KUNDI LA WAZEE 70 WAKIGIRIKI NDIO WALIOSHIRIKI KUANDIKA BIBLIA YA KALE ZAIDI MWAKA 331 , DK SULE.

  Рет қаралды 94,495

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 280
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 Ай бұрын
Huyo ndio Dr. Sule. Allah akupe maisha marefu.
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
NAKUKUBALI SANA DR SULE NA SAIMU GWAO ONLINE TV.ALLAH SW AWAPE UMRI MREFU.AMINI
@hemed4064
@hemed4064 3 жыл бұрын
Vitabu vya zamani hivo havipo tena vimeshaharibiwa vyote. Wayahudi wameharibu kila kitu. Kwaio saiz ktk vitab vya zaman hakuna ata kimoja
@guledomary2812
@guledomary2812 3 жыл бұрын
Jazakallahu khairan jazaa sheikh Sule Mola akuzidishie kila la kheri katika maisha yako na akupe umri wenye baraka na mwisho mwema.amiyn.
@rabiyamaulidinduwimana4110
@rabiyamaulidinduwimana4110 3 жыл бұрын
Masha allah mwenyezi Mungu akupeumri mureeefu na awalipemema akhera
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu kuwa Msabato sababu hii sikukuu ya Xmass hatuitambui maana haipo kwenye Biblia
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Shukrani kwa kutoa Ushahidi tena kwa maandiko na Shukrani umetupa elimu. Allah akuweke Shekhe wetu.
@BashiluSalimu-md2yt
@BashiluSalimu-md2yt Жыл бұрын
Mashaalla,, nashari ,dkta fungua chuo ili uache urithi wa. Fani au taaluma uliyonayo bila ivo tutapoteza elimu iliyo muhimu Sana kwa Zama tulionayo don't sule fikiria hilo
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 Жыл бұрын
Mashaa Allah Shaikh kwa muda wako na uwezo wa Allah kutupea darsa mwafaka, Allah atuzidishie elimu kwa sote ❤❤
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
EWE MWENYEZI MUNGU KWA UTUKUFU WAKO MPE UMRI MREFU DR SURE.AMINI
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 3 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 2 жыл бұрын
Daim mwenyezi Mungu akupe wepesi wa kutuamsha na kutuelimisha insha'Allah
@Saimugwaotv
@Saimugwaotv 3 жыл бұрын
Mashaalah tuko pamoja
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Shukrani sana kwa somo
@masudingana9550
@masudingana9550 2 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu sheykh wangu,darsa kuntu kweli
@RachidMassud10
@RachidMassud10 Жыл бұрын
From Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿 tunawapenda sana ndugu zetu wa🇹🇿🇹🇿
@MbarakaMkali
@MbarakaMkali Жыл бұрын
Inshallah Alhaj Sule fundisha uwezavyo na pia usisahau kufundisha kwa lugha zingine kama vile.English.nk
@GumhaMahube
@GumhaMahube 11 ай бұрын
Mungu akulipe insha allah
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 3 жыл бұрын
Inshallah tumekuelewa shekhe!
@KholaAbdull
@KholaAbdull Жыл бұрын
Mungu akubarik
@hemedhaulee
@hemedhaulee 3 жыл бұрын
Allah Akbar bless you abundantly from Dubai
@salimalsinawi8946
@salimalsinawi8946 Жыл бұрын
Mashaalah Dr Sulle, Allah akupe umri,
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi yaakhii UJUMBE UMEFIKA
@issambilikira
@issambilikira Жыл бұрын
Rabbi akufanyie kila la heri Maalin Alhajk Dr sulle katika uvumbuzi wako inshaallah
@MbarakaMkali
@MbarakaMkali Жыл бұрын
Dr Sule,Alhaj Sule fundisha history ila usisahau kufundisha kwa lugha zingine tofauti-tofauti duniani
@mohamedkibwana7558
@mohamedkibwana7558 Жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheyr Sheikh Sule
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 жыл бұрын
Kweli mungu hamuadhibu mja mpaka apeleke muonyaji
@aminahkimwana109
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
Waislam wote tumshukuru Mwenyezi_Mungu Sheikh Allah akustiri
@omarymadongo
@omarymadongo Жыл бұрын
Ww si unamuamini yesu ndio munguwako
@husseinawadh4009
@husseinawadh4009 3 жыл бұрын
Shukrani
@سالمالمسروي
@سالمالمسروي 3 жыл бұрын
Asaalmwalekm, mashaalah mweyezimungu akuwekee wepes ishaalh, nahakupe humrimurefu
@سالمالمسروي
@سالمالمسروي 3 жыл бұрын
Shukrani sheh
@JosephZawadi-if4yu
@JosephZawadi-if4yu Жыл бұрын
Asante San sheh kwakutueleza torati ilipopotelea je na injili ya nabii issa pia ilipotelea wap mpaka biblia ikaandikwa injili ambayo sio Ile ya nabii issa aliyopewa na Allah
@seifissa9705
@seifissa9705 2 жыл бұрын
Alhamdulilah tatizo wakirsto wamekaririshwa hawataki kusoma tatizo lingine hawaiamini kuruan wakati vitabu vyooote vya manabi woote vipo kwenye kuruani wanapata tabu sana kujua
@eliasifiwekimaro5570
@eliasifiwekimaro5570 Жыл бұрын
Siku za mwisho injili itahubiriwa kwa kila mtu ili asiwepo atakayesema hakusikia.Na kila ulimi utakiri kua Yesu ni Bwana na kila goti litapigwa mbele zake
@TanzaniaTV-qu8el
@TanzaniaTV-qu8el Жыл бұрын
Wakwanza kukiri wewe na wamwisho wewe
@UtufyoPangachini-ru3yg
@UtufyoPangachini-ru3yg Жыл бұрын
Dr nakupata vyombo ya hekaluni sio vya msikitini ila uko vizuri.fanya hayo kwa moyo wa kweli sio kwa kutaka pesa kama wengine wanaotuzalilisha sisi wafuasi wa yesu
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Muombe Mungu akujalie kumjua Mungu. Mungu ajifunue kwako si kwa juhudi na maarifa ya kidunia vinavyoweza kukufanya ukamjua na kumcha Mungu. Ni kwa neema tu.
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Yani we bado hujaelewa tu hivi hujifunzi alikua mwenzenu sasa mwenzetu mchungaji mkuu wa Marekani
@abdallahmnyanga5019
@abdallahmnyanga5019 Жыл бұрын
Wanatumia ponti hiyo kuwabakisha mudumu huko wewe mpk babu zako Mia mbili walipita hamkumuona yesu km ilivyo sisi hatukumuona Muhammad tumewajua watu kupitia maandiko kwahiyo kuna haja ya kuyajua vizuri maandiko na klichoelezwa
@scanertv7806
@scanertv7806 Жыл бұрын
Uislam ni dini ya shetani mkubali mkatae maana nilikuwa huko nimeyaona kwaiyi sihangaiki mtu akibadilisha dini anakuwa tu na mambo yake binafsi ila siyo kwa lengo la kumtafuta mungu hakuna lolote huko njia pekee ya kuuona ufalme ma mungu ni kumukili yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako. Amuaminie yy na sipotee bali awe na uzima wa milele
@mohammedbakari9797
@mohammedbakari9797 Жыл бұрын
Krbu ktk uislamu Dini ya manabii wote kumuabud Mola mmoja wala Soo kumuabud mwanadamu kupitia upotoshaji wa wazungu
@mohammedbakari9797
@mohammedbakari9797 Жыл бұрын
Uislamu Dini ya haki n Amani
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 11 ай бұрын
Mashallah Dt sule
@atifmohdkhamis1648
@atifmohdkhamis1648 2 жыл бұрын
Me niwaombe tu kwa allha awape umri mrefu wenye kheri na nyie mashehe wetu na awazidishie elimu za Siri na imani ya kweli nasi tujifunze kwenu, Aamin Aamin
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Shukraan sana sheikh
@sharomdguda
@sharomdguda 11 ай бұрын
Unachukuwa muda mrefu kwa kitabu ambacho mnadai haikutoka kwa mungu! , Mnatusaidia sana kumhubiri yesu, nyinyi roho mbaya, na chuki sumu Kali mioyoni mwenu , mgelikuwa na Mungu kweli mgelituzidi kwa mengi, lkn mmekuwa laana kwa Kila kitu,
@hajiameir8688
@hajiameir8688 11 ай бұрын
Wewe kijana huna akili wala hujui vitabu vilivyoteremshwa na huna ufahamu
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 7 ай бұрын
Maskiniiii....unaongezwa na ushabiki na umbumbumbu... Haujipi nafasi kujifunza....
@omarshaban4735
@omarshaban4735 2 жыл бұрын
Masha Allah
@nicolauskeha2489
@nicolauskeha2489 10 ай бұрын
Huyu fala anajua sana historia
@nockigona5160
@nockigona5160 Жыл бұрын
Amini unachooamini,Niamini ninachoamini Sisi sote tunamuomba mungu mmoja
@Omar-hd7er
@Omar-hd7er Жыл бұрын
Kumaanisha kuwa umeamua kuabudu masanamu ndio siku ya kiama upelekwe jahanam ukiwa unataka
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
Inabidi ujue injili inamhusu nani au bible inamhusu nani na ni Nani aliyeumba ulimwenguni huu Kwa Neno lake ukijua Jambo hili utamshukuru Sana Mungu Kwa jina la Yesu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Alhamdulilah unafundisha ukweli ambao manaswara hawafundishwi kanisani. Kama Manaswara wana akili wajifunze kupitia nyinyi wahadhiri wetu.
@godfreybakari5320
@godfreybakari5320 Жыл бұрын
History nzr bt n vzr unavyotusimulia utupatie na Aya katika bible na Quran kama iyo TAREHE 25 /12 /ya uyo mtoto wa
@bakarichimako2266
@bakarichimako2266 Жыл бұрын
Allahubarik
@rashidiakili412
@rashidiakili412 3 жыл бұрын
Dr ukifa waislamu tutakuwa tumepata hasara isiyosemeka na ni pengo lisilozibika labda kwa uwezo wa alla tu
@fadhilikawambwa1586
@fadhilikawambwa1586 3 жыл бұрын
KWA MATERIO ALIYOACHA DR SULE HAKUNA PENGO ATALOACHA.KAZI MIMI NA WEWE SASA.TUOMBE MWISHO MWEMA
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Astghifu llah rudi kwa Allah umuombe msamaha hio sasa shirki, Mtume Muhammad s a w amefariki na dunia ipo na uislamu unaendelea kuwepo ,soma Qur-an uelewe dini kwanza sio kufata shangwe uislamu sio chama uislamu ni unyenyekevu kwa Allah
@paulmasalu2219
@paulmasalu2219 2 жыл бұрын
Nakushauri shehe Biblia haisomwi kama vitabu vya hadithi. Mwombe Mungu akupe ufahamu.
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Kitabu cha biblia hakina utakatifu wowote hata chooni unaingia nacho kwa ukwapa hhhhhhhh
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 3 жыл бұрын
Nakupata saimu gwao toka SINGAPORE
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 3 жыл бұрын
Angaikeni na kinacho wa husu, mbona wa Kristo hua hawana mda na nyinyi. Mungu pekee ndie Jaji mkuu na kazi ya ujaji amempa Yesu so sisi wengine tusubirie hukumu ndo itakao amua
@hamisabdalai1775
@hamisabdalai1775 3 жыл бұрын
Acha uongo mtafute mtu mmoja anaitwa Daniel mwankemwa uwone anasoma nn kama huwezi kujibu hoja kaa kimya dr peleka somo mpaka utakapokwenda kukutana na mola wako.huu ni ulimwengu wa hoja. Sio maneno.
@daxas_tv5881
@daxas_tv5881 2 жыл бұрын
@@hamisabdalai1775 yule jamaa anatafuta tu ugali ndugu ila hamn mkristo anaejielewa akawa anabishana na mtu wa Imani nyingine ...maan kubishana maan yak hauamini unachokiabudu ko unahangaika kukosoa vingine Ili kuiridhisha nafsi yako..na mwisho wake ni kubomoa hamn kujenga..fatilia koment za uyu mwankemwa utakuna muislam akimkosoa huuomb mabishano nae af shart yaww yanarekodiwa Ili aje KZbin kupata ela ...nadhn umeelewa hapo ndugu yangu
@masoudkitambi1610
@masoudkitambi1610 Жыл бұрын
Dr Sule kwa hakika umechambua kaka
@zainulabideen6955
@zainulabideen6955 6 ай бұрын
Allah Akbar.
@NdulaMakoyekasakulilo
@NdulaMakoyekasakulilo 11 ай бұрын
Unajua kupinga
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Miaka 570 sawa na Karine 6. Ukristu umewaacha sana.Katika Biblia vitabu vya agano la kale vimepitwa na wakati.Hakuna Mkristo Alie Mkristo kweli ambae anaaviishi vitabu vya agano la kale. Mkristo wa kisasa ni Yesu na Injili.Agano la kale e Lina maeneo yanaingiliana na Q,ran ambayo Wakristu wenye Yesu hawaikubali kamwe
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Жыл бұрын
namwamini yesu krisito
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Jifunze
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Ukristo sio dini amini hilo
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
unamuamini Kama nani, Mungu au nabii wa Mungu?
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Ndio nyie kondoo mnaofata mkumbo
@UtufyoPangachini-ru3yg
@UtufyoPangachini-ru3yg Жыл бұрын
Walawi 11:3 na kuendelea mungu alivyo vikataza sio nguruwe viumbe vingi hadi ngamia,sungura ,samaki wasio na mgamba,vyote vitambaavyo
@akimuabdallah8039
@akimuabdallah8039 2 жыл бұрын
Hayo maandiko wachungaji hawawezi kuyafundisha kanisani maana wanajua waumini watawakimbia na kusilimu kitu kitakacho wakosesha kupungukiwa na waimba kwaya.
