Hilo Nadhani Ni Pambano Bora Sana Sababu Punching Zinaonekana Defence Zinaonekana Yani skills zipo kwa mabondia Wote naona Kuna Bondia Alikuwa Anacheza Shoulder roll za Maywhether Imenifanya Nifarijike sana Kuona Kwamba mabondia wetu kumbe wanajifunza vitu vingi kutoka kwa mabondia walio Juu Hongereni sana Azam Tv Kwa Kuendelea Kuthamin Michezo
@benedictmrisho23614 жыл бұрын
Hongereni mabondia Tz mnaonesha ustadi, stamina na ngumi ni budgeted yaani sio tupa tupa tu ngumi kwa point ama kukata pumzi. Japo mazoezi ni local sana lakini mna ari na moyo kutetea Tz yenu. Big up sanaa.
@saidomari0013 жыл бұрын
Masha Allah vijana wote niwazuri sana, naitwa coach chid trainer wa boxing dubai
@abubakarikihanga98733 жыл бұрын
Aisee vizuri jee kwa huku wachezeshaji wanapatkanaje
@mohamedihashim74204 жыл бұрын
Walioona kuwa ilikuwa ni vurugu na sio mchezo WA ngumi Tujuane hapa.
@alicericardo80064 жыл бұрын
😆
@johnsonmarick454 жыл бұрын
pambano zuri sana na wapiga wanakwepa wamejifua vya kutosha, ila refa kumfuta mchezaji damu haijakaa sawa sijawahi ona kwani yeye ndo daktari au ushabiki umezidi, ..? Other wise AZAM MEDIA HAINA MPINZANI 👊👊👊 🥊🥊🥊
@jonathanicrisatijonathanic67083 жыл бұрын
Mucheki Giva ana ngoma kali sana
@officallikern65444 жыл бұрын
Big Up sana Kwa #Choki Kaonesha Kiwango kwa Mpinzani wake. #Choki_The_Great_of_KiJiChi_Area_and_Other_place..Me mzalendo wanyumbani #Kijichi_ID #Kijichi_Mabegan Kauli Moja Tu👊🔥🔥🔥 #Dunia 💯🌍...Kizazi Akifi👊💯💯🔥👑👑👑👑👑👑💳 Kama Unamkubali #Choki dondosha Like Chini Apo📶✔
@greatvisiontz4 жыл бұрын
chat.whatsapp.com/Fgoe1uSrPTp48Rw8ZvgISN JIUNGE NA GROUP AMBAYO ITAKUPA HABARI MICHEZO FILAM ZA KIBONGO KILA SIKU
@amourlavista24264 жыл бұрын
Mwanetu wa kijichi anachapa konde za hatari
@officallikern65444 жыл бұрын
@@amourlavista2426 sikuping Ndugu yangu #Choki namba Nyingine Kabisaaaa
@hemednassor4560 Жыл бұрын
Watafutieni kazi ao vijana
@twahashearer83024 жыл бұрын
Azam hongera sana kwa kuweza kuonyesha michezo mbalimbali nchini hii imetufanya sasa Watanzania kufahamu na kuona vipaji tulivyo navyo nchini mwetu lakini pia kupenda na kudhamini michezo na vipaji vya ndani, ombi langu kwenu ni kuongeza technologia ya kuweza kuona tukio kiukaribu na kila kona, mfano halisi ni hili tukio mngekua na kamera ya juu ingeweza kuonyesha kirahisi kilichotokea hapo
@jumamawechampion38674 жыл бұрын
Sasa vp wanampa ushindi juma choki bongo bhn bado sana kwenye sheria za ngumi
@samirnaty87744 жыл бұрын
Bongo kwa rushwa hatutoendelea daima
@CyimSky4 жыл бұрын
Utashangaa record hii yaa kutisha siku 11 bila kulala kzbin.info/www/bejne/jmmvemx5oqaJeKc
@shukranshidahntende87124 жыл бұрын
Michezo mingine hii ni hatari sana
@otimbochior88692 жыл бұрын
Hongera
@kapesamjenga51684 жыл бұрын
Kwa huu usenge mnao fanya mnatukatisha tamaa sisi ambao tushaanza kuupenda huu uchezo Sijaona kama mmetenda haki kabisa apo
@oceanocean95854 жыл бұрын
Hakuna haki hapo kwa stail hii tutabak tulipo miaka yote
@CyimSky4 жыл бұрын
Utashangaa record hii yaa kutisha siku 11 bila kulala kzbin.info/www/bejne/jmmvemx5oqaJeKc
@mbnaturetz12244 жыл бұрын
Hatariii
@kapesamjenga51684 жыл бұрын
Acheni usenge Sasa apo kashinda kivipi wakati jamaa damu zilikua zinavuja Na hakupasuliwa na ngumi
Kumbe kila kona kuna kubebana daahh hpo bongo akuna marefa sjapenda huu ushindi maana kisheria pambano limehalibika maana kampiga kichwa na bega
@erickisack75674 жыл бұрын
Dah huyu refa dah😅😅😅
@uswizinyanginywa24984 жыл бұрын
Refa jipunguzie Majukum kumfuta Bondia dam nidalili za ushabiki
@musamwamba38534 жыл бұрын
Mi napita 2 maana sio kwa usenge uo
@CyimSky4 жыл бұрын
Utashangaa record hii yaa kutisha siku 11 bila kulala kzbin.info/www/bejne/jmmvemx5oqaJeKc
@shanihawa96664 жыл бұрын
Ingekuwa droo tu amjatenda haki
@r4mso_mandizo2464 жыл бұрын
Utakufa wee kun Kaz nying Kam kulima nk
@putotoninhojuster45193 жыл бұрын
Boa
@ambrosmchau44414 жыл бұрын
Hii issue azam imewatia doa japo ninyi xio wakosaj but mliowaweka ili kuhakkxha mnaufkxha mchz wa masumbwi kwenye level za juu nchn Tz ndio wanataka kuwaharbia plan zenu sanukeni mapema mnoo,kwa mujbu wa xheria za ngumi huu mchezo ulipaswa kuwa sare(draw)
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Pambano lingehesabika Technical Draw alafu wangerudian siku nyingine kwakuwa MKANDA bado upo haupotei.
@allytemu98723 жыл бұрын
Hiv huyu refa alikuwa ana control wanao pigana au mashabik inakiwa mtu ana vuja damu bado una ruhusu waendelee kupambana kwa nn usisimamishe pambano dakika ahudumie the arud kwenye pambano sjawah ona mchezaj ana bleeding pambano lina endelea Na refa ana angalia nn
@gideonjackson36594 жыл бұрын
Hili ndyo pambano lililopendelewa na lamfaume mfaume
@rajaburamadhani774 жыл бұрын
Wabongo kubebena tu
@deodathfidelis70274 жыл бұрын
Wabongo tutachelewa Sana kufika mbali had ngum mnabeba aise mnazingua Sana malefa
@jackjoshua36664 жыл бұрын
Hana lolote uyo hamna mshindi Apo mmepeana pass ya ugal
@michaelischula35884 жыл бұрын
Aaa hatamm ningetoa droo
@dulakalumbi38744 жыл бұрын
Mamb
@babylonyNgwembe4 жыл бұрын
UYU JAMAA ALIE MBEBA CHOKI ALIYE VAA NGUO YA NJANO NI MTU HATARI SANA YUPO TEAM YA TAIFA YA BOXING KWENYE MAJESHI NI HATARI SANA HVYO CHOKI ANAPEWA VITU VIZURI NA VYA UVUMILIVU BILA SHAKA.
@cripsonkazinja71714 жыл бұрын
*FAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME IMARA ZAIDI KWA MUDA MREFU PASIPO KULEGEA AU KUSINYAA.* 👇 *Pelvic floor muscle.* Ni msuli ambao umeshikilia Uume,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu. Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa . *Msuli* 👉🏾 huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ; *Moja,👇🏻* Bawasili -kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa. *Mbili,👇🏻* Kuvimbiwa tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea. *Tatu,👇🏻* Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa. *Nne,👇🏻* Kujichua/punyeto.Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na Dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka Kama matone ya mvua.Yani zinadondoka tu. *Tano,👇🏻* Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.Ndio maana wenye vitambi wengi uume ni mdogo umezama kwa ndani.kwa msaada zaidi tucheki whtsp/call 0764581267/ call 0623270820
@muhammadally51744 жыл бұрын
Mtangazaji nawachambuzi sijawaelewa mnataka kutuaminisha kitu kisichokuwepo mnatuambia wamegongana wakati picha hazionyeshi hivyo jamani mtulie mnapokuwa studio
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
BonGo km BonGo
@rubenisaitoti36124 жыл бұрын
Pole sana ndomaisha changamoto yake
@shaibuhusein59152 жыл бұрын
Bwana bucha
@ambrosmchau44414 жыл бұрын
Axee majaj ni wangese
@samirnaty87744 жыл бұрын
Bongo hatutofika sehem yoyote kwa rushwa
@elisamehecharles54323 жыл бұрын
Ogaaah! Pambano la 'laundi' kumi uzito wa 'right weight' daah
@zubeiramlanzi24803 жыл бұрын
Unaoooona baaaana..
@dreamboy56742 жыл бұрын
Yuko sawa
@jokhamohammed9764 жыл бұрын
Hapo akuna haki mliyo ifanya Kwa sababu Mmoja kaumia Kwa kukatwa na nywele sio ngumu mngeailisha pambano sio kutoa ushindi
@hadijajuma7884 жыл бұрын
Gabo
@biusisaidi28154 жыл бұрын
Duh
@gribertchalesi7113 жыл бұрын
Me nakubali ila meme nataakaa kuuingia kwenye king boxeng
@johansenbashange26284 жыл бұрын
Refa amekariri! Mechi ilitakiwa iishe
@swamweliteobady44964 жыл бұрын
Hv walinz mnakua mpo wap mashabiki wanaingia kwenye uwanja hv mwajua lkn kama ni atali hyo mbona mnakua sio makini na usalama wawatu
@joejux31594 жыл бұрын
Halafu utasikia tuma na ya kutolea
@CyimSky4 жыл бұрын
Utashangaa record hii yaa kutisha siku 11 bila kulala kzbin.info/www/bejne/jmmvemx5oqaJeKc
@bastartaito74164 жыл бұрын
😂🤣😄
@erickjordan38414 жыл бұрын
Technical draw!! Nashauri marefa na majaji waongezewe vifaa vya kuona uhalali kwa vitendo kabla ya maamuzi pili utanashati wakati wa kupima na face off watu wanavaa kandambili tunakosa standard tatu unyumbani kubebwaaaa bondia wetu sio pouwa ashinde kwa rules za fight na so mapenzi nne usalama wa ulingo wenyewe na intruders ndani ya ulingo aswaaa anaposhinda bondia mwenye mashabiki wenye munkali. Ushauri kwa tansinia ya mchezo wa ngumi kiujumla ngumi ni ajira, kipato kwa taifa, afya, mahusiano ndani na nje ya nchi, umaarufu yani national identity.
@shufaashabani9984 жыл бұрын
Hajampiga. Amekatwa na nywele amempamia kwa bega
@leonardgervas75154 жыл бұрын
Ajapigwa na bega iyo ni ngumi sema lasta imechangia kumchana!!!!
Yaani hao watangazaji hawaoni, kuna ngumi ya ukweli kapewa na yeye kapokea ndo ikampasua inaonekana kabisa hapo
@khamisnatale32873 жыл бұрын
Sio bega kweli ila sio panchi pia ni kichwa👀
@allymwazoa63014 жыл бұрын
Hii fight kama issa asingepata cutting angetupa raha sana.
@hemedisaidi35732 жыл бұрын
Suma jkt
@erickzephania10304 жыл бұрын
Hakuna haki hapo, kma uchaguzi tu
@kilakasupermarioo47294 жыл бұрын
Ngumi iyo bega aijamgusa kabisa
@ngundejkassim32524 жыл бұрын
refa amefeli
@ahmedjuma36024 жыл бұрын
Umeendika baada ya kujiridhisha au umeandika tu
@masasthedon33504 жыл бұрын
Sijaon jins choki alivyopew ushind wakat mtu anavuj dam na round inayofuat haijachezw bongo bwan 😃😂😂
@CyimSky4 жыл бұрын
Utashangaa record hii yaa kutisha siku 11 bila kulala kzbin.info/www/bejne/jmmvemx5oqaJeKc
@omarzinga47283 жыл бұрын
this is draw the guy was too bleeding 🩸 but wasn’t knocked out shit happen but wasn’t fear enough should be replay
@svicbeatsilvercross62183 жыл бұрын
This country is funny
@amisindondi45494 жыл бұрын
Ilibidi urudiewe mumemnyongea haki yake
@makameissa74403 жыл бұрын
Oi
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
Hivi kweli mabondia wetu wa tanzania wanapimwa damu kweli?,maana kwa upasuanaji huu km ukimwi ni fasta tu kuambukizana!!
@shubebunyesi5424 жыл бұрын
Ndio maanayake lazima bondia yeyote apimwe afya kwa ujumla wake mana ngumi ni mchezo wa hatari
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
@@shubebunyesi542 kibongo bongo na haswa kwa hawa mabondia wa chini kwenye suala la afya lazima watakuwa wanalipotezea tu pale ambapo mmoja kagoma kupima alafu waandaji wao wanataka pambano lipigwe ili wapate pesa
@graphixmaster61464 жыл бұрын
Hata sijui
@shubebunyesi5424 жыл бұрын
@@wazirmlogi7532 wanapima mzee amini kwamba,Ila pia inawezekana kwa wasiojitambua
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
@@shubebunyesi542 kisheria inatakiwa lazima kupima kabla cz ni mchezo wa kupasuana,ila kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba kuna wanao onga pesa ili majibu yao yatangazwe negative wakati ni positive na haswa kwenye mapambano ya kawaida kawaida aya!! Ss si ndiyo hatar hapo aiseee!!!😂😂
@emanueliotto82484 жыл бұрын
Only 3 Rounds.....!! Really..??
@kilagane1834 жыл бұрын
yan bongo bana..mmezid kubebana
@barakadaniel53043 жыл бұрын
Mambo
@wamoroboy89633 жыл бұрын
Kwa yesu
@husseinawadh40094 жыл бұрын
Hivi sasa ndio vitasa
@lotishekuyayo55384 жыл бұрын
Uonevu mkubwa
@saadikibinjazaa15114 жыл бұрын
iliyompasua ni ngumi, sio bega.
@anoldjose77934 жыл бұрын
Ndo sababu ya kupigana bila bifu😂😂
@muhammadally51744 жыл бұрын
Haya wachambuzi wetu cjui mnamakengeza
@fapaonlinetv49544 жыл бұрын
Mmembaba maana waligongana vichwa
@stephanoyusuph12563 жыл бұрын
Hawa walikuwa na bifu siku nyingi mtaani bora walivyozichapa kumaliza hasira zao za kuchukuliana mademu
@saidomari0013 жыл бұрын
Hii mchezo ni draw
@hance49574 жыл бұрын
Co harali refa hamna kity
@aloestimba57704 жыл бұрын
Yani hii ni atali yan xx wabongo
@sekiondowarema17864 жыл бұрын
Napenda kuwa mzalendo lakini kwa ngumi hizo mtanisamehe kwa kweli. Yaani ngumi inatupwa inaandamana na njaa. Jaribu kumuanalia Israel Adesanya mapambano yake.
@kelvinnachipyangu56984 жыл бұрын
tatzo la kuongea vitu usivyo vijua ndo hili,huyo adesanya ni mchezaji wa MMA sio boxing hawa hapo juu wanabox. Fikiria kwanza kabla ya critics.
@twahakhamis65204 жыл бұрын
Hajielew adesanya na boxing wapi na wapi
@meshackshadrack13024 жыл бұрын
Jaribuni kuwa na sitaha Basi mtu kapasuliwa hivyo unakuja unaweka hivyo hivyo kweri ahaaa hiii si sawa sih kila mtu anapenda kuona madamu hayo ilitakiwa mfiche ikione iwe kwa bahat mbaya si haki sijui labda taruma yenu inaruhusu ila mm cjapenda mwonekano huko
@mgorakatembo26422 жыл бұрын
Pumbavu ushindi gani huo
@sureimanmkwayaya27324 жыл бұрын
Antoni rashidi
@davidmoses60074 жыл бұрын
Uongo nyie mnazinguwa
@josiahlameck13194 жыл бұрын
Watangazaji wamechemka wametulisha matango pori hyo ni ngumi kabisaaa sio bega Patric Nyembera rudia kuangalia inawezekana macho yako hayaoni vzr hakina bega lilipohusika hapo hyo ni ngumi sema imesaidiwa na rasta
@dismasthadey29794 жыл бұрын
Kabisa Mkuu began Hakika mgusa uso mbona video iko clear
@dismasthadey29794 жыл бұрын
Bega halijamgusa
@officallikern65444 жыл бұрын
Sikupingi uko sahihi amna reaction ya bega kumgonga kumpasua..iko wazi ni ngumi sababu ngozi ya binadamu Ikipigwa ngumi sometimes aireact hap hap kutoa damu kuna few seconds inachukuwa Damu ndo inatoka ....kwahiyo kiuhalisia Ngumi ndo Iliyo mpasuwa na si Bega.
@officallikern65444 жыл бұрын
@@dismasthadey2979 uko sahihi kabisa ukiangalia video reply inaonekana kabisa bega halijamgusa👊✔
@officallikern65444 жыл бұрын
✔👊
@mchambuzi90894 жыл бұрын
Huy jamaa nayee angevizia anamshika, anampiga kichwa Iwe nusu kwa nusu!!
@mkanulamajid5003 жыл бұрын
Nywele imesaidia kupasua
@miriamlotti72974 жыл бұрын
Nampepeche kapigwa kihalali kabisa
@wangonamuhange82184 жыл бұрын
Wamegongana vichwa aseni usenge
@BigZhumbe3 жыл бұрын
That was a droo
@johnlemama7213 жыл бұрын
The moment he bled I knew it was TKO I don't know why ref kept the match going
@omarsaid47023 жыл бұрын
Kweli ni draw
@FikiriSM4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/maGVpWaraLmasKc. Nguvu za kiume na kwenda masaa matatu bila kumwaga gusa link hiyo apo juu
@ramadhanrashidmthailand7134 жыл бұрын
Walikua wanapigani kimtaani
@kobajumakuziwa99764 жыл бұрын
Hawa marefa wanatoka wapi hawajui hata kuchezesha wala sheria za mchezo huu
@jullahmtunguja8364 жыл бұрын
Huyu refa hafai kuchezesha mtu akitoka damu refa anapaswa kusimamisha mchezo ili akafutwe damu
@CyimSky4 жыл бұрын
Utashangaa record hii yaa kutisha siku 11 bila kulala kzbin.info/www/bejne/jmmvemx5oqaJeKc
@dugabeachonline44934 жыл бұрын
Kwa masomo ya science subscribe Chanel yetu..
@ulongebaba28714 жыл бұрын
Issa mtafute tena kichwa icho ndicho kilichokupasua na ulikua uçhamuweza huyo ila ndio majaji wetu hao
@majaliwamsigwa39744 жыл бұрын
Hiyo ni ngumi jamani wala syo kichwa
@mwanahamisbakar1184 жыл бұрын
Majaji machoko mnabanduliwa nn hiyo game ni tk drow kwann iwe ni tk kO!!!!!!!
@magrethmallya77282 жыл бұрын
Refa mbulula.
@nathankihiyo27914 жыл бұрын
Refa ungenyuti tu..nilikua na ham ya kuona jinsi Choki alivotaka kuua mtu