Рет қаралды 51,515
Kuuliwa bure wafuasi 68 wa ZNP katika mauwaji ya June 1961. Waingereza wakamweka Edington Kisasi kushitaki weauwaji wa ASP. Huyu kisasi akawa memba wa Baraza la Mapinduzi.
Mauwaji ya June 1961 yalikua ni majaribio ya mwanzo ya mauwaji ya 1964.