WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..

  Рет қаралды 101,200

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D.Msaki..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 168
@silverman6930
@silverman6930 3 жыл бұрын
Watakoma when JPM is in Power , weldone Aweso 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🙏🙏🙏
@aureliambawala8028
@aureliambawala8028 3 жыл бұрын
God bless you my king,unaitendea haki kazi yako🙏🙏. May God bless TZA.
@hawaally7974
@hawaally7974 3 жыл бұрын
Allah akutunze kiongozi🙏🙏🙏🙏🙏
@ahmedazry3436
@ahmedazry3436 3 жыл бұрын
Uko vizuri aweso mwenyezi mungu akuongoze katika kazi yako
@user-tg8ct1nt5y
@user-tg8ct1nt5y 3 жыл бұрын
Uwiiiiiii mungu wzngu pole kakaangu kipnz nevili daudi ndepachio msaki pole sana mwenyez mungu akutie nguvu kipind hiki kigumu
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 жыл бұрын
Good job..Waziri
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Duh inawezekana Tanzania ya sasa ikawa ndio inchi ya ahadi iliokuwa ikisubiriwa.
@zefamange7281
@zefamange7281 3 жыл бұрын
Sanaaaa
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 жыл бұрын
Watu wachache hawataki mambo ya msutano utasikia haki za binaadamu wameshazoea ubabaishaji na wizi na wako watu watu kama hawa wakifichuliwa wachache wanawagombea na wanawatetea
@sebastianzongoro8915
@sebastianzongoro8915 Жыл бұрын
Asante sana waziri kwa uthubutu wako wamezoeya kufanya ubazilifu wa fetha za kodi za walala hoi safi sana.kwanza amezeeka sana huyo.
@mamaluusoap5834
@mamaluusoap5834 Жыл бұрын
Aweso mungu akujalie umri mrefu uwe raisi wa Nchi hii Iko vizurii
@kilonzokallage6159
@kilonzokallage6159 Жыл бұрын
Mh Aweso Mungu akubariki sana Fukuza hayo majinga jinga hayafanyi kazi wamejaza tu matumbo yao hapo pumbavu sana.
@lambomayenga6151
@lambomayenga6151 Жыл бұрын
Waziri naKuombea Mungu akulinde. UNATENDA HAKI
@akidasalim3859
@akidasalim3859 3 жыл бұрын
Kazi ipo Waziri Mungu akutie nguvu na akulindea
@wilfredsahila8727
@wilfredsahila8727 3 жыл бұрын
Waziri ni vizuri akiwa wa taaluma ya wizara hiyo hawezi kudanganywa; ikikosewa akawekwa waziri katika wizara ambayo siyo taaluma yake atadanganywa sana.
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Nice my brother Waziri wa Maji.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Asante sana Mh Aweso...wasi wasi wangu unaweza kuonekana hufai kwa Maamuzi yako maana wa tz hawana Dogo..but piga kazi yako
@user-px8fv8dc3o
@user-px8fv8dc3o Жыл бұрын
Uko vizuri kaka unasimamia vizuri wizara yako ya maji Mungu akubariki
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 жыл бұрын
Well done minister, your doing for your fellow Tanzanian and not otherwise, those with big stomach always like being selfish and feeding their hunger😎
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
HAPA KAZI TU wanaochemka wakae pembeni Safi Sana waziri wa maji
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 5 ай бұрын
Nimeliona jitu, ku u u bwa ! Jizi ! ! Masikini mama Tz
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 жыл бұрын
Allah akurinde we waziri na madui wasio pesa tzd jmn watu wananepeana kwa pesa za wananchi
@mebbukatibalo787
@mebbukatibalo787 3 жыл бұрын
Jumaa Awesoo Umetisha kinomanoma!
@kenethmwangoka4590
@kenethmwangoka4590 Жыл бұрын
namuona magufuri Kwa kimvuri Cha aweso barkiwa sana
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 3 жыл бұрын
Siku zote tumbo likiwa kubwa Sana kuzidi Kichwa shida sana
@isayachalo1845
@isayachalo1845 3 жыл бұрын
Kazi kazi Mh Awesu safiii msaidieni Mh Jpm na co hapo karibu wilaya nyingi mambo ni hovyo
@jumaabdul5882
@jumaabdul5882 3 жыл бұрын
You deserve to be a leader,congratulation bro
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 жыл бұрын
Aweso umetisha Bro.....
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 3 жыл бұрын
Hatari sana waziri kazi nzuri
@rifatimuhidini145
@rifatimuhidini145 3 жыл бұрын
Daaaah juztuu kufa kwamzee wakazi mzee magufur teali mshaanaza wizi
@ludobudege1662
@ludobudege1662 3 жыл бұрын
Mheshimiwa tafadhali nenda Mwanza wilaya ya ilemela kuna shida ya Maji haijawahi tokea kuna majipu uchungu
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 жыл бұрын
Safii sanaa mh jumaa mtoto wa awesso piga kazi
@rehemabukuku1008
@rehemabukuku1008 2 жыл бұрын
Safi juma awesu Mungu akulinde tunakuombea
@DicksonIgnas-pq1rj
@DicksonIgnas-pq1rj 5 ай бұрын
Safi hatutaki wa baba ishiji
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 3 жыл бұрын
Karibu Tunduma
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Mpaka nimecheka huyo aliyenenepeana kwa kula pesa za wananchi anaondoka aibu imemjaa 😁😁
@MohamediMchekwa-ou4dk
@MohamediMchekwa-ou4dk Жыл бұрын
Safi sanaa imeipenda iyo
@immapoule3613
@immapoule3613 3 жыл бұрын
Sawa viongozi nawapata vyema mungu awabaliki sana nakazinjema
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 жыл бұрын
Aweso piga kazi kama magu
@flaviankimat5233
@flaviankimat5233 Жыл бұрын
hapo sawa sawa aweso na bili za maji arusha ni kubwa sana mheshimiwa angalia na hilo.pia
@user-vk5nb4uz6h
@user-vk5nb4uz6h 4 ай бұрын
Kuna Wizara Ukijichanganya Imekula Kwako, Wizara Ya Bashe, Slaa, Awesu Na Zingine Chache
@rajabulipongo4135
@rajabulipongo4135 2 жыл бұрын
Waziri wew kwani mpaka uitwe au unakwenda kwaratiba ipi njoo mtwara uje uzunguke Halimashauli yamji Nanyamba ujionee madudu huku yanayofanywa nakamati hizi zamaji niia unayopita mungu aingazie na akutolee magumu yoote
@burundirwanda1583
@burundirwanda1583 3 жыл бұрын
A real leader 🇹🇿
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 Жыл бұрын
Safi sana
@khairallacassianbyamkama5279
@khairallacassianbyamkama5279 Жыл бұрын
Safi sana wanazid mno
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
yaani ela zinazotolewa kweny hii miradi,is unbelievable ,wanalea vitambi tu kudadeki...
@miagirumas4123
@miagirumas4123 3 жыл бұрын
Njoo wilaya ya monduli kijiji cha lashaine
@allysaleh6551
@allysaleh6551 3 жыл бұрын
Uje na morogoro tunaibiwa sana na watu wa maji matumizi ya nyumbani bili elf 60 na maji katika mwezi yanatoka siku 12 adi 15 tunaibiwa sana
@chrianseth6393
@chrianseth6393 3 жыл бұрын
Meneja huyo anafanyia tumbo lake mwangalie alivyo
@majaladubai9698
@majaladubai9698 3 жыл бұрын
NJO NA KONDOA UONE
@majaladubai9698
@majaladubai9698 3 жыл бұрын
UJE NA KONDOA WAZIRI UONE
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Chapa kazi Waziri wa Maji, Hawana watu wenye matumbo makubwa sijui wana shida gani, Wana tamaa sana. Lowasa alikuwa Waziri Mkuu ila akashindwa kuweka maji kwao Monduli, Sumaye naye alikuwa Waziri Mkuu akishindwa kufanya maendeleo kwao Hanang. Raisi Magufuli endelea kujenga Chato ili uwe mfano bora kwa hawa Viongozi wengine wajifunze kupeleka maendeleo kwao badala ya kulemea Dar es Salaam tu.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 ай бұрын
KAMATA SUKUMA NDANI HAO NDIO WENYE KUMGOMBANISHA MHE RAIS DKT SAMIA, NA WANANCHI, PESA ZA SERIKALI WANAKULA PAMOJA NA FAMILIA ZAO WANANCHI HAWAPATI MAJI.
@iddrashid7054
@iddrashid7054 Жыл бұрын
Yaani waziri kakonda kwa stress za maji,injinia yeye kitambi ndiii
@sanarekumongishumollel6041
@sanarekumongishumollel6041 3 жыл бұрын
Mheshimiwa ata monduli kunamgogoro wa maji kati ya Kijiji cha olarashi na mlimani na wananchi wa Kijiji cha olarashi baathi wamekamatwa wakiwemo wa mama tunaomba utusaidie mweshiwa waziri plz tunanyanyaswa na viongozi wa monduli
@sebastianzongoro8915
@sebastianzongoro8915 Жыл бұрын
Nchi hii raha sana
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 3 жыл бұрын
Aweso uko sawa. Hata urais unafaa
@cadeteengele3765
@cadeteengele3765 9 ай бұрын
Good
@wilfredsahila8727
@wilfredsahila8727 3 жыл бұрын
RIP JPM ulitaka kutupeleka nchi yenye asali na maziwa.
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 ай бұрын
Aweso piga kazi, but usisahau chuo cha mipango wale mama ntilie uliokuwa unakula wakati unasoma maji yanasumbua sana
@alihu3752
@alihu3752 3 жыл бұрын
Bongo wasimamizi wa miradi weziwezi sasa lazima itafutwe muafaka wa kuzibiti toka enzi ya nyerere.
@meddyzambetakis
@meddyzambetakis 3 жыл бұрын
Magari ya kifahari lkn maji ya kunywa hamna, ushuzi mtupu
@gennerjorgemariomendez5823
@gennerjorgemariomendez5823 3 жыл бұрын
Aweso
@mohamedlacha6515
@mohamedlacha6515 3 жыл бұрын
Aweso Waziri namba mmoja wa Rais Samia Suluhu Hasssni. Huyu ni Mwanafunzi halisi wa Hayati shujaa wa Afrika Joseph Magufulu. Endelea
@sadickshabani2271
@sadickshabani2271 2 жыл бұрын
Kabisa miaka yijayo akitoka laisi mama yetu madarakani gobea uraisi mayimani utapata ushidi 🙏
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 жыл бұрын
Kila kata ya raiya wa Tanzania wanatakiwa watume malalamiko yao (maoni yao) kwa Raisi kata ambazo hazina maji , hospitali, shule barabara na n.k mkifa hivyo yatafanyiwa kazi siyo mnangojea mpaka viongozi waamuwe . Mari zote za Tanzania Madini,gesi,wanyama,milima,maziwa,mito na n.k ni mari ya waswahili wa Tanzania . Mungu ibariki Tanzania
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Njoo arusha arumeru waziri pls
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 8 ай бұрын
Uweaao nakuaminia hudanganywi hakikatungepata watukamahawanchiingeendambalisana hongerasana
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 5 ай бұрын
🎉
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Waziri hao watendaji wahuni
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 ай бұрын
Pambana watanzania wanakubali mchango wako nyinyi ni askari wa myavuli wachama cha mapinduzi, mama samia anawapiganaji wakutosha kumvusha 25_ 30
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 3 жыл бұрын
Du kumbe serikalini ukiingia cha kike hata kama anayekwambia ni mdogo badala yake mkubwa unageuka mdogo tena
@KabwikaIbrahim-ld8vf
@KabwikaIbrahim-ld8vf 5 ай бұрын
Awesooo,Awesoo!!Kweli ninakukubali
@Qadar-vx4gj
@Qadar-vx4gj 6 ай бұрын
Jambo La Kushangaza Tanzania Shida Ya Maji 😢
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Kazi kweli kweli! Jmn watanzania tubadilike
@user-sb1qy8gt7i
@user-sb1qy8gt7i Жыл бұрын
Waziri fanya mpango was kukutana na viongozi wa (W,U,A,) usikie cangamoto zao
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Mzee mjinga ana mwanga unga kalale mzee
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 Жыл бұрын
Kijana aweso unatisha sana
@fatmaalwiy7651
@fatmaalwiy7651 Жыл бұрын
Kashiba na pesa za watu wanenepeana wananchi wanateseka
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj 6 ай бұрын
TANGA BOY IS GOOD,
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 2 жыл бұрын
Waziri moshi kijiji cha mabungo hakuna maji jua kali miti utaoteshaje hakuna maji upepo mkali kwa sababu hakuna miti tunakuomba uje hapa mlima wa mabungo kijiji cha kilindini hata umeme tu hakuna waliondoka na nguzo wakapita wanasema hatukusema tusaindie kumwambia waziri wa nishati tumeachwa tuanze kununua nguzo wenyewe
@deokafulu4332
@deokafulu4332 Жыл бұрын
Chapa kaz wazir
@rehemabukuku1008
@rehemabukuku1008 2 жыл бұрын
Uje na Morogoro baba mjin hapa maji ni mateso mala yatoke mala hamna shida tupu tunanunua maji dumu 500
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 Жыл бұрын
Nauona moto wa JPM angalau 🔥👍
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 5 ай бұрын
HAO WEZI WALIOPITILIZA WEKA NDANI TU HAKUNA DHAMBI
@michaelsaimonmuhojamichael8430
@michaelsaimonmuhojamichael8430 3 жыл бұрын
Hayo majizi,yamenenepa hela za wanachi.
