Waziri Aweso amsimamisha mama yake mzazi mbele ya Rais Samia

  Рет қаралды 32,700

EastAfricaTV

EastAfricaTV

2 жыл бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 27
@salimliemba3458
@salimliemba3458 2 жыл бұрын
Hpy birthday mh waziri wa Maji Allah akupe umri na afya Ameen
@shabanmaguru1950
@shabanmaguru1950 2 жыл бұрын
Siasa unaiweza bwana mdogo upo vizuriii sanaa
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 жыл бұрын
Uweso upo vizuri sana
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 2 жыл бұрын
kijana Aweso yuko vizuri sana.atafika mbali sana.
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 2 жыл бұрын
Bado Dodoma mjini kata ya Nkuhungu hakunamaji,kwanini??
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 Жыл бұрын
Moyo umenipiga nimesikia mama Nadhifa ❤
@tusiimeroy3157
@tusiimeroy3157 Жыл бұрын
MajiTabata kinyerezi Ni shida Sana mashine ya segerea Ni mbovu imechakaa, Tunaomba ibadilishwe
@omarikibwanga
@omarikibwanga Жыл бұрын
Kiukweli Mhe Aweso unapiga kazi
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Muda umeenda na mb tumewaungisha wauzaji na pesa imeingia kwenye mzunguko. Good
@christinamsoka
@christinamsoka Жыл бұрын
Dar tuu watu hawana maji ...sambazeni maji tutumie maji salama tulipe mpate pesa jamani .mnakwama wapi?
@petersilas4234
@petersilas4234 2 жыл бұрын
Mradi wa Mwanga Same kwanini hamna kinachoendelea . Sisi haturidhiki na hayo yanayoendelea. Mbona miradi iliyoanza nyuma imekamilika???
@labanbishirabandi3740
@labanbishirabandi3740 2 жыл бұрын
Ni kusifiana tu
@barakamsungu5260
@barakamsungu5260 2 жыл бұрын
Mchukua kamera mama wa Aweso kaambiwa asimame hujamchukua hadi tukuo limeisha ndio unapeleka kamera kwa hadhira duu! labda mm ndio sijui
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 2 жыл бұрын
Mradi wa maji mkundi aweso unajua kuwa umepoa
@selemanally650
@selemanally650 2 жыл бұрын
Hana mchezo chifu hangaya atawazingua
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Ujingamtupuhapo
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Kivipi? Huyu jamaa anawajibika sana... Na Chief Hangaya sio mtu wa michezo... Amesema hataki kuona akina mama wa Nchi hii hawana maji... Ametoa hela nyingi kutekeleza hili jambo, na sasa tunavuna matunda yake... Safi sana Waziri wetu Aweso! Barikiwa Mama wa Taifa, hakika umemtua mwanamke ndoo kichwani!
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 wewe Juma humjui huyu ni kijana mjanja anayecheza na akili za mama Samia! Ni fisadi anayepelekewa hela kwenye mifuko na watu wa wizara hiyo!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
@@sambulugu9988 Hakika Mungu akusamehe kutunga uongo,,, Mwogope sana Mungu,,, Maneno yako yawe machache mbele zake Mungu,,,
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 Usifanyie kazi maneno matupu hiyo anatetea ugali wake wewe malia kusifia tu! Hiyo mtu watu wanajua michongo yake!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Ila, kazi zake zinaonekana! Wananchi sisi tunachohitaji ni huduma ya maji ... Na maji tumepata! Jamaa yuko kazini usiku na mchana, hajatuzingua! Aweso oyeee!
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 2 жыл бұрын
Tuache porojo na kusifiana! Huu ni ujinga tu! Aweso ni mmoja wa wezi wakubwa ktk wizara. Sasa hivi pesa za wizara wanazituma mikoani na kuzirudisha wizarani kesho yake na kuzigawana.
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Tusaidie. Basi kalisemee pale litakapofanyiwa kazi. Hapa halitakuwa na maana.
@omarikibwanga
@omarikibwanga Жыл бұрын
Una ushahidi katika hilo?
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 Жыл бұрын
@@omarikibwanga wezi wote huanza hivyo! Uliniona! Una ushahidi! Una uhakika! bhla! bhla!
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 780 М.
Van Dijk Destroys Everyone + HIM 💀
0:21
Fearron
Рет қаралды 8 МЛН