12. Serikali ya Madaraka Mpaka Uhuru

  Рет қаралды 6,137

MzeeBarwani

MzeeBarwani

Күн бұрын

Usalama wa nchi katika Serikali ya Madaraka ulikua mikononi mwa Waingereza. Abdulrahman Babu alifungwa na Waingereza lakini aliwashutumu Shamte na Ali Muhsin kua walimfunga.
Katika mazungumzo ya katiba London, ZNP/ZPPP waliwapa ASP viti vya mawaziri wane na haki ya VITO. Nyerere aliwakataza ASP kukubali kuunda serikali ya muungano.
Babu alikubaliana na ZNP/ZPPP kufanya serikali ya muungano na ASP, lakini nje ya mkutano akichochea watu kupinga hilo, kwa kuwa ASP ni wauwaji, wameuwa watu June 1961.

Пікірлер: 10
@zahornassor5420
@zahornassor5420 2 жыл бұрын
Nyerere Laanatullah
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Nyerere mungu amuazibu kwa fitna zake kuwazibu wazanzibar
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Amin
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Nyerere ni adui wa waaslaam anasema dini inatuhusu nini wewe ukitaka dini nenda maskitini hajui mungu yeye anataka pesa tu
@gangmore9091
@gangmore9091 3 жыл бұрын
@@alialamoudi9729 yeye anajua yesu ndio anabeba zambi zake sasa yupo kwake now Allah yeye ndio hakimu wahaki
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 4 жыл бұрын
Fitna sio nzuri
@hajimakame1062
@hajimakame1062 5 жыл бұрын
Uko sawa mzee waegereza tu na wamerekani do maduwi wetu walotupa Giza lamaisha ktk visiwa vya Zanzibar
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 4 жыл бұрын
kweli ndugu na chazo baba wa fitna.
@zahornassor5420
@zahornassor5420 2 жыл бұрын
Dah pole kwetu wazanzibari leo hii walewale tunaowachukia ndo tunawakimbilia nchini kwao ivi kweli km wanachuki na cc wangetukubali, Na Allah jajaalia ndo wanaongoza kwa uchumi bora ,na cc tungalikua km wao leo bila hata kukimbilia Dubai ,omani, Qatar na nyengine.
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Babu alikuwa double faces
13. Mapinduzi Zanzibar
13:04
MzeeBarwani
Рет қаралды 39 М.
26 Haki za Binadamu
7:58
MzeeBarwani
Рет қаралды 12 М.
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
10  Jela 1969
10:05
MzeeBarwani
Рет қаралды 14 М.
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
MzeeBarwani
Рет қаралды 47 М.
Developmentalism & Welfarism - Dr Julius Nyerere
1:47
Africa Social Work & Development Network ASWDNet
Рет қаралды 6 М.
8  Athabu kwa Mandera
14:56
MzeeBarwani
Рет қаралды 21 М.
12  Twala Kanielezea Jela
12:10
MzeeBarwani
Рет қаралды 21 М.
11 Twala Yuko Jela
12:37
MzeeBarwani
Рет қаралды 25 М.
14  Kwa BaMkwe Tena
8:01
MzeeBarwani
Рет қаралды 20 М.
16 Kutoka Gerezani 1967
13:15
MzeeBarwani
Рет қаралды 27 М.
13  Twala Kakimbia Jela
9:20
MzeeBarwani
Рет қаралды 30 М.
25 Ahmed Diria 2
9:44
MzeeBarwani
Рет қаралды 17 М.
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН