DK SULE SABATO SIO DINI ,YESU MWENYEWE ASEMA YEYE NI MTU NA SI MUNGU. PAULO ALIVYOPANDIKIZA UKRISTO.

  Рет қаралды 27,101

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 180
@juniorjuma2562
@juniorjuma2562 3 жыл бұрын
Kwa kweli mnaelimisha sanaaa piga Kaz Docta sure piga Kaz elimisha Docta watakubali tuu
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Жыл бұрын
Issa sio Yesu
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Wewe Ujielewi
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Wewe Ujielewi
@raykyando7571
@raykyando7571 11 ай бұрын
Kama Yesu si MUNGU hayo mapepo na majini yasingemtii
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Жыл бұрын
Dr tuonyeshe original injili,torat na zaburi
@bundatelcom2734
@bundatelcom2734 3 жыл бұрын
Asante shekh. Nilikuwa sijui kati yaukirsto na uislam nimexielewa izi dini kwa juhdi zenu mtamdaon. Allah is one🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Injili na Q,ran haviwezi kukubaliana.umri wa Yesu na Mt.S.A.W ni miaka 570.Habari za Yesu nje ya Injili ni ubatili.Kwa hiyo hayo unayoyaeleza sio ya kweli. " Yesu Hana kitabu.injili iliandikwa na watu wanne Miaka mingi baada ya Yesu kuondoka.Yesu sio Nabii.Manabii wote walizaliwa na Baba na mama,waliuishi kibinadamu,waliokufa kibinadamu na hawarudi Tena. Yesu atarudi.Yesu atakuja kutoa hukumu. Yesu hafanani na Nabii, Nabii ni Cheo Cha Kibinadamu. * Katika yote mandiko,historia,mahubiri na desturi zingine za kiimani havimuokoi mtu,Wokovu ni Kwa kumuamini Yesu ambae ipo siku atarudi Tena duniani
@donedaddy4561
@donedaddy4561 3 жыл бұрын
Allah amezidishie elmu Sule doctor
@itusmutembei4265
@itusmutembei4265 11 ай бұрын
Ni kitabu kipi kiitwacho Injil alichopewa Yesu? na Kinapatikana wapi?
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
MAASHA ALLAAH DR SULE NAKUPENDA MPAKA BASIIII NAKUOMBEA DUWA KWA MOLA AKUZIDISHIE AFYA NA UZIMA NA UMBRI MREEFU ILI UZIDI KUTUPA ELIM ULIYO JAALIWA NA MUUMBA WAKO INSHAALLAAH LOVE YOUU SOO MURH😘😘😘😘🤝🤝🤝🤝🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
@abdirashidkusow9141
@abdirashidkusow9141 3 жыл бұрын
mashaAllah! May Allah protect you and give you long life with Amali salihati inshaAllah.... I like Dr kwa ajali ya Allah SW..... Abdirashid from Kenya....hit like ya Dr Suleeeee
@godsson5954
@godsson5954 Жыл бұрын
waafrica dini tumeletewa sisi tulikua tunaabudu maji mvua tusigimbanishe dini zetu
@dontv9500
@dontv9500 Жыл бұрын
Hata kma mababu zako walikua kwenye upotofu wa mbali...muamni mwenyez mungu atakuongoa
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 Жыл бұрын
Lengo lakonn iv tunatofautiana wapi jamani kwann wote tusiwe wa kiristo?
@IsmailBobG-wi3vy
@IsmailBobG-wi3vy Жыл бұрын
Hatuwezi kuwa makafiri
@abdallahdoka9173
@abdallahdoka9173 5 ай бұрын
Alhamdulillah for the blessings of Islam
@EmmanuelMeshack-o9m
@EmmanuelMeshack-o9m Жыл бұрын
Korani ya juzi tu hapa itamuelezeaje sas yesu kristo kwa hakili yako
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Yaani wewe kuelewa mgumu sana
@EmmanuelMeshack-o9m
@EmmanuelMeshack-o9m 9 ай бұрын
MUNGU akuongoze uelewe biblia takatifu
@nero7941
@nero7941 Жыл бұрын
Naomba kujibiwa mimi ni mwislam naruhusiwa kusoma bibilia na kuwa nayo????
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx 11 ай бұрын
ww sule ulikuwa shinyanga viwanja vya shaikom ww tapeli2 ww ni nani ushehe ww udoktra ww hisyoroya ww mambo ya anga ww udaktar ww nyuki ww eeeeeeeeeeee😮😮😮
@rashidkassimjuma4320
@rashidkassimjuma4320 3 жыл бұрын
Anaesema anapotosha akiri kwamba hayo maneno sio maandiko ya biblia au aseme sio sahihi na aseme ilivyokuwa sawa isiwe shida naona mnasema sana
@Footballer-1992
@Footballer-1992 3 жыл бұрын
Fanya hivi kama wewe si mnaviki. Naona wewe ni Mwalimu mzuri unakubali Yesu alivyo sema. Soma Yohana 8:58
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Жыл бұрын
Biblia iliyopotoshwa inatumikaje kufanya marejeo? Biblia iko safi
@aliceruraya4211
@aliceruraya4211 2 жыл бұрын
Unastahili Iyumbu juu yesu ndiye alitwambia ni yeye mwanzo na pia mwisho na atakuja kuhukumu wenye wako uhai na wenye wameaga dunia, tena usichanganye biblia na quran.sisi tunaamini the holy Trinity IE, Ancient God of Israel, Jesus Christ as our savior, and the holy spirit that He (Jesus Christ) promised us period
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
SAIMU GWAO ONLINE TV.ubarikiwe sana kwa kutuwekea huyu mtu.kila siku imani zetu zinaongezeka.
@raykyando7571
@raykyando7571 11 ай бұрын
Wewe sema Yesu ni mwanadamu lakini ukumbuke hayo maandiko kuna sehemu una ruka pameandikwa hakuna atakaye muona Mungu bila kupitia kwa YESU , Ukimkana utakwenda motoni acha kumdhihaki utubu huyo sio mtu ndiye MUNGU mwenyewe
@georgetune.2818
@georgetune.2818 Жыл бұрын
Yashua Messiah is the Lord of Glory.
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
A Lord who was born and raised by human being..hahahhahaha...funny stuffs
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Ivi Huyo Mohammad mtume wa waislam alileta mafundisho yap? na alifanya miujiza ipi na siufundishe mafundisho yake waislam wenzio wakuelewe sio unahangaika na Bible ambayo huielewi
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 жыл бұрын
Tatizo mnaambiwa nyinyi mukifa na imani hiyo ni ..MOTONI. tu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Uyo issa ni wakwako
@richardchuwa4402
@richardchuwa4402 Жыл бұрын
Achana na yesu dili nature wenu
@richardchuwa4402
@richardchuwa4402 Жыл бұрын
Dili na mtume wenu
@paulmalagila4152
@paulmalagila4152 Жыл бұрын
Na maana ya dini ni njia kwa hy njia ni nan ? Na dhehebu la mungu n ww mwenyewe😢😢
@vailethmarack374
@vailethmarack374 3 жыл бұрын
Uyo pita mwanjonde sio Mungu. Ebu nikufundishe Sabato Ni amri ya Mungu. Iliazia Mungu alipo maliza kazi ya uumbaji sku ya Saba Akaitakasa Akaibariki Akasitalehe. Mwanzo 2:2-4. Pia Sabato Ni Amri ya 4 isemayo ikumbuke sku ya Sabato uitakase. Kutoka 20:8-11. Ili ujue wewe na wezio ni waposhaji. Hapo nijibu Kati ya Ellen g white na Musa Ni Nani alie kuwapo kwaza. Biblia inatuambia watu Kama wewe Ni Wahalifu 2.petro 3:17-18. Kwa andiko Hilo ninyi niwahalifu. Nawashauli wote kuweni maniki na Wahalifu hawa. Leo unasema biblia inasema. Kesho utasema biblia ni uongo.
