M'MUNGU tusitiri yarab! Habari nzito! Yarabi tupelo Husnil Hatima !
@adamjuma9776 Жыл бұрын
Allah akupe mrefu she mselem
@AthmanAlly-z4e Жыл бұрын
inshallah shekh allah atupe tawfiq wa kuyaendea mema waislam wote na atupe mwisho mwema.
@isihakanyirenda8474 Жыл бұрын
Yah Allah utufufue siku ya mwisho ukiwa tayari umetusameh Na kuturidhia sisi wazazi wetu wawili Na Watoto wetu kwa rehma Na huruma zako ewe Allah.
@mohammedaly79 Жыл бұрын
Amiin
@ummymuya.2060 Жыл бұрын
Amenen ameen yaa Rrabal 'alamyn! 🤲
@MengiMtali-mj9me Жыл бұрын
😅Insharah m.mungu akulinde kwa kila la ely
@anwarabdallah7095 Жыл бұрын
Twaaba an shk mselem tukubushe Allah atupe masikio ya nyoyo tulewe maneno yako Allah
@MnongerwaMwechiwa Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa umri mrefu ili wengi tuzidi kunufaika na elimu ya misigi ya imani ya kiislamu. ❤
@mohammedaly79 Жыл бұрын
Amiin
@haroun_khalid96832 жыл бұрын
Shekh allah akupe umri mrefu wenye neema
@AmryKatigili-br8sz Жыл бұрын
Mash'allah natahitaj kushiliki darasa zako zote na za nyuma nazpataje kwa ajir ya ALLAH.
@mussakatawila9408 Жыл бұрын
Allah Akuzidishie Iymani Wewe Na Wote Wenye Mazingatio Juu Ya Mawaidha Haya.
@mohammedaly79 Жыл бұрын
Amiin
@khatibrashid1722 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh letu
@mwajumamahita66192 жыл бұрын
Barak Allahu feekum
@abdullhamid58682 жыл бұрын
Mashallah
@SheeBakari-f9q3 ай бұрын
Mungu akujalie umri mrefu upate kuwaadhisha umma
@salehkhamis3785 Жыл бұрын
Some time ata kama ni mawaidha ningeweza kuifungia chanel hii ningefungia tu iweje muandike title ya uongo wakati sio maudhui husika? Munazingua sisubscribe labda nitanabahishe watu kma minaandika uongo tv yenu.
@yusufmustafa52389 ай бұрын
umetuwakilisha vizuri pia mimi napata tatizo ya hizi tittle haziendanishi na mawaidha