WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - "WAONDOE"...

  Рет қаралды 24,924

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@hamidaomar5137
@hamidaomar5137 3 жыл бұрын
Mheshimiwa mungu akulinde umetukumbusha baba alietangulia mbele yahak
@SalumMustapha-b9o
@SalumMustapha-b9o Жыл бұрын
mwanangu juma mungu akupe maisha marefu
@enockngohel5737
@enockngohel5737 3 жыл бұрын
Kama umesikie neno viko store twende ukanionyeshe gonga like hapo twende pamoja
@jumaaabdalah
@jumaaabdalah 9 ай бұрын
Maashalwah mungu akubariki
@issalikokoswai4402
@issalikokoswai4402 Жыл бұрын
Hii nibaraakunwa Awessssso
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 жыл бұрын
Aweso hapo kazi tuu💪
@kasimally5651
@kasimally5651 2 жыл бұрын
kuna neno limetamkwa nakuheshim gonga like hp
@abdulsaleh4640
@abdulsaleh4640 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukulinda tunakuombea sana waziri wetu uendelee kuchapa kazi.
@felipetorres9437
@felipetorres9437 3 жыл бұрын
Aweso
@zahorhaidi4525
@zahorhaidi4525 3 жыл бұрын
Wallah ikiwa hivo kila idara watu watanyooka kazi zitafanyika kwa halali
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Huyuu waziri Alindwe
@VictaDaudi
@VictaDaudi 6 ай бұрын
Njoo na iringa mkuu, wanabambikia biri Sana , tunaomba mita zibadirishwe
@tumahamza8972
@tumahamza8972 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂anatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zama zilishapita. Sasa hivi kazi,maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeeeee
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
JAMAA ALISEMA KWA JEURI VIPO STOOO😣😂😂
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Mkulya bishoo km muhaya lkn unapiga kz vzr nakukubali nitakupa mwanangu wa kiahaya bila mahali😂😂😂
@sanisani5266
@sanisani5266 3 жыл бұрын
Wana viuza sana hamna kitu stoo😆😆lah ingekuwa ukaguzi huu kila siku wangenyooka
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Waziri hadanganyiki😃
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 3 жыл бұрын
Wazir anahuruma sana angekuwa magu weee
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 mwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine Watu wazima na family zenu si aibu iyo Wajibikini jmn kazi ni zamana kazi ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu Pole sn mh Aweso unajizibiti at hasira zako Maana unaweza kurusha at Kofi kwa hasira mungu akulinde
@jameslyimo662
@jameslyimo662 3 жыл бұрын
Store....
@shambaiddi4984
@shambaiddi4984 3 жыл бұрын
Lazimaa tuwape lekee kwenye mahakamaani kwani hao ni kusudi na hawajali hawanaaa hurumaa hawanaa uzalendo hawaipendi hata hiyoo kazi yao kazi ambayoinawalipaa inachokezaa inahuzunushaaa ni aibuuu ni dharau
@shambaiddi4984
@shambaiddi4984 3 жыл бұрын
Watu sijuwi ni Watu wa aina gani ni unyongee wa muaaafricaa anatakaa atawaliwee hataki kujitawallaa
@shambaiddi4984
@shambaiddi4984 3 жыл бұрын
Kwani Tunapendaa kupelekwaaa siyo kujitegeemeaaa wenyewee bila ya wazungu
@muebraniamuebrania145
@muebraniamuebrania145 3 жыл бұрын
Viongozi wa juu nikama mko na dhamira ya kufanya kazi km Mh rais alivyodhamiria kutusaidia raia,lakini mliowaweka uko chini wengi ni makanjanja.Poleni viongozi wetu, safari ya maendeleo bado ngumu sana.
@shambaiddi4984
@shambaiddi4984 3 жыл бұрын
Hakunaa hurumaaa hawataki hurumaa wamezoeeaaaa shidaa hawajuwi shidaa za watu
@shambaiddi4984
@shambaiddi4984 3 жыл бұрын
Huyo ni mjeuuriii Unamuonaaaaa usonii tu mtu hakuna maswali ni kumtumbuaaaa tu hawataki kubembrleezaa
@akinyilucy953
@akinyilucy953 3 жыл бұрын
Wanacheza wabebe uede nao
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Nakupendea icho ndg yng umuonei mt na unasema ukweli
@AhajHhh
@AhajHhh Жыл бұрын
Yn ww inabidi uwe Raisi wa baadae ili uinyesha tz
@frankkaijage9726
@frankkaijage9726 3 жыл бұрын
Waziri simama hao Watakupaka matope. Washezi tuu.majizi tuu
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 6 ай бұрын
Kama umesikia msamehe ila waziri unakiti chako mbinguni msamehe tu amegafirika
@tumahamza8972
@tumahamza8972 3 жыл бұрын
Tena huyo Peter anaonekana ndio kiongozi wa uwongo.
@edyhasan9071
@edyhasan9071 3 жыл бұрын
Alie sikia kuwa mimi nataka niwasaidir ndio maanaaaa nini tenaa hiii utafelii waziriii utatumbiwaaaa
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 жыл бұрын
Njoosha hao
@mankamassawe1266
@mankamassawe1266 3 жыл бұрын
Auweee comments tuu mimi hoi binadamu tuna kaz sana mtu hujajua chanzo unakurupuka kujibu na kufurahia eeeh kwel hii ndio Tz
@catherineplatnumz3309
@catherineplatnumz3309 3 жыл бұрын
Muheshimiwa waziri mwenyezi mungu akupe nguvu daima kweli amekuongopea lakini umeweza kumsamehe inchji ila siku nyungine asirudie Mimi kama RAIA wanchi hii akirudia tena kukudanganya nitakukumbusha ili umuondoe kazini
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 2 жыл бұрын
ukubwa raha jamani...unafokea hata wakubwa zako,vijana rika lako...yaan raha utamu
@abdallahrajabu4401
@abdallahrajabu4401 3 жыл бұрын
Majitu mashenzi maongo majizi
@cadeteengele3765
@cadeteengele3765 Жыл бұрын
Mungo watanzani ya awe nawe
@jenifamtima9325
@jenifamtima9325 3 жыл бұрын
Yaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. ..babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata ...hahahaaaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya Rais eirpot leo waziri. ..Tanzania yetu... awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na Elimu zao wanapeana kazi kienyeji, 😅
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Yn ataviongozi wengine waige mfano wako
@AzizKhan-si8cc
@AzizKhan-si8cc 3 жыл бұрын
Aweso ulistahili
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 3 жыл бұрын
Waziri tunaomba tusambaziwe maji yombo vituka , Buza Dsm ni miradi wa siku nyingi Sana !!!
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 2 жыл бұрын
chimba kisima ww
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
AWESO ATOA MAAGIZO HAYA KWA WATENDAJI
11:07
Daily News Digital
Рет қаралды 859
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН