Рет қаралды 20,444
“Wamezoea huwa sirudi nyuma, leo nimewachanganyia kidogo” Mfalme akiwa kwenye ufalme wake, Twaha kiduku akizungumzia ushindi wake wa pointi dhidi ya Mgeorgia, Iago Kiziria kwenye pambano lao la leo.
Pia Kocha wake amesema “Watanzania wameona, siyo ushindi wa kubebwabebwa”.