Baba askofu Shoo, kukubali kosa na kujirudi kwa kuomba msamaha kwa Mwokozi wa wote si dhambi. Ungama baba, hata Mchawi akibadilika huambiwa alete tunguri zake zichomwe moto mbele ya Kanisa, ni kitendo cha aibu kwa Jamaa zake, ndugu, rafiki pia Kwa familia yake. Yesu alisema; atakayemkiri Baba mbele ya watu ilimradi amedhamilia kuirudi njia ya mwanzo naye ataokoka. Hela hizo zimetolewa kwa madhabahu ya Mwamposa na mkuu wa mkoa, zikaja kwenu kwa njia nyingine. Kila mtu ana Jaribu lake, huenda nawe hilo Jaribu lako. Kanisa lipo tayari kukusaidia, rejesha hela zao ubaki na nafsi huru, otherwise Jambo hili litakusumbua mpaka kupumzika kwako.
@wilsonsikahanga17613 күн бұрын
padre kitima amenyooka saa hiyo inajulikana huwezi kujilinganisha naye hata kidogo, kauri zako tata pia zinakuelezea. Mchungaji usijifiche mgogoni kwa Padre,
@OmmyJames-xn7ji2 күн бұрын
Mkiambiwa nyie MAASKOFU msiingie SIASA madhara yake ndio hii kutukanwa 😢😢😢😢Bado mmoja yuko amejificha SACCOOS
@Yusuphrevocatus-g3v2 күн бұрын
Kutoka 23:8 nawe usipokee rushwa kwani hiyo rushwa huwapofusha macho hao waonao na kuya potoa maneno ya wenye haki
@ZaidAKissinza3 күн бұрын
Mr. Shoo, You have taken too long to hit back, why didn't you do that bebore? "JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED"
@ishengomanelson3 күн бұрын
Acha kujitetea. Matendo yako ndiyo yanayothibitisha. Hiyo haki na kweli iko wapi? Haki umeipima wapi na ukweli unaujuaje?
@maase20233 күн бұрын
Huyu askofu amekuwa mwanasiasa wa upinzani???? Mbn anaacha majukumu yake ya kuhubiri neno la mungu anarukia kutetea upinzani????
@PiusKimaro3 күн бұрын
Unajikosha hilo nililiaskof litozaushuru.yuda
@stewartdyamvunye-wz6rn3 күн бұрын
Mimi nilikuwa simfahamu huyu askofu. Ni baada ya kutupiwa shutuma za kuhongwa na kuwa chawa ndo nikaanza kumsikia. Na katika clipp hii sijaona utetezi wowote wenye mashiko dhidi ya shutuma zinazomkabili. Amekwepa kuzungumzia gari analoshutumiwa kuhongwa! Na mbaya zaidi, hana mvuto!
@MusaOgwoko3 күн бұрын
Upofu
@hamzakimaro37643 күн бұрын
lini waroma wakawa pamoja na walutheri? maprostant wapo mbali na uroma!!
@RwechungulaBegumisa3 күн бұрын
Shida Yako hamzakimaro unamihemko na inaelekea hujui hata Isitoria ya hiyo Lutheran Ilitokana na Nini
@daslamonline46653 күн бұрын
Mchaga Kwa hela kula kibunda mnama hauja kaba mtu zimekuja zenyewe😂
@pena_tz3 күн бұрын
😅😅
@NgendandumweAlouise3 күн бұрын
Arudishe izohela kwani ccm na samia wanatenda haki keemeni uhuni
@babazungu31803 күн бұрын
Fitna hiyo mzee wangu
@RamadhanAthuman-d4c3 күн бұрын
Hizo ni rushwa
@AthanaseKiyoja3 күн бұрын
Mchafu hachafuliwi,ww umehongwa,vifungu vya biblia havitakusaidia.umepokea.
@NuruJuma-zv3yz3 күн бұрын
Baba askofu pole sana kwa kusingiziwa mambo ya kijinga na wafia chadema
@RomanMwinyi3 күн бұрын
Kama uyoo ndio baba ako ni shoga iloo
@wilsonsikahanga17613 күн бұрын
msisahahu kuwa sisi watanzania wa sasa si wajinga tena
@mohamoudhussein45703 күн бұрын
Nyote wewe na Mbowe ni Mamluki ni lazima musemwe tu.Mmekuwa ni Machawa wa Samia.Watu wanatekwa na kupotezwa unakaa kimya.Unajitokeza kumpigia Chapuo muuwaji na mpotezaji wa Watu.Simamieni haki.