Hadithi ya Lilith ni mpango wa shetani wa kibinadam walo tuletea haki sawa wanataka kuithibitisha fikira Yao kupitia Imani😮ili kukamata nyoyo za watu waso jitambua 😊
@barrynzeyimana62702 ай бұрын
Vyote umeletewa na wazungu. Bibilia umeletewa na habari zote umeletewa. Elimu ya shuleni umeletewa
@BenjaminChakwe2 ай бұрын
@@ayoublupande3007 Acha mambo ya ajabu wewe hata kwenye biblia ipo ila kitabu kinachomweleza kiliondolewa kama cha henock, dini nayo ukìishika sana inakufanya unakuwa mjinga kila ki2 unawaza ni ushetani tu
@gayanimwansasu2 ай бұрын
YaniNi kuishi kwenye hisia😂
@gasperjohnson33882 ай бұрын
Hadith za uongo hizi😅
@fasterwalker14642 ай бұрын
Kabisa 😂😂😂😂😂
@LolyFadi-t8b2 ай бұрын
Kur_an ni kitabu kilichokuja na Sheria zote dunian pia Lilith hakutajwa
@elijahbaraka94702 ай бұрын
Kama hazipo kwenye maandiko ya biblia basi haviaminiki na sio vyakuzingatia. Kama Mungu hakuweka hadithihii kwenye biblia basi haku taka tufatane navyo.
@barrynzeyimana62702 ай бұрын
2 Samweli 1:18 (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema, Wana wa Yuda na wafundishwe haya Nipatie kitabu hicho. Kwakua mwafrica anajifanya anajua vitu ambavyo ameletewa na wazungu