WIMBO NAMBA 666 ALAMA YA KISHETANI VIDEO OFFICILY EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 40,112

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

7 ай бұрын

#0766998994 #0788871769 #call0688199370 #

Пікірлер: 102
@chelulenaomi5635
@chelulenaomi5635 6 ай бұрын
Huyu anahubiri ukweli. Mungu awe pamoja naye
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 6 ай бұрын
NABII MAARUFU NCHINI ADAIWA KUSABABISHA MAUTI KWA MAMA HUYU, ALIONA MAMBO YA KUTISHA MADHABAHUNI KWAKE AKAAMBIWA ASIENDE KUMWAMBIA MTU ALICHOKIONA HAPO . Katika hali isiyokuwa ya kawaida msichana huyu anatueleza familia walivyompoteza Mama yao mzazi baada ya kuona mambo ya ajabu Kanisani kwa Nabii mmoja "JINA LINAHIFADHIWA" mwenye kanisa lake maeneo ya Buza. Bint huyu aliieleza Mkoi Tv Online kuwa wao ni waumnini wa dhehebu la TAG toka ana zaliwa, Mwaka Juzi Mama yake ambae ni mcha Mungu kweli kweli kwa maana ameokoka alienda kumtembelea Mama yake Mkubwa maeneo ya Tandika. Baada ya kufika kule siku iliyofuata Mama yake mkubwa alimkaribisha mama yake kwenye Kanisa lao la Nabii huyo ambae ana asili ya nchi jirani si Mtanzania ambae Kanisa lake maarufu lipo Buza, Mama wa bint huyu Mara baada ya kuingia kwenye madhabahu tu kupitia macho ya rohoni mama huyu alishuhudia mambo ya ajabu pale madhabahuni. Lakini cha kushangaza wakati sifa na maombi yakiendelea pale madhabahuni kabla ya NABII kuingia, Dakika chache mtumishi huyo wa Mungu aliingia na moja kwa moja macho yake yakagongana na ya mama huyu licha ya umati mkubwa wa waumini aliokuwa nao, Lakini alimuona mama huyo tu kama ndo mgeni. Nabii huyo akachukua kipasa sauti na kuwatangazia waumini wake kuwa anaona leo wametembelewa na mgeni na Nabii huyo alimuomba mama mgeni huyo mara ibada itakapoisha asiondoke afike ofisini kwake kwenye hilo kanisa. SASA kwenda ofisini kwake ndiko kulikopelekea MAMA wa watu kufikwa na umati, Mtoto wa marehemu huyu hapa anaeleza kilichotokea, Na kutoa ujumbe nzito hii ni Mkoi Tv Online, usisahau kushare matukio yetu ili wengine nao wapate kujifunza Dunia ina mambo mengi. na kusubcribe Mkoi Tv Online. Wasiliana na chumba chetu cha habari kupitia simu namba +255713575718. NABII MAARUFU NCHINI ADAIWA KUUA MAMA HUYU, ALIONA MAMBO YA KUTISHA MADHABAHUNI AKAAMBIWA ASISEME.! kzbin.info/www/bejne/kJfbYmh4ja16oac
@user-vl7zn4bb8e
@user-vl7zn4bb8e 6 ай бұрын
Huwa nakuombea Mungu akulinde Sana maana huwa hauogopi kusema ukweri .......Bwana akuzingile Kama Elisha
@user-lu9zq3br3q
@user-lu9zq3br3q 6 ай бұрын
Nyimbo kama hizi za kutukumbusha zimekuwa chache sana 😢😢😢😢😢 BARIKIWA SANA MTU WA MUNGU
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 6 ай бұрын
NABII MAARUFU NCHINI ADAIWA KUSABABISHA MAUTI KWA MAMA HUYU, ALIONA MAMBO YA KUTISHA MADHABAHUNI KWAKE AKAAMBIWA ASIENDE KUMWAMBIA MTU ALICHOKIONA HAPO . Katika hali isiyokuwa ya kawaida msichana huyu anatueleza familia walivyompoteza Mama yao mzazi baada ya kuona mambo ya ajabu Kanisani kwa Nabii mmoja "JINA LINAHIFADHIWA" mwenye kanisa lake maeneo ya Buza. Bint huyu aliieleza Mkoi Tv Online kuwa wao ni waumnini wa dhehebu la TAG toka ana zaliwa, Mwaka Juzi Mama yake ambae ni mcha Mungu kweli kweli kwa maana ameokoka alienda kumtembelea Mama yake Mkubwa maeneo ya Tandika. Baada ya kufika kule siku iliyofuata Mama yake mkubwa alimkaribisha mama yake kwenye Kanisa lao la Nabii huyo ambae ana asili ya nchi jirani si Mtanzania ambae Kanisa lake maarufu lipo Buza, Mama wa bint huyu Mara baada ya kuingia kwenye madhabahu tu kupitia macho ya rohoni mama huyu alishuhudia mambo ya ajabu pale madhabahuni. Lakini cha kushangaza wakati sifa na maombi yakiendelea pale madhabahuni kabla ya NABII kuingia, Dakika chache mtumishi huyo wa Mungu aliingia na moja kwa moja macho yake yakagongana na ya mama huyu licha ya umati mkubwa wa waumini aliokuwa nao, Lakini alimuona mama huyo tu kama ndo mgeni. Nabii huyo akachukua kipasa sauti na kuwatangazia waumini wake kuwa anaona leo wametembelewa na mgeni na Nabii huyo alimuomba mama mgeni huyo mara ibada itakapoisha asiondoke afike ofisini kwake kwenye hilo kanisa. SASA kwenda ofisini kwake ndiko kulikopelekea MAMA wa watu kufikwa na umati, Mtoto wa marehemu huyu hapa anaeleza kilichotokea, Na kutoa ujumbe nzito hii ni Mkoi Tv Online, usisahau kushare matukio yetu ili wengine nao wapate kujifunza Dunia ina mambo mengi. na kusubcribe Mkoi Tv Online. Wasiliana na chumba chetu cha habari kupitia simu namba +255713575718. NABII MAARUFU NCHINI ADAIWA KUUA MAMA HUYU, ALIONA MAMBO YA KUTISHA MADHABAHUNI AKAAMBIWA ASISEME.! kzbin.info/www/bejne/kJfbYmh4ja16oac
@CelestineNyongesa-hq1fo
@CelestineNyongesa-hq1fo 5 ай бұрын
Asante pia ubarikiwe
@catherinemutindi5031
@catherinemutindi5031 17 күн бұрын
Huu wimbo naupenda mbarikiwa mtumishi
@sianagodson3690
@sianagodson3690 4 ай бұрын
Nan awezaye kuhubir ukweli huu,na kutoa Siri hii ya ajabu..Ila mwenye wito wa Kristo tu.Mungu akutunze daima Cassian Keep in preaching
@RachelPhilipo
@RachelPhilipo Ай бұрын
wimbo mzuri sana hongera kaka pascal,,,,,,, ila jaman wale wenzangu na mimi wa coment tukiwa tunaandika neno MUNGU au YESU naombeni sana tuwe tunaandika kama linavyo stahili kuandikwa, tuwe tunaanza na herufi kubwa kwani ni jina liyapitayo majina yote ........ so be careful when you're writing
@benjaminmahega
@benjaminmahega 6 ай бұрын
Mtumishi mungu akubariki 🙏 sana mungu akutie nguvu zaidi maana tunabarikiwa sana
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 6 ай бұрын
Asante kaka mlio baki kwenye njia niwachache , nakupenda ndugu ktk kristo
@MlongechaBaraka-ow7kw
@MlongechaBaraka-ow7kw 6 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu na wewe Hekalu Uwe macho usije ukahangamiza na Mungu atusaidie sana tufike salama nyumbani kwetu mbinguni, Zaburi,69:1-4, SOMO: Mtu ni Hekalu. 1Wakor,3:16-17,23, na lengo la sisi kwenda kanisani ndilo hili hapa. Zaburi,27:1-4, na Hekalu nini? Hekalu ni mimi na wewe na jinsi gani Hekalu anapaswa kuishi ni kufanya mambo ambayo Mungu anafurahia nayo na mtu moyoni mwake amefurahiwa Waef,5:8, Waebr,10:23-25, Ufunuo,20:11-13, Wafilipi,4:4-13, ahsante sana amen.
@pychenJamescommercial-qr9vv
@pychenJamescommercial-qr9vv 6 ай бұрын
kweli
@jesca1293
@jesca1293 Ай бұрын
Ubarikiwe Kaka mungu akutunze uweponi mwake
@furahag3098
@furahag3098 6 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@wilkisteregesa4845
@wilkisteregesa4845 6 ай бұрын
Mtumishi Mungu akufiche kwenye wingu lake kwa huu ujumbe shetani hana amani penye ako
@GaniAntonio-yf2yd
@GaniAntonio-yf2yd 3 ай бұрын
Amem pastor que Deus lhe dá mas sabedoria
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 6 ай бұрын
Mungu simama na watu wako, maana ibaada moja haijawahi kuwepo.
@veroniquegershomu9197
@veroniquegershomu9197 6 ай бұрын
Mungu tusaidie watu wako tuzidi kukijua zaid . ..ubarikiwe mtumishii
@user-hi5sm9kg8n
@user-hi5sm9kg8n 5 ай бұрын
Amen,endelea kutuelimisha
@MarcoErnesto-ut7ki
@MarcoErnesto-ut7ki 2 ай бұрын
hakika m2mish wa bwana mungu amekuchagua kwa ajili ya kufikisha ujumbe wake mungu wa mbingun azid kukupa kipawa zaid
@jonassamwely
@jonassamwely 6 ай бұрын
Mungu akutangulie kwa maombi yako juu yetu wanaadamu na kutuerekeza njia sahihi
@LendmyLaizer
@LendmyLaizer 7 күн бұрын
Jamaniii sema 2pone kwa maana watu wa dunia wameharibikiwa kwa sababu tumemsahau mungu make siku za mwisho zimekaribia jamaniii🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zawadihassan4061
@zawadihassan4061 6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu wenye kumjua Mungu wa kweli hawezi kubisha hili, omba sanaa jicho la Mungu.
@user-zu5eh2ld7y
@user-zu5eh2ld7y 6 ай бұрын
Mungu akuinuwe mno mtumishi kwaujumbe mzur
@user-kl6zb6so3i
@user-kl6zb6so3i 5 ай бұрын
Barikiwa sana
@ChanilaKitwima-zc6ko
@ChanilaKitwima-zc6ko 5 ай бұрын
Nice, intensively and powerful song be blessed moreee 🎉❤ in Jesus Name
@frankdanford8245
@frankdanford8245 6 ай бұрын
Watumishi wanaoisema kweli ndio wanaopigwa vita kila uchwao MUNGU WA MBINGUNI akubariki sana ndugu Pascal Cassian
@user-ki8ou2zl9u
@user-ki8ou2zl9u 6 ай бұрын
Mungu akubariki endelea kutufumbua macho tulioko usingizi
@user-gl6hg3up9j
@user-gl6hg3up9j 6 ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@paskaliasuwi
@paskaliasuwi 5 ай бұрын
Mungu nifiche na familia yangu zidi ya 666😢
@katherinasamwel3937
@katherinasamwel3937 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@isakashega6056
@isakashega6056 6 ай бұрын
Amina baba mungu atutete
@user-dz3yj4zi5t
@user-dz3yj4zi5t 6 ай бұрын
Mungu akubarikiki umedufungua machotu
@agstinolwila88
@agstinolwila88 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 6 ай бұрын
Amen BWANA akulinde na kila adui
@Samwelmagita-jb1so
@Samwelmagita-jb1so 6 ай бұрын
Amina mchungaji kwa wimbo mzur
@failaprince9250
@failaprince9250 6 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana mutumishi wa MUNGU
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akurinde.
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 5 ай бұрын
Wimbo huu unatoa machozi hakika ukiifikilia Dunia 😭😭😭
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 6 ай бұрын
Ubarikiwe saaaana
@user-ot6pl1iq7z
@user-ot6pl1iq7z 6 ай бұрын
Mungu azid kukuongoza vema hakika 2mepokea vema❤❤
@natomwanyanje7125
@natomwanyanje7125 6 ай бұрын
Mungu akutetee
@WenelaMwasenga-hc2gf
@WenelaMwasenga-hc2gf 6 ай бұрын
Mungu akutunze
@Jackie-lv4ns
@Jackie-lv4ns 6 ай бұрын
Sunday law is arround the corner...False Sabbath.Siku ya kwanza ya juma italazimishwa Kwa Ulimwengu mzima Ili kuiondoa SABATO ya Bwana.Kila ambae jina lake halikuandikwa kwenye kitabu Cha mwanakondoo atamsujudu mnyama.Maneno haya ni ya Yesu mwenyewe na ni AMINA NA KWELI
@kassebo
@kassebo 6 ай бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/jaino6WJjrFlnrM 🎥 KASSIANO KASSEBO {Tubuni Dhambi {Track 03 - KZbin
@Karromia-vq5vw
@Karromia-vq5vw 6 ай бұрын
Hakuna anayeweza sabato ya kweli ya zamani😭😭
@ChanilaKitwima-zc6ko
@ChanilaKitwima-zc6ko 5 ай бұрын
Bado hujafunguliwaa na kumfahamu Roho Mtakatifu lait ungelimtambua usingelidili na siku Wakolosai 2:16
@Mary-cr4sq
@Mary-cr4sq 6 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi hizi.halama nimeziona pahali kwa tik tok.aki
@faizafatu5695
@faizafatu5695 6 ай бұрын
God bless u mtumish
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 6 ай бұрын
Waaw nice ❤❤❤❤
@josephfrancis8571
@josephfrancis8571 6 ай бұрын
Brother your message is powerful please back to your GOD'S church please back to SDA my brother GOD is calling you ❤
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 ай бұрын
SAD to do what?
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 ай бұрын
SDA TO DO WHAT?
@Pendopasilika
@Pendopasilika 5 ай бұрын
Ihali imetufikia MUNGU atusaidie ili tuwe na ujasili wa kuyapinga hayo hata tukiomba MUNGU atusikie vilio vyetu
@AmuaSanga-uo4gp
@AmuaSanga-uo4gp 6 ай бұрын
Asante sana mtumishi
@danieljumapili1018
@danieljumapili1018 6 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MUNGU AKUPE POWER ZAIDI
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 6 ай бұрын
MUNGU wa mbinguni aendelee kukubariki mtumishi
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo 6 ай бұрын
Kando na kubarikiwa nime jifinza kitu Mungu ni mkuu.
@user-em4wp1ct7s
@user-em4wp1ct7s 6 ай бұрын
Hiyo ni kweli
@user-hp1mj6iv6i
@user-hp1mj6iv6i 6 ай бұрын
Ubarikiwe
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 6 ай бұрын
Uwa nasikiza huu wimbo kila siku
@yustinasaqwaret9279
@yustinasaqwaret9279 6 ай бұрын
Amen injili ya kweli
@user-xw3jr5xh8f
@user-xw3jr5xh8f 6 ай бұрын
Ameee mungu akulid
@okellodavid4379
@okellodavid4379 6 ай бұрын
Tunashukuru kwaujumbe umetufikia
@user-yi8it3kg5v
@user-yi8it3kg5v 6 ай бұрын
Mungu tuinuwe tuweze kukujuwa wewe
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 6 ай бұрын
Mungu atukumbuke
@qawogahumay9970
@qawogahumay9970 6 ай бұрын
Amina ,pastor
@johnsonmichael945
@johnsonmichael945 6 ай бұрын
Ubarikuw san
@user-hl6wi3wy7q
@user-hl6wi3wy7q 6 ай бұрын
Mimi nakupeda sano Paschal🇿🇲❤🧎🧎📞
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 6 ай бұрын
Tunafuta alama zote mwilini za yule adui.kwa damu ya Yesu.
@thomaskigocha8141
@thomaskigocha8141 6 ай бұрын
Bwana apewe sifa mtumishi paschal cassia mbona Ile nyimbo ya MAKANISA YA KUZIMU siipati ikiwa full napata vipande vipande
@AlfaMgonela
@AlfaMgonela 6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 2 ай бұрын
AMINA
@yohanamponzi-ej9bc
@yohanamponzi-ej9bc 6 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 6 ай бұрын
MUNGU atukumbuke jamani
@user-zu5eh2ld7y
@user-zu5eh2ld7y 6 ай бұрын
Umenifundisha kitu kupitia wimbo huu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa kuendelea kutukumbusha yanayoenda kutokea. May God be with you always and protect you from all harm. Heri mtu astahimiliye majaribu; kwa sababu akiisha kukubaliwa ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.
@failaprince9250
@failaprince9250 6 ай бұрын
Amina
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 6 ай бұрын
Amen❤
@user-zo3bb7gj2o
@user-zo3bb7gj2o 6 ай бұрын
MUNGU TUSAIDIE
@delickmarco3945
@delickmarco3945 6 ай бұрын
Alama ya mnyama sio chanjo ww n kukubali muungano wa madhehebu kusali sk moja ya jumapili Kama sabato nawakati sabato n jumamos ndipo hapo watu watapewa Sheria wote waifuate jumapili nasio jumamos au ijumaa Sheria Kali zitawekwe
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 ай бұрын
Mnaacha kuokoka mko kwenye siku, na miandamo ya miezi,nyote ni walewale tu
@delickmarco3945
@delickmarco3945 6 ай бұрын
@@odilomwemeziernest646 umeona hayo tu mbna vinywaji hujasema ili tujue mkutadha ulikua upi?
@anethteodos6208
@anethteodos6208 6 ай бұрын
Pole, soma neno😢
@qawogahumay9970
@qawogahumay9970 6 ай бұрын
😢
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Wewe ni Muongo sasa mimi naishi nchi za kigeni nakwepaje chanjo nipo oman dozi nimemaliza unasema hivo sababu upo tz ungesafiri kipindi cha corona ukaenda nchi nyingine ungechanjwa tu Il Mungu ndio ataokoa walio wake anaw
@anethteodos6208
@anethteodos6208 6 ай бұрын
Pole naona umeanza kwa kumuita muongo, Mungu akusaidie uyafahamu ayasemayo, soma neno likufungue😢
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 6 ай бұрын
Acha ujinga nani alikutuma kwenda huko kwa mashetani utakoma mbwa we mwache mtumishi atufungue😂
@user-vo6qc3tc1o
@user-vo6qc3tc1o 6 ай бұрын
Wewe ubiri Yesu wacha kutisha Watu....na 666 Wapendwa yesu ni Mkuu kuliko yote.Msiwe na hofu....nashaangaa mtumishi mkubwa unitia watu hofu.
@user-vo6qc3tc1o
@user-vo6qc3tc1o 6 ай бұрын
John15and16
@Pendopasilika
@Pendopasilika 6 ай бұрын
Sio anawatia watu hofu Bali anawatahadharisha watu wakae vizur na MUNGU ili siku itakapofika waweze kupona wasiangamie kitabu Cha ufunuo kimeeleza wazi Ila usipokuwa rohoni huwez kuelewa Toba ni muhim sana kwa wakati huu na wenye macho ya kiona wanaona mengi kaa tayari usifikili masihala paschal MUNGU akulinde maana hii ni vita
@anethteodos6208
@anethteodos6208 6 ай бұрын
Hilo neno Yesu ni Mkuu likupe kuelewa kwamba hatishiwi mtu
@josykogei7647
@josykogei7647 3 ай бұрын
Saii cheap ata hizi shindano za uzazi polepole inaingia watu wasingoje chanjo zingi hizi ma haidi tunazo ambiwa tutafute Bado tu ni cheap
@maryncudo4526
@maryncudo4526 6 ай бұрын
Paschal if you are a freeman you are not a pastor of the Gospel you are a deceiver I will no longer listen to your music
@aaronmailuofficial251
@aaronmailuofficial251 6 ай бұрын
Sijakuelewa hapa
@issackjohn5805
@issackjohn5805 6 ай бұрын
Even myself sijamuelewa Hugo jamaa
@sianagodson3690
@sianagodson3690 4 ай бұрын
Nan awezaye kuhubir ukweli huu,na kutoa Siri hii ya ajabu..Ila mwenye wito wa Kristo tu.Mungu akutunze daima Cassian Keep in preaching
@user-up8uq3ih2i
@user-up8uq3ih2i 6 ай бұрын
Asante kaka mlio baki kwenye njia niwachache , nakupenda ndugu ktk kristo
@user-zu5eh2ld7y
@user-zu5eh2ld7y 6 ай бұрын
Umenifundisha kitu kupitia wimbo huu
WA ACHIENI WATU VIDEO OFFICIALY PASCHAL CASSIAN
11:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 354 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
JINA YESU, JINA LA YESU NI NGOME YANGU, WEWE NI BABA YANGU, FADHILI ZAKE ZA & YESU NI BWANA
58:27
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,2 МЛН
The Voice Of God Ft Pasco Cassian Official Video
6:09
Hellen Joseph
Рет қаралды 18 М.
SABABU  ZA KUACHA KUHUBRI INJILI  EV PASCHAL CASSIAN AONGEA
34:48
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 14 М.
MWAMPOSA VIDEO OFFICYALY PASCHAL CASSIAN
11:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 103 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
KUENI MAKINI NA HUYU WAKARA WA SHETANI ANAPOTOSHA WENGIEV PASCHAL CASSIAN
33:14
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 27 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН