9 Kutoka kwa Mandera Kurudi Jela

  Рет қаралды 16,155

MzeeBarwani

MzeeBarwani

8 жыл бұрын

Bwana Aman Thani Fairuz anaendelea kueleza yaliyompata Zanzibar ya MAVAMIZI. Baada ya kuadhibiwa na kupigwa na Mandera huko kwa Bamkwe mpaka kakaribia kufa,amerejeshwa jela. Kufika jela wameambiwa mumehukumiwa kufungwa miaka kumi tena.
Jela wamefika kutoka kwa Bamkwe viongozi wa Afro-Shirazi, Abduaziz Twala, Mdungi Usi, Jaha Ubwa, Ngwengwe na mzee Abbas Kenyata. Pia wameletwa Saleh Masta, na Mohamed Amor Barwani.

Пікірлер: 13
@samirs764
@samirs764 4 жыл бұрын
Haya wameyaficha kisha wanifanya km hawayajuai laanatuAllha
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 3 жыл бұрын
karume na nyerere walikua wauwaji na waikuta hesabu yao mbele ya allah
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 жыл бұрын
Kesho kiyama kuna mambo wallai
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 4 жыл бұрын
Jaman kumbe hali ili kuwa mbaya sana
@samirs764
@samirs764 4 жыл бұрын
Allha wajaalie hawa pepo ya frdausi
@abasmwika3432
@abasmwika3432 3 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilaih raajiuun.Allah atawalipa inshaallah
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👍✌️👊.
@Qadar-vx4gj
@Qadar-vx4gj 4 жыл бұрын
Pole Mzee
@samirs764
@samirs764 4 жыл бұрын
Shkhe Allha atakulipa
@aliymaulid8941
@aliymaulid8941 4 жыл бұрын
Subhanaallah
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 2 жыл бұрын
Lakusikitisha mpka kesho ccm Wanaendeleza kuua kwa kweli Dunia hii tunapita tu walouliwa NA walioua wote wapo mbele ya Allah walo baki hai hata 100 Hawafiki
@zainabkhatib6509
@zainabkhatib6509 5 жыл бұрын
Inasikitisha sana
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 5 жыл бұрын
Allah atawalipa madhalim hao na wao wamesha fika mbele ya haki walifikiria wao wataishi milele
10  Jela 1969
10:05
MzeeBarwani
Рет қаралды 14 М.
1  Mwaka wa Mwanzo Jela
11:42
MzeeBarwani
Рет қаралды 11 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
17. Amani Thani: Aliyoyafanya Ahmed Hassan Diria Pemba
21:40
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 4,4 М.
Napenda Hii Sehemu ya Kauli ya Mwalimu Julius Nyerere.
1:37
DMM Visual Channel
Рет қаралды 88 М.
11 Twala Yuko Jela
12:37
MzeeBarwani
Рет қаралды 25 М.
16. Amani Thani: Kisa cha Hanga
24:11
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 4,5 М.
16 Kutoka Gerezani 1967
13:15
MzeeBarwani
Рет қаралды 27 М.
24 Ahmed Diria 1
11:41
MzeeBarwani
Рет қаралды 23 М.
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
12. Amani Thani: Kisa cha Jaha Ubwa
10:57
Hilmi Hilal 259
Рет қаралды 3,2 М.