@francisgituti2494
@francisgituti2494 6 ай бұрын
Ngumu kumeza hiyo , atafute kazi nyingne ya kufanya
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 Жыл бұрын
jamani mke wake kajifungua,msameheni
@costantinebahakaso3736
@costantinebahakaso3736 Жыл бұрын
Njoo na biharamulo
@bongobongo1755
@bongobongo1755 3 жыл бұрын
Yani watu walewale mpaka lini badilikeni uyo amenenepa pesa ya wananchi
@idrisangugi8839
@idrisangugi8839 3 жыл бұрын
mheshimiwa Aweso mbona hauji Mwanza Misungwi
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 Жыл бұрын
Mtu ana kitambi kuliko Waziri?
@ibrahimmacharia5093
@ibrahimmacharia5093 3 жыл бұрын
Mheshimiwa waziri pongezi xana, lakini naomba uje pia huku kata ya ilkiding'a tuna changamoto xana xana kijiji cha ilkisonko tumeanza kuambiwa tutalipia maji kila kaya na maji yenyewe hatuna tafadhali njoo
@rahmahersi2116
@rahmahersi2116 3 жыл бұрын
Hongera na speaker ndugu Tukusikie.
@ibrahimugoda7284
@ibrahimugoda7284 3 жыл бұрын
Mh ufike na wilaya ya kilindi
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 2 жыл бұрын
Waziri sisi tunateseka sana maji hakuna moshi kijiji cha mabungo tumeotesha miti imekauka waziri uje ututembelee uone shida tuliyonayo na bili inakuja ukifungua upepo unatoka hakuna maji uje waziri,,, karbu sana na mjini moshi nauli mia tano
@barnabalushenshe5671
@barnabalushenshe5671 3 жыл бұрын
Kijana safi wa JPM..
@presidentofafrica.5038
@presidentofafrica.5038 11 ай бұрын
NAONA KAMA NYOTA YA UWAZIRI MKUU KWA AWESO INAKUJA KWA UHATARI SANA.
@rehemabukuku1008
@rehemabukuku1008 2 жыл бұрын
Kwa Hali hiii unasema .j.p.m alikua simba wa yuda. ,,hzo kauli ndo zinawapa kiburi na ujasir wez kama hv
@felistapepi3715
@felistapepi3715 3 жыл бұрын
Sauti pls
@naziamahboob1536
@naziamahboob1536 3 жыл бұрын
Hatumsiikii jamani endeleni kidogo
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty 24 күн бұрын
ichi inaoza kwa watu wachache nadhani tuchangamshane kgd
@abdulkihanza4431
@abdulkihanza4431 3 жыл бұрын
Waziri njoo na kijiji cha Uvinza, uone madudu
@barnabalushenshe5671
@barnabalushenshe5671 3 жыл бұрын
Kuna haja YA Kuwa Waziri kamali wa.maji.
@masaikaren588
@masaikaren588 3 жыл бұрын
Kweli kukula inakuwaga tamu...
@costantinebahakaso3736
@costantinebahakaso3736 Жыл бұрын
Biharamulo biharamulo kata ya kabindi mradi imekamilika maji hakuna
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 2 жыл бұрын
Nchi sio nch ya kuchela na wenye mamlaka na zani rais ajionee mwenyewe jinsi Hali ilivyo na angalie Sana kauli yake eti kipindi kile watu walifanya kazi kwa uoga kina usemi usemao ukicheka na nyani utavuna mabua
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 8 ай бұрын
Mheshimiwa haohakunakitu sukumandani
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
Dar es Salaam to Zanzibar VIP Class Ferry in Tanzania 🇹🇿
20:50
Jason Billam Travel
Рет қаралды 123 М.
KIDUM KIBIDO APEWA UNABII PAMOJA NA MILIONI 20 - GeorDavie TV
19:37
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН