 жыл бұрын
Ukiwa auna ela tz mtihani mkubwa wenye ela awafungwi duu
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Ingezidi kuwa hivyo sheria kwa masikini na tajiri iwe sawa lakini ikigonga kwa tajiri eti hupinda hao wamehukumiwa kunyongwa kwa sababu umaskini wa kuiba kontrolala wangehujumu mabilioni wasngenyongwa. Ila ni sawa wezi wakome
@ochendepay9440
@ochendepay9440 3 жыл бұрын
Wataje Na Ushaidi Uwe Nao.
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 3 жыл бұрын
Kuiba ni swala moja na kuua ni swala lingine hawa jamaa wamefanya yote sio kila mwizi anahukumiwa kifo
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 3 жыл бұрын
Mh sidhani
@mecksaloon81
@mecksaloon81 3 жыл бұрын
Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga.
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 3 жыл бұрын
Nikweli aisee
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Wafe2
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Yachomwee.
@jennytugara9470
@jennytugara9470 3 жыл бұрын
Umaskini kitu kibaya jamani kitu gani cha kuiba hiki jamani
@omarymaroda5861
@omarymaroda5861 3 жыл бұрын
Kama mtakuwa mmeua kwel iko level2 Wajomba
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 3 жыл бұрын
Hawatarudi uraiani kweri!!
@scolabahame2214
@scolabahame2214 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Dah contol box tu inasababisha unamuuwa mtu, basi njooo muichukue hii Alphard yangu
@catherinecharles932
@catherinecharles932 3 жыл бұрын
Yaani
@kishingokishingo1840
@kishingokishingo1840 3 жыл бұрын
Je ikiwa tofauti na wanayoihitaji ? Contro box nyengine haziingiliani
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
@@kishingokishingo1840 Hakuna mbadala wa roho
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 3 жыл бұрын
RIP WEZI
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
😃😃😃
@dynesssteve7532
@dynesssteve7532 3 жыл бұрын
Kesho kutwa unawaona mtaani
@aishaha3538
@aishaha3538 3 жыл бұрын
Wahalifu sirahi kuwapata lakin polis huchukuw watu wengine na kuwapa kesi omba mungu yasikukute
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Wapewe adhabu nyingine ili watumikie inchi
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Kunyongwa si leo Ni kama haitekelezeki
@lyrics_forum
@lyrics_forum 3 жыл бұрын
Hafi Mtu😂
@saramss7262
@saramss7262 3 жыл бұрын
Kigogo juuuuuuuuuùuuu hongeraaaa
@debosstv43
@debosstv43 3 жыл бұрын
We kigogo kila kona upo , na hizi taarifa zote unazipata wapi ww ?
@shiflaboa8687
@shiflaboa8687 3 жыл бұрын
Mmmmmmmmm; kwanini
@nicksonruwaichi3426
@nicksonruwaichi3426 3 жыл бұрын
Siyo sawaaaa
@feibegabriel522
@feibegabriel522 3 жыл бұрын
Jaman
MLINZI WA SHULE AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA, MAMA AANGUA KILIO
5:37
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 28 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
MATUKIO MAKUBWA KASULU KIGOMA YA KIHISTORIA, MWAMI NTARE.
9:42
Ntwiro Media
Рет қаралды 3,5 М.
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Cinewatch
Рет қаралды 2,5 МЛН
Makomando wa TZ wakipambana bila bunduki
24:41
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН