NILIONYESHWA WAMEFUMBWA MACHO NA WAMEWEKEWA UKIZIWI HAWASIKII, SAMBAZA USHUHUDA HUU WENGI WAOKOLEWE.

  Рет қаралды 5,272

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@neemapetro6168
@neemapetro6168 2 ай бұрын
Amen , Asante BWANA YESU KRISTO NA MWOKOZI WETU.
@EmmyJerremiah
@EmmyJerremiah 2 ай бұрын
Amina ilaaaa kiukweli nachukia vile ambavyo hutaji hayo makanisa na wachungaji..mana sasa wengine utawasaidiaje au mnaogopa kutaja 😢
@RehemaMtono
@RehemaMtono 2 ай бұрын
Nikweli kabisaaa nawala sio uongo
@Mwesige-s8q
@Mwesige-s8q 2 ай бұрын
Bwana Yesu, niokoe 🙏🙏🙏
@jannetteanzemo3280
@jannetteanzemo3280 2 ай бұрын
Japo Niko Kenya lakini napenda sana mahubiri Yako mtumishi
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 2 ай бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu tuombee tutoke kwenye upofu
@angelaugustino2626
@angelaugustino2626 2 ай бұрын
Amen. MUNGU ni MWEMA. YESU KRISTO ni BWANA.
@BerylSeer1
@BerylSeer1 2 ай бұрын
Mungu Atusaidie hakika.
@Muhammad-jy1vx
@Muhammad-jy1vx 2 ай бұрын
Amina,kufaa kweli hapo hadi pastor wa kike hufaa suruali jamani saidi mno ndio yule madhabauni, Mungu tufungue macho tuone
@luenachannel
@luenachannel 2 ай бұрын
Amen mtumishi Mungu asaidie kwakwel
@AlidaSijia
@AlidaSijia 2 ай бұрын
Amen amen
@Upendo6045
@Upendo6045 2 ай бұрын
Hata mimi nimekuja kugundua hataviatu vilefu nimigu yashetani wanawake wote jamani tuviache. Amen
@Joyceisaka
@Joyceisaka 2 ай бұрын
Ndio maana mm nilikuwa nikivaa tu naumwa magot sivipendi
@Upendo6045
@Upendo6045 2 ай бұрын
@@Joyceisaka MUNGU akufungue mana ulikuwa ujui DAMU Ya YESU ikuoshe Nenda kwa mchungaji pitta kwamaelezo zaidi na maombi
@Jonathanlameck-bx9sl4oy5s
@Jonathanlameck-bx9sl4oy5s 2 ай бұрын
Yesu kristo atusaidie na awasaidie wengine kutambua kwamba majira tuliyonayo Yesu Yu mlangoni anakuja. Tujiweke tayari
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 2 ай бұрын
YESU KRISTO atusaidie sana
@angelitapaulo
@angelitapaulo 2 ай бұрын
Bwana atusaidie sana na atuongoze tuijue kweli
@marthambarikiwa7811
@marthambarikiwa7811 2 ай бұрын
Amen glory to GOD be blessed
@akothchristine4752
@akothchristine4752 2 ай бұрын
Amiina
@janengaga2928
@janengaga2928 2 ай бұрын
MUNGU tusaidie hakika .Hayo makanisa ni mengi sana.Nimeyaelewa tayar.
@roseurio3815
@roseurio3815 2 ай бұрын
Yesu tunaomba utusaidie
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 2 ай бұрын
Amen
@FleuryIgiraneza-sf6et
@FleuryIgiraneza-sf6et 2 ай бұрын
Nikwer mutumishi
@Upendo6045
@Upendo6045 2 ай бұрын
YESU KRIST tusaidie tuone
@johnMoses-y7s
@johnMoses-y7s 2 ай бұрын
Mungu alitetee kanisa
@Upendo6045
@Upendo6045 2 ай бұрын
Nikwelo mtumishi wa MUNGU
@SoosanOman
@SoosanOman 2 ай бұрын
Amen
MISINGI 6 YA SHETANI KWENYE NDOA.
24:23
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 1,3 М.
PART 4. ALIUNGWA KWENYE CHAMA CHA KICHAWI CHA VAMPIRE( MAZOMB)SHARE ILI MAJINA YA WATOTO YATAMBULIWE
28:56
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 317 М.
MGANGA KAMUAMINI YESU KRISTO NA KULETA MIKOBA NA KITABU CHA UGANGA NA KUCHOMWA MOTO.SIFA KWA YESU
19:27
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 418 М.
FAHAMU SIRI YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 08/09/2024
2:19:24
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 107 М.
LIVE:MASANJA ANAHUBIRI KANISANI KWAKE
1:18:36
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 70 М.
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН