Shukran ya sheykh kwa ufafanuzi anae taka kufahamu atafahmu na asie taka Allah amfanyie wepes na yeye afahamu
@salamakhamis72455 жыл бұрын
Baaraka LLAHU fiiqu Yaa Sheykh. wanaotaka kufaham wamefaham wanaopelekeshwa na hawaa za nafsi shauri ni zao
@fahmymasoud12052 жыл бұрын
Maashaallah....umefafanua swahihi kabisa
@sanuramakame51225 жыл бұрын
Asante shekh wenye kuelewa wataelewa.
@suleimanhamza29763 жыл бұрын
Shukran sheikh. maneno yako swahih
@khalfansharji97905 жыл бұрын
Vizuri sana sheikh ALLAH AKUONGEZEE ILMU.
@امينةشعبان-ر5ق5 жыл бұрын
1
@khalfansharji97905 жыл бұрын
@@امينةشعبان-ر5ق shukran
@JumaAbdallah-ln5vo Жыл бұрын
Tumuogope Allah tusiwe ktk dini kiushabiki wote masheikh zetu tuwaheshimu Allah ndie ajuaye
@assadyabdull51465 жыл бұрын
Shukran Sana sheikh kwa ufafanuzi mzuri wa swaum ya Arafa
@HassanOmar-x5n5 ай бұрын
Subhaan Allah huu ni upotovu mkubwa saana eti Eid na kisimamo ya Hajj hauna uhusiano
@reystarmidaddy26745 жыл бұрын
Shukran Sheikh wenye hamasa wana matusi licha ya kuwa waruhusiwa kufuata suudi au ufuate sunnah
@zuheorsalim77595 жыл бұрын
Shekg hawa wate wanaokwambia km umepotea kwa kweli ni watu jinga ni watu ambao hawakusoma lakin uko sahihi vitabu vyote vya waislm ndoo vinaelekeza hivyo allah akuhifadh shekh
@nuhusalimu47785 жыл бұрын
Wengine mnalinda vibarua vyenu.
@husseinkakanga40823 жыл бұрын
Safi kabisa shekh umesema vyema hata akili inakubali
@khamisrubea50835 жыл бұрын
Safi sana sheikh tumekufaham ila mnatakiwa muwe mnatoa darsa mara kwa mara mana watu wengi wanafata saudi kwa sababu ya tecnologia ya tv na intarnet sio kielmu
@AlIhsaanTv5 жыл бұрын
Khamis Rubea ndugu hapa darsa kila siku bora uwe ume subscribe
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Huna ulijualo!!!
@khamisrubea50835 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 sawa sijui nakubali ila hakuna anaejua kila kitu
@whonshineargay25435 жыл бұрын
Saddaqta yaa Sheikh ALLAH Akujaze Kheir na Afya...
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Amiin Yaa Rabb
@tifasofia29555 жыл бұрын
Mungu akuongoze shekh uzid kutufundisha zaidi
@muhidinally37532 жыл бұрын
Huyu ni sheikh mpotoshaji hswaa
@rashidbusanya71665 жыл бұрын
WAKISIMAMA LAZIMA TUFUNGE HAMNA KUPOTOSHA WATU kila mtu aamin anacho amin siyo tupotezane
@saidiharuna31295 жыл бұрын
Rashid Busanya kama hukusoma utaburuzwa shekh asante sana watakusumbua wanataka makubwa madogo hawayajui tusome
@yusuphmohamed55415 жыл бұрын
Sikulaumu ila ni vizuri kusoma
@jadinjama90305 жыл бұрын
Wakisimama uku kwetu Marekani ni usiku tumelala
@rashidbusanya71665 жыл бұрын
Jadi Njama mukiamka mtaendeleza
@rashidhemed12125 жыл бұрын
Rashid busanya dini inafata ushahidi kwa iyo ukisema wakisimama lazima tufate bado sisi wengine hujatupa faida kwa sababu arafa ya mahujaji inaanza saa 7,mchana je tuanze kufunga saa saba mchana?pili wale ambao kwao ni usiku wakati mahujaji wamesimana je wao wafanye nini?,
@arkamahmed74495 жыл бұрын
Shukraan sheikh umejibu vzuri mm nitafuata muandamo wetu
@feisalfaraj442 жыл бұрын
aslm maulidi ya rasulu mohdswalalhuwasalimutaslimu
@ustadhially85425 жыл бұрын
Acheni maneno ambayo hayafai sheikh yupo sahihi
@alikirobo1415 жыл бұрын
Jazakkalwah khairan sheikh
@yassirkhalifa8755 жыл бұрын
Sheikh mungu akulipe kheir
@khamisissa2525 жыл бұрын
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakaatuh.. Ikhtilafu ya mwezi ilikuwepo na IPO na itakuwepo.. Ila tujue huko nyuma walikhtilafiana kwasababu be hakukuwa na namna za mawasiliano hata mtu aliye Makka asingeweza kujua habari za mwezi wa Madina pasina yeye mwenyewe kwenda huko... Huku kwetu Kenya vilevile zamani usinge jua Mambo ya Nairobi ukiwa mombasa.... Lakini be Allah ametupa neema ya mawasiliano ya kisasa twajua soote Kama hijja itaanza lini na wakati gani.. twajua haswa Kama sehemufilani mwezi umeandama na waislami wameshuhudia... Ajabu Leo mwezi ukionekana sehemu fulani Kenya twapuuza Ila sehemu nyengine twatangaza huu ni ukabila wallah ndani ya Dini.. Laiti mawasiliano yangekuwepo ya kisasa (digital) wakati wa mtume na maswahaba wangetumia Hivyo basi tusijifanye hatujui Arafa ni lini na kinacho fuata Arafa ni kipi
@yusuphmohamed55415 жыл бұрын
khamis issa kama ilikuwa ni lazima arafa ifungamane na kisimamo cha mahujaji basi mtume S. A. W angekuwa anawatuma maswahaba zake kwenda makka kujua mahujaji watasimama ln... Kama mtume hakufanya ivyo unatolea wapi hoja yako iyo
@khamisissa2525 жыл бұрын
@@yusuphmohamed5541 ujue mtume ndio kiongozi wakati huo na alikua Madina be Makka uislamu ulisimama baadae.. Ila tujue kwamba kujifanya hatujui Arafa ni lini ni matakwa yetu sisi wenyewe
@jadinjama90305 жыл бұрын
Kwenye mwez mnatete mawasiliano. vipi na kwamwanamke kukaa eda akitumia vipimo vyakupimia mimba?.... nadhan tubaki kwenye asili ya mambo kama ilivyo kuwa
@ibraringi80725 жыл бұрын
Ok rahisi to kwamfano saiv mwez umeandama brazil na ni usiku saiv na umepata mawasiliano kesho wanasali idi na ww utasali kesho.
@swalehahmad89475 ай бұрын
Kama ni hoja ya mawasiliano basi hakuna network powerful zaidi ya jibriil a.s mbona alikuwa hashuki kumfahamisha mtume s.a.w alipokuwa madina kuwa kisimamo ni siku fulani makkah!!!???? Ili mtume s.a.w asiikose fadhla ya saumu ya arafa .....
@ahmedrageahmedrage91342 жыл бұрын
Masufyyy Wana nguvu kubwa katika daaa'wah Yao ya suffyaaah daa'wah ya bathilaaaah Al khuraaaafiyyin
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
Pole bwana kifaranga cha kiwahabi. Uchungu umekujaa. Tuletee hoja zako
@abdulhamidbakar24615 ай бұрын
@@hassanalhussein3982wengi wao hao niwatu wa kutoa Rai kwa akili zao na sio kwa hufahamu wa wanazuoni na ndiomana wanapoambiwa watoe dalili majibu yao huwa ni matusi
@MohammadJumah-qk2xc Жыл бұрын
Mmmmmmmm shekh ittaq llaah haki iko waz na batil iko waz mtume kaletewa taarifa na kafunga wew hujui hiloooo
@abdulhamidbakar24615 ай бұрын
Thibitisha kielimu usitoe Rai yako
@kombomakame89363 жыл бұрын
Wajengee Watu alkaaba ndani ya nchi yako ,shehe mpunga tunakufahamu,Umennuliwa.
@abdillahdiha54442 жыл бұрын
Asalaam aleykum! Mm kabra xijachangia chchte wte ktk comment zenu jiulizen swali 1 je Duniani kote siku ni 1 au tunatofautiana masaa 2 ukipata jibu ni follow nikufafanulie nini maana ya arafa uelewe! wallahu Aalam! Wabirah Tawfiq!!
@swafiaabubakar87532 жыл бұрын
Subhanallah!
@abdulghafarshaaban63345 жыл бұрын
Asalam Aleikum Tartibuni jamani jadilianeni kwa ustaarabu. Eid ni barkah kwa waisilamu wote haikuja kuwa fitna ama chombo cha guwanya waisilamu. Kauli ya Habib Ahdali mie nakubaliana nayo mola amjaze kheri fi dunia wal akhera Ambaye anapinga kauli hii bado tunakupenda na tutakwambia idd mubarak
@omarmohammed51572 жыл бұрын
Tunaomba khadith za hayo maneno sheikh
@shimbo01463 жыл бұрын
Mahujaji wakitoka kwenye nchi zao wanahesabu muandamo wa maka a ili wasipishane sasawewe unatetea uzaifuwako acha ushabiki kaburin utaingia pekeyako allah atufahamishe
@khadijamoha6895 жыл бұрын
ubarikiwe sheik na Eid mubarak
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Duh!!! Kumbe IDD al adhaa haihusiani na hija!!
@abujamalaalghammawiy74705 жыл бұрын
Juma Kapilima, hilo ndio sahihi, watu waliswali Iddi mwaka wa pili tu baada ya Mtume kuhamia Madina. Wakati Hijja imefaradishwa mwaka wa nane au wa tisa
sio 24 hrs BALI masaa ya mchana makka wengine weko usiku ITAKUWAJE NA KISIMAMO NI MCHANA ? jamani ilmu imefunguka sana kama hujafahamu rudi tena tusaidiane kuelezana please
@engmohamedadow55305 жыл бұрын
Hapo hatukubaliani sheekhee
@saidmwinyi25013 жыл бұрын
Hadithi inasomeka vip shekh, mbon mnatupotosha
@muhidinali81805 жыл бұрын
إنا وجدنا آباأنا علی أمة وإنا علی آثارهم مقتدون، قال ألوجٸتکم بأهدی مماوجدتم عليه آباأکم قالوا إنا بما أرسلتم به کافرون هذا الدٸما قول أهل الباطل لايقبل الحق يترکون ما قال الرسول محمد ويفضلون کلامهم الرسول محمد صلی الله عليه وسلم يقول صوم يوم عرفة وهذا يقول صوم يوم التاسع
@ahmedalimohamed54645 жыл бұрын
Shukran kwa Faida
@salmanmagwe26123 жыл бұрын
Shukran shekh hawa kanzo fupi wana akili fupi na ara nyingi ni watu wa JAZBA. Mamufti wao wanafuutu tofauti na wao huku wanafanya tofauti. Kama watu wanazozania urefu wa ndevu na kanzu unafikiri wana akili timamu?
@kathoomalmoslam42075 жыл бұрын
Jamani naomba kuliza hivi kama bada hujalipa za ramadhani je naweza kufunga arafa
@MohamedHassan-go7zz4 жыл бұрын
Maa sha Allah
@ruu65923 жыл бұрын
Sheik umesema vizuri ila hapa kwa mwezi ndipo kwenye balaa sisi tuliwahi kuona mwezi na khadhi hakutangaza ila sisi tulianza kufunga tunako elekea ni kua tutafute kalenda yetu sababu kama ni muandamo wamwezi mwezi uonekana na khadhi hatangazi ndio mana watu wanamua kufata miezi ya saudi Mara nyingi sisi mwezi tumeuona ila aitangazwi ramadhan ila sisi uanza kufunga hii inavunja moyo sana kuhusu muandamo wa mwezi maeneo ya shimoni likoni mwezi uoneka na watu uwa tayari kuapiswa ila wapi kwamaana iyo tunafata kalenda sio muandamo wa mwezi
@jumajafar87102 жыл бұрын
Kalenda ya kiislamu hufuata mwezi au kitu gani muogopeni Allah
@yusuphkwaya78435 жыл бұрын
Safi Sana shekh uko vzr
@saidiharuna31295 жыл бұрын
Yusuph Kwaya Allah atuhifadhie watu hawa wa elimu
@suleimansaid94975 жыл бұрын
Inshaallah
@duniaileile55225 жыл бұрын
Wape wapeeee sheikhhhhh Watafunguka macho siku moja, wafuataji ovyo bila elim akili Swahihi; mushkila wao wanapaliliwa kua wabishi hata 2+2=4 watataka iwe 5 tuuu duhhhh Mtihani kweli
@zulfahhussein5055 жыл бұрын
Duuh huyu sheihk kwakweli anapoteza watu Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake
@ismailjuma36925 жыл бұрын
Mashaallah
@abubakarmuhammadsaid32442 жыл бұрын
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana siku Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama SIKU ya ARAFAH." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: "SIKU ya ARAFAH, huteremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya SIKU ya ARAFAH Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata." [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika SIKU ya ARAFAH.” [At-Tirmidhiy] Hadithi zote zinasema tufunge SIKU ya ARAFAH, sio mwezi tisa. Arafah inapatikana Saudia tu.
@hamadamaani25165 жыл бұрын
Mashaa Allah ihsaan TV ama
@AlIhsaanTv5 жыл бұрын
Hamad Amaani In Shaa Allah kwa dua yako MOLA atufikishe huko
@osmanmuhidin35635 жыл бұрын
@@AlIhsaanTv insh'Allah mutafika huko kwa ajili ya Allah💯💯💯
@AlIhsaanTv5 жыл бұрын
AMEEN
@hamadamaani25165 жыл бұрын
In shaa Allah Mola atawafikisha mbali zaidi jumla ya vyombo kamili TV redio gazeti yote kwa ajili ya kuieka juu kalima ya tauhiid na kubatilisha shirk kwa barka ya Mtume na aali zake
@ahmadehassane56555 жыл бұрын
Shekhe wangu nakuomba unitumiye namba zako.
@hassanmaganga15445 жыл бұрын
Inshaallah shekhe
@aliabdallsh71482 жыл бұрын
Inaa lillahi wainaa ilayhi raajiun ww ni muongo tena sana
@allyndambwe43545 жыл бұрын
maashallah
@abujuhaifah74615 жыл бұрын
Pumba vibaya baya umeongea muonekano wako na uongeaji wako tofaut
@spycley61273 жыл бұрын
Kila mmoja anamuona mwenzake pumba
@spycley61273 жыл бұрын
Mm point yangu ni 1 tu hadi leo, Ingekuwa hakuna teknolojia nani angekuambia kuwa kule mwezi uliandama?
@SalehSaleh-gr5fo5 жыл бұрын
SubhanAllah, mwezi unaitwa Dhul-Hijjah, halafu funga ya Arafa haihusiani na waliosimama Arafa na Mtume Sallallahu Alayhi Wassalaam anasema Hajj ni Arafah! Eid-Ul-Adha haihusiani na Hajj??? Naomba kuuliza je Eid-Ul-Fitri nayo haihusiani na Funga ya Ramadhani??? Kuelewa anavyoelezea sheikh hapo (Allah amuhifadhi) itakua tabu sana.
@gift-AA3 жыл бұрын
MCHE MOLA WAKO SHEIKH wacha kupotosha waumin hakika mtakwenda kuyajibu siku ya hesabu
@ibrahimyusuph14683 жыл бұрын
Wewe kama nani unameambia sheikh ataenda kujibu siku ya qiama soma sheikh na we utoe hoja
@sulemanabbas99555 жыл бұрын
Mashallah
@abufarhat15 жыл бұрын
Mbona Mwafwata Masheikh Wakubwa Wa Ahlul Sunnaah Upande Huu Na Kwengine Hamuwafwati?
@rajabujuma49765 жыл бұрын
Haukuwafahamu hao Mashaykh walikua na ilimu kubwa sana na ufahamu mkubwa na ili ujue hawakua tutusa hebu tizama hawajawahi kua nyuma ya zama zozote kielimu wala bali kila ilimu na kila maendeleo wao tayari walisha pokea mafundisho yake kutoka kwa Mtume s.a.w
@omaar56935 жыл бұрын
Kwani walimu walio tangulia walisema wengine hawana elmu, kwa kutofautiana kwao? Mwatoaje kipimo cha elmu katika khitilafu. Mbona asomeshapo jengine hakosolewi? Mi naona wote wamesoma, ila tofauti ni mizizi ya elmu zao. Na huenda alomwambia mwenzie hana elmu, yake ikawa Chini, kwa Hali hii warithi wa mtume hawapo kila mmoja ajiona yeye ndio mrithi. Jamani. Mutasahau lengo.
@husseinkweji37815 жыл бұрын
Inshaallah
@saidmwinyi25013 жыл бұрын
Shekh bas na tusherehekee jap mwezi mosi zulhija
@ahmedyassin77025 жыл бұрын
Tunashkuru shekhe wetu tumeelewa kabisa sasa
@fatumasuleiman39085 жыл бұрын
ndugu shekh kakosea
@husseinibrahim40645 жыл бұрын
Dunia nzima watu wanaenda sawa isipokua East Africa... Mashekhe wa huku jamani? Watu wote wataswali Eid siku moja ila huku East Africa ndo huwa tunafuata sijui mwezi wetu .. mara Calenda 😂😂😃... saa hii tena mashekhe washaanza na ubishi wa Arafa na mnafahamu bayana Arafa ni moja na ndo siku ambayo kama huku enda hajj wafaa kufunga na kesho yake kuswali Eid... Allah atuongozee
@khamisbilal2645 жыл бұрын
Qaul ya Ibn Abbas Haina nguvu mbele ya Qaul ya Rasulu Llah Inswaf inahitajika ktk masaail haya ungetaja walau had it hi ya Ibn Qatada kutoa watu matongo y macho n masikio umebaki kusema mwandamo WA mwezi Allahu Mustaanu
@muhidinali81805 жыл бұрын
ikowazi hapo ktka hadithi ya abi qatada iliyopokewa na imamu muslim سٸل رسول الله صلی الله عليه وسلم عن صوم عرفة Aliulizwa mtume kuhusu funga ya arafa si siku ya mwezi kama inavo daiwa na mukhalifina ingawa nisawa inakua siku ya mwezi 9 kwa tarehe za maka ila hadithi haikutaja tarehe kama hao watu walivoshikilia wazania nitarehe tisa yao
@saidmwinyi25015 жыл бұрын
Hatujapat jibu isipokua ametuzonga, amesem tufuat muandamo wa mwezi . jee ikiw sis mwez umetangulia kwetu tutakua tunafung arafa au tunafung katk masik tu
@mwanamutemi5 жыл бұрын
Ndugu Said tafadhali fahamu hivi : Nabii Ibrahim aliota kumchinja mwanae Nabii Ismail, Allah SW akatumiliza kondoo ili Nabii Ibrahim amchinje badala ya Ismail. Mtu Mohammad SAW alitumilizwa miaka mingi sana baada ya Shughuli hiyo ya Ibrahim na Ismail LAKINI alipotumilizwa Mtume wetu alikuta watu wakisherehekea, Mtume akawaambia Allah amewapeni siku 2 muhimu zaidi ya sherehe, siku hizo ni Idd Fitri na Idd adh'ha HAPO BADO HAKUNA KITU KAMA NGUZO YA 5 YA HAJJ. Nguzo ya Hajj ilikuja baadae sana yapata miaka 5 au zaidi. Allah akajaalia Hajj iwe katika siku zile zile 10 za mwanzo wa dhul'hijja. Kwa hivyo siku hizo 10 zikawa na aina ya ibada ya FARADHI na SUNNA. Faradhi ni HAJJ - WATAFANYA TAWAF, WATASIMAMA ARAFA, WATAFANYA YOTE YA HAJJ NA MWISHO WATACHINJA NA KUNYOA. SUNNA - WATAFUNGA, WATASWALI IDD kisha WATACHINJA. Hakukupunguzwa kitu kwenye SUNNA ilvyokua na kujazilia kwa FARADHI YA HAJJ, BALI kichinjo kiliongezwa kwenye HAJJ. Matatizo yanakuja pale watu fulani wanalazimisha KUAMBATANISHWA FARADHI ya Hajj na SUNNA ya siku 10 za Dhul'hijja, HAIWEZEKANI SABABU YA KIMASAA NA TAREHE.
@muhidinali81805 жыл бұрын
wwe yahya habibu pia ukasome mlango wa الناسخ والمنسوخ ikiwa mtume alifunga kablaya faradhi ya hija kisha ikaja akatamka au kikaja kitendo chengine kinacho eshiria kua chanyuma kimeakhalifu kilichopo basisi kilichopo ndio hukumu ya kufuwatwa mtume amesema صيام يوم عرفة۰۰۰۰۰ someni kwania ya kujua haki na kuifuwata msisome kwa kutaka mjulikane nawatawala au masafihu mnaowadanganya
@sadamalinur2175 жыл бұрын
Lazima tufuate hijja
@maulidabdallah87435 жыл бұрын
Sahihi sheikh
@rashidsaid11532 жыл бұрын
Alaf kwnn nyinyi baadhi y mashekhe munakubali kununuliwa kirahisi rahisi hivi km hamna elimu y kigeographya mbn hao makafiri wanao watuma nyinyi mutueleze sisi waislamu utumbo huu mbn wao wakifnya Christmas zao ikifika tarehe 25/12/ mbn dunia nzima ina simama 25 ndio Christmas day wala huskii uingereza au china au marekani au Argentina au Colombia km wao Christmas kwao ni tarekhe 26 kwnn au Tanzania 26 kutokana tumezidiana masaa nijibuni hili nyinyi mnaojifnya mnajua haya mambo
@jumajuma3337 Жыл бұрын
achana na hadithi QURAIB HUIJUI UMUONGO ULICHOKISEMA HAJASEMA QURUIBU
@rashidsaid11532 жыл бұрын
hakuna siku iliyo na tarehe mbili shekhe siku itabaki kua ni moja tofauti ni masaa tu wao wakisimama km kwao ni j,nne bc na huku ni j,nne tarehe ni hiyo hiyo masaa tu ndio tumezidiana lkn siku ni moja
@nurushabani40125 жыл бұрын
Maamuma tuna tanga tanga hatuna pakushika. Yarab utuongozee vitabu vimekuwa vingi. Sana suna mpaka tunashindwa lipi sahihi.
@fatumasuleiman39085 жыл бұрын
halali iko wazi na haram iko wazi tatizo wa2 hatutaki kusoma dini pia matamanio na kuipenda dunia ndo kunatusumbua
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
1)Ktk uisilam suala la umoja limesisitizwa na masuala ya mafarakano baina yetu yamekatazwa. 2)Nchi inakiongozi wa dini (Kadhi) na imani yetu kua ni kiongozi anayetuongoza kwa khofu ya Allah makosa yanayotokea km kuadhimisha kufunga au kufungua kabla au baada ni makosa ya wanaouona na kuapa na sio yy anayetoa ruhsa (ila km huna imani nae......🤔) 3)Allah anahukum kwa nia. *Fuata hayo na huku ukimuomba Allah akukubalie funga zako ikiwemo na ya Arafa. Ikiwa Allah dhambi akitaka huzibadili kua thawabu, vp atashindwa kukupokelea funga yako ulioifunga kwa nia na ikawa siku umeikosea na hukuikosea kwa makusudi bali ulifuata amr ya Allah ya kuheshim viongozi wa dini (kadhi) na kuwa na umoja kwa ajili ya Allah na kuepuka mafarakano baina yetu. *Na jengine muombe Allah akudumishe na vilivyo sawa na asikutetereshe na km ulipo sipo basi yy ndie mueza wa kila jambo akutoe na akupeleke palipo sawa.
@ashaidriss31465 жыл бұрын
Good
@ghaniyashaban98455 жыл бұрын
Asalaam alykum shukran sheikh kwani nilikua sijui kama kisimamo cha Arafa hakina maana yoyote na sisi tulioko miji mengine isipo kua mahujaji peke
ukitaka ukweli angalia comment ya muhidini Ally wala sio lazima kila m2 airudie hio hadithi cos ni sahihi
@ammarmohammed4185 жыл бұрын
@@fatumasuleiman3908 hajaeleza chochote bali ametoka nje ya mada.....tuelezeee wewe
@yahyafakih51905 жыл бұрын
Hakuna arafa Tanzania wala Kenya wala Uganda....sheikh hujasema kweli
@yusuphmohamed55415 жыл бұрын
Yahya Fakih sikulaumu ila vizuri kusoma tatizo tulilonalo waislam wengi hatuna elimu lkn tukifahamishwa tunakuwa wagumu
@khatibsaid95443 жыл бұрын
kasome shehena usitowe fatwa kitu ambacho huna elimu nacho chukua kitabu ukasome tena uwanzishwe taalim
@hassanabdalla9688 Жыл бұрын
100%
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Si kila azungumzae lugha ya kiarabu au mwarabu, kuamini kuwa anajua dini!!!!
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Kabisa
@saidimrisho8835 жыл бұрын
انا وجدنا ابا انا كذالك يفعلون
@rashidsaid11532 жыл бұрын
Hakuna arafa yao A'rafa ni moja tu ww kushapewa donge nene ni mashia na ibadhi utupotoe ss lkn kaa ukijua tunaelewa kila kitu
@abuimran65505 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته... لو سكت الذين لا يعلمون لسقط الخلاف.. Akhi al ahdaly kabla hujazungumza fikiria ,kisha ujue yote unayoyatamka yapo yanazidi kuenea na mbele ya Allah ilikuwa watarajiya kheir ukapata majabali ya madhambi ya kuelekeza watu vibaya.. وكم مريدا للخير لم يصيبه .. إتق الله Mcheni Allah na channel yenu hiyo ... قال تعالى "وما من قول إلا لديه رقيب عتيد.... أسأل الله أن يهدينا جميعا
@omadal15 жыл бұрын
Bwana Abu do u really no what ur saying or ni kutaka ubishi just hupendi?
@fatumasuleiman39085 жыл бұрын
@@omadal1 anasema ukweli cos shekh dalili ameipindisha wala hajaitaja kwa usahihi
@yusuphmohamed55415 жыл бұрын
Shkh ajazungumza mlivyotaka nyie ila kazungumza inavyotaka sharia ya dini
@fatumasuleiman39085 жыл бұрын
@Mudhihir Issa kila kitu kiko wazi nahao pia wanahukumu yao namna wanavyo funga so ustake kujifananisha nao
@omarsakawa20702 жыл бұрын
Kufuata mweze wa maeneo na mwezi wa kiulimwengu ni natija ya ijtihadi na mbele ya Allah wote wanalipwa. alie swibu ana ajri mbili na alie kosa ana ajri moja.lakini lau serikale ya kiislamu ingekuweko khalifa ange tabanni rai moja na ikalazimika watu woote kuifuata. ياأيها الذين آمنوا أطيعوا الله وأطيعوا الرسول وأولي الأمر منكم. Enyi waumini mtiini Allah na mumtii mtume na wanaosimamia mambo yenu,yaani kiongozi wa kiislamu.(khalifa)
@NurdinKishik5 жыл бұрын
yaallaah
@alishehehamad81295 жыл бұрын
Mm sijaelewa kama idd sio idd ya hijja haina uhusiano sasa inauhusiano na nini?
@swalehahmad89475 жыл бұрын
NAAM NDUGUYANGU HII SIO EID YA HIJJA NI EID YA ADHHAA ( KUCHINJA ) NA ILIKUWEPO KABLA YA KUFARADHIWA HIJJA KATIKA UISLAMU... JIULIZE SWALI MOJA TU KIAKILI JE KAMA HAKUNA HIJJA MWAKA HUU KWA SABABU YOYOTE ILE SAWA KUNA VITA AMA LOLOTE LILE IKASHINDIKANA WATU KUHIJJI...JE HAKUTOKUWA NA EID ? NA KAMA ITAKUWEPO NI EID IPI HIYO WAKATI HIJJA HAKUNA???! SWALI LENGINE KUHUSU SAUM YA ARAFA TUJIULIZE JE KAMA HAKUNA HIJJA NA WATU HAWAKUSIMAMA KULE ARAFA JE NDIO HATUTOFUNGA SIKU YA ARAFA NA KAMA TUTAIFUNGA TUTAIFUNGA VIPI WAKATI MAHUJJAJI HAWAPO VIWANJA VYA ARAFA AMA HIJJA YENYEWE HAKUNA???
@mwanamutemi5 жыл бұрын
Iddul'Adh'ha ndio jina sahihi NABII IBRAHIM NA KICHINJO CHA NABII ISMAIL NDIO JINA LILITOKA HUKO. Nguzo ya Hajj imekuja miaka 5, 8 au 9 (riwaya fatauti) baada ya kutumilizwa Mtume (SAW) kwa sababu nguzo hiyo muhimu ya Hajj Allah alijaalia kuwa katika siku hizo hizo zilokuweko tangu Nabii Ibrahim ndipo siku ya kumi ikaitwa aidha Idd Hajj au Idd Adh'ha
@abdulgadiradnan50285 жыл бұрын
Kuongezea tu yale wali tangulia kueleza hawa ndugu zangu napenda tujue kua : HAPANA USHIRIKIANO WA WALIO HAJJ NA BAKI YA WATU WALIOPO NJE YA MAENEO YA HAJJ KWANI : 1: WATU WALIO ARAFA WAMEKATAZWA NA MTUME KUFUNGA HIYO SIKU YA TAREHE TISA AMA BAKI YA WATU AMBAO HAWAPO ARAFA WAMESISITIZWA KUFUNGA TAREHE TISA. 2: MAHUJJAJ HAWANA SWALA YA IDD NA UKIMUONA HAJJ ANASWALI IDD UJUE KUA HUYO NI MJINGA HAELEWEI AMA BAKI YA WATU WASIO KUA NDANI YA IBADA YA HAJJ HAO NDIO WANAO SWALI HIYO SWALA YA IDD.
@NyimboAli Жыл бұрын
Acha kudanganya wezio ww
@qassimally38762 жыл бұрын
Arafa gani tunao funga sisi kwan arafa zipo ngapi ?
@mohagurey22143 жыл бұрын
Vile tu amekhalifu sunnah ya mtume s.a.w katika kunyoa mdevu zake na kuanza kujisifu ndio nikajuwa tu ni SUFI mwenye Hana elimu na WA kupotosha watu.
@muhidinali81805 жыл бұрын
juma ciza tatizo lenu hamjaelewa neno صيام يوم عرفة hivo mtume s a w ndio alivosema hakuna hadithi iliosema صيام يوم التاسع pia ufaham ulaya sikuhizi magharibi ni saa tatu usiku na swala ya al fajiri ni sa nane usiku mpaka saa tisa sasa huyo sheikh wako aisome hadithi kama ilivo asitaje nnchi maana hajuwi jua lina tua saanga na linachomoza saangapi sikuhizi jua unaliona china saamoja ulaya saambili mpaka tatu jua unaliona maana nchi nyengine ulaya jua linatua saa 4 w/m jua linatua saa mbili na dakika 10 na alfajiri wanaswali saa 9:44 kuweni na inswafu ktkahili jana tulikua tukichangia mas ala haya mmoja ktka jamaa wa kiarabu akasema tutakwenda jahannm cc na albani kama mmeshindwa kuleta hadithi yamtume ilisema kufunga ni mwezi 9 nasio arafa basi bora nyamzeni msitowe hukmuya kujitia peponi na wengine mkawatia motoni من يتألی علی الله أن الله لايغفر لفلان؟ kama wwe nimsomi rejea hadithil kudusi utajua mmakoseasana kutoa hukum msioimiliki والله المستعان
@ابنالبالوي5 жыл бұрын
أحذركم أشد تحذير من أئمة الضلين ولذلك حذر النبي صلى الله عليه وسلم من أئمة المضلين انتبهوا عرفة يوم واحد لجميع الناس للحجاج ولغيرهم وليس كمايقول هذا الرجل
@fatumasuleiman39085 жыл бұрын
sawa akhi tatizo watu wanasikiliza2 bila kumuangalia anaye sikilizwa
@omarsaid81663 жыл бұрын
Tupe dalili yakua watu wafwate walio simama arafa
@hambalgullam81785 жыл бұрын
ALLAH AALAM?????
@TheAmadoni3 жыл бұрын
Ipo Dalil kua Mtume SAW alifunga Siku ya Arafa siku ingine na Makkah watu wakasimama siku ingine ?
@jamalbahdela5243 жыл бұрын
Mtume amefunga arafa ht kabla faradhi ya hijja haijaanza, Arafa imeanza kabla hijja
Yaani watu waache suna aliotufundisha bwana Mtume S. A W tuangalie TV makubwa haya
@zaharashosi39665 жыл бұрын
naaam
@kassimmohammed49495 жыл бұрын
Sheikh kateleza
@ndembondembo81225 жыл бұрын
Allah amuongoze ,,
@saidimiraji19035 жыл бұрын
sheikh kateleza wapi?
@saidimiraji19035 жыл бұрын
Kassim Mohammed kateleza wapi???
@SaidSaid-cs7mm5 жыл бұрын
Shehe yyte ukimuuliza miezi nimingapi atajibu nimmoja lkn ikitokea tznzania haukuonekana Sudan umeeandama huo muondamo haukubali wanataka kila nchi iwe namwezi wake nailo haliwezekani
@salmabintuthman32435 жыл бұрын
Na jua pia ni moja swalini na wakati wa kisuudi jamani. Kazi ishakua fupi hapo
@rashidhemed12125 жыл бұрын
Suali ni kweli mwezi ni mmoja je mwezi umeliwa na mtume anatuamrisha mwezi ukiliwa tutoe takbiri na tusali je ukiliwa tanzania je wale wengine ambao wao haujaliwa wafanye nini na wale ambao kwao mchana wafanye nini?
@sabraham53085 жыл бұрын
Kwa hiyo kwa sasa,unataka kunambia makka wawe na arafa yao,na madina yao,ikiwa hawakuona mwezi.
@jumaciza4615 жыл бұрын
S Abraham Sio yeye kasema bali ananukulu wanacuoni wakubwa🤷🏾♂️
@mahmoudali26622 жыл бұрын
Nyinyi mnataka funga ya arafa kwa kuangalia mahujaji mbona mtu akiwa na mtizamo tofauti mbona utaskia akhi mche Allah kwani kua na rai tofauti ni kumuasi allah?
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Alaaah! Kumbe huku tunaweza kabisa kuwa na hijja yetu!!!
@reystarmidaddy26745 жыл бұрын
Kuelewa ni shida masala ya ilmu sio ya walevi
@hemedzidane89272 жыл бұрын
kaaa chini isome boya ww usi fate mikumbo
@hemedzidane89272 жыл бұрын
kusoma hamtaki muna taka mabishano
@shimbo01463 жыл бұрын
Ww unajua kuliko watuwote
@abdallahmuhammad47295 жыл бұрын
Ukiona mtu atukana ovyo usikasirike wala kuskia vibaya coz huyo asili yake hua inautata
@salmabintuthman32435 жыл бұрын
🤔
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
🤝🤝🤝
@jumajuma3337 Жыл бұрын
FINGA YA SIKU YA ARAFA HUSAMEHEWA MFUNGAJI MADHAMB YA MIAKA MIWILI ULIOPITA NA UJAO FUNGA YA SIKU YA ARAFA FUNGAl YA SIKU YA ARAFA