Yanga SC 1-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League - 27/04/2024

  Рет қаралды 137,465

Azam TV

Azam TV

Ай бұрын

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union.
Yanga imeshinda goli 1-0 na mfungaji ni Joseph Guede.

Пікірлер: 149
@richardrichope3528
@richardrichope3528 Ай бұрын
Mi yanga lakini Huyu kipa wa Coastal union noma sana aiseee
@mbwemo9400
@mbwemo9400 Ай бұрын
Hapa kenya tunajua tu Yanga ,🌚 Timu ya wananchi hizo zingine rumours tu
@anoldchami828
@anoldchami828 Ай бұрын
Heshimu Simba jirani
@user-lb7cu9ft6g
@user-lb7cu9ft6g Ай бұрын
mimi n yang ilaa kipa wa cst n nooouma
@tabithakitundu8736
@tabithakitundu8736 Ай бұрын
Matampi man of the match
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Nani mwingine kaona shuti la Shekhani?
@user-lb7cu9ft6g
@user-lb7cu9ft6g Ай бұрын
ana uaziz flan hv
@rayzersaid2611
@rayzersaid2611 Ай бұрын
Dogo anatisha yule
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo Ай бұрын
naweza sema coastal ni wachawi saana ila rehma za Allah ni nyingii kuliko uchawi wao na Alhamdullah tumepata points tatu muhimu
@SadaIddishomaly
@SadaIddishomaly Ай бұрын
Yani kila wetu ni mzur Ila bwaana kipa wa coast ni noma sides,
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Ай бұрын
Azizik Musimu huyu yupo vizur sana
@merickshadrack4509
@merickshadrack4509 Ай бұрын
Kipaa wa cost duuu yupo vzr sana ukweliiii
@alisivikwa1925
@alisivikwa1925 Ай бұрын
Gede anamipila dangerous sana
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Ай бұрын
hersi kipa huyo anatufaa
@cletuskasonso4925
@cletuskasonso4925 Ай бұрын
Uyo kipa bwn kwakwel amejitaid sana tena sana mungu aendelee kumsaidia
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 Ай бұрын
santeeee saan guede
@hajiali1572
@hajiali1572 Ай бұрын
Huyu kipa n mtu na nusu
@Cristina-yu5ff
@Cristina-yu5ff Ай бұрын
Golikiper anafaa Kwa Matumizi ya Yanga
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 Ай бұрын
Nguvu ya kizizi tu na tungekipata kiziz 5G zingewahusu
@rayzersaid2611
@rayzersaid2611 Ай бұрын
​@@fahadrashid9754huwez tilia shaka uwezo wa kipa saves za Leo na clean sheets alizonazo ni majibu tosha
@user-kr8cf9yo4m
@user-kr8cf9yo4m Ай бұрын
Kabisa yaani
@upendomaro3307
@upendomaro3307 Ай бұрын
Nan amemuona diarra mdogo😅,,😊,,kipa wa costal
@Jumajey457
@Jumajey457 Ай бұрын
Thanks Guede J
@dianasabu6156
@dianasabu6156 Ай бұрын
Jaman huyu Golikipa vip😂😂 huyu mtu au jini😂😂 kumbe ndio mana costal haifungwagi magoli mengi huyo jamaa hapana aisee
@mangindule
@mangindule Ай бұрын
Matampi From 🇨🇩🇨🇩 Anajua sana
@dianasabu6156
@dianasabu6156 Ай бұрын
@@mangindule jaman Hafai kabisa khaaaa anadaka kama spider man🥲🥲 bila yeye tulikua tunaondoka na goal hata tatu
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
​@@dianasabu6156😂😂😂
@IsakaMabanila-xr3oy
@IsakaMabanila-xr3oy Ай бұрын
mmh huyu ni golia kwelikweli🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@LydiaMwati-gp6jo
@LydiaMwati-gp6jo Ай бұрын
jezi zao ziliwaponza coastal union
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Ай бұрын
Chelsea wakimuona Guede tumekwisha 😢
@Obedy-er8ih
@Obedy-er8ih Ай бұрын
Kwamba watamfkuza Cole palmar wamnunue guede??😅😅😅😅
@dianasabu6156
@dianasabu6156 Ай бұрын
😂😂😂 eeeh kumekucha
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Ай бұрын
@@Obedy-er8ih Jackson
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo Ай бұрын
😂😂😂😂Wallahi umenichekesha saana😂😂😂😂 daah but good umefikiria Uzuury
@omarinoel8660
@omarinoel8660 Ай бұрын
😂😂😂😂😂oyaaaa
@ISAYAMLAKI
@ISAYAMLAKI Ай бұрын
Jezi zimewachanganya ,
@EvansGodfrey-tj5op
@EvansGodfrey-tj5op Ай бұрын
Goal kipa balaa🎉🎉🎉🎉😂
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Ай бұрын
Camera zenu za hovyo hazipneshi matukio Kwa ukaribu mfano tukio ambalo yanga wanalalamika ni penalty nyie mmerusharusha tu hovyo
@allyabuu6080
@allyabuu6080 Ай бұрын
Hawa jama sijui niaje, hata hiyo kubutwa shati haikuanzia hapo alishavutwa toka nyuma.
@theheroesmusic4398
@theheroesmusic4398 Ай бұрын
🙌 From PA USA 🇺🇸 ✌️
@richardlizomba1291
@richardlizomba1291 Ай бұрын
Hili ni kipa au jini
@richardlizomba1291
@richardlizomba1291 Ай бұрын
Maaan daaah...kipa ametisha sanaaaa...Apewe maua yake
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Yanga wamekosa magoli mengi sana leo. Wakiongeza umakini kidogo na ubunifu basi watafunga sana.
@jenifaganyavu265
@jenifaganyavu265 Ай бұрын
Goal kiper wa coastal sio poa hata wamamerodi akasome mpira ilikua inalenga goal ila mlinda mlango iko imara kumufunga kwake ni mpka mpate nafasi yakuchutukiza
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Na sio mech hii, wana udhaif kwenye kutumia chance kwenye mech nying mno
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i Ай бұрын
Kuna baazi ya moment umakini ulikuepo sema sifa ziende kwa kipa pia
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Kipa au jini la Kitanga.
@gililwise
@gililwise Ай бұрын
huyo golkiper wa cost mwakani yanga tunasepa naye
@jenifaganyavu265
@jenifaganyavu265 Ай бұрын
Aise mwamba no hatari mwakani lazma tumunyakuwe
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
Metacha inabidi aondoke msimu ujao
@okellorichard3985
@okellorichard3985 Ай бұрын
Kipa ni balaa. yanga walicheza lakin Kipa apewe kumi zake
@user-kd7mw6be5q
@user-kd7mw6be5q Ай бұрын
Wakumbuke pia coast wadhamini pia ni GSM
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Ай бұрын
Kuna watu walitamani na mechi ya Leo tupoteze lakn majibu wanayo wenyewe yanga kubwa💚💛💚💛
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
Wataumia sana mwaka huu,wao wachukue TU kombe la Wala urojo TU huku kwa wanaume kumewashinda
@mwanaahprincessor3610
@mwanaahprincessor3610 Ай бұрын
Kati ya guede na Jackson yupi mzuri
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Ай бұрын
Shehani atafaa msimu ujao 💚💛💚
@user-oq8hw1et9r
@user-oq8hw1et9r Ай бұрын
Maua yake Gool kipa
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 Ай бұрын
Costal wana kipa na beki aliepewa nyekundu mm yanga ila wamecheza vizur ao wawili
@jumaigembemakula5732
@jumaigembemakula5732 Ай бұрын
Kuna mtu kakuuliza?
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 Ай бұрын
@@jumaigembemakula5732 we maku Kuna mtu kakutuma uccomment Kwa comment angu umbwaaa
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Ай бұрын
Guede akiona tu jezi nyekundu lazima akuhadhibu
@ZephaniaMwamila
@ZephaniaMwamila Ай бұрын
Mxiwambie hivyo makolo maa siokujinyonga Leo wamebatisha
@Kingsunnymusic
@Kingsunnymusic Ай бұрын
Shehani atkuja kuua mtu dadek m naaz kuandaa sululu na maachep na jeneza nanunua mm
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Mbona highlights fupi jmn tunaomba wekeni ndefu🟢💚🔰
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Ай бұрын
Jezzy zimewaponza
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 Ай бұрын
Npaka zitumike mbeleko ndo mufunge😮😮
@deviskalokola03
@deviskalokola03 Ай бұрын
Kwako ilikuwaje
@timothyhosea8572
@timothyhosea8572 Ай бұрын
Pole Timu la wazee KOLO FC, mpaka mtafutiwe kombe kwa lazima ndo mjinasibu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​@@timothyhosea8572MPAKA APUNGUZWE MTU NDIO MPATE GOLI 😂😂😂😂 MACHOGO FC 😂😂
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 Ай бұрын
Au alikuwa na njano???
@josephtisam
@josephtisam Ай бұрын
just normal
@ProducerStevemixing
@ProducerStevemixing Ай бұрын
Watu wengi wanalalamik kwamba beki hakupaswa kupewa kadi nyekundu. Lakin lazima tujue kwamba lefa huwa anatafsili zake kumpa mtu adhabu. Na sababu kubwa ya beki kupewa kadi nyekundu. Ni KWASABABU alikuwa ameshaachwa na yeye ndiye alikuwa mtu wa mwisho maana yake kamzuia mtu kufunga. Na jinsi ilivyo hutakiwi kumzuia mtu kwa njia isiyo sahihi pale anapo kuwa anataka kufunga sasa yeye alimvuta shati na yeye ndo alikuwa wa mwisho hyo ndyo sababu
@user-ir1oi3xz1u
@user-ir1oi3xz1u Ай бұрын
Hakika kaka wafumdishe wengi hawajui mpira
@mgulusaidkiyanga
@mgulusaidkiyanga Ай бұрын
Gedee🎉
@shivobs4485
@shivobs4485 Ай бұрын
Shida jezi
@HusseinKafuta
@HusseinKafuta Ай бұрын
Engineer msajili gwalala kiungo punda kutoka coastal union atatufaa Kwa muda mlefu please 🙏
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Ай бұрын
Bila golikipa leo coastal wangepigwa zakutosha hawa
@user-cx7uz3ri6v
@user-cx7uz3ri6v Ай бұрын
Bonge la kipa
@cypilanmkisa9528
@cypilanmkisa9528 Ай бұрын
Tumeua sana
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib Ай бұрын
Gede anatosha injinia atasaidiana dune kushinei
@kelvinmasika
@kelvinmasika Ай бұрын
Oya Aziz ki kafanyaje pale.. wow 🎉🎉
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib Ай бұрын
Mechizote mngekua mnacheza lvyo uningwa mngepata
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 Ай бұрын
Waganga wa Tanga wamefanya kazi sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
KUSHINDA MZEE MPILI??? 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOO
@HamisNgapanya
@HamisNgapanya Ай бұрын
​@@salimmalaka256 brother mbona kama unateseka saana shinda kwanza mechi zako alafu ndo uizungumzie yanga ,yanga kakuacha mbali saana iv unajisikiaje unavyogombea nafasi ya tatu na cost
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
@@HamisNgapanya MBALI WAPI MBINGU YA 7 AU
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
@@HamisNgapanya HATA NAFASI 10 KAWAIDA TU
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m Ай бұрын
Koro kariw mnje ndani
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er Ай бұрын
Wanatamani kusema bahasha ila wakikumbuka wao wamepigwa na huyo guede 2kwa1wanabaki kujifionya
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Ай бұрын
Jidanganyeni na ushindi wa mipango, Huyo mchezaji alikuwa na yellow card kwanini iwe red straight.
@chizashungu8364
@chizashungu8364 Ай бұрын
Anastahili red card.mbona nyie hamfanyi mipango mwenzenu si yupo pale tena ni rahisi sana.
@jovinmashauri7883
@jovinmashauri7883 Ай бұрын
hujui mpira huon huyo ni mtu wa mwisho😂
@eng.zachinnocent
@eng.zachinnocent Ай бұрын
Unapomfanyia foul mchezaji anapoenda kufanya shambulizi golini hiyo red card hata kama wewe sio mtu wa mwisho
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d Ай бұрын
Kolokwinyoooo unaumia ukiwa wapi
@jovinmashauri7883
@jovinmashauri7883 Ай бұрын
@@user-io2rj2yp5d we nae unaniweka kwenye kundi la kolo 😁mjib jamaa wa apo juu😁
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 Ай бұрын
Iko mechi mtapoteza hii ni dalili
@ShafiiIsmail-zk9lq
@ShafiiIsmail-zk9lq Ай бұрын
Kolo hilooo😂
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 Ай бұрын
Endelea kusubiria Embe chini ya Manazi
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 Ай бұрын
Kwa taarifa yako inatakiwa tushinde Michezo mi 3 Sare 2 na tugungwe M 1 Atuweze kuchukua kombe
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Utopolo mbona malalamiko sana kama binti
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Huyu kipa leo kaona moto.
@SOMOEMADADI
@SOMOEMADADI Ай бұрын
chezea yanga wewe
@user-tq1jz3wm3f
@user-tq1jz3wm3f Ай бұрын
Azam fc wahini kipa akienda yanga watamuweka goli kipa wa pili lakin, Azam atawafaa sana, refa sio hukumu nzuri ulotoa Kwa mchezaji wa coastal union
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
Mmh wanaoumia wengi
@AfricanKid-mu9lo
@AfricanKid-mu9lo Ай бұрын
Guedee leeeeeo kawataftaaa bara aaa
@dagraskaragane4730
@dagraskaragane4730 Ай бұрын
Kazi kulalamikia marefarii wa kibongo 😂😂 mbona hamkulalamika South washamba nyie
@user-fy4mf9fz2j
@user-fy4mf9fz2j Ай бұрын
Kipa wa yanga hajagusa mpira duhuu hii ni hatari na nusu
@Sparosmilebae
@Sparosmilebae Ай бұрын
Joseph gued Bora aende ximba
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Ай бұрын
Aibu kubwa ndo maana kimataifa hamfiki mbali labda muende Na Hao marefa wenu kadi nyekundu iko wapi hapo ni aibu kubwa kwa tff
@lowasakitwiyan7758
@lowasakitwiyan7758 Ай бұрын
Utajua mwenyewe😎
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 Ай бұрын
Kojoa uka lale huna jipya wewe
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 Ай бұрын
😅😅😅 huyu kolo inaonekana ana hasila,mshaulini akakojoe akalale
@goldmansun5859
@goldmansun5859 Ай бұрын
Kwa hiyo siyo kadi nyekundu, hahah, jifunze soka, sio kuangalia magoal tu ,atleast ungeijadili penalty walionyimwa yanga
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc Ай бұрын
@@bakarirajabu3783 POA inama nikojoe
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v Ай бұрын
Ila Ile kadi nyekundu ya lameck lawi..mmmmmh
@mjobegameplay2410
@mjobegameplay2410 Ай бұрын
N sahihi coz n mchezaj wamwisho
Indian sharing by Secret Vlog #shorts
00:13
Secret Vlog
Рет қаралды 52 МЛН
How many pencils can hold me up?
00:40
A4
Рет қаралды 18 МЛН
100❤️ #shorts #construction #mizumayuuki
00:18
MY💝No War🤝
Рет қаралды 20 МЛН
¡Puaj! No comas piruleta sucia, usa un gadget 😱 #herramienta
00:30
JOON Spanish
Рет қаралды 22 МЛН
KIMEUMANAAA...Makonda akamata Wezi wa FEDHA za UMMA!!!!!
15:57
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 7 М.
Wezi WAKAMATWA ARUSHAA....UWIII....Ona KINACHOTOKEAAA!!
20:48
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 66 М.
Goretzka VS Celine VS Nico VS Messi VS Ronaldo Trickshot Challenge🤯
0:26
Замучили НОВЕНЬКОГО!😆
0:59
Petr Savkin
Рет қаралды 1,1 МЛН
When Ederson get bored
0:34
Galaticos CTH
Рет қаралды 64 МЛН
UFC 302: Пресс-конференция
22:48
UFC Eurasia
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mỹ &Việt Nam
0:10
Sáng Tiền Xu
Рет қаралды 28 МЛН