WAKILI MWABUKUSI ACHARUKA ,ATOA MANENO HAYA MAKALI MKATABA WA BANDARI,AAHIDI KUTOKIMBIA NCHI

  Рет қаралды 117,579

WATETEZI TV

WATETEZI TV

Жыл бұрын

Пікірлер: 314
@user-vt9dm3zk6g
@user-vt9dm3zk6g 11 ай бұрын
Ujumbe kwa sisi Raia wa Tanzania ambao tupo nje ya Tanzania tunakuunga mkono sana Brother Wakili Mwabukusi kwa kupigania Rasilima ya watanzania .Tanzania sio ya chama cha CCM.Tukuombea mwenyezi akulinde .
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Жыл бұрын
Majambaz wanapga sana,..nchi niya kwetu wote,..safi sana wanasheria nyosheni hii nchi,.tumechoka na ujambazi huu
@elishantelekwa9793
@elishantelekwa9793 11 ай бұрын
Watangaze acc no tusupport uzalendo wao
@johntogoro6191
@johntogoro6191 Жыл бұрын
Mungu wetu awasimamie katika hili
@GloryJohn-nm5wo
@GloryJohn-nm5wo Жыл бұрын
Huwezi kufa mungu akutangulie sana sana
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Жыл бұрын
Safi sana,..wanasheria teteeni hii nchi
@wemawamungu9866
@wemawamungu9866 Жыл бұрын
Mungu awatangulie mawakili
@Makassyamelo-wk9gd
@Makassyamelo-wk9gd 11 ай бұрын
Saaafi saana nguvu ya wasomi nimeanza kuielewa Sasa hapo mkituambia vijana sogeeni nakuja Sasa hivi
@Awa503
@Awa503 Жыл бұрын
Nakubali kaka mungu akupe ulizi wamalaika wenye kheri akupe kauli yenyenguvu naakuongoze kwakila unalolipigania leo na kesho
@KamuliShija-iy6sb
@KamuliShija-iy6sb Жыл бұрын
Fact sana mzalendo wetu mungu mwema atasaidia
@hafsamnenga1942
@hafsamnenga1942 Жыл бұрын
Nyie ndio wasemaji wetu tunaowategemea kwa kutetea nchi yetu Mungu awatie NGUVU
@mohamedimanyanga2072
@mohamedimanyanga2072 Жыл бұрын
Pp
@mdedsm5522
@mdedsm5522 Жыл бұрын
Hii nchi ni yetu sisi sio wahamiaji❤❤
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Inchi hii kumbe inawasomi wengi tu mbona mnakuwa kimya sana tusaidieni jamani tanzania hii imekuwa ya watu wachache
@SadickAlly-jm5sr
@SadickAlly-jm5sr 11 ай бұрын
Waoooo mwanaume amejitokeza tetea taifa letu, sisi ni kupiga maombi tu! Ju yako
@JolamHosea-yr3cn
@JolamHosea-yr3cn Жыл бұрын
A man like Charles Taylor on how he spoke.
@saimongilala8938
@saimongilala8938 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu Nimekuelewa sana
@user-lz5ym2gd1s
@user-lz5ym2gd1s Жыл бұрын
Nimekuelewa sana wakili
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Hahaha yaani kuna watu wanajua aisee. Wakili Mabeleka na Wakili Mwabukusi wanajua sana. Tanganyika tunao wasomi. Mungu awasaidie
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 Жыл бұрын
Niseme Nini mungu wakumbuke watu Hawa walio jitoa kutetea nchi yetu
@user-gg5gl1vo9i
@user-gg5gl1vo9i Жыл бұрын
Ni vizuri muheshimiwa rais kwa hekima tu,sitisha mpango huu wa ubinafsishaji wa bandari,tuanze upya
@SadickAlly-jm5sr
@SadickAlly-jm5sr 11 ай бұрын
Labda mungu ametupa magu mwingine
@jumamavind7713
@jumamavind7713 Жыл бұрын
Aa Magufuli alituambia kueni makini namikataba mibovu namajizi yote serekalini aliyafukuza sasa yamerudishwa madarakani
@KaseMwaliyoyo-mb3wp
@KaseMwaliyoyo-mb3wp Жыл бұрын
Amina Wana wa tanzania ikomboe bandari mungu yupo anasikia atajibu tu
@taitatimotheo3075
@taitatimotheo3075 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu
@zuarikazungu5997
@zuarikazungu5997 11 ай бұрын
Nimesikiliza maelezo na uchambuzi kwa kweli inaumiza sana, Mungu atusaidie sana. Na awaingoze viongozi wetu waone changamoto zilizopo katika mkataba huu na wazirekebishe kulingana na maitaji ya watanzania.
@HemediHemedimikole-ez8lc
@HemediHemedimikole-ez8lc Жыл бұрын
Thank you my brother upo vizuli sana
@user-kq1qx7qs5f
@user-kq1qx7qs5f 11 ай бұрын
Mungu aendelee kukutunza
@dennisdatius7972
@dennisdatius7972 Жыл бұрын
Napenda kuwashukuru mwenyezi mungu u mapoja na sisi katka kutetea & kurinda masilai ya taifa
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 11 ай бұрын
Mungu utusaidie
@saimonmatonya9341
@saimonmatonya9341 Жыл бұрын
Polisi wanawatumia vibaya jamani
@nmatuja2191
@nmatuja2191 Жыл бұрын
Elimu tunazofundishwa kwenye shule na vyuo vyetu ndiyo matunda yake hayo,kuingia mikataba holera.
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 Жыл бұрын
kiongozi wa nchi ni mbinafsi anauza mali za tanganyika tu ili akimaliza mda akapumzike salama kwao Zanzibar sisi tubaki tumechakaa
@yusuphdaniel847
@yusuphdaniel847 11 ай бұрын
❤❤❤mwabukusi god bless you
@fiziakayombo5243
@fiziakayombo5243 Жыл бұрын
Tupo pamoja kwa maombi tutashinda
@SubiraJohn-oe5fx
@SubiraJohn-oe5fx Жыл бұрын
Safi sanaaaa mwana sheria mungu ukulinde,na pia mungu atuangalie kwa jicho la pili kwa kweli maana mmmh!
@jamesbutendeli4511
@jamesbutendeli4511 Жыл бұрын
We ndo mzalendo wa kweli
@YusuphJilala-it9bo
@YusuphJilala-it9bo Жыл бұрын
Nahata bunge letu lisiwakejeli watanzania nimaliyao wasijewakafikapabaya😢😢
@user-ug5tz5ef2n
@user-ug5tz5ef2n Жыл бұрын
Mungu atutangulie ili ni zimwiiiii
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
huyu jamaa ni kichwa hatari Mungu akulinde uendelee kutetea nchi yetu
@mshigilakarume4425
@mshigilakarume4425 Жыл бұрын
Mungu akusimamie kutetea haki
@aminamusa7314
@aminamusa7314 Жыл бұрын
Ahsante sana 🙏🙏🙏
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Жыл бұрын
Unaongea kwa hisia.mungu awabariki
@user-ow6sk5nm7w
@user-ow6sk5nm7w 11 ай бұрын
Goooooood baraz
@gracedonatus6859
@gracedonatus6859 Жыл бұрын
Mungub amlinde na ampe upeo
@gracesanga6489
@gracesanga6489 Жыл бұрын
hakika MUNGU akutumie apendavyo,
@liogojafari
@liogojafari Жыл бұрын
Selekali na chama cha ccm Imetunyo sana sana
@user-vi3yf7ur3b
@user-vi3yf7ur3b Жыл бұрын
Mungu ametupa akili na utashi, kuna shida katika hili jambo. MUNGU WA MBINGUNI UTUOKOE WATANZANIA, TUNAHITAJI UTUONDOLEE VIONGOZI WASIO WAZALENDO NA UTUPE VIONGOZI WAZALENDO.
@jamesbutendeli4511
@jamesbutendeli4511 Жыл бұрын
🫡🫡🫡🫡🫡🫡 wakili msomi, thank you so much
@machilafaustin9473
@machilafaustin9473 11 ай бұрын
Baba komaa hivyohivyo na huko uliko sisi tuko nyuma yako mitandaoni na bango la free mwambusi
@AwadrMwalongo-js2pn
@AwadrMwalongo-js2pn 11 ай бұрын
Watanganyika tunaonewa sana,maraisi wote wa Zanzibar upumbavu huu utakoma TU.
@jafarisebastian1047
@jafarisebastian1047 11 ай бұрын
Bravo
@salomemlagila5757
@salomemlagila5757 Жыл бұрын
Wanahofu kuwa wameharibu, wanaogopa kukili kuwa wanamekosea, na hawataki kujionyesha kwa wananchi kuwa wamekosea hivyo wanaendelea na huo mkataba kulinda heshima yao
@bensimon7330
@bensimon7330 11 ай бұрын
wow great things for inchi Mungu asimame yeye pekee ktk hili
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb Жыл бұрын
Oooh nyoko anaupiga nyoko .....yaaani Ni UPUUZI HAWA MANYOKO WATUACHIE TANGANYIKA YETU
@FaudhiaNgamilo-zf1he
@FaudhiaNgamilo-zf1he 11 ай бұрын
Allah akulinde na shari za majinni na watu ,sema kweli hata kama mshirikina akirihike ndio amri ya Allah
@pastormarytz
@pastormarytz 11 ай бұрын
Mungu akulinde. Mungu akulinde Mungu akulinde nalia huku naomba Mungu akulinde. Mungu akulinde.
@godlistenmbise9087
@godlistenmbise9087 Жыл бұрын
MUNGU Akutanguliye ndugu yangu na MUNGU Akutumiye Malaika wa kukulinda
@isaacmalach7929
@isaacmalach7929 11 ай бұрын
Mungu awalinde kuitetea inchi yetu na ninawaamini sana mwambukusi slaa na wengine nawaamini nawaombea Ukiacha kudai Utakufa na Ukidai utakufa sasa ni vema Tudai bado Tukiwa hai hata mimi sitaogopa kuwasaport:
@user-ln5no7yh3s
@user-ln5no7yh3s Жыл бұрын
Chadema tegenezen mazigira hii nchi inatakiwa mapinduzi ya chama kitawale kingine sio ccm tena
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Жыл бұрын
Aliesikia kunyegeleshwa gonga like
@JoramRegend-jb4tr
@JoramRegend-jb4tr 10 ай бұрын
Mungu awatetee tupo nyuma kumuita mungu katika hili swala
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 Жыл бұрын
Excellwnt!!!!
@kadirijuma2618
@kadirijuma2618 11 ай бұрын
Ni kweli muheshimiwa
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 11 ай бұрын
Mwambia wetu jmn mungu akulinde magufuli wetu hajafa upo
@vicentrogers9465
@vicentrogers9465 11 ай бұрын
Wakili msomi huyu hapa🔥🔥🔥🔥
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Жыл бұрын
Wapiga dili wanahangaika uzalendo upi una tetea
@nkindamasanja5260
@nkindamasanja5260 11 ай бұрын
Mungu baba akutagurie mbere ya safari
@DautchGogo-fb8cm
@DautchGogo-fb8cm Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@robertelly3392
@robertelly3392 Жыл бұрын
Yn jinsi tulivyo fundishwa kuwa ukimya ndio uzalendo wa Tanzania wana maisha magumu ila wa chache ndio wanao nufaika ikitaka kuamini tembelea masokoni au stendi yn wajasiriamali wadogogo wakuzwa km vile sio sehemu ya wa Tanzania let's use our mind but not our stomach 4 our own beneficiary
@ThomasNyarusanda-fl3fd
@ThomasNyarusanda-fl3fd Жыл бұрын
Waziri Mkuu Majaliwa, anamsikia mzalendo mkweli huyu aliye na uchungu na nchi ya Watanzania?
@NuruMbongo
@NuruMbongo 11 ай бұрын
Jamani huyu anachosema ni muhimu sana kwa taifa letu tumpe ushilikiano
@abernegolkigeleso9909
@abernegolkigeleso9909 Жыл бұрын
Sasa Bwana Boniface itakuwaje kushugulikiwa shataka hilo ikiwa mahakama bos wake ni yule Alie Saini mkataba feki?
@user-ts5ce9ps7q
@user-ts5ce9ps7q Жыл бұрын
Mungu yupo ataitetea nchi yetu
@JulyZacharia-iz1bf
@JulyZacharia-iz1bf 10 ай бұрын
tupambanie kk, watanzania jaman tumezidi kwa upore na uoga, amkeni jamaniiii
@FranksimonKivuyo-xl4vt
@FranksimonKivuyo-xl4vt Жыл бұрын
Wakili uko vyema,awamu wa kugombea uras chukua kura zangu yote. Magufuli mpya ajae.
@user-py5wl5kp9g
@user-py5wl5kp9g 11 ай бұрын
Dah aisee maisha haya bado wanaiba tu hawatosheki
@user-py5wl5kp9g
@user-py5wl5kp9g 11 ай бұрын
Mungu hakurinde sana
@abuuda4754
@abuuda4754 Жыл бұрын
Hii nchi ni yetu, sisi sio majambazi
@ameokichaka9456
@ameokichaka9456 Жыл бұрын
Hivi Hawa wanawajua wezi Hawa,
@chidiomari.65
@chidiomari.65 10 ай бұрын
Mara paaaap umeingia bungen mwabukusi,ndio itakua mwanzo wa kulitizama Bunge.
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Жыл бұрын
Heeee serikari ikiziba masikio inaweza kuleta maaafa
@kidomelaedward5916
@kidomelaedward5916 11 ай бұрын
Huyo mama siapinduliwe tu arudi Zanzibar kwa mumewe
@classicvisiononline8334
@classicvisiononline8334 Жыл бұрын
UYO PADRI APO PEMBEN VP
@AlbertoMahenge-yh1sl
@AlbertoMahenge-yh1sl 11 ай бұрын
Hongera kaka kwakututetea mungu akusimamie
@user-ow6sk5nm7w
@user-ow6sk5nm7w 11 ай бұрын
Mwamba nimekukubali yani wew
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 11 ай бұрын
Amir Jeshi Mkuu SSH tunazid kukuombea na Mungu akupe umri mrefu uongoze Awamu zote , Watanzania tulio wengi na wenye uchungu na Nchi hii Pendwa huwa tunaweka Tanzania mbele mengine baadae
@emanuelkilangilo5585
@emanuelkilangilo5585 11 ай бұрын
Tatizo elimu bro viongozi walewale Mara Mtoto Wa flan wanalithishana
@user-lq6jq8lj6x
@user-lq6jq8lj6x 11 ай бұрын
kiongozi mungu akuli na hawa mafisadi wa hii nchi
@kantonankwera768
@kantonankwera768 Жыл бұрын
Nawaombea mtupambanie munguawalinde.
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu Жыл бұрын
Wengekuwepo 100 watu kama hawa
@user-bu6qx2fd8k
@user-bu6qx2fd8k Жыл бұрын
Mungu awalinde,awatunze
@irambadc5167
@irambadc5167 11 ай бұрын
Wew bwana hebu nyamaza ,!!usifukuzane na maji korongoni utamezwa
@THONTEMBA
@THONTEMBA 11 ай бұрын
Jamani mm hatamkinipa hii nchi niiongoze kw sasa jinsi ilivyokuwa mbovu nakataa mchana kweupe maan ni mbov mbov sijapata kuona kabs yani wameiharibu paka basi
@user-ig5yj7ib3u
@user-ig5yj7ib3u Жыл бұрын
Mungu walinde watetezi wetu
@chachatheambassadorguide
@chachatheambassadorguide Жыл бұрын
Chuma kingine hatari sana kwa wezi mafisadi
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Жыл бұрын
Mwanangu asomee sheria
@passportchannel7389
@passportchannel7389 Жыл бұрын
Nice Advocate
@victorphilipo
@victorphilipo 4 ай бұрын
Wapo wanaojiona tanzani niulithi wao enderea kuwaerimish wajue kuwa wao ni watumishi wao
@CharlesSemboni
@CharlesSemboni Жыл бұрын
Mama unachelewesha waaraabu hawa wengine achana nao
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Жыл бұрын
Amina ,Mungu hatawaacha tunawaombea sana
@VunjaBoy
@VunjaBoy 11 ай бұрын
Dhaaa kweri kakak
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Wanasheria wanajiamini sana ..Big up sana
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Eti oooh! Mama anaupiga mwingi! Ndo hivi, duh!
@routesale2577
@routesale2577 11 ай бұрын
Wew Huna Akili Ninani kwenye Nchi hii Njaa imekutoa Uonekane Matusi Yako Ndio Umefikia mwisho
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 79 МЛН
Mfahamu Wakili Mwabukusi/Aeleza Historia Yake - Part 1
20:59
Busokelo TV
Рет қаралды 45 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН