Ila Marco daah...ameniliza sana huyu kaka😭😭 MUNGU awatie nguvu hiki kipindi ni kigumu mnoo...apumzike kwa amani Marco (kila nikimuangalia mke wake na wale watoto 😢 naumia sana)
Inauma sana kifo cha MARKO MUNGU ailaze pema Nafisi yake. alijitwisha huzuni zetu akayachukuwa masikitiko yetu adhabu yetu iko juu yake ISAYA 53:4 na Mungu awambariki sana Zabron Singers moyo unauma machozi yanatililika kila niwatazamapo maumivu nimakali kwagu sijui kwenu amani ya Bwana iwe pamoja nanyi pamoja na taifa kwaujumla by
@joycekienga489414 күн бұрын
Ni uchungu Sana mkipoteza mpendwa Poleni sana Wana zabron singers
@nyororano256312 күн бұрын
Poleni wapendwa you are always in our prayers
@estherlemburismollel590112 күн бұрын
Ndo maana haulizi maana hakuna ambaye angekubali. Kazi yake hashirikishi mwanadamu, yeye anajua kwanini😭😭, cha muhimu tutende yanayostahili ili zamu zetu zikifika tupumzike kwa amani. Faraja toka juu ifurike mioyoni mwenu
@user-nf2hl1tx1x14 күн бұрын
May only God interven coz it's so hard to accept. This song is always in my mind. This world is not our home 😢😢
@ElizabethMaster10 күн бұрын
It's really
@everlinekanini725514 күн бұрын
Ni Zito Sana kuamini Mpaka Saà hii kuhusu huo Msiba wa Marco Joseph Mungu awatie nguvu awafariji wote Familia.Na Mke.na Watoto.Mungu anajua.Yote.na Sababu yoteMarco Joseph Apumziķe kwa Amani From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@rotichmesh614213 күн бұрын
Poleni saana wapendwa, Acha maulana awatie nguvu
@ValentineMikachi14 күн бұрын
Poleni Sana family ya zabulon hata Sisi tunaumwa Sana waja mungu awake roho yake mahali pema
@mercylynnah144114 күн бұрын
Marco wetu apumzike kwa amani,
@ROSEMARYANDATI14 күн бұрын
Mungu aliyenipa nguvu wakati nilipoteza babangu awatie nguvu wanazabron singers
@AnthonyPrince-fo8pu12 күн бұрын
It's at this point you have to comfort God and tell him how you feel ,when I lost my ten years old sister four months ago I told God all I felt 😢😢😢😢😢
@SwediMlaponi12 күн бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu naawape tumaini jipya pamoja nautulivu ndani yamiyoyenu
@jameskichere666418 сағат бұрын
Poleni kwa kweli,,japo kazi ya mungu haina makosa
@francykasyoki968514 күн бұрын
Rip marko.mungu awape nguvu,sio rahisi
@user-lc8sz5cr3k12 күн бұрын
Sorry please 🙏🙏🙏 God has a purposes of everything may God protect you always i am praying for you and his family all shall be fine
@MashakaPaulo-t4z14 күн бұрын
Poleni sana ndugu katika Bwana awatie nguvu by Rich from Nyang'hwale
@CatherineSinakodi14 күн бұрын
Mungu ailaze roho ya marehem mpendwa wetu Marco zabron sisi tulimpenda sana lakini mungu alimpenda zaidi mungu ajawai mtupa mtu yeyote yupo pamoja na nyi kwakila jambo tumshukuru yeye
@sarahmollel845814 күн бұрын
Mung awabariki 🇦🇪🇦🇪🇦🇪 mmeonesha upendo wenu kwa sablon
@JudyMoraa-sv3it14 күн бұрын
Pole sana,lets just trust in God, while waiting for that beautiful morning,we shall meet with Marko jitie nguvu na neema ya Mungu iwe nanyi mafarijike wapendwa.
@ZeraPaul10 күн бұрын
Poleni sana watu wa mungu kwa kipindi. Hiki cha majonzi mungu awatie nguvu
@natashakipz14 күн бұрын
Poleni saana jamani Mungu awape faraja😢nashindwa kuvumilia pia machozi yanitoka
@PriscaMapunda-v3u14 күн бұрын
Poleni sana wapendwa, mwenyezi MUNGU awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@STEPHANIGHUSTAPH8 күн бұрын
Poleni sana jamani, MUNGU awatie nguvu Kwa kipindi hiki kigumu, pia MUNGU ampe pumziko la milele
@bantukauky540813 күн бұрын
Poleni sana wapendwa kwa kumpoteza mmoja Kati yenu siku za kuoshi ni za kuhesabu yote pia iwe jambo la kushukuru
@EvEmmanuelSinyangweMlimaniTemp14 күн бұрын
Poleni sana ndugu zangu tuzidi tu kumwomba mungu aina budi kusema tu Asante kwa yote
@CynthiaNzai11 күн бұрын
Poleni sana inauma sana kwan haraka ila kazi ya mungu haina makosa
@MartinOchiengLigawa14 күн бұрын
Usiumie shukuru Mungu kwa nafsiyote , Mungu ameruhuzu . God shall wipe their tears at the end 🙏 🙌
@JeniferOgesa-ux2bs12 күн бұрын
Mkapate faraja kutoka kwa Bwana,just pray God to guide all your steps,its soo painfully 😢😢😢😢 to lose the love once but we are human beings we can't do anything and that's the only way to everyone, thats why God hide it from us.ila jiulize ukiitwa sahii utakuwa tayari,,,from kenya
@Jozzy-yl3mm14 күн бұрын
Poleni ndugu wa zabron..mungu awafariji katika wakati huu mgumu..rest easy servant of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AnithaConstantine13 күн бұрын
Pole kaz ya Mungu aina makosa msife moyo wapendwa
@ZaklazuliOfficial12 күн бұрын
😔My Heart felt Condolences....it is at this moment that you understand that life is the most precious Gift in which God bestowed in us,... loosing one of your loved ones, is the most and the hardest feeling on earth which can't be explained till Eternity 🤔😔😔🥲
@mariamsospeter951814 күн бұрын
Poleni sana Yesu kristo awafunge mkanda😭🙏
@partsonbulukhu-zy8mn11 күн бұрын
We will miss you more brother Marco😭I was blessed through your Singing.. May God comfort Zabron family, friends and Neighbors us who we loved your Ministering🙏So sorry for the lost of Brother Marco, from Eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-lm9zp5un9e14 күн бұрын
poleni sana family nzim😢ya zabron mungu awe mfariji wenu katika kipindi hiki na pia mungu aiweke roho ya mtumishi wakw marko mahala pema peponi amen 🙏
@miriamrmakala14 күн бұрын
Poleni sana tumshukuru mungu kwa kila jambo❤
@maryjari968714 күн бұрын
Mungu aedele kuwaongezea nguvu,ndugu apumzike salama
@charitynyatichi513211 күн бұрын
I cant avoid listening to this song every day. May God comfort you.
@user-xm9ru7tv2k13 күн бұрын
Mungu awape subra,conniie from kenya
@adelabahati9765 күн бұрын
Pole sana msikate tamaa msipozimia mioyo mtalipwa
@PendoJoseph-g5z11 күн бұрын
Mungu ndo ajuaye kesho ya mtu! Duuuuh poleni sana!
@pascalhakizimana605614 күн бұрын
Inauma sana ila kwa kila anaeamini neno la Mungu, kifo ndiyo mlango wa kuingia mbinguni. Pole sana kwa familia ya mpendwa wetu Marco. Wanakikundi twawaombea kupata nguvu mpya kutoka kwake Mungu Muumba mbingu na ardhi. From Burundi
@MamaeliannaOlgaisaya4 күн бұрын
Mungu awape nguvu mpya poleni sana msiba
@kolethafabian261812 күн бұрын
Polen wapendwa...MUNGU hawatie nguvu
@STEPHENOCHIENG-u5v13 күн бұрын
Poleni sana watu wa Zabron God will walk with you
@user-gx4vx5ru2u13 күн бұрын
Poleni Sana Mungu awe mfariji kwenu kweli inauma ila kazi ya Mungu haina makosa😭😭
@vickytango559112 күн бұрын
Hakika na kwangu hili linaniuma hata sasa nalia sijawahi kumuona live ni kw mtandao tu lkn inavyoniuma ni sawa na mwana Zablon 😭😭😭😭 dah Mungu mpokee Marco hakika naumia moyo jamani
@RebeccaAmini12 күн бұрын
Mungu awe faraja kwenu zabron singers
@MalkoNyachi-rn7oj13 күн бұрын
Poleni sana. katika Bwana Yesu kristo
@EvelynMuthama13 күн бұрын
Poleni sana wanazabron,mungu awatie nguvu pomoja na familia ya marco
@japhetselestine215613 күн бұрын
Mungu awatie nguvu wapendwa ktk bwana yesu kristo
@Vanessa-i2r2g14 күн бұрын
Mungu naomba ndugu zangu uwape nguvu waweze kuzoeya matokeo nawapenda sana❤❤❤❤
@user-eg3xc9wc4v9 күн бұрын
Kweli limeniliza..I feel for u my siblings frm Tanzania
@irinechemutai893314 күн бұрын
May God comfort you Zabron singers and everyone.God has good plans for you.
@EstherMbithuka14 күн бұрын
Poleni sana zablon singers, may God comfort you.
@christopherlugono572114 күн бұрын
Poleni sana wapendwa mungu awatie nguvu, sote tumeumizwa sana
@celeniendayishimiye84913 күн бұрын
Poreni sana sote time umuha kwasababu tunawapenda sana
@user-ft7cv6cj8c14 күн бұрын
poleni sana ndugu Mungu Awatie nguvu Awatie
@RazaanOmar14 күн бұрын
😢😢poleni makiwa kwa familia Rip mtumishi wa mungu pumzika kwa amanii Asante kwa ku rekebisha hapa ma "marico aendee"mkaweka mpendwa watu aende" ime fanyia wengi wepesi wa kuutumia huu uwimbo kwa msiba wao pia pasipo Kutaja Jina la marehemu
@MonicaKaskaz12 күн бұрын
Poleni sana mungu awe mfariji wenu
@user-mf5be3te1c13 күн бұрын
Poleni xaana,mungu azidi kuwafariji
@priscahgithaka825212 күн бұрын
Mungu ailaze roho ya Marco Joseph mahali pema mbinguni
@MalangiJackisoni12 күн бұрын
polen sana jaman polen mungu awatanguliy
@theambrellahproperties113313 күн бұрын
Wapendwa poleni Sana. Ila tufahamu kuwa Kifo sio kazi ya Mungu. Kuna mambo Mungu hurusu Ila sio mapenzi yake na pia kuna matokeo ya dhambi duniani...sio kazinya Mungu wapendwa...alikuja tuwe nao uzima tena Tele
@user-pd7ur4pb4s14 күн бұрын
Jaman mm nililia kama mtoto Kila nikimuona zabron na Victoria pamoja na zabron singers naona wamepoteza mtu muhimu sana kia's kwamba SI rahisi kidonda kupona kwa muda mfupi mm Bado Kuna mda siamin MUNGU awatie nguvu msonge mbele Tanzania tunawapenda Saba your my favorite always ❤❤❤❤❤❤❤❤
@upendoshabany510010 күн бұрын
Polen sana kila nkiangalia h nymbo nalia
@SalomeThobias-e2w14 күн бұрын
Poleni sana wapendwa katika BWANA hicho nikindoda kisichopona lakini kwa yote hayo Tumuombee kwa MUNGU amupoke kwa mkono wake wakuume na amfugulie malango ya mbiguni pia family nawapa pole na wanakikundi cha ZABRON SINGERS mfaliji wetu ni YESU naumia sana kwawimbo huu nikiusikiliza Mungu awatie nguvu msoge mbele msikate shauli ❤😂😢❤❤❤❤
@LeonidasNteturuye14 күн бұрын
Polenisana wapendwa wetu kwetu nimbinguni ndugu yetu anatanguriya burundi tuna wapenda sana mungu wetu wambinguni akipenda tutaonana macho kwa macho
@ConfusedGreyhound-et9xt14 күн бұрын
Mungu awatie nguvu katika hili nami nimeumia sana someni Wafilipi 4:13
@priscillarngalla487114 күн бұрын
It is well guys... Our brother is resting😢
@hanningtonndakala892813 күн бұрын
God's comfort be with you❤❤❤❤❤
@DeborahMusenze12 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awatie nguvu,,, muendelee kumtumainia yeye
@user-mc7dp3vk5r12 күн бұрын
@wangui Its very painful We will miss the voice of Marcos Mungu amfariji wanazabron Poleni sana
@AmonMjungu10 күн бұрын
Kazi ya mungu haina makosa hakika tutonana nae mji mpya
@joycekhaukha12 күн бұрын
Inauma sana,Mungu awatie nguvu pamoja na familia yake, apumzike kwa amani Marco
@Mathias-v1b12 күн бұрын
Poleni sana wasukuma wenzangu mwendo ameumaliza
@ClaraCecil-rq4xf13 күн бұрын
Poleni sana sana Mungu awape faraja kuu.
@Annastaciandungekamila-u1d14 күн бұрын
It hearts poleni sana mungu awasaidie
@jossybona934914 күн бұрын
May our almighty God comfort you and give you strength
@denniskipruto799612 күн бұрын
His wife has the best voice 🔥🔥🔥🔥take Heart my dear it's well
@NeliaAmbele14 күн бұрын
😭😭😭polen saaana wapendwaaaa wa munguu.akika mungu na awe falaja yenu nasisi soteee tulioguswa na huu msiba wa mpendwa wetuu
@AsimweMzawa11 күн бұрын
Polen jmn mungu awatiwe nguvu katika hiki kipindi kigumu
@Secyvicent14 күн бұрын
Polen Sana jaman lakin msiache kumshukuru mungu kwasababu neno la mungu ndio mfariji wenu😢
@mariamjaphet60859 күн бұрын
Ila huu wimbo haukustahili kuuzwa jamani msiba ulikuwa bado mbichi sana jamani hapo tu mkaenda na kushuti dahh Mungu ampumzishe kwa amani😢
@Jose_havertz2914 күн бұрын
Mungu awazidizie uvumilivu wapendwa🙏🙏
@lucinahmoranga235812 күн бұрын
Mungu hawabariki n hawatie nguvu zabron singers 🙏🙏🙏 RIP 😭 Marco
@shedrackshaibu198614 күн бұрын
Inauma sana hasa pale alipokuwa na furaha Kwa ndege na anawaaga kama anakwenda hospital tumuombeee do 😭😭😭😭
@lincyneno225013 күн бұрын
Poleni sana, mungu awatie nguvu
@linetareba850210 күн бұрын
Sorry for the lose my dear brethren.keep heart.God loved him so much
@ViraBabwiriza14 күн бұрын
Iyi nyimbo iniliza kilasiku nifiria maisha ya mwanadamu pumzika kwaamani kakayangu zabron wewe mbele Sisi nyuma Yako rest in peace condolences wana family
@chepngenoviola237014 күн бұрын
Mungu awapiganie ktk wakati huu mgumu.. The song is touching.. This world isn't ours!
@NeemaJumanne-e7e11 күн бұрын
mungu awatie nguvu maana bila mungu hili harivumiliki
@niepushengoloka11 күн бұрын
Polen San MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu awe nanyi
@HappyAgilityPuppy-do2hf11 күн бұрын
Poleni sana wapendwa mungu awatie nguvu katika yote
@user-ds5eb2ue7f12 күн бұрын
Pole sana watumishi was MUNGU
@joelthuo955713 күн бұрын
It shall be well it shall be well...take heart,kweli sisi sote tumeumia sana..
@musomahomeland-ry9uo11 күн бұрын
Poleni sana zabroni's family na wa TZ wote hasa shahabiki wa gospel music😭😭, lkn yote kwa yote 2mwamin MUNGU Kwn lko 2main ng'ambo ya kaburi
@user-oi8ql9hx9f14 күн бұрын
😢😢poleni sana,hakuna msiba unao fanana na mwingne,R.I.P Marko"mpendwa Mungu
@user-bt1vl8nu5n14 күн бұрын
Nyimbo nzuri sema picha ya marehem au crip za marehem zingetawala humu
@israelkisaila840114 күн бұрын
Hapa hawajamwimbia MAREHEMU TU,SASA NI WIMBO WA KILA MMOJA AMBAYE ANAWEZA KUMUIMBI mpendwa wake aliyetangulia MBELE za haki,ndo maana wametoa picha za marehemu ili pia wengine tuutimie HUU WIMBO.
@eunicemutiso578812 күн бұрын
exactly @@israelkisaila8401
@aminakatana872111 күн бұрын
Pole sana bro japhet kwa pingo kubwa ulilolipata wacha mungu akufariji na akufanyie wepesi juu sio rahis kubebaa familia mbili pasipo matarajio yako lkn mungu yuko pamoja from kenya
@petornilamwikali539511 күн бұрын
Poleni sana kunasababu aikuwa bure mungu alipanga 😢
@HampleyGuto-lo1fm14 күн бұрын
Poleni kwa familia ya Marco zabron singers God knows why
@paulinewanjiku591512 күн бұрын
It's pain my heart alot😢😢 when I hear this song and when I see his wife May God give u strength poleni sana sanaaa
@MerlinaKubadesha12 күн бұрын
Polen sana jmn tuwe wavumilivu haya ni mapito 2 Kila binadamu atapitia amen🙏🙏🙏
@chimpayejohn615714 күн бұрын
Poleni mungu awatie guvu Katika kipindi hiki kigumu.