No video

WAZIRI SILAA AMALIZA MGOGORO WA MUHINDI NA MWENYE NYUMBA MSASANI | NILIPATA MATATIZO YA KIAFYA

  Рет қаралды 18,032

RAI TV

RAI TV

Ай бұрын

Пікірлер: 28
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Ай бұрын
Tuna Waziri mmoja tu,Jerry Slaa .Tuna mbuge mmoja tu,ambaye ni Luhaga Mpina, na tuna Mkuu wa Mkoa mmoja tu,ambaye Paul Makonda.
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Ай бұрын
Naaam naaam
@susananyasani6526
@susananyasani6526 Ай бұрын
Waziri Silaa anafanya kazi nzuri katika maamusi ya haki kwa Wananchi wote asante
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Ай бұрын
Nacheka peke yangu.sasa mahakamani mahakimu wana kazi gani😂😂.Safi sana mh.Kichwani uko vizuri ukiongozwa na busara
@sabikamanji2521
@sabikamanji2521 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu Akulinde Kipenzi chetu ila nakuomba waziri wetu Uje mwanza plse
@hanspop6961
@hanspop6961 Ай бұрын
Dogo Namkubali sana Mungu Amueke
@nimuhimusana
@nimuhimusana Ай бұрын
I wish mbali na Mawaziri, pia Makatibu Wakuu wangekuwa wanatenga muda kwa ajili ya kuwasikiliza wananchi wanaowahusu moja kwa moja hasahasa Katibu Mkuu Utumishi.
@elizageorge2414
@elizageorge2414 Ай бұрын
Hata mimi pia nataka kujua wanafanya nini mawaziri wengine.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
VIJANA SAFI SANA MUSIMWANGUSHE MAMA, PAMBANA NA MAJIZI .. HAKI SAWA KWA WOTE.
@andrewmallya5182
@andrewmallya5182 Ай бұрын
Hivi mawaziri wengine wanafanya hivyo kutatua migogoro kwenye wizara zao au wapo wapo tu!!?
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Ай бұрын
Slaa ni mkalimu sana tu.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Ай бұрын
,hasa waziri WA sheria
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Ай бұрын
Naomba kujua mawaziri wengine wanafanya nini kwenye wizara zao
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y Ай бұрын
tofauti yao kubwa silaa ni mtu wa kamera vitu hivi vingi bado viko mahakamani hizi ni show tu
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Ай бұрын
​@@user-fr7jj1bo7y hesabu katatua kero Ngapi..? Jamaa hapumziki kama unaweza nenda jaribu tu hata kutatua mgogoro kwenye familia yako ndo utaelewa maana ya kazi anayofanya
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Ай бұрын
@@user-fr7jj1bo7y kumbe
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
​@@user-fr7jj1bo7yMwanadamu atakusifu, kwa kiwango kile ambacho na yeye ana fikria kufanya au ana uwezo nako, pale unamzidi ataponda.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Viongozi wengi wanashindwa kujiamini kama Waziri Jerry Slaa kwa kukosa uaminifu. Jerry Slaa ameridhika na mshahara wake
@Doki_media
@Doki_media Ай бұрын
video editor akamatwe
@mohdmakame5090
@mohdmakame5090 Ай бұрын
Kaka pigakazi usisikilize ya watu ww ataukitoka mvi hiyo ndokazi yako imekubalika kwa mmungu
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 Ай бұрын
Upele umemkuta mkunaji MUNGU mmwagie hekima zaidi huyu waziri
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Ай бұрын
Aminaaa
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Ай бұрын
Amen
@MrKhatibu
@MrKhatibu Ай бұрын
Siku nyengine akimaliza suluhisho la kesi ya mtanzania mweusi basi uandike kichwa cha habari kwa kuainisha asili yake, kikisomeka " Waziri Slaa amaliza mzozo wa ki wanja cha Mchaga au Mnyaturu au Msukuma.
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv Ай бұрын
Haaa haaa EASY kaka
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
Viabo Ndo nini Mwanasheria?
@bundaman8542
@bundaman8542 Ай бұрын
Hapo sasa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Mliopost video hamna akili
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,6 МЛН
WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA
10:36
NTV Tanzania
Рет қаралды 77 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН