Hallelujah. Mtumishi wangu nimekuelewa vizuri sana.Siri za Biblia
@christianmwasakogo55793 жыл бұрын
Ahsante Sana mwalimu kwa fundisho zuri la kumfahamu Yesu kristo
@awareminoe83253 ай бұрын
Asante sana iyoimenishika roh🙏🙏
@lynnkyra41012 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@byoseasolokoci72573 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu akubariki sana kupitia jina tukufu la Bwana wetu YESU Kristo.
@violetwanunu82552 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@nikitalucas23233 жыл бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe sana
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeen
@seebs11563 жыл бұрын
Ameni Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Bwana
@sirizabiblia52763 жыл бұрын
AMEN
@hroidaypetro57853 жыл бұрын
Amina ubalikiwe kwa somo
@pascalfranci83998 ай бұрын
Amen muzazi
@chifumapro50662 жыл бұрын
Asante San hapo nimebarikiwa san
@work24onme2 жыл бұрын
🙏🏼
@dainesykalinga71332 жыл бұрын
Amen
@jeandelmasaby50442 жыл бұрын
32 Torati inaweza kukufanya uwe Myahudi mcha-Mungu. Biblia inaweza kukufanya uwe Mkristo mcha Mungu. Korani inaweza kukufanya uwe Mwislamu mcha Mungu. Bhagavad-Gitai inaweza kukufanya uwe Mhindu mcha Mungu lakini ili uokolewe, unalazimika kuamini kwa nabii ambaye Mungu aliye hai atamtuma kwa wakati wako na nabii huyu, mimi ndiye, mimi ambaye ninazungumza nawe. Wakati wa hukumu, wakati Noa atatokea, kutakuwa na wale watakaomtambua, wale ambao aliishi nao kwa sababu alikuwa nabii wao. Lakini je! Utamtambua Muhammad? Wakati Musa atatokea, kutakuwa na wale watakaomtambua, wale ambao aliishi nao kwa sababu alikuwa nabii wao. Na nitakapotokea, mtanitambua kwa sababu mimi ndiye nabii ambaye Mungu alimtuma kwenu na ambaye aliishi pamoja nanyi. Lakini je! Mtamtambua Muhammad? Leo mnajua kimo changu, umbo langu, sauti yangu, kama vile zamani, kulikuwa na wale ambao walijua kimo, sauti, sura ya Musa, wale ambao walijua kimo, umbo, sauti ya Muhammad, wale ambao waliishi naye. Lakini mmenikataa mimi, nabii ambaye Mungu alikutuma. Na kama ninavyowahukumu duniani, ndivyo nitakavyowahukumu mbele za Mungu na mbele ya malaika wake watakatifu na mbele za manabii ambao mnadai. Mahekalu yenu, makanisa, misikiti na masinagogi ni makaazi ya kishetani tu. #PROPHETKACOUPHILIPPE
@yuzotv45810 ай бұрын
swali langu naomba unijibu,biblia inasema yesu ni neno ambae ni Mungu na alikua kwa Mungu na akafanywa kua mwili na akaishi nasi. sasa naomba uniambie alikua kwa Mungu yupi???!,Manake ukisema yeye ni Mungu na alikua kwa Mungu maana yake Mungu wapo Wawili. nijibu ili nijue. Alipokua kwa Mungu na yeye alikua nani???!.
@tazbernardmanda517611 ай бұрын
tambua ukuu wa mwafrika usiwe unaweka mapicha ya ao makabulu
@mjitenaziofficial3035 Жыл бұрын
FUNDISHO LA TRINITY NI LAUWONGO YESU AKIHITWA MUNGU MWANA TUTAKUWA TUNA HARIBU IMANI. YESU SI MUNGU KI NAFSI ILA YESU NI MUNGU KI ASILI ANA NATURE YA Baba Yule sawa na baba ki nature sio ki nafsi
@sirizabiblia5276 Жыл бұрын
kuna tofauti kati ya yesu na yesu Kristo, kuwa makini hapo. jua kwanza nimemzungumzia yupi
@mjitenaziofficial3035 Жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 Ndio brother nimekuhelewa. Ila Nina swali kwako sasa Je Yesu Ni Mwana Wa Mungu kwakuzaliwa na Mariamu au ni Mwana Wa Mungu kwakuzaliwa na Mungu.