Kila la heri mawakili. Simameni mkiongozwa na nguvu na ulinzi wa mbinguni. Mpina roho wa mungu yuko nawe, ulinzi wa malaika uko nawe. Usiogope.
@abdalahgunda13193 ай бұрын
Yes mpina use his capacity of understand our tanzania constuetion push this minister into curt but will be challenging
@joycmsokile92203 ай бұрын
Bashe hafai,he must go
@Mima-cl2im3 ай бұрын
Asanteni mawakili. Teteeni haki za watanzania. Watanzania ni wa pole sana, serikali yawo I nawach ukuwa kama wajinga. Tegemeo la watanzania sasa ni mahakama. Tegemeo letu ni mahakama..
@fredrickipembe81883 ай бұрын
Malahaba mama samia nakuomba utewatetee mwigulu na bashe ili liwe fundisho hao mwakani hakuna kugombea ubunge watakua nakesi ya uhujumu uchumi na wewe dada yangu kipenzi uache kihelehele chakubagua wabunge sipika gani wanamna hii safari hii walalushwa wote tunakupigeni chini tunamchukua mama yetu tu na makonda wetu na shabby wetu mbunge bora sana napina wetu pia ni mbunge bora sana tena tu wabeja lulu nkoi
@AbdulMajid-kj5bi3 ай бұрын
Mi niseme historia umeiandika mkuu sio uwoga tuu
@Mima-cl2im3 ай бұрын
Thanks all the honourable law makers to defend the interests of Tanzanians
YAANI KWA CCM MWAKA HUU TUWAPIGE JUU, KATIKATI NA CHINI HADI WWALEGEE.
@clemencemkondya85613 ай бұрын
Mawakili mnamdanganya mpina mnataka kupiga pesa ya mpina .Sukari tu inatakiwa iagizwe kwasoko huria sivinginevyo
@LucianSanga-q8j3 ай бұрын
Nikukosa marifa kuagiza Nje ya Nchi yako Waka Uwezo Wa ku zalisha unao Una letewa sukari feki Iliyo Isha Mda Wa Matumizi Watu wangu Wana Angamia kwa kukosa Marifa Aibu sana kwetuu
@AllyMandunda-tj9jc3 ай бұрын
Mtake msitake nchi lazima iwe mikononi mwa chama Dume chama cha chadema
@abdalahgunda13193 ай бұрын
Yes mpina use his capacity of understand our tanzania constuetion push this minister into curt but will be challenging