MATUKIYO YALIYO NIFIKA AMBAYO SIWEZI KUYA SAHAU KATIKA MAISHA YANGU || MPAKA NILIITWA SHEITWANI

  Рет қаралды 30,010

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@sokastreet
@sokastreet Ай бұрын
Sheikh Mselem Allah atukutanishe peponi In Sha Allah nakuonea wivu umepata dharubu kwajili ya Allah 😢
@maase2023
@maase2023 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 huko peponi mna uhakika wa kufika kweli kwa trend hii ya kuongea mno kila siku???😂😂
@AwadhiMakere
@AwadhiMakere Ай бұрын
shkran sheikh wetu mselem Bin Ally tunakupenda kwa ajili ya Allah
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 29 күн бұрын
Allah atawalipia kwa wale wote walio kudhulumu shekhe wetu Tunakupenda sana ❤
@HadijaBakari-l6x
@HadijaBakari-l6x 24 күн бұрын
Pole sana shekhe wetu kwamitihani ya Allah ata mtume wetu MUHAMMAD Swalalahu alaywasalam ameteseka sana ata wewe usikate tamaa ALLAH yupamoja nawe
@hanifa9153
@hanifa9153 25 күн бұрын
Sheikh Mselem bin aliy nakpenda kwaajili ya Allah🎉 Allah akuhifadhi akpe umri mrefu tuzidi kufaidika hakika huchoshi masikioni mwangu moyo wangu bardan wa salama nikckiapo❤❤❤
@MaludaOg
@MaludaOg Ай бұрын
Sheikh mselem mungu akulinde inshaalah na sisii amina
@ibrahimndui9578
@ibrahimndui9578 Ай бұрын
Mashaa Allah ,,,Allah atujaalie mwisho mwema Amiin..
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
mashallah,allah akulinde na akuhifadh shekh wetu
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 19 күн бұрын
Subhaan Allah 😢pole sana baba yangu kwa upande wangu na kupenda sana baba yangu kwa ajili ya Allah mwenyezi Mungu akupe umri mrefu zaidi tupate dawa zako Amiiin thum Amiiin 🤲
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 Ай бұрын
Nakuombea kwa ALLAH AZA WAJAL AKUFANYIE WEPESI Katika kutupa Elimu ya dini yetu. Na ninakuombea tena kwa ALLAH SUBHANAHU WATAALA akuongoze na kukupa nuru ya haki hapa duniani, mafanikio mema hapa duniani na kesho Akhera. ALLAHUMMA AAAMIN. HUPENDI KUJIKWEZA ILA ALLAH ANAKUNYANYUA DARAJA SHEIKH MSELEM ALLY.
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 23 күн бұрын
Hikusoma uko hivi Famabalu ungesoma ingekuwaje Mashaallah tabarakya Rahman Allah akuhifadhi
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve 29 күн бұрын
MASHASLLAH SHEIKHE WETU ALLAH AKULIPE MZR DUNIANI NA KESHO AKHERA ALLAH AKULIPE PEPO YA FREDAUS
@asmasalumu
@asmasalumu 19 күн бұрын
Nimeumia sana wallah ALLAH akupe pepo ya juu sana😂😂😂
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 25 күн бұрын
MASHEKHE WANGU BORA WA ZURI KWA MADA NA SAUTI NZURI NI WEWE SHEKHE MSELEMU ALLY ALLAH AKULIPE THAWABU NYINGI SANA YANI NYINGI MNOO...
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 25 күн бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته الله يحفضك انته رجل مهم وعندك علم الله يحفظك من الملكه العربية السعودية
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 23 күн бұрын
اصحح كلام يحفظك
@kassimjuma6151
@kassimjuma6151 Ай бұрын
Pole sana sheikh wangu Nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@ussiamini2868
@ussiamini2868 Ай бұрын
Maashallah maranyingi wenye elimu hawawezi kujikweza hiyondiyo sifa za wenye elimu
@faridanurdin9635
@faridanurdin9635 25 күн бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema inshaAllah
@AbdullahisaBongole
@AbdullahisaBongole 21 күн бұрын
Maashaallah mwenyezi mungu akuzidishie shekhe wangu na akunusuru
@CikeTanzania
@CikeTanzania 26 күн бұрын
MashaaAllah shukran sana.
@ndayikezaoscar3467
@ndayikezaoscar3467 24 күн бұрын
MI NI MKRISTO ila napenda anavyoongea kwa Utulivu sana. 👍👍👍
@dullahaboud311
@dullahaboud311 Ай бұрын
Allah akufanyie wepesi inshallah
@AbdulJuma-i7e
@AbdulJuma-i7e Ай бұрын
Allah akulipe sheeh langu
@Mohdakhi
@Mohdakhi 22 күн бұрын
Mashallah shekh mselm mm Niko na mpango WA kuja Zanzibar kukutembelea inshallah
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 25 күн бұрын
Maashallah tabarrak allah, shekhe Allah akuhifadhi , atupe mwisho mwema
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Ай бұрын
Wanazuoni ni warithi wa mitume shida ulizopitia na wenzako tutakua Shahid mbele ya Allah,endelea kuizungumza haki na ucha Mungu tunajua km kuna walee wenye chuki ndani ya nafsi zao na hasadi dhidi yenu na dini ya Allah (S.W) lkn hawataaizima nuru ya Allah tuko pamoja shkh Msellem bin Alii Allah akupe afya njema na umri taweel.
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 Ай бұрын
Ameen
@kautharjay5868
@kautharjay5868 29 күн бұрын
Amin
@SuleymanMadaha
@SuleymanMadaha Ай бұрын
Mashallah shkrani shke kwahsoriya
@allyatom2076
@allyatom2076 Ай бұрын
Mashallah Allah akuifadhi akupe umri mrefu
@MohamedMakame-v2w
@MohamedMakame-v2w Ай бұрын
Mmung akuweke inshallah
@OmarMohd-z5b
@OmarMohd-z5b 25 күн бұрын
ALLAH akufanyie wepesi sheikh wetu fiddunia wal akhera.
@SeiffShaban
@SeiffShaban 29 күн бұрын
Mashalhhh shkh msalim nakupenda kwa ajili ya allhhh
@astambaby7719
@astambaby7719 Ай бұрын
Mashallah❤
@sharifshehe1120
@sharifshehe1120 28 күн бұрын
Allah akubari pamoja Sisi, Allah atupe Pepo ya juu
@JOKHAALIY
@JOKHAALIY 18 күн бұрын
Allah akupe mwisho mwema
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 25 күн бұрын
Mashaa-Allah Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu Nairobi Kenya
@abyolafadhili5734
@abyolafadhili5734 23 күн бұрын
Allah Akupe hijazi shekh wangu
@AnasiMarumba
@AnasiMarumba 25 күн бұрын
Allahu akujaaliye kheri
@auntrucky197
@auntrucky197 25 күн бұрын
HasbunaAllah waniimal wakil 🤲
@kaburuahmed6609
@kaburuahmed6609 Ай бұрын
Sheh mselem Alha atakuifadhi dunia mpaka ahera inshahlha
@HamissAli
@HamissAli 19 күн бұрын
Mashallah
@AllySully
@AllySully 28 күн бұрын
Pole sheikhe wngu endelea kuwanyoosha kwa dalili na hoja hao viongozi wasio penda haki kwa mungu ndio ulivo sema.
@hafidhmohammedjuma7053
@hafidhmohammedjuma7053 Ай бұрын
💯 🎉
@SuleymanMadaha
@SuleymanMadaha Ай бұрын
❤❤❤❤
@kassimomar7589
@kassimomar7589 29 күн бұрын
Moja ya shehe nimpendae sana
@mbaroukwizzy3142
@mbaroukwizzy3142 28 күн бұрын
Uwezo unao mkubwa
@asmasalumu
@asmasalumu 19 күн бұрын
ALLAH atakulipa kwa yale yote uliyoyapitia inshaallah,,,
@YahyaButi
@YahyaButi 22 күн бұрын
Mungu atuhifazi
@JaylanAbdallah
@JaylanAbdallah Ай бұрын
Namkubari sana ndiyo shek uliebakiya kwa Sasa tz
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 29 күн бұрын
Ni sheikh mkubwa na bora sanaa Ila usisema ndo aliyebakia
@CikeTanzania
@CikeTanzania 26 күн бұрын
Ni sheikh mkubwa lakin usiseme ndo alobakia jamani wapo masheikh wengi tuu bora sana.
@AminAli-i2e
@AminAli-i2e 24 күн бұрын
Wewe ni sheikh
@hanifa9153
@hanifa9153 24 күн бұрын
Pole kwa yote baba yetu😢😢😢
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 25 күн бұрын
Sheikhe hiki ulicho kisema kipimo cha Elimu kinacho tumika kwa wasomi wetu wa kisasa eti ujulikani mpaka utambulike umesomea chuo kikuu fulani hapa duniani ndicho kigezo cha kuwa msomi mzr hii sasa imekuwa fujo hapa duniani ona unavyo usaidia umma wa kiislamu unawazidi ata hao wasomi wa vyeti vyao.Hii inathibitisha ukubwa wa ALLAH ilimu ya uhakika inatoka kwake pekee,Ninakuombea kwa Allah maisha mema hapa duniani na kesho aheila Inshallah.
@DalilaOman-s1p
@DalilaOman-s1p 25 күн бұрын
SubhanaAlha
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Wewe sheikh Mselem umesoma na Elimu unayo, elimu si lazima uwe na diploma au degree yaani kusoma kwenye vyuo vikubwa. Akina imaam Maalik, Shafy, na Ahmad bin Hambal hawakuwa na diploma na digrii lakini elimu zao ni kubwa kuliko hawa wa leo wenye degree na udokta.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Kasoro sehemu ya tawheed2 ndo hajui hapo au sio ila Siasa anazijua😁😁
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Ай бұрын
HAPENDI KUJIKWEZA NDIO MASHEIKH WALIOBAKIA HAWA
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Ай бұрын
​@@Hamis-ks1sy Wewe UNAEJUA TAWHEED.... BADO HUJAMFIKIA SHEIKH MSELEM KWA TAWHEED. TAWHEED ISOME KWENYE VITABU MPAKA VITABU VIKUPITE KIMO,LAKINI TAWHEED HASA INATAKA MUHANGA KATIKA MAISHA,HIVYO TAWHEED HUJENGEKA MOYONI SI VITABUNI
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
@alwiyiynmission2820 Pia mkumbusheni kama anasema asikae kuisemea dini ya Allah aache walosoma waisemee.
@abdulkarimmahmoud8499
@abdulkarimmahmoud8499 Ай бұрын
@ Hamisi @ wewe huna elimu yeyote acha choyo.. .. Muache Sheikh wetu
@MwanaishaBaruti-k6o
@MwanaishaBaruti-k6o 26 күн бұрын
Endeleya kutuelimisha shehewetu,ishaalla
@muhinaomar3262
@muhinaomar3262 26 күн бұрын
Shekhe upo vizur
@husseynomar9523
@husseynomar9523 29 күн бұрын
Subhanallah
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 25 күн бұрын
Waislam tuache hasad ,choyo ,roho mbaya ,hii mbaya
@muhinaomar3262
@muhinaomar3262 26 күн бұрын
Ukifundisha watu wanaelewa sanaa
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv 28 күн бұрын
Nahiyo diyo elimu mastears phd sio elimu ukosawa
@maase2023
@maase2023 21 күн бұрын
Huyu anatafuta mengine na atayapata tu na hii ndio tabu waislam midomo yetu mirefu inatuponza
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 21 күн бұрын
Hapo ndipo tunaambiwa sisi waislam ni wanafki sasa mtu anaitwa msikitini akiwa anafanya vizuri anafukuzwa
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe Ай бұрын
Wenye digree na diploma siku hizi ndio wajinga wanaosaini kila kitu Bila kujali mazara wanajali maslah yao tu
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
hakika
SIRI NZITO NDANI YA MBINGU SABA | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:12:10
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
WANANCHI WA MAKUNDUCHI WASEMA MAZITO MBELE YA WANASHERIA
9:54
Zan Culture Online Tv
Рет қаралды 1,8 М.
MASHARTI YA FREEMASON KWA MARTHA KUMBE HAWA NI WAPENZI SIO MTU NA MAMA YAKE?
18:43
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32