Ukristo ni mfumo ambao haujawahi kufeli. Tafiti zake na mipango yake ni endelevu na ndiyo maana hawaangaishwi na wanojaribu kuwakosoa.mfumo wa Ukristo utawala Hadi Yesu arudi Hilo alisema Yesu mwenywe. Mt 16:16-18 * Hakuna kama Yesu,Hakuna kitabu kama Injili.Injili Ina Habari. Za Yesu Alie hai*
@babauna34583 жыл бұрын
Maahaallah Dr sule , hii ndio kazi ya Amani na upendo. Allah akurehemu wewe na waislamu wote ulimwenguni.
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Ni Mungu yupo aliiteremsha Quran. Nani walishuhidia.mwaka Gani na katika eneo Gani. Mungu mnaomuamini mnasema haionekani. Kama hakuna walioshuhudia ikiteremshwa,basi Hilo ni jambo la kushangaza. Maneno ya Biblia Yana umri mrefu kuliko kitabu chochote * Biblia ni kitabu kilichofanyiwa tafiti*
@esthertungani676 Жыл бұрын
Amen
@kelvinpius-ne9rz7 ай бұрын
thank you LORD JESUS CHRIST for the HOLY SPIRIT
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
DR SULLEY ALLAH SW AKUPE UMRI MREFU TUFAIDI ZAIDI HAYA MAMBO MATAMU.
Kuongelea Ukristo au Bible ni wazi kuwa Q,ran Haina Cha kusimulia na kutoa challenge Kwa jamii. Ni rahisi Waislamu kuichambua,lakini hutamkuta Mkristo anaichambua Q,ran Kwa sababu Ukristo umetosha. Yesu atarudi na kuwahukimu wote.
@paulmalagila4152 Жыл бұрын
Mwenyez mungu hawez kuruhusu vitabu vyak vipotezwe
@haidarsalum9228 Жыл бұрын
Hakika, ndio maan hiyo hajachafua kitabu cha mungu ispokuwa wmchkua maneno na kuyawka ndan ya kitabu chauo, pia kwa kulithibitsha hilo kuwa vitabu vya mungu havichafuliw ni kwamba, Quran inamiak mingi sasa laki hkuna version wala kuonguza/ kuongeza katika kitabu hcho, ahdi hii imo ndan y Quran, ukifatlia utajua hilo..
@kelvinpius-ne9rz7 ай бұрын
asante BWANA kwa roho wako,roho mtakatifu,roho wa kweli,nakuomba Mungu wangu, utukufu wako uujaze ulimwengu,uwajaze watu wako kwa roho wako katika ukuu wako Yesu kristo Mungu na muumba wetu
@salimobeid14703 ай бұрын
Usifanye kiburi we sikiliza maandiko hayo
@jeanbb13853 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@shukurubalahi8630 Жыл бұрын
Neno la Mungu ni taa ya miguu yangu. Sitateteleka na kama bibilia ni ya uongo nitaifuta na kuiamini hata kufa kwangu. Na ukweli ni kwamba unachokitafutia udhaifu ili watu wasikiamini ndicho cha kweli
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Waisilamu wanawazaga kuuwa tu achana nao
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@kefajoseph158 imani potofu!!
@paschaljuma3312 Жыл бұрын
Mnaifata kwa sababu inaendana na matamanio yenu, inawaruhusu kula nguruwe, kunywa pombe bila ata kukemewa inaeapambia maisha ya dunia
Sio uutafute ukwl ndgu, ukifata kilichokua sio cha kwl, utapata unachoratajia siku ya mwisho?
@martoo539 Жыл бұрын
Siogopi kusema Ivi Bible is the only holy book ,,,,,I believe in BIBLE only ,,,,,,
@Samson-w5n9 ай бұрын
Kumbe mpuzi 2
@charlesmakuri7922 жыл бұрын
Jiulize bible ilikuwepo lini na mohamed kaja lini baada ya yesu ni ujingatu ulio jificha
@abdalahsuleman2791 Жыл бұрын
Yaani wewe hujui kitu
@gtunewaves2867 Жыл бұрын
@@abdalahsuleman2791 Amna anayejua kila mtu anasema kwa anavyoelewa
@joachimluhamo30422 жыл бұрын
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu neno biblia ni neno la kilatini na kigiliki lenye maana ya kitabu au vitabu usipotoshe watu we shee . Inaonekana bado sana hujui kuhusu neno la Mungu
@hussaynmuhammad87823 жыл бұрын
Mashallah
@nevillekanju9491 Жыл бұрын
Sule uislamu wenyewe haujui vizuri je Biblia utaifaham
@UtufyoPangachini-ru3yg Жыл бұрын
Unahitaji kusoma sana mr sule ili uelewe mambo
@munic6686 Жыл бұрын
❤jazakallahu khaira Allah akupe umri mrefu shekh tuzd kunufaika
@kelvinpius-ne9rz7 ай бұрын
Na Mungu wetu,muumba wetu, YESU KRISTO wa Nazareth,akulipe sawa na uovu wako, wewe unayemkataa roho mtakatifu,
@EagleTiger-d4t3 ай бұрын
Umenena kaka🙏🙏
@lenardkenedy542 Жыл бұрын
Nawasii Waislam tukiichambua Quran Usichukie Mue wapole kama sisi 🙏
@shahabdallah9407 Жыл бұрын
Chambua bora useme ya kweli tu
@ElishaPeter-ln1ud10 ай бұрын
Utopata mapungufu we chambua paka kiama
@sayidabdillah85059 ай бұрын
Quran ni kitambu cha mungu Allah sw ww chambua tuu hutakuta madhaifu bali itakufanya kjmuamini Allah sw yaani mungu mmoja tuu bila ya kjmshirikisha na kitu chochote Quran inaamrisha upweke wa mungu mmoja Allah sw, uchamungu,Quran ni sumarize ya vitabu 3 vilivyokuja kabla yake Zabur tauranga injil and last book nj Quran
@hassanmohdally52173 жыл бұрын
Daaah yaaan mungu akuongoze kwakweli kwasababu
@casmuiddy7304 Жыл бұрын
Allah akujalie
@athumanihussein78273 жыл бұрын
Nimekuelewa
@bazibaker79863 жыл бұрын
Asalaamu aleykum my brother Dr sule mashalaah may Allah give you long life to do what you are doing wallaahi I'm following you for long time nimefaidika nyingi. Your brother Bazi abu Baker from London msomali
@mgallaeliah1364 Жыл бұрын
Pamoja na kwamba nimechelewa kuisikiliza Mbona unatoa references za manabii wote waliotumwa na MUNGU kutoka kwenye Biblia, lakini Mohammad hayupo, musa yopo kwenye Quran, Yesu yupo kwenye Qurani, na hao pia kwenye biblia wapo Kwanini Mohammad hayupo kwenye Biblia? Je yeye(Mohammad) alitumwa na nani mbona hathibitishi kwenye biblia. (Torati ni sheria ukumbuke hilo popote utakaposoma pameandikwa torati kuwa na kumbukumbu)
@shabanrama8023 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Dr sule
@osmanabdi26323 жыл бұрын
Asalaam aleikum Ustadh, Naomba nukusihi vitabu vya agano ya kale inna vitabu 39 na site 29 kama vile ulivvyo tamka. Pili, wana Israili wapitishwa bahari Nyekundu (Red Sea) na site Mediterranean Sea. Naomba radhi.
@januarymagai Жыл бұрын
Hana jipya
@dani72130 Жыл бұрын
Bible ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya Mungu ambavyo ni Torati, zaburi, injili .
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Watu wa msalaba wanapingana na ukweli wa maandiko kama kawaida yao full coment za uzwazwa 😅 elezea shekhe wangu mwenye masikio na asikie asie sikia wacha apinge.
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
KWELI KABISA
@truthspeaker24053 жыл бұрын
Kama kweli Biblia iliharibuliwa kwanin Muhammad alisema Wakristo na wayahudi waifuate vitabu vyao? Al-Baqarah 2:89 And when there came to them (the Jews), a Book (this Quran) from Allah confirming what is with them *[the Taurat (Torah) and the Injeel (Gospel)],* although aforetime they had invoked Allah (for coming of Muhammad Peace be upon him) in order to gain victory over those who disbelieved, then when there came to them that which they had recognised, they disbelieved in it. So let the Curse of Allah be on the disbelievers.
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
@@truthspeaker2405 mpigie simu Dr Sulle akupe elimu au kasome mwenyewe .
@nurualishaban73832 жыл бұрын
@@truthspeaker2405 kama wapinga Nani alipewa hiyo biblia basi kama wakazana? Yesu alipewa injili sio biblia,mbona hamna akili nyie wakristo wenye shingo ngumu?
@suleimanmuhidin17532 жыл бұрын
Kwayyte yule atakaye kufa akiwa si muslim ataingia motoni milele namuomba mungu atutowe dunian haliyakuwa waislam mungu atufufue n mtume muhammad (saw) izo dini yengine n vitabu nyengine visivokuwa vile 4 ivo vyengine ni empty
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
TOKA MWANZO HAD UFUNUO NI YESU MANENO TOTE YANAMUHUSU YESU NI KUTOKUJUA TU NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPE ROHO WAKE MTAKATIFU AKUONGOZE
@shabanirukundo42723 жыл бұрын
Wewe Benson msikilize vizur siokuropokatu
@kelvinpius-ne9rz7 ай бұрын
sisi ni mashahidi,tumeuona uwepo wako wazi, eeeeh Mungu wangu, YESU KRISTO, BWANA,utuokoe na watu wa dunia hii wanaofuta mapenzi yao,kila akuaminiye wewe BWANA muumba mbingu na nchi,na vyote viujazavyo ulimwengu,tumekuona na wewe hakika ni YAHWE
@justussafari8111 Жыл бұрын
Huyu Dr Sulle anaufahamu mkubwa sana hata kuliko mapadri wengi na walimu wengi WA kikristo ijapikuwa Mimi ni mkiristo lakini lazima tukubali ukweli yakwamba Dr Sulle anaufahamu mkubwa sana.
@MapsizoShentee Жыл бұрын
Na vizur kusikiliza hoja zake na c kupinga ... SIKILIZA Fanya UTAFITI
@josephosborne3072 Жыл бұрын
Mmh huyu ni much know,, biblia ni kibebeo tu ambapo ndan yake kuna vtab vitatu ukiondoa qran ambyo haimo,, biblia sio maandiko matakatf, sema huyu hamnazo
@allyhemed6380 Жыл бұрын
Allah akuongoze upate salama ukisilimu madhambi yote mungu anakufutia uisilamu uko sawa Kama unavyoona uisilamu ni unyenyekevu hata yesu ni mnyenyekevu
@SuleimanMatikwil Жыл бұрын
Dr sulle vizur sana, wakristo jifunzeni darasa hili, msipohelewa hapa hamtaelewa tena.
@mchopaluka43193 жыл бұрын
Naamini ipo siku utaokoka tu Bwana Mungu mwenyezi ikimpendeza amina.
@maulideabdala38322 жыл бұрын
sawa nimekuelewa
@martoo539 Жыл бұрын
Hebu angalieni hapa wenzagu😂 Quaran Inasema endeni mkapiganie dini yenuu 😂 Bible Inasema endeni mkawahubirie na muwabatizee kwa jina Kristu yesu🙏 Which side makes sense 🙏🙏 I believe in bibke
@PhilipoMichael-s5f3 ай бұрын
Kwahistolia uko sawa
@marymnemela2432 Жыл бұрын
Mungu akusaidie kuutambua ukweli, ipo siku Yesu atakuokoa
@ilungavumu6508 Жыл бұрын
Ni vyema ukamjibu tu swali hilo kama unajua na sisi tujue
@martoo539 Жыл бұрын
Mwambie tenaa
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Bibilia n mkusanyiko wa vitabu je quran nini
@eliudibosco Жыл бұрын
Kumbe ni historian siyo maneno ya mungu
@tozzaalexandar4905 Жыл бұрын
Swadacta doctor sule
@ukorainzuku83013 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuongezee maisha ili udufundishe zaidi
@husha6372 Жыл бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Mbona Injili Ya mwanafunzi wa Yesu Barnabas haiko na ndio injili ya kweli Kwa Sababu jina la mtume Muhamed SaW liko kwenye injili ya Barnabas
@rumumbarumumba24033 жыл бұрын
Man sha Allah sasa chekh wetu Sule injili yakweli ingepatikana??
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Wakristo hawapendi kujifunza wao wanaushabikituu, mwalimu anadomesha vizuri sana lakini wanacomment kwa hasira , sababu wao wanashabikia hata ujinga , walimu wao akipiga mikeleletuu bila kusomesha wao wanaamini hiyo ndoo ibada , hebu jifunzeni bila ushabiki halafu kawaulizeni wachungaji wenu
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Hivi kwa nini mnapenda sana kusema sema ukristo? Miaka kadhaa hapa nyuma mlikua mkiponda sana Biblia, leo hii mnaitumia Biblia kufundishia na kuuponda teana ukristo.... ajabu sana, Biblia ni jina la mjumuiko wa hivyo vitabu vyote ulivyo sema, sasa kuweka hoja ya ubishi ubishi inasaidia nini sasa
@mwambakibucheche11192 жыл бұрын
Mtatafakari sana lakin inatakiwa mjue kuwa akili za Mungu hazichunguziki.Bali utafuteni uso wa bwana Yesu mpate kuokolewa.
@peterMwamwenda-jv6bc Жыл бұрын
Kafiri wewe subiliufe utanuja jua
@mundhir2859 Жыл бұрын
Fata uislam usalimike acha kudanganywa kanisani
@abdulkhalimahmed5194 Жыл бұрын
Sawa mfate yesu lkn yesu hakupewa bibilia
@nurudinehamimu56583 жыл бұрын
Naam shekhe.
@eliudibosco Жыл бұрын
Huu ni uongo na hiyo niroho ya mpinga kristo kama toratai ni ya uongo unaisoma ili iweze kuwadanganya watu acha haraka usitafute masirahi yako kwenye maneno ya mungu tafuta masirahi yako tu.
@pstyothamusabuye4111 Жыл бұрын
kuwa ni Neno la Mungu hakutegemei kukubali au kukataa kwako, ukweli unabaki pale pale hilo ni Neno la Mungu ukilitii unaona matokeo yake yalivyo, kwanza huna taalumu ya theology, unahitaji uokoke tu, uislamu umeanza juzijuzi tu.
@dani72130 Жыл бұрын
dr sule inajichanganya, soma malaki 4:4
@stephenmvuo73637 ай бұрын
According to me,,,,,god did not create religion bt this is an idea of some people's business
@getajo11534 ай бұрын
Vitabu viliteremshwa vipi kwa manabii wakati ni hadithi zilizoandikwa kuhusu hao hao manabii...
@ThadeoKilima Жыл бұрын
Wewe bado upo kwenye kwenye nyakati za unabii hivyo huwez jua chochote ila kumbuka si kila asemaye bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni Bali yeye ayatendaye mapenzi ya mungu chambua bible verses zote na Korean ila jichunguze roho Yako unaenda sawasawa na mapenzi ya mungu
@AbJsm Жыл бұрын
Na Pia Sisi WAISILAMU Lazima Tujiulie Hivi Vitabu Mfano Bukhari Muslim Al Kafi Ibn Maja Ni Vitabu Vya MMungu? Maana Asilimia 99 Dini Yetu Inategemea Hivyo Vitabu Visiokuwa Vya MMungu
@essaumpuma29813 жыл бұрын
Somamathayo 5:17-22 christo anaxema hadi mbingu na nchi viondoke yodi wala nukta moja ya torati haitapotea sisi tunakusihini kuto ambatana na imani ya majini na mashetan yako katka kundi la uasi nasehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto amini ubatizwe acha kushikiria imani kisa eti ni ya baba yako quran ni mpango wa shetani amini ubatizwe harafu mnapotafasilmtafsri na najiona ya hizo ayamtuajue anasoma ayaya majiniaung'ombe jikewamajano siomnatafsir manenotu majinayaayamnaachawe ulionawaping'ombe jike wa manjano poleni sana eti aya ya sisimizi kichaa peke yake au mtu anafuta uzinzi anaweza acha biblia, mwongozo unao kubarika
@ustadhfarouq77293 жыл бұрын
Kama sheria ya torati iko hata yodi moja hataondoka je Yesu alikufa kwa ajili yenu.Hukmu yatorati yasemaje? KUMBUKUMBU 24:16 ww unaamini yesu alikufa kwa ajili yako je waiamini torati?Torati yasema kila mtu atakufa kwa dhambi yake mwenyewe mbona useme Yesu alikubebea dhambi?Yesu anasema mtubu na kuiamini injili ukitubu ndio mungu atakusaheme sio Yesu kwamba alikuondolea dhambi.Sasa utakua watubu nn kama huna shambi wacheni kufanywa mabonzo wa imani.
@essaumpuma29813 жыл бұрын
Tatizo lako unakariri mtu huwezi chukua dhambi za mtu mwingine, ila christo hufanya hivyo na wewe humtambui sababu Siri ya Mungu hufunuliwa wamchao Soma wakolosai 1:26-28,christo huwezi kumjua mpaka ufanye uamuzi wa busara yaani ujiunge na wachristo wacha Mungu,sasa Angalia vzr Siri hiyo,wakolosai 2:2-4, Kibaya zaidi unapinga kufa na kufufuka kwa Bwana yesu na anayefanya hivyo ni shetan soma Mathayo 16:21-23.ndio maana tunakwambia qurani na Muhamad ni mpango washetani wokovu wapatikana kupita msalaba wa christo sasa soma wagalatia 3:1
@gitongatitus1553 Жыл бұрын
Bible is the messages that had been given to prophets of GOD himself or it is GOD who had written the same bible or in another word it is to say that bible it is GOD himself in the physical. But it doesn't address truly who Jesus Christ is because Jesus Christ is the true GOD as per the bible in the book of John chapter 17 as from verse 2 to 3 read together with bible in the book of John chapter 14 as from verse 10 to 11 and bible in the book of John chapter 10 verse 30 as well in the bible in the book of John chapter 15 as from verse 22 to 24. Here meaning or saying that GOD is the one who had originated from Jesus Christ who was there before anything else being life entity and his real name is life where all other lifes had been originated the life of GOD included.
@shabanirukundo42723 жыл бұрын
Sasa hio bibilia kapewanani benson
@justinejonas4187 Жыл бұрын
Congratulations Dr,Sule
@shukurubalahi8630 Жыл бұрын
Neno linasema mwapotea kwa sababu hamyajui maandiko
@Jonas-t9h7 ай бұрын
Haina haja kuumiza kichwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi
@dannysengata2298 Жыл бұрын
What I know and sure will happen days to come..this man will become a strong and good Christian..... Because he knows well what the truth is...
@mhandoomary8539 Жыл бұрын
He became a Christian before he became a Muslim
@OllerDesononline6333 Жыл бұрын
It will never happen, maybe if Allah want home to be
@isiakaJungu Жыл бұрын
Wambie kweli hao
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
@@isiakaJungu wawaambie kina nani mnahangaika na dini za watu mashindwa kanya tabia zenu za wizi misikitini njoon makanisan muone hata mtu aweke kitu chake atakikuta ila msikitini balaa
@amourworldbeats Жыл бұрын
He was Christian Then After Knowing The Truth He Converted to Islam
@mohamedmohamed1395 Жыл бұрын
😂😂 Asante daktari Swali ni BIBILIA NI KITABU CHA NANI NA KAPEWA MTUME/NABII GANI???????? kuruka ruka ndio kuiva Kwa maharageee😅😅😅😅
@januarymagai Жыл бұрын
Kwani wewe unasema injili,torati,zaburi viko wapi si ndani ya biblia Yani unasema wewe si mtanzania wakati nida na utambulisho wako unakuonyesha dhahiri,unayo macho alafu unasema siyo ya kwako
@francisjoseph10743 жыл бұрын
We kweli unachekesha sasa wale warabu wanne walioandika Quran *SAID OUMARY *SAID ABOUBAKARY *SAID ALLH *SAID ATHUMAN NA hao mitume wamungu waliandika injiri wakowapi waliocopy fikiri kabla ujaropoka afu mnasema Quran ilishusha , na kama ilishushwa mbona ilikuja na vitabu ambavyo vimo kwenye Bible iliyotangulia siingekuja na vitabu vyake?
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
BIBLE KALETA MTUME GANI.TUPENI JIBU
@allykamunya3 жыл бұрын
Sasa hio ndo inakupa picha kwamba kabla hujaamua kwend kwenye dini yoyot chunguza, uliza wanafaham watakujulish don't always be negative.
@francisjoseph10743 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa1586 Quran kaleta nani?
@francisjoseph10743 жыл бұрын
@@allykamunya sisi wasomi huwa hatuulizi tunafatilia nakusoma nyie msiojua ndo mwendelee kuuliza sawa ndomana mnadanganywa kila siku kwajili ya uvivu wenu wa kutaka kutafuniwa kila kitu ata ata (M .SAW) alikabwa Kule pangoni akaambiwa soma ili asiendelee kua mbumbumbu
Mara aseme zaburi kapewa Muhammad, tena anasema Zaburi kapewa Daudi. I think anajichanganya.
@datchdatch38363 жыл бұрын
ipe uhuru akili yako utaelewa. ukichangaya hisia ulizonazo kuwa huyu anapotosha hutoelewa .bali fuatilia vzr utaelewa somo acha mafundisho ya kanisa kwanza maana kuan mambo huko kanisani hamfundishwi .
@alihemed44843 жыл бұрын
Muhammad s.a w kapewa quran tu. Kitabu cha nne. Zabur, daud, torat, mussa, injil issa/jesus, na quran muhammad s.w
@eastafrica68583 жыл бұрын
Tabu hamfatili muhamad saw , kapewa guruan hizo zote ni vitabu vya mmungu ila kila akiwaleta mana bee wanakuaja na vitabu ila mmungu ni mmoja vinakataza ubaya
@indiwimana3682 жыл бұрын
Ajui anacho kiongea.....Mungu hakuurumie......
@Mumewangu Жыл бұрын
Bibilia kitabu hichi kinatoka wap
@Richardkayanda-xv3lf Жыл бұрын
😂😂😂 wijangatu ndo utawapata unanukuu maandiko ya uongo same time mfano mathayo 24:44, hapo umeweka Maneno yako na hiyo yeremia umeipotosha kweli yaani hujazingatia muktaza wa Hilo andiko nawe wajiita Dr na watu wako wanakusifu kweli na kukutukuza Kuna kiyama utakuja jibu we subiri😂😂
@MohammedMselem-kw8it2 ай бұрын
B. Ipo😊😊oonnon😊oo😮I. Mmmm. K ❤
@nicolasnzema084 ай бұрын
Sule bana 😂😂😂😂😂 et tubuni na kuiamini injili hayo maneno yanaoneshaje kuwa imeteleshwa kwa Yesu.
@lucamanguo8410 Жыл бұрын
Dini ya juzi karne ya saba. Inashindana na dini ya karne ya tatu.
@naomimachumu54802 жыл бұрын
Rudi usome kwa makini bibilia Ni muunganiko wa vitabu vyote vya manabiii au watu mungu aliowaandaa ili watuletee sisi . Then tofautisha majors na nyakati usiunganishe nyakati kwa akili yako au ulichokalilidhwa mungu hajawah kushusha kitabi Bal alishusha mbao zilizobeba amri na pia alikuwa anaongea na manabii Kisha manabii wanaandika, jiulize Mohammad alikuwepo lini na yesu alikuwepo Lin ujue kuwa Mungu ni wa wote wenye mwili. Hivyo vtab unavyotaja ndivyo muunganiko wa biblia Kama unajua injili ya yesu inauongofu na Nuru amka sasa ukatubu maana unachokiongea hukojui vzuri
@salummzee9739 Жыл бұрын
Hakika ya Uislamu ni dini ya haki
@januarymagai Жыл бұрын
Poteeni tu wazee wa kukariri
@ALISTIDESITWAZA Жыл бұрын
Waisrael hawakupita bahari ya madetaeranian Bali bahari ya sham
@mchopaluka43193 жыл бұрын
Je Muhammad ni nabii kwa aya ipi???? Dini ni njia je nje ya Yesu Kristo kuna njia nyingine?????? Je Muhammad mpaka anakufa kuna kitabu alikiacha kinaitwa kurani????
@Truth7713 жыл бұрын
Mitume wote walikuwa ni njia kwa Wakati wao, huu ni Wakati wa Mtume Mohammad Yesu alikwisha maliza kazi aliopewa kwa watu alikotumwa sio kwa watu wote. Mbona husomi hiyo bibilia yenu Yesu alivyosema yeye kamaliza kazi aliopewa?. Hebu soma bibilia yako Yesu alivyosema (Yohana17: 4) " Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye ". Tena Yesu katumwa kwa Wana wa Israeli tu sio kwa watu wote. (Mathayo 15:24) " 24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Sasa wewe nikuulize. 1. Wakati wa Musa Nani aliekuwa Njia?. 2, Na watu kabla ya Musa Nani Aliekuwa njia?.
@masoudshaban66093 жыл бұрын
Asante Akhy kwa kumuelewesha...jibu ilo swali
@sharomdguda Жыл бұрын
Hivi wakristo wanaweza kukaa hata dakika Moja kukisoma kitabu Cha qurani ! Haslan habadan , kitu haramu ni haramu tu, waislamu miaka yote hooo Biblia siyo kitabu Cha mungu lkn kitabu hiki kinawafanya waislamu hawalali usiku na mchana wakiangaika na Biblia tangu enzi na enzi . Mbona wakristo na wayahudi mbona hawana time na qurani! , Uislam umekuja duniani na kukuta ukristo na uyahudi upo miaka kabla ya Muhammad?! Sikiliza maswali yake yalivyo ya kislam kislam ovyo ovyo eti Biblia kapewa bwege gani? Kweli umewapata waislamu
@mirajijuma-ti2yg Жыл бұрын
Umekomalia tu ubishi tuambie biblia imeteremshwa kwa nabi gani wakati vitabu vyote vina manabii
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Kaeni na mtume wenu alokuwa hajui kusoma na na siku akirudi nabii isa hajui atafanywa nini
@kusakisoma31683 жыл бұрын
masha allah
@ridhiwaanimlula10403 жыл бұрын
Maa shaallwah
@elyonredtech10 ай бұрын
Uyu jamaa ni cartel anasema biblia si kitabu cha mungu alafu anatusomea kutuonyesha vile torati injiri na zaburi kwa biblia na anaiita maandiko matakatifu. Kuran pia iekwe kwa biblia
@franciscaaugustino43053 жыл бұрын
Ukisikiliza hapa nahisi unamkosea hata Mungu. Maana si kila asemaye Bwana, Bwana atauona ufalme wa Allh
@abelwillium42863 ай бұрын
Sasa kama BIBILIA hajulikani alie telemshiwa unaisoma ya nn? Na kama Maandiko yaliyomo katka BIBILIA Una uhakika nayo mpaka unasoma kutuaminisha yaliyo andikwa, sasa yann kumjua alie telemushiwa na ukimjua inakusaidia nn? We amini yalyo andikwa nakama huamini hutakiwi kusema chochote acha Mungu ataongea Mwenyewe
@Shoto57-f7h Жыл бұрын
Wewe hata ndacha hakufai una hoja za kitoto mahadhiri muisilamu pekee nadhani shafi mazinge kazeeeka anautindio wa bongo
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Wee joezono8 ndie unaeropoka, hizo zinzotolewa na dr sule ni hoja madhubuti, za kielimu, sasa na ww unatakiwa uzijibu kielimu, jibu hoja acha kuropoka, au kulalamika,
@mamasmartcollection70633 жыл бұрын
Hizi ni nyakati za mwisho kila mtu ashike yake,ushauri wangu mtafute Mungu wa kweli
@hassanmfaume45223 жыл бұрын
Mungu wa kweli tunayemuabudu ss waislamu..! Wengine huabudu watu waliokuwa wakila na kwenda choo ..!
@mukrimmohd89542 жыл бұрын
Hakuna kushika lake dini ipo na imetimia na tunatakiwa tuiftate
@dulividuli52372 жыл бұрын
Waislam wanamjua mungu wa kweli ila Wakristo hamumjui mnabakia kumuabudu mwanaadam mwenzenu tu
@crownprinceea24562 жыл бұрын
Watu wangu wanangamia kwakukosa maarifa wewe huna maarifa
@saleherajabu6890 Жыл бұрын
Maarifa mmeshazoa kuongepewa mandiko yenyewe sio ya mungu,niyakina matayo ,yohana,yakobo,wakolinto joshua,walawi warum n.k..mana yesu ndo kapewa injiri ,lakini sasa ayo majina yakima yohana yameingiaje
@crownprinceea2456 Жыл бұрын
@@saleherajabu6890 unaonekana huna elimu kwaio acha kupaza sauti sasa kitabu chenu kuna mpaka kitabu cha maji kila kitabu kinajina la mtu au hujawahi kisoma kitabu chako au hujui kama wale ni watch 1 Al Faatiha 2 Al Baqara 3Al Imran 4 An Nissai 72 Al jinn Au huju kama haya ni majina ya watu hizo sura zote nimajina kama huju sura ya kwanza mpaka ya 114 ambayo inaitwa ANNA acha kuongea usiyo yajua
Wakristo huwa wakiona njia sahihi kwao ni rahisi zaidi kutambua na kufata, fata njia ilonyooka sasa
@francishura76273 жыл бұрын
Masheikh na wachungaji,, tangazeni neno la mungu sio kusema na kuongea vibaya na dini nyingine.. Maana siku zote anaejikweza ushushwa mbele za mungu... Usijidanganye sheikh kama chako bora kuliko cha mwingine...nyie ni mpo kufunza watu dini au neno la mungu?
@seebs11563 жыл бұрын
Upo sahihi hawafunzi neno la Mungu bali wanafunza dini wanapenda kujikweza kujiona wapo corect
@mutumutu49813 жыл бұрын
Biblia siyo kitabu kitakatifu Bali ndani ya biblia kuna baadhi ya maneno ya mungu,pia koroani si kitabu kitakatifu wala akikushushwa wala akuna aya ata moja iliyo shushwa kutoka kwa mungu, napia hakuna nabii yoyote alie wahi ata siku moja kuanzixha Dini chini ya jua katika Dunia hii.Bali zimeanzishwa na Binadamu kwa kuongozwa na iblis na wafuasi wake wakaanzisha madhehebu tofautitofauti na dini tofautitofauti kwa lengo la kuwakamata kiakili, kimaarifa na kiroho, ili mwendelehe kuvutana kwakudai Dini yetu ni bora kuliko nyinyi, na hawa nao waxema hivi, Vila kujuwa kuwa nyote mwamwamdu IBLIS pasipo maarifa mkizani mwamtukuza muumba,mda utafika na Dini zote zitatoweka na hivyo vitabu korohani na biblia azitatumika tena zitakoma kabixa.
@cataniasloane33453 жыл бұрын
Hivi wew unajua unachokiandika kweli?? Au umetoka usingizini,,,kanawe uso kwanza
@Kijazi11323 жыл бұрын
Kanawe uso
@martinekanji8537 Жыл бұрын
Mbona hafanya research kuhusu vyanzo vya uislam amachacha na bible ambayo imefanyiwa research na karibu kilamtu.? Acheni unafiki fanyieni Quranic research .. mtakayo yapata mtakuja hapa na machozi.. Quran Ina habari mingi ilihepa sana Kisha muhim.. na zingefanya Quran muhim sana but vile ilihepa ni pigo kubwa sana kwake
@makalani4759 Жыл бұрын
Shida biblia inasomwa kama adithi ila biblia unaitaji roho mtakatifu akuongoze
@mchopaluka43193 жыл бұрын
Ukristo ulipingwa sana hasa ni kwa sababu hata Bwana Yesu mwenyewe alipingwa ila ukweli utabaki pale pale
@FURAHINICHITEMASI Жыл бұрын
Kwani hivyo vitabu vilivyoshushwa kwa manabii vilishushwa vitabu kama vitabu au walivuviwa watu kuandika hayo maneno matakatifu ya maandiko?????
