Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 47
@rahabu149713 күн бұрын
Wakwanza Leo naomben like hata mbili jmn
@AmanaHussein13 күн бұрын
Happy muharam happy new year leooooooo🫂
@hadijamshimbula761613 күн бұрын
Nakupenda sana Diva❤❤❤❤MUNGU akupe hitaji la moyo wako dear
@RandB_Channel13 күн бұрын
Nawewe Diva hajielewi maneno yakuambiwa yanvunja ndoa mingi sana na mmeo mwobote hamujielewi
@MwanakomboNassor-bw3by12 күн бұрын
Masha Allah umependeza leo
@fatmaabdallah770912 күн бұрын
Diva ndugu yangu unajidhalilisha hivyo mpaka wafanyakazi wanakudharau wanakufungia mageti wakikuona😂😂😂
@rajabdibwa641512 күн бұрын
Huyu diva kama chizzy fresh😂😂
@AishaHaji-jn7sg13 күн бұрын
Geti limefungwa ili😂 vitu vya mke mwenzio vitolewe 😂😂😂😂😂😂
@esthermakelemo286413 күн бұрын
Ila nyie walimwengu wachomozi
@Zainab_salat13 күн бұрын
Amefunga ndoa😂😂😂😂 kwann unaficha, masha mmbeya
@sund255310 күн бұрын
Hii ndoa unadharauliwa hadi na walinzi mi hapana haki uwiiii
@nancyg866413 күн бұрын
jamani sipendi mtu anaenifokea naeza mnasa makofi
@rehemapeter862113 күн бұрын
Na shoga ake hawana akili et wakampige huyo mwanamke😂😂😂
@annajoseph995513 күн бұрын
Diva ni mkorofi duh,,,mbabe looh
@sharifabahar990512 күн бұрын
😂😂😂anataka kununulia gari tulia ww
@jamilaathumani548113 күн бұрын
Apo mwenye makosa ni abduli si mwingine..ila anakana tu kwa aibu
@steveabel581911 күн бұрын
Jamani diva ndo utembee peku bila viatu🙌😂 15:55
@user-em5fd4qr6g12 күн бұрын
What kind of marriage is this?
@cdeleo933611 күн бұрын
Kwani huyu hiyo ndoa ni lazima? Duuh hatari
@angelinamwakadi522611 күн бұрын
Jameni mlinzi si afuata maagizo😂😂
@lucia2024013 күн бұрын
Ila mawigi ya diva😂😂😂
@dublea411812 күн бұрын
😂 Ma wigs ya TheBawse😂
@steveabel581911 күн бұрын
Ni kasheshe😂 mawigi ya mtumba
@queenmilan202412 күн бұрын
Mawigi ya katani
@upendommbaga707011 күн бұрын
Diva katika kosa aliwahi kufanya duniani ni kuolewa na huyo kaka.. yaani hapo ndo heshima yake ilipopotea kabsa
@NaimaSalum-di8zj12 күн бұрын
Duh sio kwa Wigi ilo
@user-wy9rv2vm4s13 күн бұрын
Hayo mawigi shoga hayakutii wahka 😅
@lizzshayo206113 күн бұрын
Hahahahahah 😂😂😂😂 pwapwapwapwa
@AmanaHussein13 күн бұрын
Si Kwa udhalilishaji huu etii vitu vyangu. aibu ushatuambia vitu ni vyako office mzima hatauku pia hakuficha jamaniiiiii diva kiboko🤐
@user-wu8qe4fv4j13 күн бұрын
Unapendeza ukiva nguo Akujistriri
@Sunshine022212 күн бұрын
Napenda hichi kipindi
@hannansaidahmed194311 күн бұрын
Ungejua kama unajidhalilisha tu ungeeachaga huo ujinga dada
@salamalsawaqi120613 күн бұрын
Ongea kiswahiri wengine hatujui kizungu
@NaimaSalum-di8zj12 күн бұрын
We akili huna na uyo mwanaume hakupendi yani ujiongezi shoga na ilo wigi ndio umekua kichaa
@sofiasimbasimbasofia242011 күн бұрын
Mumeo mshezi mshez duh siku kitakapo Kutoka mikononi ndio utajuwa diva jifunze kujibu wacha kuropoka
@elizabethsamwel862812 күн бұрын
Diva king'ang'a
@ramhuudulla892112 күн бұрын
Ujinga mtupu mwanamke anamnyambua mumewe kama si mumewe kisha mwisho wa siku wanalala pamoja mke anasubutu kukkuita mshenzi hadharan Kisha mwaame anaigiza anasimamia misingi ya dini wapuuuzi wote wanapotezeana muda tu Wala hawaana funzo lolote wala burudani yyt kwa jamiii kichechefu tu. Labda iwe wanaigiza mwanamke mdomo mchaaafuuuu kiliko hao washezi