Aina Za Ndugu - Joel Nanauka

  Рет қаралды 46,719

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 329
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Hahahaha... This video is awesome my brother!
@amonmbea8205
@amonmbea8205 2 жыл бұрын
Tabu kweli hawawatu niwengi sana mkuu unachosema nikweli kabisa
@givenjackson5449
@givenjackson5449 2 жыл бұрын
Ulivyoanza kucheka nmecheka ad mwisho Mungu akubarik sana
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk 6 күн бұрын
ndio ilivyo lakini tusichoke kutenda mema tutalipwa na Mungu na kama huna usilazimishe akichukia ipo siku ataelewa tu tusiwachukie tuwasamehe na kuwaombea hili nitatizo, mwl asante jambo hili latakiwa maandalizi ni jinsi gani tutatoka kwani haliko kwenye changamoto bali liko kwa tatizo tayari baadhi ya familia tena nyingi
@lahatimuga6836
@lahatimuga6836 2 жыл бұрын
Kuna ndugu mlezi mmoja ilibidi nimwambie Kwa ukali akae mbali na Mimi kwani Mimi sio mtoto wake ,Kila saa alikua anataka kunishauri mambo ya maisha yangu utadhani Mimi ni mtoto wake na japo nilikuambia ukweli lakini bado hasikii😂,ndugu mafao pia ninae yeye haajali hata akipiga simu unaumwa wanaombea Hela na ukimpa hasemi hata Asante ,halafu anakaa kidogo tu anarudi Tena na shida nyingine wakati yeye hajawahi kunisaidia lolote,ndugu WA kupenda kulaani pia ninae yeye tatizo lake analaani Kila ninachofanya
@joshuapallangyo4838
@joshuapallangyo4838 2 жыл бұрын
Dah aseee brother unajua kigusa maeneo muhimu Sana. Mungu azidi kukupa mawazo makubwa zaidi ili uzidi kuijenga jamii bora
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 2 жыл бұрын
My brother Joel I love your laughter and lesson as well so interesting..I've Laughed too😆😆😆😆👍👍
@mikidadi7302
@mikidadi7302 2 жыл бұрын
I’m so excited to see kaka Joel laughing big up kaka
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@gloryomary8481
@gloryomary8481 Ай бұрын
Na hao ndugu lawama ndio hubsdilika na kuwa watabiri mabaya nawajua hawa.
@daprince7545
@daprince7545 2 жыл бұрын
Bro izo ndio changamoto ninazo pitia mpaka mda huu Ila nashkuru mungu.
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 2 жыл бұрын
Mie wangu wanataka we ufe kwa sababu ya manufaa yao, kuna dada yangu mkubwa alikuja kwangu mara ya kwanza anamimba akanikuta na mimi na mimba nikamkalia uzazi halo na mimi mjamzito, alipomaliza kujifungua akaniambia nnaringa akaniapiza mbele ya macho, akenda zake baada ya mwaka akawa tena mjamzito nikamwambia mama yangu mwambie mwanao asije kujifungulia kwangu mimi Milo ugenini uhaibuni sina mfanyakazi na na watoto wachanga mama yangu hakumwambiya akaja tena mjamzito
@NyundobinTwanga
@NyundobinTwanga 2 жыл бұрын
Ndugu mafao, ndugu lawama... wapo wengi miongoni mwa familia zetu, hata hapa Kenya! #NyundobinTwanga
@emmanuelmtinangi08
@emmanuelmtinangi08 2 жыл бұрын
😂😂
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 2 жыл бұрын
siyo kenya iyo sana haswa afrika.
@mathiasmbelenge2775
@mathiasmbelenge2775 2 жыл бұрын
wengine wapo kotekote kwy ndugu mlezi na ndugu mafao na hata lawama unagusa sehemu nyeti sana bro, ni bonge la kero
@neemagerald3170
@neemagerald3170 2 жыл бұрын
Yaani leo umenifurahisha
@KsaC711
@KsaC711 2 жыл бұрын
Asante mwalimu ndugu Lawama ananisumbua haswaaa Ila namwelezaga ukweli na uhalisi wa namna ya kitatua changamoto yake
@Raphaelngassa-od9mo
@Raphaelngassa-od9mo 7 ай бұрын
Mtumishi unacheka vizur
@SalumuSaid-vq2kp
@SalumuSaid-vq2kp 7 ай бұрын
hawa ndugu lawama hawa hatar sana yan hata kama unahela yamwisho wanaitaka .wanapoona hutow ujipange kwamaneno
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
U never disappoint us...as usual 🙏 See u at the top👍
@husseingulam8981
@husseingulam8981 2 ай бұрын
Ndugu mtihani hata ukiwajengea nyumba bado watakulaumu tu hata ukiwasomesha utapata tu lawama nimeamua kuwa peke yangu Ili niepushe lawama huu mwaka wa sita sasa sijatembelewa na ndugu hata mmoja na nimesomesha nimetoa mitaji kwa ndugu zangu
@user-my9hc6uf9l
@user-my9hc6uf9l 6 ай бұрын
Mi ninaye mwenye sifa mbili,ndugu mafao na wakati huohuo ni mtabiri mabaya. Ye anatamani niharibikiwe maana huwa siwezi kutatua changamoto zake.
@user-ro4dc5ob1t
@user-ro4dc5ob1t 11 ай бұрын
Aina iyo ya mwisho me huwa nawafanya waisi kua me ninahali mbaya kiuchumi
@awamkhalid5571
@awamkhalid5571 2 жыл бұрын
Nilijua n familia yangu tu kumbe nichangamoto kwa wengi nmengundua baada ya kua m2 mzma kwamb tumeumbwa ktk mitazamo tofaut cha msingi kuwa bize na mambo yako
@jumaharuna9899
@jumaharuna9899 2 жыл бұрын
Acha ,yaan n shida ,usipompa anachotaka anakutangaza
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n 3 ай бұрын
mimi sasa hv ndo nmetoka hapo kwenye ndugu watabiri mabaya ndo nikaingia u tube nikarearch " Jins ya kufanya subra ndugu wakikuudhi" ndo zmekuja pmj na hii nikaskiliza.......Mimi nmemskuru Mungu tu basi nikauona moyo wangu una amani kwakuwa sijamkosea mtu
@alphanmatanza5148
@alphanmatanza5148 Жыл бұрын
Ndugu bana na wakiona walichokitabiri hakiwi wanachekecheka wao wenyew kwa mawhich docta
@enockkamwela817
@enockkamwela817 8 ай бұрын
Nimependa kipindi cha leo, Mungu akubaliki sana
@361NEWS
@361NEWS Жыл бұрын
Dah nmekutana nao aiseee
@user-re9cr7up1i
@user-re9cr7up1i 5 ай бұрын
Bara la Africa limekwamia apa , Mungu akubariki sana kwa kuendelea kufungua fikra za wengi
@boazzclement47
@boazzclement47 2 жыл бұрын
Ninao wengi hao wa lawama Na mafao
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 Жыл бұрын
BARIKIWA Joel unatuelimisha Vema!Kucheka kwako inaonyesha jinsi gani unatufundisha kwa Furaha, Kuna kitu kikubwa MUNGU Ameweka ndani yako, Kitunze.
@salmazwallo8720
@salmazwallo8720 8 ай бұрын
Mm ninao aiseee mpkaa bc 2 natamani kujifunzaa ataa jinsii ya kuwakepaaa kwa kwelii
@plumbingtanzaniaplumber7570
@plumbingtanzaniaplumber7570 3 ай бұрын
Bora asiyesomesha
@daniekasenga4678
@daniekasenga4678 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana , Kicheko chako inaonesha una enjoy ufanyacho 🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 9 ай бұрын
My brother shkran Sana kwa someone lako🙏🙏 , yamkini masomo yako yananiongezea maarifa Kila hiitwayo leo. Kaka balikiwa Sana 🙏 💯. Somo lako limenifanya natabasam 😊😊
@KelvinNyaitara
@KelvinNyaitara Жыл бұрын
Ndugu walezi Dah Nipo chuo.. Ushauri Wa boom Ndo Usiseme 😂😂😂
@severinkinunda5269
@severinkinunda5269 8 ай бұрын
Umenichekesha sana
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 2 жыл бұрын
Umetisha Sana kaka! Haitoshi umeenda mbali tukuyu na ileje much salute bro.. ila Sasa Najiuliza Hawa wenzetu waliotoq dislike Hadi 15.. au ndo ndugu tena jamaniiiii🤣🤣🤣
@joycemakarius8540
@joycemakarius8540 2 жыл бұрын
Mtumishi leo umeleta mpya ,hakika furaha ya Bwana ni nguvu yako,
@kingnkumbi5834
@kingnkumbi5834 2 жыл бұрын
Kwenye kucheka cheka nd unezingua
@rishnaproducts9630
@rishnaproducts9630 2 жыл бұрын
Aisee nimecheka Sana ....Asante kwa somo
@sadikiselemani1580
@sadikiselemani1580 2 жыл бұрын
Ndug walezi na ndug mafao changamoto kubwa ni namna ya kwenda nao bila ya kukaathiri vbaya wew kwan hawa ni watu ambao walifanya makubwa kwako na huwa wanayachukulia yale waliyokufanyia wew ni ngao yao kwao ya wew kuwasikiliza wanachokueleza
@zubedayunus5745
@zubedayunus5745 2 жыл бұрын
Kwa kweli nahitaji NDUGU walezi
@bina2557
@bina2557 Жыл бұрын
Aisee Mimi ninao sanaa
@bennchunga031
@bennchunga031 2 жыл бұрын
Aaaah Kwakweli namshukuru MUNGU kwaajil ya zawadi nzuri ambayo BWANA YESU ametupa kwa majira haya,,, Umeendelea kuwa baraka sana kwangu,,, Naendelea kujifunza zaidi na zaidi,, nafurahi sana GOD bless you 😂😂😂😂😊😊😊😊😊😊😊
@tusajigwedickson4878
@tusajigwedickson4878 2 жыл бұрын
dungu wa kukuombea mabaya wapo sana
@annazakaria1305
@annazakaria1305 2 жыл бұрын
Mimi nina ndugu lawama,ni habari sana,ukimwambia huna hela,unaporomoshewa matusi kanakwamba yeye ni mzazi wako au alikusomesha wakati hakuchangia chochote kwenye maisha yako
@hilalmtangi5241
@hilalmtangi5241 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii, imenogeshwa na Kicheki sio kila somo unatakiwa kuwa "Serious"
@azizakwileka1641
@azizakwileka1641 2 жыл бұрын
Yaani kaka unavyocheka umenifanya na mimi nicheke😀😀
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Hao wangu mie mtihani
@nyirendayaoneni6942
@nyirendayaoneni6942 2 жыл бұрын
Nimefurahi kuona unacheka
@stellasoraya1138
@stellasoraya1138 2 жыл бұрын
Kwa kwellll kaka Joel nami nimechekaaaa sanaaaa na nimefurahiiii na hii ni kweliiii
@user-je5wy4bi4d
@user-je5wy4bi4d 10 ай бұрын
Daaah nimechekaaa sanaaa ulivyoanzaaa na kichekoo maaanaa hapgood ulipokea jumbe nyingi sanaaa na call nying pia ilaa hongeraa Sanaa na napenda kazi zako
@firdosoman3133
@firdosoman3133 2 жыл бұрын
See you at the to kaka jeol 😄😄tunao aina zote hizo za ndugu uliowataja
@emmanuelkao6927
@emmanuelkao6927 2 жыл бұрын
Mr Joel Nanauka I ama mm really enjoyed your learning God bless you broo✍️🤝🙏 Your Strength us
@kedricksiame6167
@kedricksiame6167 2 жыл бұрын
Oke imeekaa vyema
@emmanuelellymdagadzule2847
@emmanuelellymdagadzule2847 2 жыл бұрын
Hahahahahaaaa.... yaani umecheka hadi mimi nikafurahi
@albanfurela7195
@albanfurela7195 2 жыл бұрын
ndugu Mafao na ndugu lawama Umenichekesha sana sana tunapambana nao ni shida kubwa kwangu aisee sijui nifanyeje
@priscathabiti3726
@priscathabiti3726 Жыл бұрын
ndugu lawama nina hishi nao kwa jiya moja tu! natumia Uwigi wa Kimya!! Siyowigi wakuogea naye, kama hakuna jambo lolote lamsigi, Hafa zari nikahe Kimya kwaza mpaka hata Jifuza kama Ni, mpeda Amani atabadilika, lawama nitabiya tu! Siyo, Kilema.
@joharikitundu
@joharikitundu 2 жыл бұрын
Najifanya kama siwajuhi
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 2 жыл бұрын
NI HATARI SANA, KWENYE NDUGU LAWAMA-MM IMENITOKEA HIYO MPAKA NKAAMBIWA SIKUHIZ ANARINGA SANA HATA HATUMI HELA ANAHONGA TU.
@user-dm6gu5jr6s
@user-dm6gu5jr6s 11 ай бұрын
Kaka Joel umenigusa kweli kuna baazi ya ndugu wamekuwa kero kbs
@dr.amos..ngailomd
@dr.amos..ngailomd Жыл бұрын
Nimekutana na Ndugu mafao
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 жыл бұрын
Ukianza mambo haya ya kuchekacheka unaanza kuharibu,,,,,,kimsingi hujawahi kutuangusha katika mafundisho yako!!
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 2 жыл бұрын
Kwa kwel Kuna mda lazima tukubali lawama kuliko fedheha... Ndugu wa kukulaumu kwanini humtumii Hera bila kujali nawewe una kipindi kigumu
@iddahravity9369
@iddahravity9369 2 жыл бұрын
Wapo wamejaa Ila nawapotezea kimtindo
@muhsinkombo3736
@muhsinkombo3736 2 жыл бұрын
Shukran , nimejifunza mengi kupitia vedio zako, ila hii umepitiliza furaha umejikumbusha mengi, M/MUNGU AKULIPE KILA LA KHERI.
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Asante kaka ni kweli kabisa asante
@lilianleonard8106
@lilianleonard8106 2 жыл бұрын
Daaah 😂😂😂🙌🙌🙌
@elishamagambo1512
@elishamagambo1512 2 жыл бұрын
Nmefurahi kuona kicheko cha Kaka Joel Nanauka...........
@thomasboso3081
@thomasboso3081 2 жыл бұрын
Hao ndugu walezi wanaupendo mkubwa kwako
@barakaephraimu7503
@barakaephraimu7503 2 жыл бұрын
Brother Joel hii video nzur sana the way ulvyo present nmefrahi sana kuona ukcheka kw furah kiasi hicho
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 жыл бұрын
Dah ilibidi nicheke na mimi maana hao ndugu wote hapo wapo kwenye family yangu😃😃😃😃
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 2 жыл бұрын
Mpaka umeshndwa kuelezea
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Mi mwenyewe imebid nicheke tu 😁😁😁😁😁😁😁
@selemanijuma546
@selemanijuma546 Жыл бұрын
Hao wananisumbua sana kaka dah ushauri wako pls kaka.
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 2 жыл бұрын
Hawa Walezi Na Malezi Haya SanaSana Yapo Huku Kwetu Afrika...Na Hususa Huku Tanganyika&visiwani.
@getrudandabita1651
@getrudandabita1651 2 жыл бұрын
Mbona unacheka joelll,,ndugu nishida mno😀
@upendomtui4732
@upendomtui4732 2 жыл бұрын
Asante kaka Joel masomo yako yamenisaidia kwa asilia kubwa Sana.
@mwakalukwafredy3720
@mwakalukwafredy3720 2 жыл бұрын
Umenifanya nami ni cheke kaka yangu hakika nimefurahishwa tu na hii video
@princessleonard6415
@princessleonard6415 2 жыл бұрын
Leo nimejiskia furaha ya ajabu kuona ukitabasam kaka Joel. bonge la tabasam jaman.
@WilliamMihayo-iu7xp
@WilliamMihayo-iu7xp Жыл бұрын
Kaka uposawa hao ndungu mafao kwangu ndio changamoto
@lightmedia1168
@lightmedia1168 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@hildahmathew7800
@hildahmathew7800 2 жыл бұрын
Mmmmhh...kweli yapo hay ktk familia na kam alikusaidia ndo kabisa ila unawez kufanya pale panapoezekan na kumuomb Mungu akuepushe n ila zao
@ablesilomba8402
@ablesilomba8402 2 жыл бұрын
Bro umefurahi Sana hao ndugu uko nao karibu sio kwa furaha hiyo
@mohamedimrutu6655
@mohamedimrutu6655 2 жыл бұрын
Watatu na wanne ndio ninao hawo
@jumabavuni2812
@jumabavuni2812 2 жыл бұрын
Hao wapo Tena wengi
@festoantony4673
@festoantony4673 2 жыл бұрын
Sawa asante, naomba nigawie furaha.
@daudiissa9256
@daudiissa9256 2 жыл бұрын
Umewaza nin leo teacher. Nimecheka sasa ila nmejifunza nisiwe na kihelehele kwa ndugu
@mtewelet6941
@mtewelet6941 2 жыл бұрын
NIMECHEKA KWELI
@alfredbyamungu8825
@alfredbyamungu8825 2 жыл бұрын
Nimependa sana Kaka 😂😂😂
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 жыл бұрын
Hii video imenipa raha sana 😁😁
@maliatabuerenesti6681
@maliatabuerenesti6681 2 жыл бұрын
Ukweli mi nimekutana na ndugu lawama ukweli mi nilivyo fanya nilikuwa nawaambia wapambane zaidi na wasijifunzee kutowa lawama
@christinaonyango6085
@christinaonyango6085 2 жыл бұрын
Yaani mi nimekutana nao wote hao daa,nichangamoto
@samsonelishakifunyu8167
@samsonelishakifunyu8167 2 жыл бұрын
Joel unapoint nzuri ila kicheko kilitaka kuzidi unajua unaponya Roho za watu , ubarikiwe Sana Mtumishi
@giovanniotto4672
@giovanniotto4672 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@raheljohn6634
@raheljohn6634 2 жыл бұрын
Dah umenifurahisha sana na kunielimisha sana kaka angu napenda sana kazi zako
@hermanmlekwa95
@hermanmlekwa95 2 жыл бұрын
😄I'm having so much fun while learning leo, make more vids na mode hii kaka, see you at the TOP
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@happymwiliko1167
@happymwiliko1167 2 жыл бұрын
Waoooh kumbe you can laugh too aiseee nimependa sana hii video
@pendorose8056
@pendorose8056 2 жыл бұрын
Hao number 3 ni shidaaa nishakutana nao tena sanaa
@user-gy1lb9fo2b
@user-gy1lb9fo2b 9 ай бұрын
Yaani nikiitaka kucheka naangalia hii safi sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ndugu lawama. 😥😥Mtihani sana
@majaliwanassoro7623
@majaliwanassoro7623 2 жыл бұрын
Hujakosea niukweli mtupu
@hazibonplatformafrica9617
@hazibonplatformafrica9617 2 жыл бұрын
Najua kwanini unacheka.....kuna ndugu zako lazima wajikute kwenye aina ngumu😂😂
Mambo ambayo hutakiwi kabisa kumwambia Boss wako
9:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 66 М.
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 118 М.
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 34 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 143 МЛН
MITIMINGI # 753 AINA KUU 4 ZA UPENDO
15:48
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
Aina 9 Za Wanawake Watata
13:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 104 М.
KUSUDI LA MAISHA YAKO   JOEL NANAUKA EPISODE 03
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 7 М.
NAMNA YA KUISHI RAFIKI YAKO AMBAYE UNAJUA NI MNAFIKI
5:21
Lazaro Samwel
Рет қаралды 13 М.
Mfumo wetu wa Elimu hatufundishi kujitambua
31:13
Chomoza Tv
Рет қаралды 17 М.
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 68 М.
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 157 М.
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 34 МЛН