ALIETENGENEZA PIKIPIKI NA GARI ABUNI SIMU RADIO INAYOTUMIA ATM CARD

  Рет қаралды 234,908

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 444
@juvenalmtagulwa4726
@juvenalmtagulwa4726 4 жыл бұрын
Dogo uko vizuri serikali mfuatilieni na kumlinda na kumuwezesha huyu kijana kiukweli Mungu amempa kipaji kikubwa
@amani2555
@amani2555 4 жыл бұрын
_Kama unamkubali huyu charii gonga like_
@khamisrashidy1079
@khamisrashidy1079 4 жыл бұрын
Kama una amini MUNGU akikuandikia yes hata waje na uchawi kutoka wap hawakuwez ilanikwa neema2 like zenu hap
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Watanzania mnawaza sana about haters na Wachawi, mnamlinganisha sana Mungu na uchawi, uchawi ukishinda mnasema ni majaribu ya Mungu uchawi ukishindwa eti hata waje na uchawi gani hawatafanikiwa..... Tufikirie maendeleo uchawi usiwe kipaumbele
@meshackmwilongo9793
@meshackmwilongo9793 4 жыл бұрын
Huyu kijana AKIPEWA SUPPORT UTAKUWA MSAADA KWA TAIFA. ANASTAILI KULINDWA
@fahariamalik9611
@fahariamalik9611 4 жыл бұрын
Khamisrashid
@kayvinsmithgang5731
@kayvinsmithgang5731 3 жыл бұрын
Kabisa kaka na mm nime furai
@chrisb4218
@chrisb4218 3 жыл бұрын
Kabisaa
@gambajunior2275
@gambajunior2275 4 жыл бұрын
Dogo nnauhakika anawashinda walio hitimu elimu za juu hapa Tanzania ....yupo vizuri sana huyu
@leopordmulwale6272
@leopordmulwale6272 4 жыл бұрын
Wee big up,,, nadhani dogo andika andiko yaan upewe nn ili utimize malengo yako,,,,
@honorykwahhay4364
@honorykwahhay4364 4 жыл бұрын
Vizuri Sana kijana Zubera Ismaily hakika uko vzr Sana Mungu akuzidishie hicho kipaji, naona utakuwa mkombozi wa Nchi Kwa kubuni vifaa mbalimbali, pia niwapongeze Millard Ayo Tv kwa kutuandalia hiyo makala, ya kumulika vipaji vya vijana!
@ahsantesana4782
@ahsantesana4782 4 жыл бұрын
Huyo jamaa ana kipaji cha pekee kwa kweli!. Ni vizuri tu waendelee kumpa sapoti kubwa zaidi ili tuzidi kuijenga Tanzania kimaendeleo.👏
@kirobotokaberege2695
@kirobotokaberege2695 4 жыл бұрын
Hongera mavunde kwa kumsapoti huyu kijana endelea kuwa naye karibu ili tupate matecnition wetu hapa nchini
@mtumwaharunaally7255
@mtumwaharunaally7255 4 жыл бұрын
Mtoto huyu ni hatari sana ,anaouwezo mkubwa sana akiwezeshwa serikali impe ushirikiano harafu anaouwezo wa kujieleza hongera sana one day yes!
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Mungu azidi kumuinua...😍 Tatizo letu ni kutokujikubali, huenda leo kuna kitu tusingeagiza nje! Kwani kule vinatengenezwa na malaika???????!!! Watu kama hawa Wapate wafadhili na hata nafasi ya kwenda huko kwenye maviwanda makubwa wakirudi waanzishe vya kwao ,wataendeleza wengine na hata kuongeza ajira.
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
YOU ARE VERY SMART BOY
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 жыл бұрын
Hii ndo elimu sasa.. sio civics😁
@princehancesam9892
@princehancesam9892 4 жыл бұрын
Daaaah aseeee sina neno ila watu kama hawa ni muhim Kwa taifa
@abdallahkiritto6308
@abdallahkiritto6308 4 жыл бұрын
Upo vizuri ZUBERY ISMAIL endelea na ubunifu ipo siku mambo yatakuwa mazuri kwako hakika
@mungamichael9354
@mungamichael9354 4 жыл бұрын
Dogo we mwisho, #🇰🇪
@minabuelysee8
@minabuelysee8 4 жыл бұрын
tanzania kwasiku zijazo tutakua tunajielekez uko kupatA wataalamo wa wabunifu wavitu tofauti.Allah amuezesh.amin
@teteatetetechswahili3208
@teteatetetechswahili3208 4 жыл бұрын
Hongera sana kaka,wewe ni mbunifu sana
@imanimbwaga7005
@imanimbwaga7005 4 жыл бұрын
Nimeandika kitabu kinaitwa Tanzania Towards Industrial Economy, and the secret for industrialisation, kimsingi tunaweza kuwa taifa la viwanda ikiwa tu tunaweza kuinvest kwenye talents na vitu vingi naona kama napata majibu ya kile nilikifikilia miaka kadhaa iliyopita
@kasiyarandatv3657
@kasiyarandatv3657 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah #Kasiyaranda
@wcbwasafimusic4552
@wcbwasafimusic4552 4 жыл бұрын
Mungu akusahidiye kwenye mahisha yako uhendeleye na kazi yako ivo ivo
@hemedmnyambwa5502
@hemedmnyambwa5502 4 жыл бұрын
Alllah akupe afya njema
@queenhusna204
@queenhusna204 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah MUNGU akufanyie wepesi kwenye kazi zako mdogowangu duuuu si mchezo
@mandaicontz2721
@mandaicontz2721 4 жыл бұрын
queen husna guud
@peterkwilasa9316
@peterkwilasa9316 2 жыл бұрын
Huyu kijana anakipaji kikubwa sana cha msingi serikari imusomeshe naiwekaribu nae sana,ana akimaliza elimu yake ya juu imuajiri jeshini huko atakuwa mtaalamu wa mambo yote kama vile rada , radio,mzinga, control tower, nk
@henrymushi8340
@henrymushi8340 2 жыл бұрын
Mungu akulinde kwa kwali more creative
@mrholela7906
@mrholela7906 4 жыл бұрын
Nadhani ifike wakati serikali ione haja kuweka Chuo kikuu cha Sanaa ,michezo na ubunifu huku Kigoma kiwe cha kimataifa. Hapa mkoani sijaona boya kila mtu in creative na vipaji lukuki
@abudurmugara9369
@abudurmugara9369 4 жыл бұрын
KG nyumbn kw vipaji
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 4 жыл бұрын
Leka Tutigite. IQ inayopatikana kwenye migebuka na dagaa wetu Kigoma huwezi kupata popote Tanzania
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 4 жыл бұрын
Mawazir wa kigoma hamna kitu
@richardpanja5841
@richardpanja5841 4 жыл бұрын
Kuna vipaji vingi sana nchi hii serikali inatakiwa ivitambue kuna yule aliyebuni skaveta,mwingine alibuni katapila ni suala la kuwafuatilia na kuwasaidia dogo huyu ni kichwa balaa.
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 4 жыл бұрын
Mikebuka hiyo inawapa akili
@neemapeter4572
@neemapeter4572 2 жыл бұрын
Ulaya huyu ni billionea... God bless you you go out side.ukajiendeleze zaidi
@rogerskobero5114
@rogerskobero5114 4 жыл бұрын
Dah! Mi nacheeka kwakufurai safisana dogo pa1 M.mungu atutangulie ktk vipajivyetu.
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 4 жыл бұрын
Duuh dogo Mtundu snaaa ni skilled one
@hamimwa7276
@hamimwa7276 2 жыл бұрын
Ongea vizuri el el nyingiiiiii
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 жыл бұрын
HUYU JAMAA NI KOnK MasTeR
@jocktanchaulla9204
@jocktanchaulla9204 2 жыл бұрын
Hongera dogo maisha yako hayo kaza sana
@ramsoproductio4868
@ramsoproductio4868 4 жыл бұрын
Kijana anaejitambua ni lazima awe na Ubunifu, kwani uwezo wako ndio maisha yako. kijana anauwezo sana
@abc-en3em
@abc-en3em 4 жыл бұрын
This person is creative guys
@neemasaidi3206
@neemasaidi3206 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akulinde na akuongoze
@theperfect6460
@theperfect6460 4 жыл бұрын
Geneous Hiyo business idea ya maji ilikua ni muda wake wa kufanyia kazi.. Angekua nchi zingine huyu alikua ni billionaire Asaidiwe kwenye issue ya business idea kuiexpose ikiwezekana kuiuza kwa watu wanaoweza kuitumia kwa manufaa ya watanzania
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 4 жыл бұрын
Umeona Kwa sababu mpaka leo Dunia nzima tunatumia float Ku shut valve hio sensor Ni idea nzurri ina eliminate moving parts
@kassammwishehe4482
@kassammwishehe4482 2 жыл бұрын
Hongera dogo upo vizuli selikali ya Samia muwekezeni uyo kijana kipaji chake na iyo ni itakua fahari ya Tanzania .msimuache akatoka nnje kama marekani umarufu wake wote wanategemea watu wenye vipaji na wanawahendereza nasi tumwendereze uyo kijana Ila mpeni uticha.opa.shure
@halimaamiri8399
@halimaamiri8399 4 жыл бұрын
safi sana Zuberi ushauri wangu kwako millard kama itawezekana waunganishe vijana hawa iwe team moja watafanya makubwa sana
@nyamtigaibrahim530
@nyamtigaibrahim530 3 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaaaaah uko vizuri sana dogo yaaani hawa wengine wanao waza singeli na Kubeti wangeiga mfano wako hakika hata Uchumi wa Kati tungeshaupita mda mrefu Sana na Mbaka Mh angeharakisha ujenzi wa Bwawa la nyerere uishe haraka ili viwanda viwe vingi umeme uwe mwingi
@elizaphankamando5605
@elizaphankamando5605 2 жыл бұрын
Hicho ni kipaji kampa Mungu cy kila mtu ana akili hiyo, huyo ana akili ya ajabu
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana MashaAllah ktk ubunifu wako
@aggymc1203
@aggymc1203 4 жыл бұрын
Duuuh! Amaising
@joycewijsman1014
@joycewijsman1014 4 жыл бұрын
Genius
@ramerauma3964
@ramerauma3964 4 жыл бұрын
Ebhanaeee jmaa yuko vizuri sanaa tena ni balaaaa
@lorarose1393
@lorarose1393 4 жыл бұрын
Da!! Huyu dogo atar aisee
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 2 жыл бұрын
Good creativity
@stevenngaitv7001
@stevenngaitv7001 4 жыл бұрын
Kweli dogo unaweza
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 4 жыл бұрын
Gundi tu ilinila hela!!!!.12:54-13:00Asante mdogo wangu mungu akufanyie wepesi ugundue vingi zaidi,,,,ila mi nimeipenda pampu ya maji
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
Eddah mmmmh wewee!
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 4 жыл бұрын
@@arqamibnarqam.7185 naam
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 4 жыл бұрын
@@eddahhawa7471 VIP Hali yako?
@mathayomedia2090
@mathayomedia2090 2 жыл бұрын
Hongera sana kijana
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 4 жыл бұрын
Mashaallah! Hongera sana mdogo wetu. Hakika utaifanya Tanzania isonge mbele.
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
BIG UP SANA DOGO!
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
WHEN ALMIGHTY GOD SAYS YES, NO BODY CAN SAY NO
@fikirigenda4044
@fikirigenda4044 4 жыл бұрын
True
@fridayjuma368
@fridayjuma368 4 жыл бұрын
Hongera baba mungu akuezeshe zaidi
@allyselemani3805
@allyselemani3805 4 жыл бұрын
Dah bro upo vzr
@mirajikinuke9849
@mirajikinuke9849 4 жыл бұрын
Uyo Dogo China anaiyona ileee.... SERIKALI wamsimamie uyu dogo na wamtengee Pesa
@for24tv53
@for24tv53 4 жыл бұрын
china verona wew uyo USA KABISA
@alfanally9089
@alfanally9089 2 жыл бұрын
Nimekubar dogo
@vibonzotv2342
@vibonzotv2342 3 жыл бұрын
Sh ngap kaka uwo mtambo
@rugessyfedirick4566
@rugessyfedirick4566 2 жыл бұрын
Nakubal sana zuber
@MrTabasamu
@MrTabasamu 4 жыл бұрын
Africa tunakosa nini? Akili tunazo, ubunifu upo, rasilmali zipo, ila tu uongozi mbaya usokuwa na uzalendo! We can be like Japan, China, etc.
@ramlamohamed6470
@ramlamohamed6470 4 жыл бұрын
Anakjpaji Huyo Kijana
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Dah! Umetisha kijana
@KASWIZAOnlineTV8933
@KASWIZAOnlineTV8933 4 жыл бұрын
Upo sawa dogo
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 4 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU amzidishee kipaji na mafanikio makubwa zaidi
@jacksonkimario6033
@jacksonkimario6033 4 жыл бұрын
Dogo ana mzuka na kipaji chake anataman kifke mbal anajitahd kuelzea kwa marefu na mapana kweli ila tatzo bong awasaport vpaji kufka mbali
@maombitv4118
@maombitv4118 4 жыл бұрын
Ongera Sana miladi Ayo TV kwakuwa saport watu wasio julikina kbsa lakn mmewaweka kwenye ramani
@simonkabala2063
@simonkabala2063 2 жыл бұрын
The blessed kaanani is Tanzania jaman Tanzania tuna vijaana Millard hongera kwa kuwasapot vijana wetu
@rahmamavura406
@rahmamavura406 4 жыл бұрын
Dah dogo konki master ..mungu aendelee kumpigania
@doenmusilikale2237
@doenmusilikale2237 4 жыл бұрын
Congratulations
@paulstanley159
@paulstanley159 4 жыл бұрын
Mkuu siyo pw ✊✊✊
@restutazimbeiya3806
@restutazimbeiya3806 4 жыл бұрын
Mungu amzidishie kipaji jamani na ambaliki afikie malengo yake
@hosenimwelekwa6200
@hosenimwelekwa6200 3 жыл бұрын
Jamaa anajua mungu humpa amtakae
@zubemiloneamohamedizahera6231
@zubemiloneamohamedizahera6231 4 жыл бұрын
Naiomba serkal iziti kumpa.shavu
@emmanueljames7775
@emmanueljames7775 4 жыл бұрын
Big up mkuu..,
@cheteclassic9927
@cheteclassic9927 4 жыл бұрын
Dogo dogo dogooooo mungu akubariki sana ngekuwa na uwezo ungefika mbali sana mdogo angu hakika kipaji unacho
@daniellusembe2914
@daniellusembe2914 4 жыл бұрын
Kigoma mkowa wa vipaji I'm proud of you my brother
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 4 жыл бұрын
Vichwa kama hivo hawavipi sapoti ila mtu anategeneza kiki ya kufa anapewa sapoti
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
Wakina meja kunta
@mustar9490
@mustar9490 4 жыл бұрын
Kabisa
@alyberriajumaa3785
@alyberriajumaa3785 4 жыл бұрын
Mzee baba unajua mungu akujalie inshalaaa
@mnewakihimbo1174
@mnewakihimbo1174 2 жыл бұрын
This is what I call "really education", his cognitive ability is above the professor of engineering! Wenzetu kule Marekani, Japan na China MTU kama huyu ndio anaitwa mwanasayansi, anacheza na reality siyo theories na hadithi za akina Galileo Galilei au akina Newton, let us change our mind set on the concept of science and educated person!?!!!
@elizaphankamando5605
@elizaphankamando5605 2 жыл бұрын
Tanzania hakun viongozi wa kuona future ya taifa ila matumbo yao tu, huyu kijana ni zaid ya ingenear,
@maarifahub5066
@maarifahub5066 4 жыл бұрын
Big up Ally Dreams kwa kumsuport Mdogo wangu akitoboa Dogo ntamshauri akutumie pikipiki aliyoibuni mwenyewe
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 4 жыл бұрын
Dogo nihatari. Napenda Sana ujasiri wake. Safisana. Tanzania vipaji tunavyo Ila namnagani viendelezwe?? Sjui tunakwama wapi
@iddyally3342
@iddyally3342 4 жыл бұрын
Ushauri wngu kwasasa tengeneza sensa za uhakika ambazo utaweza kuunganisha kwenye visima ambavyo vmeshajengwa ili kuepusha kumwagika kwa maji utapiga pesa
@user-ok9mi5uq6y
@user-ok9mi5uq6y 4 жыл бұрын
Hongera Zuberi kwa kazi mzuri Mwenyezi Mungu akujarie ufanikiwe kwa kila jambo
@janethjackson1257
@janethjackson1257 4 жыл бұрын
Piga kazi mdogo wangu
@geofreykupenda2147
@geofreykupenda2147 4 жыл бұрын
Huyu dogo ni zaidi ya piere konki konki konki master
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Mbunge wako Mama Ndalichako amekuona?safi kijana.
@bobsaid8530
@bobsaid8530 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda dogo
@dominickleonard8600
@dominickleonard8600 2 жыл бұрын
KG BOY ONGERA SANA
@je7919
@je7919 4 жыл бұрын
amazing ideal
@lewissinkalatz.3914
@lewissinkalatz.3914 2 жыл бұрын
Huyu dogo hivyo vipikipiki vitengezwe kwa wingi na kuanza kuuzwa kama toy
@jumaommar5667
@jumaommar5667 4 жыл бұрын
Mungu akupe ufanishi mzuri
@andrewagira2950
@andrewagira2950 4 жыл бұрын
This boy is talented... Let them not steal his ideas but govt should fund him to improve
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 Жыл бұрын
god bless you more zuber ❤❤🙌🏼
@ELLYTECH
@ELLYTECH 4 жыл бұрын
M nmemkubali zaid kwenye iyo touch sensor
@zakariajoseph7890
@zakariajoseph7890 4 жыл бұрын
Nakukubali Sana mdogo wangu uko fresh kweli
@rashidsalum4689
@rashidsalum4689 4 жыл бұрын
Mungu amzidishie amuepushie maadui, serekali naomba mumtizame sana huyu dogo. Musipuuze, mumpeleke hata uchina akaongeze elimu yake. Na Ukweli nasema China huyu wanamzuia.
@KalilavKinyentam
@KalilavKinyentam Ай бұрын
KIGOMA KIGOMA mkoa wangu
@mrholela7906
@mrholela7906 4 жыл бұрын
Nimekubari Kigoma hakuna boya
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 жыл бұрын
Boya ni zitto peke yake bana
@ernestlaiza3306
@ernestlaiza3306 4 жыл бұрын
@@jamesmasome359 hata huna aibu kumzsema zito
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Huyu dogo nihatarii sana
@frankoguta9792
@frankoguta9792 4 жыл бұрын
Kwa ubunifu huu veta aitoshi huyu aperekwe china serikali inatakiwa imtazame huyu kwa jicho la pili huyu ataibadili tanzania ya kesho
@alexsebastian4146
@alexsebastian4146 4 жыл бұрын
Subiri corona iishe kwanza
@tizoamani5309
@tizoamani5309 4 жыл бұрын
Hata mm nataka namba yake yangu hii0753935809
@rizikiramadhani7986
@rizikiramadhani7986 Ай бұрын
DOGO UKO VIZURI SANA MUNGU AKULINDE UFIKE MBALI👍
@abraarimages1269
@abraarimages1269 3 жыл бұрын
Mashallah
@gabrielishmael5956
@gabrielishmael5956 4 жыл бұрын
Talented 👏👏
@simonkabala2063
@simonkabala2063 2 жыл бұрын
asa vijana hawa serikali ikowapi jamani mbna ma expert Tanzania tunao!! Jaman
@jumaommar5667
@jumaommar5667 4 жыл бұрын
Kigoma oyeeeeee
@shabanidodoso5100
@shabanidodoso5100 4 жыл бұрын
Uchawi oyee
@user-uk8ot2lx5v
@user-uk8ot2lx5v 4 жыл бұрын
u uchawi unakujaje kwenye ubunifu .tujaribu kupendana nakusapotiana
@rajabuhamisi2940
@rajabuhamisi2940 4 жыл бұрын
Oyeee
@uwellenitallent5001
@uwellenitallent5001 4 жыл бұрын
Fire♨♨♨♨♨♨
@abdallahsaidi2047
@abdallahsaidi2047 3 жыл бұрын
This guy is really creative if he was in abroad he would be step a head. But even there in Tanzania he can still hack n get good dime. What he has done is a sample
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 58 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 33 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 11 М.
Awesome uses of old DVD player
8:30
HowToMake01
Рет қаралды 1 МЛН
RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"
19:33
Global TV Online
Рет қаралды 995 М.
MTANZANIA ALIETENGENEZA GARI LINALOTUMIA UMEME "HATUENDI SHELI"
6:04
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 58 МЛН