MOTO:RAIS MWINYI TUFANYE MASHINDANO KIMAENDELEO SIYO HOJA ZA UVUNJIFU WA AMANI

  Рет қаралды 5,558

Tifu Tv

Tifu Tv

12 күн бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 54
@salumjuma3152
@salumjuma3152 9 күн бұрын
Mash allah Hongereni sn madaktari mliopata hizi nyba kwa kweli zipo vizuri mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 10 күн бұрын
huyu jamaa neno haki linamkera sana, halipendi kabisa kutoka kwenye kinywa chake..
@lusakaone7782
@lusakaone7782 10 күн бұрын
Wachina wanaisaidia hospital miaka na miaka mwisho wanawanyanganya mamlaka yao ya hospitali hiyo
@NassorOmarDadi
@NassorOmarDadi 10 күн бұрын
Kwwnn husemi kua haki za watu zinapataikana vp huwezi kua na amani km huna au hupati haki hakuna amani km hakuna haki hilo ujue simamia haki za watu.kwanza ndio amani ije kw kuhakikisha wananchi wko wanapata Zan ID na Uchaguzi huru CCM wenzako wanasem la kura mara 2 na ww unafurahia hilo ni sehemu ya kisababishi cha uvunjivu wa amani hata km imo ktk katiba imeingizwa kimizengwe tu.
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 10 күн бұрын
usisha jitapa ufunge virago wazanzibar hawana ushamba na hospitali watu hawashibi hospital .na nyie mtibiwe hapo
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 10 күн бұрын
Acha ujinga uwo
@TheOthmoney
@TheOthmoney 8 күн бұрын
siku ukijitambua utafuta huu utumbo wako..
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 10 күн бұрын
Mashindano ya maendeleo wkt pesa za hospital na barabara hd mukaombewe na watanganyika sisi yote hatuyataki tunataka mamlaka kamil znz yote yatakuja hayooo kama hayupo samia huko bara tungekiona ww shukuru yupo mama kule
@hamicpina1151
@hamicpina1151 10 күн бұрын
Freeee Zanzibar ✌️✌️✌️✌️✌️ kutoka kwa wanyamwezi mmetuuza nyinyi vipi bandar mwangabwani watanganyika wamekuzuia na huna la kufanya kazi kudanganya tuu
@TheOthmoney
@TheOthmoney 8 күн бұрын
hujitambui ata unachokitaka
@hamicpina1151
@hamicpina1151 8 күн бұрын
@@TheOthmoney ukisikia Kuna makugwi wa kiume wa ccm bx ujijuwe wew Umo na unatakiwa uzingatie maoni Yako ixiimbe tarabu kuwajibu vidume ongea maramoja wacha ufala
@hamicpina1151
@hamicpina1151 10 күн бұрын
Ayo mabanda yapo zamani tuu vijana hawana kazi vitu bei Hali wabara ndio wanasaminiwa njaaa imekuwa Kali hamna maendeleo ya kiuchumi sasa wew unaimba tuu kiufupi
@gangmore9091
@gangmore9091 10 күн бұрын
Bila haki hakuna amani wala maeneo wahuni nyie
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 10 күн бұрын
Inshaallah Barak Allah fiika wajazakumullahu
@user-xf7gy7xu2e
@user-xf7gy7xu2e 8 күн бұрын
Amani na utulivu bila ya haki mwizi tu ww wa haki za Wanzanzibar subiri uchaguzi muuwe na mubake ili uendelee kuwa Rais mwizi
@user-sh2os4yh5l
@user-sh2os4yh5l 10 күн бұрын
❤11
@zenj1986
@zenj1986 10 күн бұрын
Nashauri vituo vya polisi, na nyumba vya polisi zifikiriwe.
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 9 күн бұрын
Nyumba nzuri
@NoufelSalim
@NoufelSalim 7 күн бұрын
Kwani wachafuzi wa io Amani km sio nyinyi ni nani? Amani Amani labda Amani karume
@salimsalim-ut4jk
@salimsalim-ut4jk 3 күн бұрын
Hizo labda uje mrad ndo zifanyiwe marekebisho pia wakaazi wa hizo nyumba wengi watapata chamoto home itabidi wapikie gesi na umeme kitu amboch ni kigumu kwa gharama ya jiyo nishat
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 7 күн бұрын
Mageto
@hamidmussa838
@hamidmussa838 4 күн бұрын
Mh.ameleta maendeleo kwa muda fupi tu!
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 9 күн бұрын
Kubwa kwanza watu wale vizuri Mchele mafuta sukari unga umeme maji vyote vishushwe bei
@Kassimkassimubakar-vn9db
@Kassimkassimubakar-vn9db 9 күн бұрын
Haya ndio mambo tunayo pigania katka hakat zetu mazurui nakunasihi mwambie jusa SS wazanzibar tunataka ni maendeleo sio mtu kwa hio mtambue miaka mingo tumeipoteza kwa bulabula sasa ni vitendo wachenikijana ajenge nchi
@allymaha-tv5lf
@allymaha-tv5lf 10 күн бұрын
Wanasiasa yeye ndio wa mwanzo kuvunja amani kwa. kuvitumia vikosi anavyovilipa kila mwisho wa mwenzi kwa kila. kinapofika kipindi chaka uchaguzi hufanya mauaji na ubakaji ndio hawa kuna msemo unasemaje mnatangaza amani huku. mmeficha mapanga
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 10 күн бұрын
Huna lolote labda Uongo ufisadi ndio Sera zenu sisi Wapemba ukifika uchaguzi tu munawauwa watu kuwabaka kuwaweka walemavu sera zenu ni hizo tumechokana na nyinyi miaka yote ni Dhuluma tu uongozi wa mabavu
@TwalibKwelii
@TwalibKwelii 10 күн бұрын
Sisi wazazibar tulivo hata tuapete ayo mamalak kamili hakuna kitakachoku kwani hatupendan hata kdgo linalofanyika leo lisingoje kesho kama Mungu kakup afya na uwezo raisi zidi kuimarisha muonekano wa hivi visiwa watasema mwisho watakaa kimya tuu pija kazi Mh Raisi
@mudymbarouk8279
@mudymbarouk8279 10 күн бұрын
Umeona eeh tuna roho mbaya sana
@lusakaone7782
@lusakaone7782 10 күн бұрын
Hata haximuhusu hanjui kitu serikali haijafikiria kujenga nyumba Pemba hata siku moja
@salyali7807
@salyali7807 10 күн бұрын
Akili za kijinga ... lakini silaumu tumeambiwa hakuna utumwa mbaya kama intellectual slaves ... mshenzi huyu kaingia madarakani kwa thamani ya damu za ndugu zetu ikisha asifiwe? Hata ashushe mbingu tutamlaani mpaka kiama ... akawafoolish wenye akili chege sio sie wazanzibari hasa wapemba
@princesaha3262
@princesaha3262 10 күн бұрын
Ni kweli lkn ujuwe na hali za watu!! Usifanye hvi kuwaumiza wannyonge,hizi nafasi wamezipata Kwa kumwaga damu za watu ktk uchaguzi uliopita,kwani wananchi waliporwa haki zao!! Na hyo hospital tangu kale wachina ni Kwao hapo!! Kuna nyumba zao hapo tangu zamani na kabla waliijenga shule ya sekondari ya uweleni ikawa ipo standard!! Lkn hakuna watu waliokuwa wezi Kama serikali ya chama Cha mapinduzi!! We angalia Barabara kutoka chake chake to mkoani(Bandarini).
@lusakaone7782
@lusakaone7782 10 күн бұрын
wewe ni mtwana uzanzibar huna,omba radhi
@DoctorBondia
@DoctorBondia 9 күн бұрын
Yapo wapi majengo hayo
@hamidmussa838
@hamidmussa838 4 күн бұрын
Wapemba ovyo kabisa
@Ablahisaid
@Ablahisaid 10 күн бұрын
Mm kinacho nishangaza ss wanchi ndio serekali lakini km unavyoiona barabara ya mkowani hapitiki na tunalipa kodi ila inamashimo km ya mashimo ya kuchimbia mchanga gar kila wiki kutengeneza sasa juzi niliona inatiwa fusi nikasema nawasiwasi takuja rais au kunaugeni sasa mm naiuliza serekali sisi wananchi hatustahili kutengenezewa hadi aje raisi hapo ndio maana nikasema kumbe ss hatunadhamani ya nchi hiiv
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 7 күн бұрын
Mjomba viwanda. ili tufanye kazi mjomba
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 4 күн бұрын
Ya zanzibara, Zanzibari , au Tanganika 👎👎 katiba mpyaaaaaaa sie wahadzabe hatumjui huyoo😂😂😂
@salyali7807
@salyali7807 10 күн бұрын
Nonsense .. wewe unavunja Amani ikisha unahubiri Amani .. Allah kamtoa haya Huyu Mwinyi .. macho makavu anasema uongo
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 9 күн бұрын
Waacheni wachina waishughulikie spital ya Mkoanimsipore mamlaka yao hapo wana uwezo wa kuleta madaktar na ukapata tiba hapo bure. Wamejenga nyumba kwa ajili ya madaktar hivyo basi nyumba hizo zisiwe za kila mfanyakazi wa serikali. Bali wabaki madaktari tu ili wangonjwa wapate huduma na matibabu muda wwte.
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 6 күн бұрын
Acha ujinga mchina babu yako hata akujengee Hospitali bure?
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 6 күн бұрын
@@jumamnemo8383 ujinga unao ww usie jua unalolisema
@bakarali6094
@bakarali6094 9 күн бұрын
Amani ni muhimu ila haki ni muhimu zaidi,tafadhali ukishindwa kwnye uchaguzi ukubali ndio utaiona amani na utulivu la hutokubali hakuna aman tapeli mkubwa ww
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 66 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 125 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 21 М.
MWIGULU AKUTANA NA KICHWA KIBOVU, SIKUOGOPI, LEO NAKUCHANA
10:00
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 57 М.