@domykimata5768
@domykimata5768 2 жыл бұрын
😅😅😅that's true
@damianandrew3074
@damianandrew3074 2 жыл бұрын
Ulianza vzr Sana ktk historian hiyo Ila umebugi pale waliponywea vikombe sio vya msikitini Bali Ni vya hekaruni ktk hekaru la Wana wa islael sio waharabu kwani waislael sio waislamu Sasa unapohongopa hadharani wadanganye waislamu wenzio wasio Soma vitabu wao Ni kudomewa tu ndipo mnapo wadanganya nyie viongozi vipofu.
@damianandrew3074
@damianandrew3074 2 жыл бұрын
Ukumbuke vzr uhislamu kautambulisha duniani muhamed sw na sio mwingine mbona mnaongopa bure mwislamu wa kwanza unamjua sio ibrahimu
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Tunasubiri namba3
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Mtafuteni Mungu wa.kweli mumwabudu badala ya kuhangaikia wafuasi kama Simba na Yanga. Dini na madhehebu kinachowatesa ni kupata mashabiki na sio kuwaelekeza waamini kwa Mungu wa kweli. Mahubiri ya 4x4 drive ndio yanazitesa dini za ulimwengu huu. Mbaya zaidi wengine humkufuru Mungu pasi na kujijua.
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 жыл бұрын
@Benedict Mrisho pole sana wee!
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 2 жыл бұрын
Wataelewa makafiri ,nikuwakaanga kwamafutayao wenyewe tu, Ukija kwa Qur an tunakusanya kijiji ,
@petermgonja8547
@petermgonja8547 2 жыл бұрын
Dr.sule Yuko vizuri .Ila mbona hachambui kuwa waislamu na majini ni kitu kimoja?
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 жыл бұрын
Majini ni viumbe miongoni mwa viumbe alivoviumba M/Mungu km alivosema ndani ya Qur'an "hakika Tumewaumba Majini na Watu ili wapate Kuniabudu"na Majini wapo waislam na Wakristo km ilivo kw Binaadam,Na jini ambae anapand kichwani ama kuingilia maisha ya mwanadam uyo amemuasi M/Mungu na adhabu yke ni moto kiyama na hakuna uhusiano wala kuingilian kwnye maisha ya mwanadam na jini kila mmoja anatakiw aishi maisha yke.
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Huna elimu hata kidogo ilhali wabisha na hauna dini. Mwislamu hawezi funzwa lolote kwa sababu ana elimu na anayo ufahamu kwa dini yake na kitabu chake cha Qur'an
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Ni kweli majini ni viumbe kama sisi kasoro yao na ss ni kuuumbwa kwa moto na binaadam udongo
@abdallahmnyanga5019
@abdallahmnyanga5019 Жыл бұрын
Kijue kwanza kitabu chako kabla ya kutailiwa
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Huwezi kulifahamu Historia ya Biblia usipoongozea na Roho Mtakatifu.Hufahamu historia. Hakuna makanisa, Kuna Kanisa moja tu, Roman Catholic. Kanisa ambalo lilijengwa na Yesu mwenyewe. Biblia Mt 16.18-18. nje Ya Roman Catholic ni madhebu ya Kikristo.Kanisa sio majengo yenye misalsba. * Yesu aliahidi atajenga Kanisa juu ya mwamba ambao no Petro. Mapaka Leo Kanisa katoliki haliwezi kushindwa na Imani yeyote. Na linaendelea kushindwa mpaka Yesu atakaporudi
@nockigona5160
@nockigona5160 Жыл бұрын
Badili kubidisha waisilam wenzako waswali umekazania ukristo ndugu shika ulichonacho tukutane mwisho wa duniani (Qiyama)
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Sie sio wachoyo tunataka sote tukaipate pepo ya Mwenyez Mungu, Soma vizur ujue ukweli
@ikramtryphon8089
@ikramtryphon8089 3 жыл бұрын
Kunajamaa anajiita idris kaz ubish2 Dr. Sule ndo mwalim wenu wachungaj wenu wanawapoteza2
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
"Mene mene tekeni peresi" ufalme umeondoka
@ibrahimiddi3134
@ibrahimiddi3134 3 жыл бұрын
Duhh wakiristo wabish sn tn ttz lao hawatafut haki wapo kiukaid t n kukejel hata ikiw n haki wao wanasikiliz maneno y wachungaj wao t
@lilianjoshua1407
@lilianjoshua1407 3 жыл бұрын
Wewe husikilizi maneno ya mashehe?
@furahaluhambati4399
@furahaluhambati4399 Жыл бұрын
Hekalu lawezaje kuwa Msikiti hapo umechemsha umelazimisha tu haviwezi kuoana hata kidogo angalia historia ya Msikiti na Hekalu nimbalimbali
@dani72130
@dani72130 Жыл бұрын
ulikuwepo dr sule wakati inaandikwa hiyo Bible?
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Unapotosha. Acha uzushi.
@dani72130
@dani72130 Жыл бұрын
hata hiyo historia unayosoma inatoka kwa Bible hiyo unayoipinga.
@hajiameir8688
@hajiameir8688 11 ай бұрын
Wewe hujamfahamu waislamu wanaamini nabii ISSA na kitabu chake sio kitabu kilichoandikwa na wagiriki na kupotosha baadhi ya maandiko na kuficha ukweli hapo ndipo hatufahamiani na nyinyi makafiri
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 Жыл бұрын
Cjaelawa lengo lakonni sasa
@johnmwanandenje3456
@johnmwanandenje3456 11 ай бұрын
Wewe muhuni hujui kitu?
@ethaneliudy7758
@ethaneliudy7758 3 жыл бұрын
Kwan shee alikuwepo miaka hyo au nae kasoma tuu bas historia kaikalili vizur bas alikuwepo wote tunaiash kwa imani nowdayz..tuache kudanganyana hapa..wazee sabin aliwaona au alisoma simulizi zilizoandikwaaa
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 жыл бұрын
Nyie mlosema Yesu kasulubiwa mlimuona?
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Nawe ulimuona yesu ama wamfuata Tu na kumuabudu bure???
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 8 ай бұрын
Part 3 ipo wp?
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Chura anazidi kupigwa teke. Bibilia hoyeee.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Bibilos bibilia Kigiriki
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Maana yake????
@danielerio5615
@danielerio5615 2 жыл бұрын
Unaonaje ukafundisha kwenye misikiti kuliko kwenye mitandao
@dededshud7047
@dededshud7047 2 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhh inapenya
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 жыл бұрын
Lengo ni kuelimishwa nyie mnaoabudu Binaadam mwenzenu,mnaumia makafiri
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Utasomaje na utaelewa Vipi ww kafiri anayeabudu MTU mwenzio?
@danielerio5615
@danielerio5615 Жыл бұрын
@@nurualishaban7383 mimi najua ninacho kiabudu ila wewehutaki unataka niamini unacho amino wewe haiwezekani
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Жыл бұрын
Hii Ni neema ya tehama na utandawazi hivyo hata wale wanaofunikwa funikwa baadhi ya mambo nyeti lazima wapate madini mwanga lakini siyo ya kule Longido
@paulmalagila4152
@paulmalagila4152 Жыл бұрын
Na cyo wakiristo wote tengua kaul
@injilinuruyamilele
@injilinuruyamilele 3 жыл бұрын
Utajibiwa
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Hmn wa kujibu hapo Huwo ndio ukweli jifunze
@omarymadongo
@omarymadongo Жыл бұрын
Kwani hayo maandiko anayatoa wap mbona wabishi nyie
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 жыл бұрын
Kumi yalikuwa kaskazini mwa Israel. Na makabila mawili yalikuwa kusini mwa Israel
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Na kabila lako kama mwafrika lapatikana wapi?
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Жыл бұрын
Na Yale yaliyosambaa mashariki ya mbali baada ya utawala wa Nebuchadnezzar wa Babel katika utumwa ?
@godfreybakari5320
@godfreybakari5320 Жыл бұрын
Kwaiyo iyo torati walio choma magiliki ilikua ni kitabu kimoja tu au ?
@anordlazarolazaro8445
@anordlazarolazaro8445 Жыл бұрын
Mbona uongelei walevi walio andika Quran
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Kitabu kisicho badilika milele kisicho na shaka kilichobeba vitabu vyote
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Kama una akili timamu soma kwanza ndio ujue ukweli
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Google Novena to St Jochim and Anne grand parents of Jesus. Yaani wazazi wa Mariam Acha kuwachanganya wakristo ambao hawajakomaa. Iko historia ya watakatifu.
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 жыл бұрын
Mbona huwelewek
@bakariathman5029
@bakariathman5029 2 жыл бұрын
We hujielewi ndugu.sasa hayo mambo yakugoogle c yalifanya kuekwa na watu 2.kipindi hcho google ilikuepo hadi unataka Dr sule agoogle???
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Ukafikiri ni mtihani kwa hakika... alhamdulillah kwa neema ya uislamu
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 Жыл бұрын
Ivi kama waisilamu mnaitambua biblia tunatofautiana wapi jamani
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
King James Version
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Unaonaje theory ya jino kwa jino na Yesu alsemaje juu ya jino.kwa jino. Ukipigwa shavu la kulia Yesu alijibuje ikiwa unasingizia Yesu alikuwa mwiisilamu?Kama Yesu alikuwa mwisilamu mjisaili vizuri mbamfuataje na mkumbuke atarudi na atawauliza mlimfuataje?
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Yesu akirudi atawauliza nyie makafiri mlipataje ukafiri maanake yesu alikuwa mwislamu
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 Жыл бұрын
Hapolengolako ninihasa
@vailethmarack374
@vailethmarack374 3 жыл бұрын
Mi nimekusiliza vizuri kuwa biblia ni yakutunda ila bado unaisoma kutafuta ushahidi kwa mada hizo. unajichanganya mwenyewe. Alafu umetoa habari wanyama ktk danieli umechanganya mbavu tatu dubu ndio alikuwa nazo kinywani sio Simba.
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 2 жыл бұрын
Kumbuka kuwa biblia itasomwa kwa vyovyote vile.
@dededshud7047
@dededshud7047 2 жыл бұрын
Umemskiliza Ila hujamuelewa
@dededshud7047
@dededshud7047 2 жыл бұрын
Uwongo ushahidi wake unatoka kwenye uwongo
@dededshud7047
@dededshud7047 2 жыл бұрын
Hata kuzini umekatazwa Ila unazini kwa iyo uko sawa
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Жыл бұрын
Biblia inipingana baadhi ya maandiko hii Ni ishara ya shaka ndani yake japo yapo maandiko yaliyoandikwa katika kweli yake. Na Qur'an Ni kitabu kilichoandikwa moja kwa moja kutoka ufunuo .
@sharomdguda
@sharomdguda 11 ай бұрын
Biblia waislamu wanaipenda , japokuwa mnajitahidi kuwafanya waislamu wasisome maana watajua ukweli na ukweli itawaweka free sana. Historia nzima ya ulimwenngu utaipata ktk Biblia hakuna kitu kwenye qurani, kwanza qurani sichochote Bora hadhi kuliko qurani, hadhi Ina nguvu zaidi, eti maneno ya mtume yaliyoandikwa na mijitu tu miaka kadha baada ya mtume kufariki duniani. Sasa tufuata maneno ya watu hadithi au qurani!? Waislamu finish finito
@hajiameir8688
@hajiameir8688 11 ай бұрын
Wewe hujamfahamu Dr sule
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Nikushukuru kwa mijadala yako ambayo itawafumbuanmadhehebu madogo madogo ya Kikristo watakapopata ukweli unaouficha juu ya historia ya kanisa. Bibilia ni kongwe kuliko quran na inayo maagano mawili kale na jipya na husomwa pamoja. Uwe unapingana na watu kama wakotoliki wanaoifadhi historia za watakatifu. Kanisa katoliki linampa heshima Mama wa Yesu Bikira Maria kuliko Marium katika quran. Hata novena na sala mf rozari na ibada ni ushaidi. Omba umjue Yesu zaidi.
@ghazarmohamed1585
@ghazarmohamed1585 3 жыл бұрын
Astaghafilullah Allaha akusaidie, huu ni ugonjwa kwenu mkubwa sana mpaka Allah akufanyie wepesi
@danielerio5615
@danielerio5615 2 жыл бұрын
Unaona guruwe je ngamia samaki wasio na magamba Kama kambale tasi mbona mnakula
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Soma biblia yako utaelewa mbona yesu aliwakataza Kula nguruwe,wacha kubisha kile hukijui
@injilinuruyamilele
@injilinuruyamilele 3 жыл бұрын
Ebu eleza umma jinsi quran ilivyo andikwa
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Yani huyu haijui bible ila analopoka tu, kwanini asiwaubirie waislam maandiko yatokanaya na Quran anakomaa na bible ambayo haielewi
@husseinissa7118
@husseinissa7118 3 жыл бұрын
Quran aliipokea mtume Muhammad(s.a.w) na wanafunzi wake ndo walikuwa wanaandika na kusomeshwa kwa usimamizi wa mtume Muhammad(s.a.w) mpaka leo imebaki katika uhalisia wake (original context/language).na itaendelea kuwa ktk uhalisia wake bila kuchakachuliwa kama torati,injili na zaburi zilivyochakachuliwa na waandishi soma yeremia 8:8
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
Aeleze na waislamu Wana elimu Hadi kwenye kitabu cha kikafiri ambacho nyinyi wenyewe hamkijui. Qur'an iko Sawa kwa mwislamu tunakifahamu vizuri sana alhamdulillah
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
France wewe unaonekana umesoma sana kushinda Sule na Sule yeye alishawahi kuwa mchungaji sasa wewe nani umesoma nini Yani we upo upo tu hujui lolote haha
@ikramtryphon8089
@ikramtryphon8089 3 жыл бұрын
Idris hunaunacho kijua tatiz wakrist hamtak kujifunza kazi ubishi2 mmezoea kusomewa makanisani ukiulizwa swali kutoka kwenye bibilia yako hujibu mbak kiama...
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Nyie mnajua kitu gani ?si aubiri Quran na madudu yake mbona anatumia bible inatakiwa mumhoji shehe wenu kenge nyinyi
@nurualishaban7383
@nurualishaban7383 Жыл бұрын
@@francisjoseph1074 biblia mnafunzwa nyie mikafiri msio na dini wala kitabu... Qur'an mwislamu anakifahamu vizuri Sana,hatuna tatizo kama nyie makafiri sugu
@legrandmsangi8405
@legrandmsangi8405 Жыл бұрын
@@francisjoseph1074 Quran inajitocheleza haihitaji longolongo. Tunachambua bibilia Ili tujue ukweli wake coz ni maandiko yasiyojitosheleza, haijulikani alipew nani hicho kitabu coz vitabu hupewa manabii. Tunaifunua bibilia Ili tuokoe watu waliopotoka
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
@@nurualishaban7383 kweli we hujielewi, Bible Karne na Karne, mpaka yesu kaikuta mpaka anaondoka kaiacha inapita miaka Mia sita anakuja taperi mmoja anajiita Muhammad analecta Qurani yake ya uongo swali kabla ya Muhammad uislam na kurani yake ulikuo Kona ipi?
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
@@legrandmsangi8405 inajitosheleza Kwa kipi , akati imecopy Aya from bible , kwani Nani ambae hajui kama Muhammad alikua anamsikiliza story na kuadisiwa mambo ya kale nayy anaenda kuwapiga fix warabu coz shule walikua hawana
@vailethmarack374
@vailethmarack374 3 жыл бұрын
Ambacho mi nashanga kwenu ni kwamba munakesha kuelezea kitabu ambacho hamna nuru nacho. Ikiwa Imani yako ndio sahihi wekeni mikutano kila mahali mkahubili kwa sauti kuu kuwa Imani ya uisilam ndio sahihi ili watu wasikize kile mnachohubili Ila ninyi mwekesha na biblia huku mnakikata kuwa sio maneno ya Mungu, na wakati huohuo mnakisoma kutapata ushahidi humo. Hili ni tatizo mi ningeona mnamaalifa ningewaona mkihubili kwa sauti kuu ujumbe. wa kitabu ca Imani yako ili mtu asikilize na kuona wapi Kuna nuru. Kama wanavyo fanya wakristo huweka mikutano yao Kisha wanahubili kwa sauti kuu ujumbe wa Imani yao Kisha mtu anatafakali mwenyewe wapi niende.
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 3 жыл бұрын
Wewe ni mvivu wa changamoto za maisha
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 3 жыл бұрын
Yani huyu shehe akili yake haina akili ,haielewi bible ila anaropoka
@seifmziray2551
@seifmziray2551 3 жыл бұрын
Nilihama ukristo mana sijui bibilia nimekuja na nabii gani Mana vitabu ni vinne na vinamitume 1,zaburi,,Saudi. 2,taurati,Musa 3,injili,,isa)/yeah 4,Quran,, Muhammad, 5,bibilia,,? Na ndio maana kitabu Cha bibilia nikitabu Cha kutunga tu hamna kitu hapo
@seifmziray2551
@seifmziray2551 3 жыл бұрын
@@francisjoseph1074 yupo sawa chukua elimu mzee ukirsto sii dini bibilia hakuna nabii yeyote aliyekabiziwa ,,nikitabu Cha kutunguwa bibilia inashughudia
@daxas_tv5881
@daxas_tv5881 2 жыл бұрын
@@seifmziray2551 sawah broo wew ndo umesema..ila jua wtu wanafanya dhambi sana wakristo Kwa waislm lengo la huyo dada ni kutak na masheikh bhas wawasaidie wachungaji kuuhubiri watu waache dhambi maan Amna mtu anapona kisa ety yuk dini Fulani..Hawa viongoz wenu na wao wawe wanatangaz dhambi ni zipi Ili watu waache sio kukosoa Imani isiowahusu maan ata watu wakiwa waislm af wakawa hawahubiriwa kuacha dhambi watakuw tu wanajiridhish nafsi zao af the end Mungu ndo anajua 🙏
@paulmalagila4152
@paulmalagila4152 Жыл бұрын
Unatupa historia za mdomo wa2 rejea wap imeandikwa
@profs.a5412
@profs.a5412 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣.........yani unaichambua Biblia kwa kutumia biblia na yote uyasomayo unaamini kuwa ni ya kweli afu unahitimisha kwa kuipinga hiyo hiyo Biblia🤣🤣..ni kweli nyiee jamaa hamjielewi kabisaaaa, yani mpaka kitabu cha Daniel unakisomaa!!! Nyie si mnasema mnaitambua torati ,Zaburi na Injili, sasa inakuaje leo hii unaamini ni Mungu alikuwa anaongea na Daniel kwenye hicho kitabu cha Danieli?🤣🤣🤣.........tatizo Lenu hamjui mtakuja kufanywa nini pamoja na mtume wenu siku ya kihama.
@omarsaid7153
@omarsaid7153 2 жыл бұрын
Siku ya Kihama ndo kuhamia wapi? Nguruwe mpotovu ww !
@profs.a5412
@profs.a5412 2 жыл бұрын
@@omarsaid7153 🤣nasikia matusi kwenu ni miungoni mwa suna za mtume wenu ,ni kweli?🤣
@mohammedbakari9797
@mohammedbakari9797 Жыл бұрын
Ww tafadhali usimtaje Mtume wetu ktk matusi Natamani ngelikupata nkakukata kichwa chako Kwa kumkosea Mtume heshima we Una bahati uko mbali
@profs.a5412
@profs.a5412 Жыл бұрын
@@mohammedbakari9797 acha upumbavu kijana , utakatwa mwenyewe, we unazani mnadini ya kuwapeleka peponi nyinyi?? Nyie dini yenu inawapeleka jehanamu tu. Kamuhlize vzuri mtume wako. Tatzo hata Quran yenu hamsomi🤣🤣 nyie hakuna mnachokingojea zaidi ya jehanamu tu. Omba Mungu akutoe hukoo. We unajua mtume wako aliyokutana nayo kwenye mapango ya jabal Hilah!? 🤣 Soma vitabu upate kuwa huru acha kumeza Aya, elewa aya
@aloysmrimi3250
@aloysmrimi3250 2 жыл бұрын
Pale akili ndogo inapoongea mbele ya akili kubwa.
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Sasa wewe na yeye nani kasoma biblia hahaha jifunze yani wewe unajiona umesooma jifunze
@abdallahmnyanga5019
@abdallahmnyanga5019 Жыл бұрын
Sikiliza darsa vizuri pumba zikutoke huyo docter sule anatoa Madini ya maana
@Dani-fv3lk
@Dani-fv3lk 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anawapotosha,,mm nataka niiende naye mjadala na yeye wa Dini,kati ya uislamu na Ukristo
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 жыл бұрын
KUNDI LA WAZEE 70 WA KIGIRIKI WALIHUSIKAJE SASA YAANI WEWE SISI TUSOME CHUONI MIAKA 7 DIPLOMA 3 DEGREE 4. HALAFU WEWE UKAE MSIKITINI UFUNDISHE BIBLIA KWA KUSOMA MWENYEWE TU
@daxas_tv5881
@daxas_tv5881 2 жыл бұрын
Sheik ungekuw na akili usingewez kutoa ushahidi kwny bible iliharibiwa af ukaji prove right hapo utakuw ni dhaifu sana...na piah usihangaike na watu ambao wew unaona wamepotea Kam wao wanavokuona wew...kama kweli unajielewa tangza uislam Kwa kusema mema yake na watu waache dhambi....tofauti na hapo HAUAMINI UNACHO KIABUDU ✌🏿
@profs.a5412
@profs.a5412 3 жыл бұрын
Huyu jamaa chizi kweli, sasa kwenye hivyo vitabu vya musa kuna sehemu imeruhusiwa kula nguruwe??? Kama torati ya kwanza ilichomwa tupe tofauti moja tu kati ya torati ya kwanza unayo amini ilikuwepo na hiyo unayo dai iliandikwa na wazee 70...utawadangnya waislamu wenzio wasio na akili😀😀
@dani72130
@dani72130 Жыл бұрын
kama hayo maandiko hayapo wewe ulipata wapi?
@dani72130
@dani72130 Жыл бұрын
unatafuta tu subscribers, kama sio kweli umepata wapi hiyo historia ya wana Israeli? je ni kweli wana wa israeli walitoka Misri kwenda kaanani? mbona unaiamini Bible nusunusu kama kawaida yenu? kama huiamini chukua kitabu cha sayansi ndio ufindishie watu.
@ashuramohamedumeongeavyema9710
@ashuramohamedumeongeavyema9710 Жыл бұрын
Punguza bangi toka kwenye upotevu wew
IJUE FITNA YA WARUMI WALIVYOBADILI DINI YA YESU NA MAJIRA YA MWEZI MWANDAMO
23:57
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 33 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 94 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18