#live

  Рет қаралды 18,486

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@ZaitunMaji-fj3sq
@ZaitunMaji-fj3sq Жыл бұрын
Asante YESU
@cynthiaobiero445
@cynthiaobiero445 11 ай бұрын
I'm blessed with the prayers God bless you ❤️🙏
@rhodamahembe3206
@rhodamahembe3206 Жыл бұрын
Nimeona kufunguliwa kwa jina la Yesu..Mungu awabariki sana na kanisa la promover TV..kwa imani naambatanisha sadaka yangu na maombi yangu na ntapokea majibu yangu..Amen
@victoriaremmy3772
@victoriaremmy3772 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa YESU
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze Жыл бұрын
Utukufu juu kwa Yesu juu saana.Ameeen
@lazaromichael-uv7sw
@lazaromichael-uv7sw Жыл бұрын
Amen, nimeona mabadiliko tangu nijifunze somo hili 😊
@lazaromichael-uv7sw
@lazaromichael-uv7sw Жыл бұрын
I never seen before, natamani ningekuwepo hapo mungu awabariki sana❤❤
@godfreymollec8206
@godfreymollec8206 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mch katekela mungu awe pamoja nawe daima nipo nchini Kenya tunakufuatlia sana
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 Жыл бұрын
Hallelujah Nimebarikiwa leo sana watumishi wa Mungu. Acha Mungu wa mbinguni azidi kuwabariki sana.
@florencemueni1183
@florencemueni1183 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu mwnywe nguvu na mamlaka
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 Жыл бұрын
Hallelujah. Mungu akubariki sana mtumishi wake, nimejifunza mengi mnoo
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 Жыл бұрын
Kusema Kweli MCHUNGAJI / WACHUNGAJI MUNGU AWAPE NGUVU KABISAA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Hii ni Kazii kwelikweli; Kibarua kikubwa Kabisa❤ MUNGU AWAPE NGUVU, UVUMILIVU NA UJASILI PAMOJA NA BARAKA ZAKE JUU YENU AMEN 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@asherykushymuga9475
@asherykushymuga9475 Жыл бұрын
Bwana azidi kukutunza na kukutumia viwango vya juu zaidi
@evangelistalopesmaita1968
@evangelistalopesmaita1968 Жыл бұрын
Deus abençoe homem de Deus, e multiplica a sua sabedoria
@NEKESAJACKLINE-jw5gi
@NEKESAJACKLINE-jw5gi Жыл бұрын
Mungu wetu apewe sifa zake. Mchungaji Amieli uuone ufalme wa mbinguni.
@henryosoro7696
@henryosoro7696 Жыл бұрын
May God give you strength pastor.
@annijulius4953
@annijulius4953 Жыл бұрын
Nashukuru Mungu anaendeleaje kutufunulia siri za shetani, wachawi, na waganga wakienyeji. Mungu tufungue Baba.
@HellenKahema
@HellenKahema 6 ай бұрын
Katekela nasikia kupiga Kelele uwiii Mungu wa Mbinguni akutunze😭😭😭😭😭😭😭
@rd-worldtv1500
@rd-worldtv1500 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi je wanawke wanaosokota nywele zake mwenyewe he ni vibaya tusaidie mtumishi
@israelfavour4039
@israelfavour4039 Жыл бұрын
I connect to the grace
@israelfavour4039
@israelfavour4039 Жыл бұрын
Pray for my ministry in Jesus Christ
@adjosasifa1968
@adjosasifa1968 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi, nabarikiwa Sana na maubili yako hakika nadhidi kukua kiroho, promover TV MUNGU azidi kuwatunza.
@israelfavour4039
@israelfavour4039 Жыл бұрын
Amen
@margretokuku8220
@margretokuku8220 Жыл бұрын
Barikiwa. Sana
@antoinettendayizeye5884
@antoinettendayizeye5884 Жыл бұрын
Amen Léo namimi nimefunguliwa mubarikiwe milele
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 11 ай бұрын
Kweli mafundisho yako ni muhimu kwetu kutueleza ili kama mungu anatupenda atuepushe na hawa wachawi. Mtu kama wewe ni mkufunzi mahiri kwa sababu Yesu alkuchomoa huko ili kama sauli Paul alivyokamatwa na Yesu
@abiudimsemea3172
@abiudimsemea3172 Жыл бұрын
Amina pastor na Mimi umenipa majibu ya ndoto yangu
@virginiakanana7677
@virginiakanana7677 Жыл бұрын
Huyu pastor ametumwa anijibu ndoto zangu waah mungu akubariki
@mediakatan
@mediakatan Жыл бұрын
Very true
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 Жыл бұрын
Hiyo stle ya mama mkwe na kijana mkwe ni kali jameni Mungu atuhurumie.
@annijulius4953
@annijulius4953 Жыл бұрын
Unashabikia mpira kumbe unajipeleka kafara poleni washabiki. Mungu alitufunulia zamani Sana haya nikweli anahoyasema huyu mtumishi nikweli tupu kwamba Unaposhabikia wanakuvuta nguvu ili washinde nakibaya zaidi wanakukatia umri wakuishi Duniani kama Mungu alikupangia kuishi miaka 100 hutaifikisha na wale wapiganaji wa mieleka wa ww niwabaya Sana Sana, Kuanzia hapo ushabiki ukanitoka.
@HellenKahema
@HellenKahema 6 ай бұрын
Katekela unanipa mzigo wa kumuombea ❤❤❤uwiii
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
Hallelujah
@newjerusalemhosannaministr9674
@newjerusalemhosannaministr9674 Жыл бұрын
Jamani MUNGU awatie nguvu
@MonicahJuma
@MonicahJuma 3 ай бұрын
Mim naomba no.yako ya simu..naeza kupita wapi
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
Nadra Sana kumpata mzungu kusuka
@FortunateAkaro
@FortunateAkaro Ай бұрын
Kama yupo mchungaji yeyete anae airisha ibada kwaajili ya mpia huyo atengwe namakanisa ya kiroho maana hajielewi
@HellenKahema
@HellenKahema 6 ай бұрын
Tupate wapi mtu kama huyu Mungu tusaidie
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Mchungaji, tafadhali hubirini Injili, Bwana Yesu Kristo yupo mlangoni anakuja kulichukuwa Kanisa lake. Waandaeni wateule wa Mungu majameni.
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 Жыл бұрын
kwani hii ni nini jameni. Wakristo wengi wamefungwa na shetani kwa mapamno uchawi na mambo mengi. Utukufu wa mungu na nguvu za mungu zikirudi makanisani dunia itaokoka.
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Жыл бұрын
@@edwardmwalukware9734 Kabisaaa
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
kufungua waliofungwa na kuwatangazia mate kama uhuru wao. ndokinachofanyika hapo. Yesu akirudi atakupeleka wapi ukiwa umefungwa,umetekwa,.Hiyo ni injili ndugu yangu. baada ya kumpokea Yesu kuna mengi ya kujifunza kwenye safari
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Жыл бұрын
Jacktan muulize mwalimu je, ni wigi ama rasta za wanawake pekeyake ndizo kodi satanist ama hata mavazi tunayovaa sisi binadam wote pia
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
Mchungaji je nauliza mtu akiwa na talent ya kucheza mpira iyo pia ni dhambi ama
@keziaranga6329
@keziaranga6329 Жыл бұрын
Funga na kuomba na umuulize Mungu, atakupa jibu, kwa imani omba muulize Mungu kwa kumaanisha ni Nina ushuhuda atakujibu
@elpinakatana7469
@elpinakatana7469 Жыл бұрын
Naomba unifafanulie mtumishi niliota napigana na mama hata Mara mbili maana yake ni nini
@neemameshack4909
@neemameshack4909 Жыл бұрын
Duuh NI kweliii kabisaa kuhusu nywele hizo hazifai kabisaa
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 38 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 7 МЛН
Watoto Wa Mchungaji Amieli Katekela Official Video 2022
6:32
BUKUMBI STUDIO
Рет қаралды 441
MWANAUME ANAPASWA KUWA HIVI
29:39
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 115 М.
MAGONJWA YA KUTENGENEZA part 1 - Bishop Gwajima
21:04
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 187 М.