Hongera baba Charles Kayumba, kutoka Parokia ya Familia Takatifu Mburahati, na kuwa Paroko wa Misugusu, kila la kheri baba uko uendako,MUNGU, aendelee kukulinda na kukutetea,kwenye utume wake, sisi watoto wako tunakuombea utume mwema🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@RestitutaNjau-k8x2 күн бұрын
Hongereni Sana Shemasi wetu.Mungu daima awaongoze mkamtumikie vema Mfikie malengo yenu ya kumtumikia Mungu
@beatricenangale54392 күн бұрын
Bundala hongera kumbe wasukuma nanyi mnapeleka neno la Mungu kwa watani zenu.
@sophiamgeri2 күн бұрын
Nawapongeza mashemasi wetu, mkaitende kazi ya utume, ili mfikie malengo yenu ya kupata upadre, tunawaombea MUNGU, awatetee na kuwalinda daima🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