BINTI JASIRI AZUNGUMZA MANENO MAZITO MBELE YA RAISI AHOJI MASWALI MAZITO MAZITO HUWEZI AMINI

  Рет қаралды 49,352

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

3 жыл бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #DktMwinyi

Пікірлер: 185
@shaharaltaiwan4645
@shaharaltaiwan4645 3 жыл бұрын
Mdogo wangu umeongea vizuri sana,Allaah akulipe kheri.
@ummymohamed869
@ummymohamed869 3 жыл бұрын
Inshallah kwA sote
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 жыл бұрын
Hongera sana
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 3 жыл бұрын
ndugu yangu umetuwakilisha vyema, mashaallah, ahsante sana.
@bahatigumbo8008
@bahatigumbo8008 3 жыл бұрын
Pg
@mutomubaya
@mutomubaya 3 жыл бұрын
Shukrani sana. Ni vizuri Wanafunzi wahimizwe kuwa wabunifu na wawe na uwezo wa kuelimisha kama alivyo huyo mwanafunzi . .
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 3 жыл бұрын
Masha Allah hongera sana mwanafunzi kwa kuzungumza ukweli na maneno ya hekma kila la kheri katika masomo yako insha Allah nimeipenda speech yako. you have confidence
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 3 жыл бұрын
Hongera sana mdg wangu umeongea pont👏👏👏👍😘
@ayoubkhatibu3768
@ayoubkhatibu3768 3 жыл бұрын
Ukitaka kutawaliwa lazima unyimwe elimu katika kuungana Zanzibari na Tanganyika elimu haimo kwenye Muungano
@hensuuali3795
@hensuuali3795 3 жыл бұрын
Ni ya ukweli uloyaongeya mdogo wangu siuongo inshaallah Mungu ajaliye yafanyiwe kazi. Hongera sana umeongeya point.
@someparuranga7377
@someparuranga7377 2 жыл бұрын
Allah akupe upeo zaidi Kuzidi kujiamini na akusaidie hekima pia
@sharifasalum841
@sharifasalum841 3 жыл бұрын
Huyu atakua mwanaharakati wa badae mashallah
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
MaashaaAllah MaashaaAllah Ahsante mwanafunzi tunaumani kwa raisi wetu huyu mpya ni muelewa na sio mbumbumbu na ni mzalendo na anajielewa na anahisia za uzanzibari wake atalifanyia kazi hilo na mengineo meeeeengi ambayo yanatukwanza wanzanzibari la muhimu tu tumuombee dua Allah amuongoze nia ya haki na yote InshaaAllah yatakaa sawa . Zanzibari kwanza👍
@IdirisaKhamis
@IdirisaKhamis 2 ай бұрын
Mashaa Allah umeongea hakika walio wengi huona kumuambia ukweli kiongozi ni kama kumtukana ila ww hauko ivo.
@salimjuma9494
@salimjuma9494 3 жыл бұрын
Safi sana mdogo wangu umeongea yamuhim sana kwa taifa la zanzibar
@calorinyfrancis2208
@calorinyfrancis2208 3 жыл бұрын
Asante
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Kabisa mwanafunzi unaongea hakika, unapo kwenda bara vyuo vikuu ukiambiwa walopata 1 unawapita wengi wao hawana lolote wanapeana tu
@ashampore6070
@ashampore6070 3 жыл бұрын
Maneno kuntu,hijabu ya kauli please.
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Asante bi dadat kwa kuongea ukweli Allah akubariki
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Wazanzibari wanajua kujieleza maashaa Allah.
@abrahmankhamis2324
@abrahmankhamis2324 3 жыл бұрын
Asamteee sana dada yng kwa kutuwakilisha vyema wnafunxi wenzako mh raisi umeyasikia hivyo uyatilie mananaii maana wazanzibar wengi wanafeli
@fauzakassim2271
@fauzakassim2271 3 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie
@nauhattz8226
@nauhattz8226 3 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuongoze umeongea vizuri sana
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 3 жыл бұрын
Haogopi na nakipaji cha kusema na ana points pia
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 3 жыл бұрын
Natumai Mheshimiwa rais tuko pamoja tunangoja maamuzi yako mema na Mungu akuongoze na jopo lako lote ameen znz oyeeeeee
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Oyeeee
@ashampore6070
@ashampore6070 3 жыл бұрын
Znz acheni ubaguzi,tanzania ni moja.
@rukiyatajir8064
@rukiyatajir8064 3 жыл бұрын
Oho girl you genius you are going to be a very important person in this country. Keep it up.
@mussahassan1779
@mussahassan1779 3 жыл бұрын
Ukitaka kuangamiza taifa tumia mfumo mzima wa Elimu tu bas Huna hajayakutumia mabom au guvu za jeshi nk
@feiz3180
@feiz3180 3 жыл бұрын
wazanzibari wakipata nafasi wanaongea na wala hawaogopi. Ila siasa kandamizi ndio zinazo tuumiza. Asili yetu sisi sio wakandamizaji wala wakandamizi.
@alihemed7721
@alihemed7721 3 жыл бұрын
Asante Sana dugu yg umetuwakilisha na umeongea bwent mzuri kweli asante
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 3 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka llahu
@saeedjuma4335
@saeedjuma4335 3 жыл бұрын
Maneno mazima kabisa mdada maa Shaa Allah hata mm inaniuma Sana Zanzibar km Zanzibar tunaendeshwa na third partماحصت،
@zuwena1zuwena114
@zuwena1zuwena114 3 жыл бұрын
Hongera jamani kaongea kweli ivi zanziba hakuna walimu wakusainisha iyo mitihani
@yussufsaid8223
@yussufsaid8223 2 жыл бұрын
Mashallaah Allaah Akubaarik
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 3 жыл бұрын
Great this is women power 👍👍👍👍👍yesss
@amneothman6792
@amneothman6792 3 жыл бұрын
Hongera carolina u just speak truth only truth big up vikoooo👏👏
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Masha Allah
@badrumohd5066
@badrumohd5066 3 жыл бұрын
Hongera sana dada anguu umeongea point
@ummymohamed869
@ummymohamed869 3 жыл бұрын
Alhamdulillah upo vizuri mwanangu Allah Akubarik ktk masomo yako
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Naam elimu watuachie wenyewe Zanzibar tutunge mitihani na isainishwe Zanzibar tumechoka na maziro ya kupewa mm mtoto wangu Alhamdulillah Maa shaa Allah ameongoza matokeo ya daras la 10 skuli nzima halafu huko mbele uje unambie ana zero siwezi amini
@mosnasnas131
@mosnasnas131 3 жыл бұрын
Umefikisha ujumbe wawengi asante sana dadaangu
@jumamatao3628
@jumamatao3628 3 жыл бұрын
Darasa la 7 lirudi km zaman maana watoto wa sku hiz darasa 6 ni wadogo sana wengine hata kusoma hawajuwi.
@aliarkam9548
@aliarkam9548 3 жыл бұрын
Mashaaallah hongera sana ndugu umewaakilisha vizur
@ajimalmtumb9896
@ajimalmtumb9896 3 жыл бұрын
Dada hongera umeongea vizur sana tna kwa point, ila hpo suala la elimu kuhusu ufaulu wa bongo mm nafikiria Zanzbar kidgo elimu yetu ni nyepesi Mno kulingna na Tzania bara.. Nandiomna Wzanzbr tunafel sana hatufati mifumo wanotumia wezetu wa Bara. Utamkuta mwalimu Kiswahili zanzbr amepewa kusomesha Chemistry hapo ndugu zngu Siku zote tutalaumu kua Zanzbr tunafel.
@alonealvin4534
@alonealvin4534 3 жыл бұрын
Hoja si kusomesha masomo yaliokuwa si ya mwalimu husika...hoja ni mitihani kusahihishwa na kusainiwa znz
@ajimalmtumb9896
@ajimalmtumb9896 3 жыл бұрын
@@alonealvin4534 zanzbr elimu yake ni tofauti na bongo.. mm nakuambia ninazo hoja madhubuti hatakma mithn itasainishiwa zanzbr Bdo zanzbr wanafunz waloweng hawatofaulu... Kuazia vitabu vinavotumika kusomeshewa zanzb haviendan na vya Bongo.. Utakuta selybus wanazotumia kutungia mitihn ya taifa zanzbr hazifuatwi ipasavyo
@salumkassim7949
@salumkassim7949 3 жыл бұрын
Dadaangu umeongea vizurii sanaaa wanatunyima haki zetuu namapato ya Zanzibar yabakie Zanzibar ili ipate mandeleoooo
@fatmakhamis6069
@fatmakhamis6069 3 жыл бұрын
Ata Mimi niliacha kazi ya uwalimu kutokana na maslah haikidhi haja Muheshimiwa makamo wa pili wa Rais ananielewa vizuri ni class mate wangu Hongera Bint Kwa kusimama kidete kutetea Haki zenu wanafunzi Shukran Muheshimiwa Rais Alla akufanyie wepesi kila penye zito
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 3 жыл бұрын
Kweli dada angu au???
@deomatochi9179
@deomatochi9179 3 жыл бұрын
What if Tanganyika students ask for their own curriculum like how it is for zanzibar students. I think Tanzania curriculum for Tanzania students by which zanzibar is among will be out of use and there will be no more a so called Tanzania curriculum. Just opinion.
@kabyjxjrd9874
@kabyjxjrd9874 3 жыл бұрын
@@deomatochi9179the issue is not curriculum coz is clearly followed by all. We want to make free commission for directing examination issue concerning to results from national examination. If we are free to elect a president in our own country, why we don't given a chance to make and mark our own examination and select students?
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Vzur umeitetea Zanzibar na Ana juwa kuongea
@zakwani885
@zakwani885 3 жыл бұрын
daima ukizungumza haki huogopi cc yule unae mueleza ayafaham mazingira yaliopo na kuyatekeleza ni wajibu wake
@husseinhincha1846
@husseinhincha1846 3 жыл бұрын
Unaakili sana ostadhat,🥰🥰🥰
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 3 жыл бұрын
Nimekupendaa bureee bureeeee Mashallah....
@jaarif08juma81
@jaarif08juma81 2 жыл бұрын
Mashhallah safisana
@biubwaabdalla4293
@biubwaabdalla4293 3 жыл бұрын
Vizuri mdogo wangu
@hafidhyusuph6282
@hafidhyusuph6282 3 жыл бұрын
Maaaaashallah umenenee Nduguu
@mizamiza6223
@mizamiza6223 3 жыл бұрын
Asalam alaykum shukran ndugu tunahitaji utekelezaji
@mohdslim8278
@mohdslim8278 3 жыл бұрын
Great! This is very talented girl . Mashallah.
@bizzboy5490
@bizzboy5490 3 жыл бұрын
Good point dada mungu akulinde
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Kabisa mama amefanya kazi kuanzia mwaka 1978 lakin hakuna faida aliyopat mpaka amefarik Bora mshahar wamfanya kaz oman ni mzur kuliko walimu wa Zanzibar maana Daa wanamshahar mzur
@lukmankhamis7041
@lukmankhamis7041 3 жыл бұрын
Mashalla ukhty kwa mazur yaliyomo kwenye akili zetu kuyawasilisha.
@rashidpema4299
@rashidpema4299 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@fauziamjengo9401
@fauziamjengo9401 3 жыл бұрын
Hongera my C
@ahmedkhamis9539
@ahmedkhamis9539 3 жыл бұрын
Hongera sanaa my sstry
@AA-yr7sr
@AA-yr7sr 3 жыл бұрын
Well dane umeongea maneno mazito yenye kuku sisimua maana kuchaguliwa rais lazima ujiamini na kazi zote za katika nchi yako sio kuamuliwa na waamuzi ambao ni wana nchi yao na serekali yao huu ni mshiba mkubwa kwa inasikitisha sana sana SubhanaAllah
@iddikhamis7769
@iddikhamis7769 3 жыл бұрын
Mwambieni huyo. Nchi inaangushwa kielimu serikali imelalaa. Zanzibar mambo yake ifanye yenyewe.
@mussahassan1779
@mussahassan1779 3 жыл бұрын
Daah huyu sister Do anauelewa wahali yajuu nakama hatukuchulia sireus maisha yote wa zanzibar Tutakuw hiv hivi siku zote Unamkuta mtto msahafu mzima umo kichwani nk
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Mashallah nice
@rukeakhamis9234
@rukeakhamis9234 3 жыл бұрын
dada yangu umeongea vizuri sana
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Amegusa sehemu nyeti Sana huyu mwanangu jamani ambapo Ni ngumu kwa viongozi wa Zanzibar kuyazungumza Ila haki itaendelea kuwa wazi kadri siku ziendavyo.Allah amuhifadhi nakila mwenyeshari.
@chiefzumo1688
@chiefzumo1688 3 жыл бұрын
MaashaaaALLAAH bint ndie
@jumamatao3628
@jumamatao3628 3 жыл бұрын
Ndugu yngu umeongea point haiwezekani miaka yote znz tuwe mapocho ipo namna na hili lazima lifanyiwe kazi .
@allymohammed7323
@allymohammed7323 2 жыл бұрын
Allah akulinde na hasad lakni unaongea na watu wasiojitambua
@khakidsalimu1710
@khakidsalimu1710 3 жыл бұрын
Mashaallah
@nassirmohd6850
@nassirmohd6850 3 жыл бұрын
Daaaah hongera cna ndugu yangu kwa kusema ukweli
@suleimanngare6707
@suleimanngare6707 3 жыл бұрын
Masha allah🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abdullasalim279
@abdullasalim279 3 жыл бұрын
Upo sawa
@britishadam1896
@britishadam1896 3 жыл бұрын
Hongera dada umeongea vitu vya maana sana na yenye hamasa
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Mashallaha
@mussasuleimanamour5999
@mussasuleimanamour5999 3 жыл бұрын
Umejitahidi kuongea
@jumayahya2661
@jumayahya2661 3 жыл бұрын
Mashallah watoto wakizanzibari wakiongea wanazivuta hisia watu.ila hawapewi kipao mbele tu.
@ameiryussi9189
@ameiryussi9189 3 жыл бұрын
mashallah
@khadijaabbas1581
@khadijaabbas1581 3 жыл бұрын
Tunapenda kulalamika ,sina shaka na marking kufanyika bars,tujiulize walopasi znz hawapo,na wanofeli wamefeli wapi? Watoto wa Zanzibar mapenzi kwanza,ubishoo muhimu ,tuition mia lazima . je niuwongo?!
@ahmadomar3306
@ahmadomar3306 3 жыл бұрын
Dada nakukubali na ninakupenda sana
@hamidjuma2178
@hamidjuma2178 3 жыл бұрын
Dả wa znz kweli wana akili mtoto kama mtu mzima
@AhmedAli-xw6xf
@AhmedAli-xw6xf 3 жыл бұрын
Mchukuw vdeo hafai pic ya student ni kivul
@babyzuweynaalbusaidalbusai5890
@babyzuweynaalbusaidalbusai5890 3 жыл бұрын
Kweli umeongea walimu wapewe thamani bila ya Allah na walimu hatuwezi shika kalam
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 3 жыл бұрын
Munapenda.san kujipura tatzo lenu ziro nyingi hampo makini kwenye kusoma walimu wenye elimu zao atakaa znz wapo mikoani wanakula bata
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 3 жыл бұрын
Si hayo tu hata utaratibu wetu wa mapumziko ubadilishwe jumamosi tunapumzika nini kwani sisi wasabato, la mishahara ya walimu ni rahisi tu badilisha tu mishahara wa mbunge apewe mwalim na wa mwalim apewe mbunge hapo ndo tutaona wazalendo wa kweli wanataka madaraka, kana kwamba hiyo haitoshi hebu pangeni mishahara mmoja tu tofauti iwe katika uzito wa kazi kulingana na elimu yako, na kulipwa kuwe kwa. Masaa ya kazi ikiwezekana futa kabisa mapumziko iwe ni uamuzi wa mtu na kulipwa ni kutokana na mahudhurio yako kulingana na Masaa yako ya kazi
@user-yw7st3dk7w
@user-yw7st3dk7w 3 жыл бұрын
Asante ww umeongea tunahitaji tujimiliki wenyewe wazanzibar tuna uwezo na ufanisi mkubwa
@habilhamad1594
@habilhamad1594 3 жыл бұрын
Hongera dada umeongea point ya msingi darasa la saba pirudi watoto wa darasa la sita ni wadogo wa kuchanganua mambo,🤸
@fatmanassor8285
@fatmanassor8285 3 жыл бұрын
Asante san ndug yang
@wazirhaji6913
@wazirhaji6913 3 жыл бұрын
Hongera sana bint maswali yako ni mazuri sana
@saidkhamis6873
@saidkhamis6873 3 жыл бұрын
Saw
@mbaroukrajab4874
@mbaroukrajab4874 3 жыл бұрын
True student🙏🙏🙏🙏
@selestinytz
@selestinytz 3 жыл бұрын
Hiii ndio maaana halisi ya elimu
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Kweli walimu wapewe mishahara mizuri wapate moyo zaidi wa kufundisha na wapate muda wa kupumzika wakitoka kazini sio wakatafute kazi nyengine baada ya kutoka kusomesha skuli
@arafaali3689
@arafaali3689 3 жыл бұрын
Hongera kwa kutuwakilisha
@ibramiddo4863
@ibramiddo4863 3 жыл бұрын
Honger mamyyy
@calorinyfrancis2208
@calorinyfrancis2208 3 жыл бұрын
Asante .wote mlionipongeza Kwa hili nitajitahidi zaidi . Na mnisamehe wale mlioona nimenena vibaya
@mudysule5495
@mudysule5495 3 жыл бұрын
Upo vzr hujaongea kibaya ila wajinga km hao wapo hata ukwel huupinga kw maslah yao binafsi
@calorinyfrancis2208
@calorinyfrancis2208 3 жыл бұрын
@@mudysule5495 thanks
@amneothman6792
@amneothman6792 3 жыл бұрын
Big up to uh love carolina💝💝 big up vikoooo 👏👏👏
@binseifalsuleimaniy503
@binseifalsuleimaniy503 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzdishie kwa kuwa mkweli kwa akili zako nzuri tafuta ukweli popote na ukigundua tu ulipo ukweli basi ufuate usiuwache katu .we inavo onesha moyoni mwako unapend haki ndio Leo ukaweza kuyasema Yale ya haki pia kna haki ya mfumo wa maisha yako ichunguze kwa makini sio ya haki .basi wee ni mfuasi wa haki fata haki Allah atasimama na wee .wala usiogpe kma ulivo kuwa hujaogopa hapo .kwa ninavo kuhisi akli yko ni nzuri wengi kma wee walipo ugundua ukweli wameufuat ( uislmu )ahsante uislamu unapenda ukweli karibu kwenye ukweli na haki .nakunasihi mimi sabab hayo ni majukumu yetu .ahsante (by kifasihi)kuwa mtolewa nakusihi ndugu yangu
@al.oufy_graphics5653
@al.oufy_graphics5653 3 жыл бұрын
Point ya darsa la saba kurdishwa ninzur
@eastzuuzuu7050
@eastzuuzuu7050 3 жыл бұрын
👍👍👍
@hassanhajjihamdan8318
@hassanhajjihamdan8318 3 жыл бұрын
Hongera sana binti
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 жыл бұрын
Nice one
@jumahory3069
@jumahory3069 3 жыл бұрын
huyu binti mungu amuweke
@binammwanafa2033
@binammwanafa2033 3 жыл бұрын
💯👍
@safiasaleh669
@safiasaleh669 3 жыл бұрын
Nimependa dogo kauliza Kwa nini mitihani ya znz isahinishwe Tanganyika ? Rais tupe jawabu
@hijraaliy4411
@hijraaliy4411 3 жыл бұрын
Ongeeni sana ili mjifurahishe....kuhusu std six...namuunga mkono ila ilo l mitihan y taifa kumarkiwa Zanzibar bado sanaa....Zanzibar ndo hii hiii tunajuana jinsi tulivo na uo unaoitwa muhali.....sasa ikiwa kama form two tuu watoto wanapitishwa tyuu jee vp kuhusu io form 4 n 6 ambapo n part y maisha y mwanafunzi????? Mm napita tyuuu...
@kimuratv255
@kimuratv255 3 жыл бұрын
Good girl ♥️
@saidabdala4980
@saidabdala4980 3 жыл бұрын
Na rejea palepale. Kwani MASHEKH wetu si ndio walivokuwa wanatuwamsha. Kama hivi. Sasa kosa gani la kuwafunga..
@mwanaidijumanne4146
@mwanaidijumanne4146 3 жыл бұрын
Yaan we acha tuu😭😭😭
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa sister mitihani tunafelishwa
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
mimi sielewi hii yakuskip darasa la 7 na 8 wakati watoto ni wadogo ikisha form 2 anafeli anabaki kuvuta bangi. wigo mwengine sio nzuri tuache kuiga nchi zilizoendelea .
RAIS MWINYI AFUNGUKA USIA ALIOACHIWA NA BABA YAKE MZEE MWINYI
8:29
Wasafi Media
Рет қаралды 109 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3,5 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 69 МЛН
Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli
13:03
Azam TV
Рет қаралды 93 М.
🔴LIVE:HAYA NDIO MAMBO TUSIYOYAJUA KUHUSU ZANZIBAR
37:36
RVS Online Tv
Рет қаралды 68 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 376 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН