HIGHLIGHTS: SIMBA 1-1 ASANTE KOTOKO (SIMBA DAY 8/8/2018)

  Рет қаралды 1,584,581

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Simba SC wametoka sare ya bao 1-1 na Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo maalum wa kuadhimisha Siku ya Simba (Simba Day) uliopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam, Asante ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 44 kupitia kwa Obed Owusu, na Simba kusawazisha kupitia kwa Emmanuel Okwi dakika ya 76.
Katika mchezo huo pia Simba walikosa mkwaju wa penati kupitia kwa Adam Salamba.
Tazama highlights za mchezo huo kwa mfupi.

Пікірлер: 209
@izraelsaimon1023
@izraelsaimon1023 3 жыл бұрын
Naingalia hii gemu 2020 mulioangalia mwaka huu tujuane hapo chin
@chazally8273
@chazally8273 14 сағат бұрын
Ssa uyu salamba alkua anacheza nn
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 16 сағат бұрын
Utopolo Wana keleka Simba nguvu moja
@sammwasomolamwasomola6292
@sammwasomolamwasomola6292 5 жыл бұрын
Haters wanajitahidi kukoments lakini koments zao zimejaa husuda hii ndio simba sports club
@geofreysolomon8532
@geofreysolomon8532 5 жыл бұрын
Kwa mambo aliyotufanyia Okwi mpaka sasa. Okwi acheze mpaka awe kikongwe. Then tumkabidhi timu akuwe kocha tu. Jamaa tangu ujana wake simba ipo damuni. Anajituma, anatafta nafasi kiukweli ndio messi wetu. Na kingine.... Kichuya kichuya kichuya kichuya... Tutakaa muda mrefu tanzania hii kuja kupata mtu kama kichuya
@BontamLee
@BontamLee 5 жыл бұрын
Ndio mechi pekee ya kirafiki AFRICKA kwa vilabu vya ndani,kushuhudiwa na watazamaji wengi.
@kiolodo3
@kiolodo3 2 жыл бұрын
Salamba alijipa usupastaa kabla ya kuwa supastaa
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 5 жыл бұрын
Uuuwiii kwampira huu timu zingine watapata tabu saanaaaa coz hawa Asante kotoko ni Wakali sana Ila Sumba wamecheza Moira mwingi sanaa
@nurdinrashid9722
@nurdinrashid9722 Жыл бұрын
Kumbe huyo yakuba kosa kosa sana kitamboo!
@emmanuelleonard5387
@emmanuelleonard5387 2 жыл бұрын
Fri Toto namkubali
@FootballHighlights-zv5bc
@FootballHighlights-zv5bc 2 сағат бұрын
First game fo Mwamba wa Lusaka Clatous Chama.... Fantastic player
@adrianomtanzaniano6310
@adrianomtanzaniano6310 3 жыл бұрын
Tuliorudi kumuangalia Yacoube tujuane
@juliusmichealy1397
@juliusmichealy1397 3 жыл бұрын
2021 still watching
@waziliLyamosi
@waziliLyamosi 4 сағат бұрын
Naangalia game 2024
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Salama kuondolewa simba ULIKUWA sahihi kabisa bado ana utoto
@hussenmwinyi1165
@hussenmwinyi1165 3 жыл бұрын
If you love simba sports club gonga like hapa
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 жыл бұрын
2021 September mwamba naingia kuangalia Simba day.... nimesoma comments chache na zinazomhusu Salamba aisee yaliyosemwa yametimia...Salamba kapotea.
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 5 жыл бұрын
Asante Kotoko wazuri sana.
@denisdejo5033
@denisdejo5033 5 жыл бұрын
This kid Salamba need to improve alot, this is the fourth time am seeing him playing, got nothing special just dreds. He will rotten in the bench.
@billyrique
@billyrique 5 жыл бұрын
watani mna timu nzuri. Washambuliaji wanatakiwa umakini tu kama wa Okwi sijajua kwanini wabongo tukifika golini mpaka mtu ukose mara 10 ndio ufunge 1 sasa tukienda kimataifa ni nani atafanya mikosa mingi hvyo ili uje kufunga? Pili sioni kama ile ilikuwa penati labda kwa vile refa alikuwa position mbaya.
SIMBA DAY: FULL HIGHLIGHTS:  SIMBA SC 6 - 0 VITAL'0  - 22/08/2020
26:41
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 54 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
🔴#LIVE: SPORTS ARENA  NDANI YA WASAFI FM 12-07-2024
2:24:24
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
SIMBA SC 1-1 UD SONGO: FULL HIGHLIGHTS (CAF CL - 25/8/2019)
36:59
MAGOLI YOTE YAMO | SIMBA SC 4-0 USGN | HIGHLIGHTS
9:32
TV3 TANZANIA
Рет қаралды 1,2 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН