"BINAFSISHENI NA BUNGE" DR. SLAA ASISITIZA MSIMAMO WAKE KUHUSU MKATABA WA BANDARI

  Рет қаралды 110,553

WATETEZI TV

WATETEZI TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 206
@godifreyignasi2155
@godifreyignasi2155 11 ай бұрын
Mungu akulinde
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 Жыл бұрын
Dr Slaa ulituudhi ila kwa sasa tuko pamoja kama WaTanzania
@user-by4vz2ux8e
@user-by4vz2ux8e 10 ай бұрын
Dr silaa.tunakuombea mungu akulinde.umetumwa na mungu.
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Ongera sana dkt siraa mungu akutunze kwa ware wauwaji wa kimiya kimiya
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
Mwanakondoo a.eshinda tumfuate ❤❤
@jumambilinyi9519
@jumambilinyi9519 Жыл бұрын
JJ jjjjj we k avi we have been tryingNiliwahi kupeleka gari gelejNiliwahi kupeleka gari geleNiliwahi kupeleka gari gelej
@MengisonMgohamwende-vt5zd
@MengisonMgohamwende-vt5zd Жыл бұрын
Mungu akubarik utumwa hatuutak
@ibrahimngitu6072
@ibrahimngitu6072 Жыл бұрын
Wezi lazima wamkashifu dk slaa tumeibiwa sana bado mnataka kutuaminisha kuwa ccm hawajui kuwa wizi huu ni mkubwa
@LabanAmbakisye-ue6dq
@LabanAmbakisye-ue6dq Жыл бұрын
Ni batili huo mkataba, haukufuata katiba ya nchi. Wanasheria wapo,wa kufari sheria, fani za watu,ziheshimiwe na kuzitambua.
@kainimduwilemduwile7802
@kainimduwilemduwile7802 11 ай бұрын
Daah mungu amlaze mahali pema dokta jonh pombe magufuli huu uongoz aliotuachia n mbovu
@wolframmwapinga5807
@wolframmwapinga5807 Жыл бұрын
Uko vizuri sana pambana
@joyceathanasi8435
@joyceathanasi8435 Жыл бұрын
Huyu baba ni shujaa sana na jasiri,Mungu akubariki sana mzee
@LalaJotta
@LalaJotta 11 ай бұрын
Kutenda kosa si kosa, kosa ni kuludia kosa mtu huumia na kukumbuka kuwa kuna kutubu baada ya maisha yote na makosa yote kupta sasa huu ndo mda mzuri wa kufuta makosa ili vizazi na vizazi vije kufaidika na matunda ya nchi yetu mungu ibariki African mungu ibariki Tanzania
@plumbingtanzaniaplumber7570
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Safi ndo faida ya kuw na wazee wenye hekima
@georgembogela2317
@georgembogela2317 Жыл бұрын
Tupinga mkataba huu mbovu pia tunakumbuka spika mstaafu alisema nchi inauzwa
@DautchGogo-fb8cm
@DautchGogo-fb8cm Жыл бұрын
Amina Dokta siraa wewe nimsema ukweri
@eliabucrispo912
@eliabucrispo912 Жыл бұрын
Ulifaa kuwa rais wa 🇹🇿
@willykyando5647
@willykyando5647 Жыл бұрын
Kweli wabinafsishe bunge hata ikulu nayo tuwape.DP word
@naftaelnanyaro5000
@naftaelnanyaro5000 Жыл бұрын
Na Mungu atuasidie watanzania Tupige magoti tuombee nchi yetu amen
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn Жыл бұрын
Mungu ikomboe Tanzania
@user-yn4yk7wv3t
@user-yn4yk7wv3t 11 ай бұрын
Asante sana Mungu awabariki tunakuombea sauti ya watanzania
@NarmeenHarith-tt4ui
@NarmeenHarith-tt4ui Жыл бұрын
Baloz pole pole hv ubaloz umekufny uwe kmy mzee Silaa oyeee
@robertlubuva2315
@robertlubuva2315 11 ай бұрын
Bunge likiuzwa kipindi hichi cha mama muuza bandari napendekeza Kabala kuuzwa Bunge aanze kuuzwa spika tulia
@MashakaPaul
@MashakaPaul Жыл бұрын
Hongera Dr kwa uzarendo wako
@RobertAndrea-wl4pk
@RobertAndrea-wl4pk Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa mzee
@Lemalali85
@Lemalali85 Жыл бұрын
Ndo maana nina miaka 15 siyasomi magazeti.
@JumaMuhamed-vl1eh
@JumaMuhamed-vl1eh 10 ай бұрын
Asante wa mzee
@mosaidi2633
@mosaidi2633 Жыл бұрын
Hii jamaa naongea hovyo sana.zinjibari kicha kuba sana
@bonabonala5559
@bonabonala5559 11 ай бұрын
mwamakula mungu anakutumia kutukomboa wa tanganyika kutoka kwa wakoloni weusi walosaria tz
@juliuskulwa6101
@juliuskulwa6101 Жыл бұрын
Mhe. Majaliwa Wasikilizeni Hawa WAZEE mkubali Ushauri uliomzuri tuchukue, usiofaa tunaacha
@Pihansmo1129
@Pihansmo1129 Жыл бұрын
Mungu akutunze DR
@user-dj3sd4zr2h
@user-dj3sd4zr2h 11 ай бұрын
Gombea urasi silaa❤
@user-ep2cm5xo3k
@user-ep2cm5xo3k Жыл бұрын
Doctor gombea urais❤.
@johnnyanguge97
@johnnyanguge97 11 ай бұрын
Mama Nchi imemshinda
@user-dj3sd4zr2h
@user-dj3sd4zr2h 11 ай бұрын
Kweli bro
@JosephinaJoseph-mn1kk
@JosephinaJoseph-mn1kk Жыл бұрын
Hakika huu ni msiba mzito, upo sahihi Dr Slaa. Na kupitia elimu bure kandamizi, post za pangwa ndivyo sivyo. Tumerudi zama za ukoloni.
@user-jh3cm4lp1w
@user-jh3cm4lp1w Жыл бұрын
Mungu yuko nanyi kwa kujitoa kwenu juu ya Tanzania
@babaexodus7606
@babaexodus7606 Жыл бұрын
The more we open up our mind with the brightness thinkers, the more we loose our vision with the darkness thinkers. God bless our Nation as well as our Country.
@johnnyanguge97
@johnnyanguge97 11 ай бұрын
Nimekuelewa sana dk
@georgembogela2317
@georgembogela2317 Жыл бұрын
Tupo pamoja ktk kupinga mkataba
@user-mb7sj3dy8h
@user-mb7sj3dy8h 11 ай бұрын
Kuna watu wanavibuli kama vili wao ni vimungu mtu ila Mungu wetu wa mbinguni yupo na atatutetea
@HappyMsuya
@HappyMsuya Жыл бұрын
Ongea baba Ila watanzania wengi hawaelewi wanatakiwa kuelimishwa
@fanuelruhaga2960
@fanuelruhaga2960 Жыл бұрын
Happy nyuma mstaafu mzee Mwinyi alitaka kutubinafisisha Kila Mtanzania awe mwisilaam . Mwl JK Nyerere akakemea na kutuomba Watanzania wamvumilie aumalizie muda wake Soma kitabuHatima naTanzania na uongozi wetu . Ukivunja katiba Ni msaliti wa Nchi wote waliohusika Waachie Madaraka waliyonayo wakuchaguliwa na wa kuteuliwa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Ccm oyeeeee kazi inaendelea dr slaa oyeeeee kazi inaendelea chapa kazi kuikomboa bandari zetu
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Жыл бұрын
Hana ubavu huo ni MBUGILA KAMA MBUGILA MBUGILA WENGINE
@DautchGogo-fb8cm
@DautchGogo-fb8cm Жыл бұрын
Nikweri watanzania tumekosa haki asante dokta
@SamwelyMpanda-xh8hv
@SamwelyMpanda-xh8hv Жыл бұрын
Tuna kuunga mkono balozi wetu mstaafu watanzania tuko pamoja na wewe kila hatua
@aminafundikira126
@aminafundikira126 Жыл бұрын
Unaongeza ukweli dr Slaa tumezoea ukasuku ndio tabia zetu, ni wavivu wa kutafakari
@moshikipisi9349
@moshikipisi9349 Жыл бұрын
Mzee unaniliza San reo hata Kula shida jaman man tumuogope mungu tunapata shida kwa sababu ya watu kutokujua
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 Жыл бұрын
Sasa slaaa wewe ulikuwa katika serikali toka ujana wako mpaka hivi uko fainal wakati uko kwenye uwongozi wako mikataba mingi mlifanya je yote ilikuwa salama je mbona hadi Leo hiii hali ya mtanzania bado duni
@sadammolell
@sadammolell Жыл бұрын
Silaaa tupiganie sisi Wana waisiraeli tutakuombea kwa mungu
@user-zj2tt6oh5u
@user-zj2tt6oh5u Жыл бұрын
Ingependeza na masheikh wangekuwepo sio maaskofu peke yenu hata mkiwa na malengo mazuri kuna mashaka ya udini hapo
@user-xh9ko2cs1r
@user-xh9ko2cs1r 11 ай бұрын
Vizuri sana balozi
@juliuskulwa6101
@juliuskulwa6101 Жыл бұрын
Semeni Semeni na Wasikie Hawa Viongozi.
@user-eq4hs7xq8u
@user-eq4hs7xq8u 11 ай бұрын
Yafike mahali nayenyewe yajiudhuru make mnangangania utadhani nyie nchi niyenu nabado mtaumbuka msipo badili tabia zenu mungu hatawaacha salama
@ananiamwigavile5874
@ananiamwigavile5874 Жыл бұрын
Sema baba
@mussampeyama6795
@mussampeyama6795 Жыл бұрын
jamani wengine hatuna uwezo wa bando la kusikiliza maneno mazuri kama hayo kila siku hadi mengine yanayopita tunaomba kama itawezekana mturushie bando ili tusipitwe na haya maneno mazuri
@dicksonmbuta6700
@dicksonmbuta6700 Жыл бұрын
Download audio
@chigaboy1332
@chigaboy1332 11 ай бұрын
R. I. P JPM
@aminafundikira126
@aminafundikira126 Жыл бұрын
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake katika nchi ili miradi havunji sheria zetu za nchi.
@georgetumbo9818
@georgetumbo9818 Жыл бұрын
Ongera sana Dr, jambo hili umefafanua vixuri sana. Mtanzania mwenye nia njema amepata elimu.
@user-xv6mc5iy4g
@user-xv6mc5iy4g Жыл бұрын
Waoooo
@lazaro6347
@lazaro6347 Жыл бұрын
Baba nimekuelewa
@user-eq4hs7xq8u
@user-eq4hs7xq8u 11 ай бұрын
Ukweli utawauma sana dawa nikubadilika sio kuwakamata wanao wakosowa
@user-xh9ko2cs1r
@user-xh9ko2cs1r 11 ай бұрын
Nice
@user-bf8zr2dq4v
@user-bf8zr2dq4v Жыл бұрын
Safi sana
@user-by4vz2ux8e
@user-by4vz2ux8e 10 ай бұрын
Mama samia rais wetu tunaomba usikie kilio cha watanzania.kubadili uamuzi nikitendo cha uungwana.mnataka kitokee nini?bandari nimali yetu watanganyika.
@salminmayila2902
@salminmayila2902 11 ай бұрын
Hakuna nchi yoyote duniani serikali au taasisi yoyote duniani ambayo imeitambua pesa kwamba ni dili wengine hawajui kutumia pesa wengine hawajui halafu nchi hiyo ikabaki salama kinasababisha vurugu nyingi sehemu nyingi huwa ni pesa naiona nchi yangu inaelekea huko walaji wamejisahau wamelewa kitawatokea puani wanatuletea vurugu wahuni
@user-fr2pf5eg2g
@user-fr2pf5eg2g Жыл бұрын
❤❤
@EmanuelyOwange-ky6qi
@EmanuelyOwange-ky6qi Жыл бұрын
Dr slaa ulitukimbia ktk mpambano ktk kipindi kigumu pindi ukawa barozi ukawa uko kipya nafasi Ile imekwisha Leo unarudi apana ulitupoteza Dr
@jumapaschal-nj7or
@jumapaschal-nj7or Жыл бұрын
Kweli kabisa
@JumaMuhamed-vl1eh
@JumaMuhamed-vl1eh 10 ай бұрын
Juma mwambughi
@user-rs9vu8ty3x
@user-rs9vu8ty3x Жыл бұрын
Mmh! Haya
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 Жыл бұрын
Dk slaa Unda chama ndo mkombozi wa watz ote mm napenda sana mismamo yako mm namba moja nipo nyuma Yako nakupenda kupita maelezo Mzee ubalikiwe sana
@user-vu4kz2rv3i
@user-vu4kz2rv3i 11 ай бұрын
Kwapamoja tupinge mkataba huu sauti ya watanzania
@adeliusvedasto7214
@adeliusvedasto7214 Жыл бұрын
Ka rais kasema alidanganywa why upinge.
@user-wi8ec4ir7e
@user-wi8ec4ir7e Жыл бұрын
Pigania mzee huenda wa Tz tutakuja kuwa watu ktk watu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Ningekuwa Mimi ndio rais Hawa jamaa ningewashirikisha ila navyo ona Mimi rais wangu Samia Kuna watu wamemzunguka wanampotosha aharibikiwe ili watake urais baadae ,samahani lakin
@johnpeterbarongo6445
@johnpeterbarongo6445 Жыл бұрын
Waambie Balozi
@user-dj3sd4zr2h
@user-dj3sd4zr2h 11 ай бұрын
Ww na magu kaya moja hongeren
@yasinimanyanzira7846
@yasinimanyanzira7846 Жыл бұрын
Huyu ni mbabaishaji tu na mnafiki Hatujamsau aliyotusaliti 2020
@fatuma5208
@fatuma5208 11 ай бұрын
Samia.bora.ujiuzulu.tu.mie.nakwbia
@makoyemazuri2988
@makoyemazuri2988 Жыл бұрын
Kwenye kukaguliwa hapo noma
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Huo udokta wako wa dini yako ya ukristo unawahusu watu wa Dini yako tu wakati wa makufuli ulikuwa wapi vile
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Жыл бұрын
We ndo una udini, watu wanaongelea mkataba mbaya we unaleta udini, hatutakubali utumwa tena karne hii, wambie kabisa hao ndugu zako waarabu
@user-mq5sc6en5m
@user-mq5sc6en5m 10 ай бұрын
Ukweli utakuweka huru
@annambezi6226
@annambezi6226 Жыл бұрын
Hali lazima ipiganiwe, Ni lazima Tanzania iwe salama
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 Жыл бұрын
Nyie MNA siri gani?
@plumbingtanzaniaplumber7570
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Kunamtu tulimzani ataongea tokna na ukubwa wake lkn anaangalia tu mpk leo sijui naye yupo ndan
@user-gt4dj7vr6d
@user-gt4dj7vr6d Жыл бұрын
Mmekari udini ndiyo umekuwaka hapo hunalolote padiri tu , akija mlomani katoriki unaunga juhudi akija mwislaam unapinga inakuwa mwanaharakati hufayi kabisa mskitini Wala kanisani ,
@KenethNdingo-tm2gc
@KenethNdingo-tm2gc 10 ай бұрын
Laila wa Tanzania njaa zimetawale
@Bebele-rs1cv
@Bebele-rs1cv Жыл бұрын
🤣 shida ya baadhi ya watanzania wakipata vyeo hujiona wao wanajua zaidi kuliko wengine wote.wambie ukweli baba.
@humphrehnkya9370
@humphrehnkya9370 Жыл бұрын
Nimeshukuru saana kwa ufafanuzi mzuri
@TarimoTarimo-pf5lo
@TarimoTarimo-pf5lo Жыл бұрын
TBC nao wamejikita huko?? Jamani
@masiretv9729
@masiretv9729 Жыл бұрын
Mungu atusaidie watanzania.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Wengeekeza watu fulani hayo usingeliyasikia kwani wameanza hapa hao kuekeza mpaka ulaya wameekeza pesa huna wafanyakazi sii waadilifu pawekezwe
@user-xh9ko2cs1r
@user-xh9ko2cs1r 11 ай бұрын
Hatutaki waraabu
@DanielAindo-ti2uu
@DanielAindo-ti2uu 11 ай бұрын
Wamefanya tumkubuke.magufuli.kwa uozo.unaoendelea
@ssam3385
@ssam3385 Жыл бұрын
Kateme mate
@eliabucrispo912
@eliabucrispo912 Жыл бұрын
Imi ni kweli
@JumaMuhamed-vl1eh
@JumaMuhamed-vl1eh 10 ай бұрын
Juma mbughi
@user-dp9xo2jo4p
@user-dp9xo2jo4p Жыл бұрын
Mzee uko sahihi
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Kazi uchochezi na udini hakuna jengine zaidi ya hilo mnajifanya hii nchi ni mali yenu peke yenu udini na uchochezi tulikua hatujakujueni sasa tumekutambueni
@chumhaji6787
@chumhaji6787 Жыл бұрын
Wewe nisawa na kibuzi msitu fu
@akbarabdulrahman8287
@akbarabdulrahman8287 Жыл бұрын
Huyo utasema anakili kichwa matope
@ssam3385
@ssam3385 Жыл бұрын
Kanisa gani hilo
@TimotheoHaonga-tj8mt
@TimotheoHaonga-tj8mt Жыл бұрын
Nawapongeza mhasham Askofu Mwamakula kuichana serikali yetu ukweli,bila hofu ,pamoja na Dokta wilblod slaa, mikataba ya kijambazi kama hiyo hata magufuli aliikataa akiwa hai
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Tunataka bwawa la mwalimu nyerere liishe hatutaki longolongo hapa
@MartiniKatoro-pm5xp
@MartiniKatoro-pm5xp Жыл бұрын
Magufuli alisema nimpiumbavu tu anayeweza kukubaliana na mikataba mibovu kama huu wamejipunguza akiri wanajua hakuna mtu mwenye akiri aukubari huo mkataba wa kishernzi ccm imefika mwisho japo namna ni ccm vitani kuitwa ccm kwa ujinga kama huu mkataba hauna kikomo uliuona wapi tukate wote
@serengetimara1352
@serengetimara1352 Жыл бұрын
Unafaa waolimishe. Wambie ccm ukweli, waache kuwadanganya wanainchi.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 12 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
ASKOFU MWAMAKULA AINGILIA KATI SAKATA LA UKODISHWAJI BANDARI
57:16
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН