ASKOFU MPEMBA: SAMIA HUWEZI JIFANYA MWEMA WAKATI NI MBAYA.ASKOFU KAKIWASHA SAKATA LA KUTEKWA SATIVA

  Рет қаралды 15,540

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

20 күн бұрын

Пікірлер: 64
@HenryKisusi
@HenryKisusi 18 күн бұрын
Twende kazi 🔥🔥🔥 Mzee Fumbua Macho, Submarine, Agayaaa bakwigwa duhu bawilage namhala 💪💪💪, hatuna viongozi wa katika serikali Tanzania,
@estambuya3901
@estambuya3901 18 күн бұрын
Asante baba mchungaji.
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 18 күн бұрын
Ccm waondoke tumewachoka jamaniii Mungu baba tuhurumie tuokoe na watesaji hawa . Safari wataondoka.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 18 күн бұрын
Mhh wataondoka!. Wakati sasa watu wengi ndiyo kwanza wanahamia CCM?
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 18 күн бұрын
​@@edsonnelson4464yaani msigwa kuhamia ndiyo wanahamia wanaohamia wamepotea
@Vickypaulo-kr8kj
@Vickypaulo-kr8kj 18 күн бұрын
Tuombe tuu mungu atawatengua 🤕🤕🤕
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 18 күн бұрын
Kama kila mmoja wetu ataona anao wajibu wa kupiga Kura ya ya kuikataa CCM na kulinda kura zetu basi CCM asubuhi na mapema itang'oka na kamwe haitakaa isimame!!?
@healingclinic698
@healingclinic698 18 күн бұрын
​@@edsonnelson4464kuhamia kwa watu haibadilisha unyama ushenzi na ubaya wa CCM hata malaika wakihamia CCM haitabadilisha ukweli
@Master-ww7ur
@Master-ww7ur 8 күн бұрын
Message sent and delivered, wajitathmini
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 14 күн бұрын
Watanzania tuachane na vyema vya siiasa tuungane kuonyesha hisia zetu maumivu makubwa maisha magumu
@kirimbakisalum1950
@kirimbakisalum1950 18 күн бұрын
Rev. I understand your motion.
@fauzseif7344
@fauzseif7344 14 күн бұрын
Wewe sio askofu wewe ni mbaya sana nanyie mnao jifanya maaskofu ndo mlio wamaliza watu rwanda
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 16 күн бұрын
Unakosea unaposema wa Tanzania ni waoga badala ya kuhijumlisha naww. Sema Mimi ndo muoga namba moja.
@salumuledi7143
@salumuledi7143 16 күн бұрын
Mwenyezi mungu akulani kwa kuvuruga amani acha uaskofu uende kweye siasa acha kutupotosha sisi sio wajinga kamawewe
@martinkisha6307
@martinkisha6307 14 күн бұрын
Upo mtumishi
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 14 күн бұрын
Viongozi wa nchii hii hawataki wenye akili
@AlfredMwakabana
@AlfredMwakabana 16 күн бұрын
Sisi waafrika watawala wanapenda kutumia nguvu badala ya hekima namba moja hekima
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 16 күн бұрын
Mbona wanaosema ni wakristo huo ni udini Tu umewajaa tuambieni bas huo ubaya wa mama hamsemi mama Mbaa mama upumbavu huo
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 16 күн бұрын
Huyu mchungaji wa Mbuzi labda hakuna kitu hapo ni ziro
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Hakuna udini wowote hapo
@victorrobert7797
@victorrobert7797 17 күн бұрын
Tungekuwa na watumishi 10 kama huyu hapa Tz tungefika mbali
@MbarakaHamza-op9dx
@MbarakaHamza-op9dx 17 күн бұрын
Kwani miaka ya 90 ww ulikuwa wapi?na ulifanya nn?acha porojo.
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 16 күн бұрын
Wewe nawe bwana kha
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 18 күн бұрын
Mzee fumbua macho sikuizi wanaweka mtandao ila meter kumi tu kutoka office kuu ukitoka hapo hamna ni bando tu!
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 18 күн бұрын
Wewe ndomchungaji wakweli wengine machawa tu uko sawa sana ujinga umezidi chii kitwima padri nawewe nimewaelewa sana
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 18 күн бұрын
Wewe tunakujua sana mshenzi tu wa tabia ww unawambia waache woga wakati mwenyewe huko marekani mpumbavu mmoja tu.
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 18 күн бұрын
Utakuwa ccm
@aaronswai3092
@aaronswai3092 18 күн бұрын
Wewe hujitambui kama humuelewi Askofu Mpemba
@komangohill5957
@komangohill5957 16 күн бұрын
Alitoroka kama roketi akikwepa kifo. Hoja ya kifo naye ni muoga
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 16 күн бұрын
Ndio maana hii nchi haiendelei kwa watu kama Hawa INZI,wa kijani karibu sisi kizazi cha sasa tutaingia barabarani kama KENYA
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 11 күн бұрын
Mbona unamtukana amefanya nini
@knight6757
@knight6757 18 күн бұрын
😂
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 18 күн бұрын
Kiongozi wa nchi ukiona unalaumiwa sana hakuna baraka hapo Mungu kumbuka Rehema na Mheshimiwa Rais Samia Jitokeze hadharani ukatae sifa ya kufananishwa na Mungu unayopewa na Nabii hiyo sifa usipoikataa itakugharimu na wewe umesema ni kama chura husikii saa endelea kusifiwa finally utakuja kuelewa kwamba hata herode Mungu alimpa hekima akasau kumrudishia Mungu utukufu akapigwa na chango Mhe Rais Samia wewe ni msikivu sasa jitokeze hadharani kwa ukali na ukatae kuitwa Mungu kiongozi wa nchi kusifiwa na watu kwamba ni mfano wa Mungu itakugharimu usipokemea hilo kuwa mkali kabisa ili hiyo hali ya kutukuzwa kama Mungu watu waache mara moja
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 16 күн бұрын
Hivi vya kusifiwa havijaanza kwake vimeanza kwa aliyepita na hao wanasifia ni wanafiki duniani hakuna. Kila kitu utasikia mama amefanya mama ametupa mama hili mama lile sasa hapo Mungu huwa hakai kimya lazima aingilie kati kwa hili
@fauzseif7344
@fauzseif7344 14 күн бұрын
Wewe huwezi nyie nyoote naona udini umewajaa kutekwa hata nyie huenda mh huenda
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 18 күн бұрын
Mhe Rais kumbuka hata hayati Magufuli alisifiwa mpaka kuitwa simba wa Yuda alikataa akasema mimi ni mwanadamu tu msinipigie magoti na wewe kuwa mkali wewe ni mwanadamu tu unahitaji msaada wa Mungu lakini ukiwa husikilizi ushauri wa viongozi wa dini itakugharimu kuwa mwenyenyekevu na usikie maonyo ya viongozi wa dini ukiwa kama chura kama unavyosema husikii neno la Mungu linasema pasipo mashauri nchi huangamia Mhe Rais this is your time to be serious and say your not an Example of GOD your just human being
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 18 күн бұрын
Baba ni kweli, wew endelea kuwaelewesha watu,
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676 18 күн бұрын
Lete vitu tiririka Mtumishi
@mtumewawengi_onlineTV
@mtumewawengi_onlineTV 17 күн бұрын
Ha ha ha atiririke kabisa
@HamzaHeri
@HamzaHeri 18 күн бұрын
MBONA WEWE ASKOFU UNAPANDISHA KIDOLE JUU HUKO SAWA MIMI NAJIULIZA SANA
@PaulSanga-m3p
@PaulSanga-m3p 17 күн бұрын
😮ukiuwa kwa upanga naweutauawa kwa upanga
@HenryKisusi
@HenryKisusi 18 күн бұрын
Haha hahahaha tulia 😂😂 Bangaladesh, nyosha miguu, kaza mkanda, kunywa uji. Agayaaa bakwigwa duhu! Watu wanatekwa ovyo ovyo tu, tumepuzwa na mama Abul wa Kizimkazi Zanzibari anatukanyaga tumechoka.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 18 күн бұрын
😅😅😅😅😅Eti pafumu 😂😂😂Nacheka kama mazuri vilee 😂😢😢😢😢
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 18 күн бұрын
Watanzania wamechoka lakini tunaburuzwa tuu tuanenda kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa bila tume huru kitu kitachofanyika kutoa baazi ya serekali za mitaa danganya toto lakini sio sulisho lazima hili watanzania waliangalie sana kwa makini ndio maana na muamini sana tundundulisu mwabukusi explanation tume. Huru kwanza hata km new costuetion ltachelewa tungelianziasha sasahivi ili Dunia kweke macho hapo
@allyfutto8763
@allyfutto8763 18 күн бұрын
Lijamaa linakuwaga na ma'points, lakini linavyo chamba walengwa wana wananuna na kutoyafania kazi kwa wakati, asilimia 70 ya waTZ ukiwabwatiza wana hamaki japo si kwa kucharuka bali kubata pia kunasaidia na ujumbe unafika ki shari.
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 16 күн бұрын
Tanzania ujinga umepandikizwa na ccm, kwasababu inatengeneza mazingira ya kutukuzwa ili kila mtu awe chini yao yani watu wawe wanajikosha kwao tu kwa kila jambo hali inayotengeneza hongo umaskini na kutokujiamini. Hiki chama kimeingilia karibia taasisi zote hata zile nyeti..na zenyewe ziko kimya hazijitetei. Akitokea wa kujisimamia na kufuata misingi ya sheria na taratibu za nchi, huyo mtu anaonekana mbaya kwa7bu anakuwa anaharibu maslahi ya wanaojiita wenye nchi. Kazi kununua magari & pikipiki za kuhonga vijana.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 18 күн бұрын
Ccm ni watu wabaya miaka yote
@richardhosea8827
@richardhosea8827 18 күн бұрын
Acha hizo mbona ww ulikimbia si urudi tuandamane sote
@victorrobert7797
@victorrobert7797 17 күн бұрын
Hata kama alikimbia ana haki ya kusema maovu ya nchi hii ,hata wewe ungekubali kuuwawa ,alifanya uamuzi mzuri kuamia USA.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Abaķ mmàlize kama wengine mliowaua
@shabanikimpinga6769
@shabanikimpinga6769 18 күн бұрын
Ngojeni.kije.chama.kingine.mtajuta
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 18 күн бұрын
Una maana gani? Ungekuwepo wakati Nyerere anadai uhuru ungeungana na wazungu.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 18 күн бұрын
Mbwa nyie Magufuli hakuuwa mtu yeyote hawa wanao teka watu ndio walio kuwa wanauwa watu ili kumchafuwa JPM.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 18 күн бұрын
Akili ikikutuma kuandikia mbwa comment ukiamini kwamba mbwa ana uwezo wa kusoma na kuelewa ulichokiandik basi jitafakari akili yako, yawezekana ulishatoka katika utu wala wewe si binadamu bali uko kwenye kundi hilo unalowasiliana nalo!
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 18 күн бұрын
Mbwa ni ww na familia yako yote ni mijibwa
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 18 күн бұрын
ASK MPEMBA NI TAPERII MAMA TENA 2225
@petromgaya1746
@petromgaya1746 18 күн бұрын
Iyo 2225 nadhani mtamchagua 🚮🚮🚮 chawa wa mama 😝
@MyahudiMgalilaya-vh6ss
@MyahudiMgalilaya-vh6ss 18 күн бұрын
Hata kuandika hujui unakazana na mama tena! Kilema wa hakili
@ShuwarMdudu
@ShuwarMdudu 18 күн бұрын
We msenge hanisiiii
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 18 күн бұрын
Anamfila mama ako na baba ako
@monicamwita7865
@monicamwita7865 16 күн бұрын
Bamako na wewe. Toa hoja
@saidisaidi4502
@saidisaidi4502 18 күн бұрын
Wewe ujielewi kwanza wacha ukafiri halafu ndio ulete huo😊 ujinga wako hakuna mtz muoga isipokuwa tunajielewa wewe umri wako ni wa nyerere Sasa ulifanyanini wakati nyerere anaitia nchi shimoni nyerere aliwanywesha uji wa njano na hukuchukua hiyo hatua ukuchukua watu walikufa wakati wa nyerere na ulikuwa kijana bona ukuvaa bomu kafiri wee
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 18 күн бұрын
Mwema kwako nani kila Rais unamchamba wewe utakufa nacho kijiba cha roho
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 18 күн бұрын
Wambie baba wameongeza Kodi tena
Nani Atagombea Urais CHADEMA 2025?
3:59
The Chanzo
Рет қаралды 3,8 М.
LIVE: Mdahalo Juu ya Utendaji wa Mahakama na Matamko ya Kisiasa
1:28:23
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 60 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 47 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
ISHARA ZA UNABII WA RAISI SAMIA WAZIDI KUTIMIA. MGOGORO KILIMANJIARO
16:03
UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI
10:56
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 60 МЛН