Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024

  Рет қаралды 211,300

Azam TV

Azam TV

18 күн бұрын

Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.

Пікірлер: 113
@jozidasuperior7257
@jozidasuperior7257 16 күн бұрын
Wa kumi na sita nipeni like zangu Sasa mbele nyuma mwiko😂
@Trendingnews-bill
@Trendingnews-bill 15 күн бұрын
Guede ashakua moto❤🎉
@uchebetz7284
@uchebetz7284 15 күн бұрын
Aziziki ni fund sana huyu jamaaaa
@user-nx3zy1ny3c
@user-nx3zy1ny3c 14 күн бұрын
Jamani Guede tusamahe tulisema wametuletea galasha 🤣🤣🤣
@PriscangoshaNgosha
@PriscangoshaNgosha 15 күн бұрын
Magori ya Azizi k ni pambe 👌👌
@angelnyalile4827
@angelnyalile4827 15 күн бұрын
Uyu Guedee Ana kitu atafik mbaliii🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀
@mashekac.mtatiro894
@mashekac.mtatiro894 15 күн бұрын
Good work Wananchi
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 16 күн бұрын
Yanga oyeeeee,,, simba ni watoto wadogo,,,hii ngoma hawaiwezi❤❤❤❤
@rahmaali8423
@rahmaali8423 15 күн бұрын
Lakini jamani guede anajua kufunga jamaa ni noma
@senseiamani4684
@senseiamani4684 15 күн бұрын
Yangaaaa bingwa
@barakachaula7050
@barakachaula7050 15 күн бұрын
Hii Mechi Angekua Simba Angekula 3😂😂😂
@Maryc2G
@Maryc2G 16 күн бұрын
Gwende juuu, juuu sana🇹🇿🌻🌻
@issaya8977
@issaya8977 15 күн бұрын
A Aziziki ni fundi wakuona mbali
@fatmaally7252
@fatmaally7252 15 күн бұрын
Uyu guede kwa kumalizaga machi mungu ambariki sana
@vickykwembe5842
@vickykwembe5842 15 күн бұрын
Safi sana
@TeacherTz-cw2xs
@TeacherTz-cw2xs 16 күн бұрын
wapili leo like zangu bc km unaamini yanga ni bingwa wa hii michuano pia🇹🇿🇹🇿
@ColinMgaya-td3vv
@ColinMgaya-td3vv 16 күн бұрын
Usipokuja na gadi na miradi ilimradi....😅jumla nitaigawa idadi iwee wastani 🎉yanga hatari
@kwamefidel736
@kwamefidel736 16 күн бұрын
Hongera wananchi Kwa mchezo mzuri
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e 15 күн бұрын
Kiii moto wakuotea mbali
@beninyojamestungaraza9190
@beninyojamestungaraza9190 15 күн бұрын
Tabora mlipanda kwa janjaa janjaa acha mpate mlicho stahilii
@chandrakuziga9214
@chandrakuziga9214 15 күн бұрын
Forward hatuna wananchi
@dickMassawe
@dickMassawe 16 күн бұрын
Wakwanza Kam kaw wananchi
@Kingsunnymusic
@Kingsunnymusic 15 күн бұрын
Guede nimeanza kumwelewa
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 15 күн бұрын
Alhamdulillah jmn vip makolo kuhusu psccome mmetoka apo mmekimbilia kwa red card ila nyie bhn nilisikia uchungu alipofanyiwa faulo paccome nikasema Mungu wangu awa wanataka kumuumiza tena ila mwamba ako fiti
@nasramercy7016
@nasramercy7016 13 күн бұрын
Ila pacome hii game kacheza Kwa woga sanaa😅
@tawakalimankasim82
@tawakalimankasim82 14 күн бұрын
Tushamsahau "manywele" manywele ya kichwani hatuna haja nae hhhhhhhh🤣🤣🤣🤣 saiv tuna gwede. Yanga bingwa
@amoscharles1985
@amoscharles1985 16 күн бұрын
Mi simba lakin kwa hii yanga rangi nyekundundu ufisadi mwingi acha wawatese mashabiki harisi
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 16 күн бұрын
Young Africans SC , hatariiiiiiii motoooooooo
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 16 күн бұрын
Ila Pacome ni mtu mmoja hatari sana sijawahi kuona hapa Tanzania.
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 15 күн бұрын
Mashabiki kidogo😢
@LusekeloLusekelokibona
@LusekeloLusekelokibona 16 күн бұрын
2:10
@kolosii4351
@kolosii4351 12 күн бұрын
Kibabage wakati mwingine badala ya kutoa assist apige moja kwa moja golini kuliko kupoteza muda. Awe haraka tu na kidogo kuongeza ukatiri
@yustobitalio3597
@yustobitalio3597 14 күн бұрын
This is Yanga 🗿🗿🗿🗿
@tztanzania2262
@tztanzania2262 15 күн бұрын
Tabora safu ya ulinzi inaudhaif saana kipa wenu ni mzur
@rodrickshio8346
@rodrickshio8346 16 күн бұрын
Mzize huwa anakunywa uji tu au? dogo hana malengo kabisa ,anacheza ili mradi,sijui hajifunzi kitu kwa hawa wafungaji waleo !!?
@LusekeloLusekelokibona
@LusekeloLusekelokibona 16 күн бұрын
Yanga acha itupe laha jaman
@shafiibashir9337
@shafiibashir9337 15 күн бұрын
@SamsonElias-bj8vm
@SamsonElias-bj8vm 15 күн бұрын
Naitwa samusoni eriass azzk nifundi2 kusema kweri
@Tino-outfit23
@Tino-outfit23 15 күн бұрын
kuandika tu ujui sas mpira utaweza kuchambua
@josephkilosa2655
@josephkilosa2655 14 күн бұрын
@@Tino-outfit23 🤣🤣🤣🤣
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 16 күн бұрын
Asanteni wazee wa Yanga kufika ktk uwanja baada ya kushiba pilau na jezi mpya mkaingia chamanzi na KUFANYA YENU 😂😂😂😂
@linahmkinga8041
@linahmkinga8041 15 күн бұрын
Mnaboa azamu utuonyeshe vizuri.jamani mbona ivyo
@FredyKhamis
@FredyKhamis 16 күн бұрын
If you love yanga press your like here❤❤❤
@tekanabishwiga8074
@tekanabishwiga8074 15 күн бұрын
Nilijua kuwa yanga bado inaendlea kunyanyasa
@ErickJeremiah-ry4pw
@ErickJeremiah-ry4pw 15 күн бұрын
Which this country?
@mkude
@mkude 15 күн бұрын
TANZANIA
@Thomasf.ShedrackThomasshedrack
@Thomasf.ShedrackThomasshedrack 15 күн бұрын
YANGA countr🎉
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n 15 күн бұрын
Ndo nn sasa
@user-nt3nz7fp3j
@user-nt3nz7fp3j 15 күн бұрын
Hadi hku 😢
@christinajohn8891
@christinajohn8891 16 күн бұрын
Pacome wetu karejeaaa
@jasmangumbe3894
@jasmangumbe3894 16 күн бұрын
jamani mzize ana shida sehemu
@aishabakari8040
@aishabakari8040 16 күн бұрын
Aenda akasomewe azinguliwe sio bure
@SilasNgunda
@SilasNgunda 16 күн бұрын
🎉
@abdullabdalatif2834
@abdullabdalatif2834 15 күн бұрын
Mzize ni mchezaji mzuri shida yake ni kutoona gori lilipo
@LusekeloLusekelokibona
@LusekeloLusekelokibona 16 күн бұрын
Yanga nibola
@dvjkelly8449
@dvjkelly8449 16 күн бұрын
Ni kweli, hadi nyie tuliwapa bahasha tukawapiga nje ndani
@CosmassKabuti
@CosmassKabuti 14 күн бұрын
naomba mamba ya pakome zuzwa
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 16 күн бұрын
Kumbe zile 5-1 na 2-1 mlipewa bahasha na wazee wa bahasha?.
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 16 күн бұрын
Kolokwinyoooo ww
@fatmaally7252
@fatmaally7252 15 күн бұрын
Kichwa tenge
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 16 күн бұрын
MashaAllah
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 16 күн бұрын
💚💐💚💛💛🙏🏿
@hamisisonga9958
@hamisisonga9958 16 күн бұрын
Nzengel kama mbape tu mule mule
@abdidalalidalalisanya
@abdidalalidalalisanya 16 күн бұрын
Mchezo upo poa sana
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 15 күн бұрын
nimepend hiy ya guede
@user-vc3fu2vn4b
@user-vc3fu2vn4b 15 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@bingomix8912
@bingomix8912 15 күн бұрын
𝑺𝒉𝒐𝒘 𝒌𝒂𝒍
@amanizavala
@amanizavala 16 күн бұрын
Utopolo wazee wa bahasha
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 16 күн бұрын
Makolo mmebaki kujinyonga tu
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 16 күн бұрын
Sawa nyie 😂si wazee makelele fc lialia fc mangungu fc na Shimba waliwapa bahasha wakala 5-1 tukawapa tena bahasha wakala 2-1 bahasha uendelee😂😂😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 16 күн бұрын
7 tuliwapa bahasha
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 16 күн бұрын
Ww ulie sema bahasha nd unajua ata Jana namungo tuliwapa bahasha wasifungwe
@saleheathumani1009
@saleheathumani1009 16 күн бұрын
Makolo nao niwazee wakupokea bahasha
@k.jrluther6301
@k.jrluther6301 16 күн бұрын
Who is NEXT? Nani anakuja tumshone.
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 16 күн бұрын
MASHUJAAA JUMAPILI
@FlavianaKatunzi
@FlavianaKatunzi 14 күн бұрын
Jumapili raha tena
@k.jrluther6301
@k.jrluther6301 14 күн бұрын
@@muddymuzungu4357 huyo chipsi tu hana ushujaa wowote
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 16 күн бұрын
Watoto wa jangwani wazee wa jangwani..tunataka professional football kwa maslahi ya wachezaji sio kocha,wengine tushacheza mpira,mpira kuna baadhi ya wanangu wachezaji wananielewa ,mpira kama vita..
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 15 күн бұрын
💚💛🦾
@user-xw8ox3hf8o
@user-xw8ox3hf8o 16 күн бұрын
Wachawi wa ligi kuu TZ ( Tanzania Premier League) wakamatwa na Polisi jijini Dar es salaam. Ushindi wa Yanga leo hautaibomoa Simba, bali utaendelea kuijenga Simba. Yanga ni wachawi. Uchunguzi wa kisheria bado unaendelea. Ukweli ni kuwa, sisi watanzania hatutaukubali ushindi wa Yanga kwa mwaka huu wa tatu mfululizi, kutumia uchawi ili kushinda ligi kuu ya Tanzanzania. Simba Sc Tanzania is the winner
@ramadhanrobin-st6hh
@ramadhanrobin-st6hh 16 күн бұрын
Huna akili nzuri kapime kansa ya ubongo
@user-ux3jj1er3e
@user-ux3jj1er3e 16 күн бұрын
​@@ramadhanrobin-st6hhumeniwai n chiz uyu😂😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 16 күн бұрын
Huyu kuchanganyikiwa au vp😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 15 күн бұрын
Kama shangingi huyu
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 15 күн бұрын
Hujitambui wew kwa hiyo nyie mlochukua mara nne mlilogaaa eeeee?????
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 16 күн бұрын
😂😂😂😂ila Mzinze atakuwa anashida ki mawazo sio bure mbn kijana anaonekana mdogo lkn anacheza kizeee😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 16 күн бұрын
Yani uyu mtoto ck hizi kanitoka rohoni we acha tu😢
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 15 күн бұрын
Dah cjui huyu kjn nn kinamsmbua toka mech ya mamelody pale dar es salaam ad Leo amekosa utulivu umakin kila siku unapungua bech la ufund limsaidie kjn tunamuitaj lkn mh...
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 15 күн бұрын
Ligi ya Tanzania imeharibiwa na Utopolo. Subiri muone mwakani tusipoporomoka mpaka 20.
@athumanijuma3085
@athumanijuma3085 15 күн бұрын
Unafirir.. sio bure
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂 nguruwe FC bhana sasa hasira za namungo unaleta kwa wananchi?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 15 күн бұрын
Dunduka linateseka, ni la kuvunda halina ubani!
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 14 күн бұрын
Haya mambo hayataki hasira za Nguruwe
@JamesModeste
@JamesModeste 16 күн бұрын
ppppppppppppppp😢
@Maryc2G
@Maryc2G 16 күн бұрын
Tabira kipa mnae, kaokoa magori mengi kweli
@errydeo8865
@errydeo8865 16 күн бұрын
KIPIA ni Diara na yule wa kosti unioni aisee
@Maryc2G
@Maryc2G 15 күн бұрын
@@errydeo8865 kweli, lakini wa Tabora nimemuheshimu, asinge kuwa mzuri jana ingekuwa magiri sita, amejitahidi
@NashackNashack-nc5ni
@NashackNashack-nc5ni 16 күн бұрын
🎉
@Sparosmilebae
@Sparosmilebae 15 күн бұрын
Tulia tabora ushonwe
@Sparosmilebae
@Sparosmilebae 15 күн бұрын
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 15 күн бұрын
,😂
Don't eat centipede 🪱😂
00:19
Nadir Sailov
Рет қаралды 19 МЛН
Эта Мама Испортила Гендер-Пати 😂
00:40
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 10 МЛН
Let's all try it too‼︎#magic#tenge
00:26
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 51 МЛН
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
12:02
НИКТО НЕ ОБРАТИЛ ВНИМАНИЕ НА ЭТО❓️🤯
0:19
Профессор ПельменАрти💀
Рет қаралды 577 М.
Зря он его недооценил😅
0:45
EnderStories
Рет қаралды 3,7 МЛН
Русский Витязь Уничтожил Гиганта!
1:00
Стиль БОКСА
Рет қаралды 1,6 МЛН
One touch finishing vs Luis Nani 🔥
0:21
MoAliFC
Рет қаралды 11 МЛН