@essaumpuma29813 жыл бұрын
We bwana huelewi binadamu sio shetani, au majini sio binadamu isipokuwa mtu huingiliwana jini au shetani na kumwasi Mungu, binadam,majini na mashetani ni viumbe tofauti, nakusihi sana ubatizwe umpokee christo njia kweli na uzima.me napatashida sana napokuta mashehe wakifundisha kuwaua wasio kuwa Waislamu kwamba ni kutetea dini na watapata swahaba ,quran 9:5,qurani 4:89 ,kupiga wanawake quran 4:34 halafu unasema quran imekuja kuondoa uchafu,na wakati quran ndio uchafu wenyewe ukisoma mandiko matakatifu kitabu cha kutoka 20:13 amri ya Mungu inasema usiue, lakini pia upendo, mpende jirani yako kama nafsi yako. sasa qurani kuhalarisha uchafu inasemaeti imeharibiwa. nyote unavyo ongea havipo eti injil iya Barnaba hata historia haioneshi uwepowa injiliya Barnaba isipokuwa vitabu vipotoshaji vya kiislam ,lakini sisi taendelea kuamini biblia Danieli alitabiri juuya falme zilitokea lakini pia 666 umetabiriwa na iko wazi masikioni mwa watu na pia biblia ndio inayotupa taswira nzima ya dunia ilipo na inapo kwenda na yote lazima yatimie.acha moyo mgumu njoo ubatizwe eti unasema injili ya yohana, Luka na Marko, unasahau mtume wako hakupewa maandiko, na hajuikusoma na kuandika. sasa ukinionesha mwandishi hata mmoja ndani ya quran utakuwa kidume badala yake vitabu vyenu vinasibitsha waandishi wa quran ni walevi!
@ibrahimjuma103 жыл бұрын
Unapata shida eee kaaa hivyohivyo time will tell us
@abdelnasseraq71333 жыл бұрын
Lahaula
@ZAMB3342 жыл бұрын
Mbona unasema zaburi kapewa nabii mohamed tena unasena zaburi kapewa daudi inamaana walipewa wote wawili zaburi
@raphaelcharles49493 жыл бұрын
Kipofu akimwongoza Kipofu mwenzie wote watatumbukia shimoni. Nawaza siku ya kiama utakapofunuliwa na kuona unavyobwabwaja utumbo sijui utakana au utafanyaje maskini.
@Klvn_Chriss Жыл бұрын
Ulisha jiuliza kwa nin hakuna mpinga uislamu
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah Allah
@isiakaJungu Жыл бұрын
Maxhalah
@bensonlangat6403 жыл бұрын
Deuteronomy 9:10,Mungu mwenyewe kaandika taurati na kidole chake.
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
KWA HIYO
@meekman6543 жыл бұрын
Hahaaaa Nilizani Kaandika Bibilia
@Truth7713 жыл бұрын
Deuteronomy9:10 sio Taurati ni mbao mbili. Taurati ni sheria. Mbona hamfuati Hizo sheria?.
@bensonlangat6403 жыл бұрын
@@Truth771 ni gani hutumfuati?umewai ona mkristo anaua kama waislamu wako na jihad, na mukdad.
@Truth7713 жыл бұрын
@@bensonlangat640 : Hizo sio hoja ya kujua Dini ya kweli wala mauaji sio waisilam ndio wauaji. Kwani walioua katika vita vya ulimwengu vya kwanza na vya pili walikuwa Waisilamu au wakiristo?. Na vita vya crusader ni vita vya kiisilamu?. Hizo ndio hoja za kishetani Kwani Shetani husema yake mwenyewe, na watoto wake ndio hufuata matamanio ya baba yao. Kama ili kwenye Bibilia yako. (Yohana 8:44) " Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo uongo. Mafundisho ya kuua ndio yamo kwenye Bibilia sio Qur'an. Ebu Soma Bibilia yako inasema : (Luka 19:27) " Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu. Na mwanzishaji wa Ukiristo Paulo aliyafanya hayo ya kuuwa huko Yerusalemu kama anavyosema Paulo mwenyewe katika bibilia yako. (Matendo 26: 9) Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti; 10 nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu. 11 Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini. Sasa tumfuate Nani Paulo Au Yesu.
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Nakuliza swali wakati quran inataja kwamba watu wa bibilia Yani mayahudi na wakristo ulikuwa waelewaje quran yako
@jamalmnema8334 Жыл бұрын
Imesema watu wa vitabu haujasema bibilia
@josephatmwakalasi74363 жыл бұрын
Kama injili iliyopo kwenye biblia sio sahihi tuonyesheni waislam kwenye koloan injili ya yesu iliyo sahihi
@NanaGyfty-gt1ie Жыл бұрын
Ni vema kusikiliza na kuelewa sio mtu anabishana na kuona kuwa shehe ayuko sawa hata nyie wakristu mkisikiliza vizuli mtaelewa