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
kwahiyo hawa wasabato ni nani.tuambie dini yao basi tujue kweli DR SULLE muongo.sijui yesu kaja na kitabu gani?qurani ndio kila kitu kumjua yesu.paulo ni muhuni tu.
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa1586 Fikili kabla ya kunena ndugu
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
Hawa jamaa wakiambiwa ukweli wanaumia sana 😂😂😂😂
@vailethmarack374
@vailethmarack374 3 жыл бұрын
Ili mtu aweze kuelewa ujumbe kile unacho amini kwa Mungu. Mngeweka mikutano ili mhubili ujumbe wa kile mncho kiamini ili mtu asikie na kiamini na kuifuata Imani hiyo Kama ambavyo wakristo hufanya wakihubili ujumbe wa kitabu wanacho kisadiki. Na mtu binasfu huskia na kuamua kufuata na kuamini. Sasa wewe na wezio mnakesha kutafsili ujumbe wa biblia na uku mnapotosha Sasa kwa asiye elewa awaamini kuwa mnasema kweli kumbe mnapotosha.
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
dada dini haina mmiliki.dr sulle yuko sahihi.jibu hoja.acha lawama za kitoto
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa1586 hamuwezi kueleweka mpaka mponde Imani zingine mlifundishwa ubea
@daxas_tv5881
@daxas_tv5881 2 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa1586 sawah haina mmiliki ko mnachokiabudu hamkiiamini?? Na kama mnakiamini kwann kuhamgaika na wakristo wakati Kun watu hawajui ata habr za Mungu..Kam nyie sio wapinga kristo ni kina nani ?? (Wafuasi wa dajal) ni wote wanapinga YESU kristo sio mwana wa Mungu alie hai
@zaburi2386
@zaburi2386 3 жыл бұрын
Wapinga kristo
@paulmalagila4152
@paulmalagila4152 Жыл бұрын
As je swal kama sabato ni siku ambayo unatakiwa ufanye ibaada je ww unafanya ibaada cku hy?
@daud8785
@daud8785 3 жыл бұрын
Kwani nani amesema sabato ni dini?. Hakuna dini inayoitwa sabato. Sabato ni PUMZIKO.
@Lky589
@Lky589 3 жыл бұрын
Ndo hilo pumziko kaanzisha hiyo msela wa us😆
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
@@Lky589 hahah msela
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
@@Lky589 HUYU NI MMAMA MTAWA
@Lky589
@Lky589 3 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa1586 😆 Kwahiyo Pis ndo iliwaazishia Pumziko
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
@@Lky589 Hakuna dini inayoitwa Sabato namashaka na viongozi wenu WA kiimani
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Tatizo wachungaji awawafundi ukweli wao ni kuimba tu Sasa watajua nini
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
He studied and came to a conclusion. Will you also look at this objectively? Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. It still has many, many good lessons. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada
@daxas_tv5881
@daxas_tv5881 2 жыл бұрын
Na wew ungeeanza kusom biblia bila kuilinganisha na Quran Kwa kuogopa kuritadi utauliwa nadhan saivi ungekuw ushakombolewa zamani sad kitu usichokielewa ni kuwa Quran imekuja kumpinga Mungu ...
@sahiyaali4466
@sahiyaali4466 Жыл бұрын
Akili Nyingi sana .Congratulation swetie .
@MurekateteZabibup
@MurekateteZabibup Жыл бұрын
L
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Huyu jamaa muongo jmn yule kipofu alipoulizwa alijibu ya kwamba Ni mtu mwema au Ni mwenye dhambi Mimi sijui ninachojua Ni kuwa nalikuwa kipofu Sasa naona. Sasa ww unasema kipofu alijibu yesu Ni Nabii Hawa jamaa wezi haki ya Mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
Soma maandishi ktk bibilia ndiyo utajuwa 😂😂 ni nan muongo wewe au dr sulle
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@babazungu3180 Yani mfuga majini huyo asome Biblia na aielewe? Biblia sio Quran ndugu yangu yenye mnashirikiana na majini kuisoma
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 3 жыл бұрын
Ww ni mganga hauna jipya kabisa
@aysardachi3605
@aysardachi3605 2 жыл бұрын
ALLAH MKUBWA
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Жыл бұрын
Uislam ni dini kweli KWA mujibu wa kitabu cha mohammed.
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Yaani sule bonge la ticha
@eliasmwassi8104
@eliasmwassi8104 3 жыл бұрын
Du unaweza kuwa unaaminiwa na watu kumbe maarifa yako yanalingana na mtu anayeamini Leo, yaani Dr sule unahitaji mjadala na wasabato utaogelea tu, maana sabato sio dini ni siku ya pumziko tu sasa sijajua unarekebisha au unakosoa maana sioni ulichozungumza kuhusu sabato, uwepo wa mtume mwaka wa 610 na 613 kuwepo uislam ndio mwanzo wake kumbe? Kuamshwa kwa kurejesha alichokiagiza Mungu ndo imekua uanzishwaji, tuonyeshe kwa mujibu wa uislam zaidi ya aya tano wapi ijumaa siku ya ibada?
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 2 жыл бұрын
Soma suratul jumaa nehisi unataka kujifunza si kupiga porojo
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Huyu mtu anakaribia kua chizi na hata shetani hutumia maandiko kupotosha watu
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
😂😂😂 kumbe ktk bibilia kuna maandika ya shetan??
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
@@babazungu3180 wewe wasema
@emanuelndaki1703
@emanuelndaki1703 Жыл бұрын
Sabato imeanza na uumbaji.
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 11 ай бұрын
wape makavu mana hawa jamaa wanazingua kinyama
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
Kama unakubali kwamba YESU ni BWANA wa sabato ukubali sasa kwamba YESU Alikuwa ni MUNGU Aliekuja kukaa kwetu maana Jina BWANA ni jina la MUNGU . Ukisoma KUTOKA 15:3 inasema BWANA ni mtu wa vita BWANA ndilo jinalake ambavyo musa alikuwa akimaanisha kwamba BWANA ni MINGU . sasa wewe ukimwita BWANAYESU Utakuwa umekubali kwamba YESU Ni MUNGU. Hata QURAN Inadhibitisha kwamba YESU NI MUNGU Abaye ni BWANA QURAN 3:39
@hajjmokhamis9001
@hajjmokhamis9001 3 жыл бұрын
Yesu ni mtu sio mungu usimtukuze mtu hadi kumpa cheo cha uumbaji
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Mungu nabinaadamu nani anae kufa
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 жыл бұрын
Wewe nimjinga Tena kipofu UTAKUJAELEWA UKIWA NDANI SANDUKU
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 жыл бұрын
Wew umepotea ukombali na haki iyo QUR AN yenyewe huijui hebu kaisome hiyo sur .Aya 39 imetaja neno bwana?
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 3 жыл бұрын
Akinanani.hao wanaosema natukampa.injili. Kundi la majini?. Lugha inayotumika ndani ya kuruani kundi la watu waliokubaliana. Israeli.hawamtambui mwamadi. Walakitabu chake hawakitambui. Biblia yote. Hakuna kuruani
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
acha munkari msikilize dr vizuri utamuelewa tu
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
Walevi flani ivi wakule makka
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
KUTOKA 15:3 inasema BWANA NI MTU WA VITA BWANA NDILO JINA LAKE Usishangae kuona YESU anasema yeye ni mtu kwahio ulitaka asemeje? YESU Ni NENO alifanyika kuwa mwanadam YOHANE 8:23 YESU alisema Nyinyi ni wa chini mimi ni wa juu nyinyi ni waulimwengu huu mimi si waulimwengu huu SULE hacha kupindisha maneno ya MWENYEZ MUNGU na kupoteza watu ma MUNGU Ujue mpaka idadi ya nywele zako imeesabiwa.
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 2 жыл бұрын
20 :14 qurani na yesu tulitaka aseme kama ivyo
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Жыл бұрын
Tubuni na kuiamini Injili.Injili ipi?mbona huyo allah wenu haonyeshi?Kwani ukiendelea na uislam bila kupotosha Huwezi?
@eliasmwassi8104
@eliasmwassi8104 3 жыл бұрын
Tusaidie kwa mujibu wa Qur'an aya zaidi ya tano ijumaa ni siku ya ibada tofauti na jumamosi
@prochesernest5439
@prochesernest5439 3 жыл бұрын
Akusaidii anakupoteza mwalimu wa hongo huyo mkatae Yesu utajua hapo mbele soma biblia wew Elias usidanganywe
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@prochesernest5439 amfate yesu wapi mungu na binadamu nani anakufa
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@shabansalee4924 Mungu wenu je hakuna linalo mshinda Kama awezi kufa na kufufuka huyo sio Mungu muweza yote sifa za kuitwa Mungu hana
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@prochesernest5439 jibu swali kimaandiko ambu soma 4:10 yoana
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@shabansalee4924 nimekujibu je Allah sio muweza yote maana Naye anamuasalia nabii 33:56 hapo Muhammad yupo juu ya Allah na malaika zake
@belovedson7501
@belovedson7501 Жыл бұрын
YESU NI MUNGU na WAISLAMU HAWATAKAA WAMJUE YESU MILELE LABDA WAOKOLEWE NA MUNGU NA WAACHANE NA MOHAMED PAMOJA NA KUJILINGANISHA NA WAKEISTO! NA KUNA DINI NYINGI NA ZINGINE WATU HUABUDU MBUZI ILA WANAMSAKAMA SAANA YESU NA MIMI NASEMA KWA JINA LA YESU WATAOKOKA , BWANA NI MMOJA TU NAE NI MUNGU, NA NDIO MAANA HATA HUYU SHEKHE ANASEMA BWANA YESU AKASEMA KWAKUA YESU NI BWANA NA BWANA NI MUNGU, HAHAHAHA
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
😂 😂😂 hata mume anaitwa bwana na mkewe kwa hiyo unataka kuniambia n yeye ni mungu??
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
Na wewe una matatizo hayo mambo unayarudia kila siku wewe mwenyewe unasema yesu alsema dunia itapita na mamboyake yatapita lkn manenoyake hayatapita je mbona manenoyake unayapinga?
@aliceruraya4211
@aliceruraya4211 2 жыл бұрын
Wewe tumbu dhambi juu hakuna atafikia Mungu kama hanja pitia kwa yesu na amepewa Roho mtakatifu
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
Kabla ya yesu alikuwepo (musa )je watu wa musa wamepitia njia ya yesu?
@rashidkassimjuma4320
@rashidkassimjuma4320 3 жыл бұрын
Hatumlazimishi mtu aingie kwenye uislam sikiliza umesadiki na yamekuingia ulioyasikia akili kichwani mwako hukusadiki baki na ukiristo wako
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
point
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 3 жыл бұрын
kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Msalabani Yesu (Mwana) alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi?. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 3 жыл бұрын
@@noahwamalwa4385 We mpumbavu kwelikweli.yani unashangaa Muhammad {s.a.w}kumuowa Binti wa miaka 9 wakati baba etu Adam{A.s}alimuingilia Mama etu Hawa akiwa na siku moja tu tangu kuumbwa kwake,sasa mbona hushangai hilo?😂😂halafu nyie wakristo hamjiongezi!!!haiwezekani mtu moja agawike partition 3 huo ni uwongo wa wazi.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 3 жыл бұрын
@@haydarhamad6532 Lete andiko linaonesha eti Adam alimuingilia Mama etu Hawa akiwa na siku moja.. Ukikosa basi wewe ni muongo
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 3 жыл бұрын
@@haydarhamad6532 Mohammed ni muaji 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Reference : Sahih al-Bukhari 6922 In-book reference : Book 88, Hadith 5 Quran 9:29 Sahih International: Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.
@vailethmarack374
@vailethmarack374 3 жыл бұрын
Leo unasoma vizuri unasema biblia inasema kesho utasema biblia sio maneno ya Mungu. Ili ufaham kuwa Yesu. Yupo ktk nafasi ya mwanadam na Mungu. Soma yohana 1:7. 1.timotheo 3:16. Kati ambao wapotoshaji ni wewe na wezio na ili ujue unahitaji kufundishwa Soma ufunuo 17:1-11. Utoe tafsili ya unabii huo humanisha nini. Wengi wanao kuona unasema kweli ni wale waisio Soma na kuelewa.
@JapharyBBudal
@JapharyBBudal 3 жыл бұрын
Utajisumbua bure maana hawa kuelewa mambo ya kiroho ni mpaka YESU mwenyewe aingilie kati kama alivyoingilia kati kuiondoa dhambi ulimwenguni kwa yeyote atakamwamini.
@nyetaapaul619
@nyetaapaul619 3 жыл бұрын
Naona kama nyie wakristo ndo hamjielewi! Biblia sio kitabu alichokitelemsha kwa manabii wake kiwe mwongozo kwa wanadamu, Bali vitabu vilivyoshushwa kwa manabii ni Tourati-Musa, Zaburi - Daud , Injili -Yesu(Issa) na kitabu cha mwisho chenye kubainisha yote ni Qur'an alipewa nabii wa mwisho Mtume Muhammad (S.A.W), Sasa biblia iliandikwa na watu baada ya kuviharibu vitabu vya Mwenyezi Mungu, kuna maneno baadhi yaliyo ndani ya biblia yako sawa ila mengi yameharibiwa ndo ambayo shekh anayatumia, warumi wamewadanganya wakitaka kuupotosha ukweli ili muabudu miungu yao akina Tamus, fuatilieni historia ya hicho kitabu jinsi kilivyopatikana, kwanza kinajichanganya sana kwenye mambo mengi sana! Someni jamani acheni kubisha tu kwa kuwa mmekaririshwa na viongozi wenu! Issa (Yesu) sio mungu ni nabii tu alipatikana kwa Allah kusema tu kwa na akawa na nabii Issa hakufa na atarudi na atawakana na misaraba yenu na kumuitaeti ni Mungu! Anarudi tunaamini kwa ajili pia ya kumuua masih dajjal na kiama kitasimama , kila nafsi itaonja mauti hata Issa atakufa ili maneno ya Mungu yatimie, jamani jamani eleweni basi na someni mi nilisoma nikauona ukweli na sasa ni mnyenyekevu (muislam) naitwa Ally
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
@@nyetaapaul619 ungekuwa karibu ningekupa sharubat upooze koo.yaani hawa watu ni shida.wagumu kuelewa vichwa maji.hii shida ni kwa sababu hawana chalenji yoyoye huko makanisani kwao.kila kitu akisema kiongozi wao.wanaiitika tu ndioooooo.hawana maswali.kwa mtindo huu utajuaje dini.uko sahihi dogo
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
@@JapharyBBudal yaani wewe ujue maswala ya kiroho kumzidi muislamu?kutwa unatembea na janaba.eti kuondoa dhambi ulimwenguni.kwa hiyo wakristo wote hamna dhambi sasa?duh mm ningekuwa wa kwanza kuwa mkristo.sasa sijui mnaungua kwa maaskofu wenu mfutiwe nini wakati yesu kaondoka nazo,kweli akili ni nywele.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
@@nyetaapaul619 huwezi kusema BIBLIA sio kitabu Cha MUNGU wakati unaona sheik wako anakitumia
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Yaani leo, umekubali Biblia, juzi uliikata 😂 😂 msiba, kama hujui Biblia sema ufundishwe, naomba kesho historia na tofauti ya Sunni na Shia
@rashidkassimjuma4320
@rashidkassimjuma4320 3 жыл бұрын
Sikiliza utafaham tu
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@rashidkassimjuma4320 Sulle anatumia udhaifu na ujinga wa waislamu ili kupotosha jamii
@rashidkassimjuma4320
@rashidkassimjuma4320 3 жыл бұрын
Waislam sio wajinga hata kidogo ndio maana tunataka kuwaelimisha nanini viumbe wenzetu muje kwenye njia sahihi
@rashidkassimjuma4320
@rashidkassimjuma4320 3 жыл бұрын
Nahapo walengwa sio waislam coz wao wameshaelewa
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
@@rashidkassimjuma4320 hiyo sio elimu bali ni jazba za kiimanai,
@maziyaofficialke2412
@maziyaofficialke2412 2 жыл бұрын
Wajua kuna watu hdi dini yao hawajui inazungumzia nn,kma uyu Dk Sule,elimu yko ya dini ni duni sana,sema unataka views tu KZbin
@aliceruraya4211
@aliceruraya4211 2 жыл бұрын
Kama ni BWANA Yesu meaning He is The Lord and stop misleading people please usichomeke katikati ya malaika binguni , Yesu anakuwanga ndani ya Mungu naye ndani yake period
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
Mtapata tabu Sana,,,,dini ya wambea,,,nendeni kwa mwamposa muone watu wanavyoritad
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu 3 жыл бұрын
We jamaa bhana kwahiyo unahmin yesu ni mungu au et mwamposa uyo mchaw
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
@@Simulizitulivuu uwezi kujua lolote kama Dr sule ndie msomi wenu ktk Imani Mimi niwape pole
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
haha Hivi mwamposa ndio anauza mafuta,sijui maji?wanayatoa huko Nigeria kuja kuwadanya watu awapige pesa..Mpka kajenga hotel
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Жыл бұрын
@@ngamanyajoshua839 acha awapige PESA maana WAUMINI wenyewe hazimo,,,mfano ukienda Kwa kuhani mussa yeye kumuonea tuu ni Hela bado anauza mpaka stika yaani WAUMINI wanapigwa Hela balaa
@IsmailBobG-wi3vy
@IsmailBobG-wi3vy Жыл бұрын
Wakristo ukweli umewaingia inawauma
@itusmutembei4265
@itusmutembei4265 11 ай бұрын
Ni kitabu kipi kiitwacho Injil alichopewa Yesu? na Kinapatikana wapi?
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 Жыл бұрын
Lengo lakonn iv tunatofautiana wapi jamani kwann wote tusiwe wa kiristo?
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Mjomba ukristo siyo dini
@MengiRashidy
@MengiRashidy 11 ай бұрын
Mjomba ukristo siyo dini
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 838 М.
IJUE FITNA YA WARUMI WALIVYOBADILI DINI YA YESU NA MAJIRA YA MWEZI MWANDAMO
23:57
SABATO SIO DINI WASABATO NJOONI MUSOME KWANGU Pro MAZINGE
14:49
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
Imani Nakumtegemea Allah - Ustadh: Juma Mwaisha @mwaishakhairat1055
42:57
DR  SULE NA MCHUNGAJI MWASILINDI Zmzam Pro:
2:03:24
AAR ACCESS TV
Рет қаралды 66 М.
YESU NI NANI?/USICHOKIJUA KUHUSU YEYE!!/CHAKULA KIGUMU
8:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 11 М.
"KUMBE SABATO NIPUMZIKO SIO DINI" NIKATIKA DA-WAA MITAANI MERU MAUA SOKONI
18:06
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 1,9 М.
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 381 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18