Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Jamani Watu ni wengi duniani lakini Binadamu wa kweli wenye upendo ni wachacheee. naongelea kwa le wasiowaamini Watumiahi wa Mungu. Na wanaowachukia bureee!! Mtamwamini nani sasa kama Manabii wanainua injili na kuwaponya watu lakini baadhi ya wenye wivu ,wachawi mashetani Mnawachukia Manabiii wa Munguu?? Mnataka mpaka wingu lipasuke mumuone Mungu kwa Macho?? achenii Dhambi na Wivu wa kuwasemea mabaya wenzenu wapakwa mafuta wa Mungu. Pambaneni na huduma zenu nanyie
@abdallahally8423 ай бұрын
Am proud to be come muslim hakuna upuuzi kama huu na ukitokea anapuuzwa na hata kulaa makofi sababu uislam ni kuomba direct moja kwa moja kwa mungu ni kati yako na aliekumba
@LodvolaLameck-jl5vs3 ай бұрын
Uturehemu Kristo Yesu samehe na Tanzania isipigwe kwa laana
@herimornchriston60834 ай бұрын
hapa hakuna mchungaji hapa mmepigwa
@josephmwabange96334 ай бұрын
Amen mtumishi wa Bwana , popote Bwana Yesu alipita alitenda mema !
@jonijoogabriel37283 ай бұрын
Hivi huyu jamaa ni raia wa congo?
@trophywilson72114 ай бұрын
nabii kapaka mkorogo duh
@mohdmohd84283 ай бұрын
I'm proud to be
@josephmwabange96334 ай бұрын
I love you prophet , you know the work of a prophet it is beyond human mind , because it is a manifestation of the Holy Spirit himself!
@JacobMaganga-re9ji4 ай бұрын
😂😂😂😂
@BrandinaMohammed3 ай бұрын
Ubarikiwe baba upo vizuri
@justinmbazi53973 ай бұрын
Kiukweli wa Tanzania elimu ya kiroho tupo chini sana uyu hahusian na mungu kbsa
@TzMose4 ай бұрын
Yes papaa good
@ElizabethHytham4 ай бұрын
Lichawi hiloooooooo😂😂😂
@shanti-hd7zy4 ай бұрын
Yani Germany Pia Kuna wachawii naomba Madhibau haya naomba yanikombowee 🇩🇪
@EvaristoMwasenga3 ай бұрын
Hahahah iv uyu mwamba Mcongoman au ana fanana na wazehe wangwasuma
@zabibusaidi14042 ай бұрын
Nijuavyo mm mtu kama humuelewi ucfuatilie mambo yake ww tuonyeshe mtumishi wa kweli wakati anaiwa akaitika ukiwa nae
@PaulinaNyanzalashija4 ай бұрын
Uko vizuri mwamba kiboko ya wachawi
@MeshersHashrun3 ай бұрын
❤
@ryobanchagwa24994 ай бұрын
Shida unaenda jehanam mchungaji pamoja na kanisa lako😢😢😢😢😢
@myovellasylvester62294 ай бұрын
Kaka kama hujamhukumu mtu tazama na wewe maovu yako, hakuna wa kumuhukumu mwengne, wa kuhukumu ni MUNGU
@MagrethShao-v4s3 ай бұрын
Huyo kiboko ni mchawi siyo mtumishi wa Mungunilitape alinitoxa laki tano nilipokosa wakaniambia Toka nje Sina pesa
@HabilyTech3 ай бұрын
Mungu anataka watumishi waende Dar tu😂😂😂
@TeddyPonera4 ай бұрын
Una roho ya Peke yako . Mtoaji Sana na mwenye huruma. Kwa mafuta umependelewa baba moyo mzuri na unatenda kazi ya Mungu kwa dhati na upendo Sana 🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@AnthonySindabaha-de3xb4 ай бұрын
Pole sana
@trophywilson72114 ай бұрын
mmmh
@Jurbeg4 ай бұрын
Kama nimwammke basi huyu nabii muhuni alie jichubua nakuchonga denge namacheni basi anakulala sii bulee 😮
@JacobMaganga-re9ji4 ай бұрын
😂 😂 😂
@EdwinAugustino3 ай бұрын
Jaman jaman watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@rahelichilewa54724 ай бұрын
Mungu akubariki Kwa Upendo wako na Moyo wako pia mara 1O0
@AnthonyNjanii4 ай бұрын
Uponyaji kwa mke wangu
@woah.africa994 ай бұрын
Na cheni kavaaaa
@machindafadhili31864 ай бұрын
KWA UKWELI KABISA WEWE NI FREEMANSON NA WALA SIO MTUMISHI WA MUNGU. KWA KILA KIGEZO KWA MUJIBU WA BIBLIA
@healingsschool46304 ай бұрын
Kwa kigezo Gani? ROHO MTAKATIFU ashaniambia huyu ni Mtumishi wa Yesu Kristo
@herimornchriston60834 ай бұрын
@@healingsschool4630 thibitisha hilo
@naturelle10973 ай бұрын
Mon Dieu!
@EmmanuelMarandu-f6u3 ай бұрын
Amen
@aronmapunda20234 ай бұрын
Ni wazi kuwa watu wanavutika na pesa, pia ufahamu kuwa Mungu unaye mtumia ni kivuli cha shetani udhihirisho ni 1Wafalme22: 19-23
@scolasticakaduma51434 ай бұрын
Nakupa mauwa yako Kiboko ya wachawi
@princenelsonsinko52373 ай бұрын
Kichwa kimeshaiwa
@danieljoseph16103 ай бұрын
Kama uko hapo unafrahia na kucheka, kwamba umempata mchungaji mzuri! Ndugu yangu! Amini umepotea! Sku ukijikuta kwenye ziwa la moto ndo utakumbu maneno haya!
@shanti-hd7zy4 ай бұрын
Naomba haya Madhibau yaje yaniondolee wachawii Nanyolewa na Familie magogwa 🇩🇪
@malkavoice25707 ай бұрын
Mwarabu fighter ni jina tu sasa alikuwa mtu enzi yuko wasafi,kuwa unapesa za sadaka ni pesa za mungu sio zao wanaokupatia hizo pesa wanamtumainia mungu. Unapojisifia unapesa za kuhubiri jua ww hujajitambua,tumia pesa kwa akili na jua hyo nafasi ni zamana ya muda mfupi tu
@kingngojea3 ай бұрын
Unajaza watu uwapeleke moton kumbuka mungu yupo ao unao wajaza ungejitambulisha kama msanii wa music na sio kuwa unawapeleka mbinguni ao unasema ni zaid ya elf 30 hawana akili wamefungwa na nguvu ya ibilis
@SundayEugen3 ай бұрын
Mwamini Mungu usimwamini mtu walanini
@RosemaryFesto-w8e3 ай бұрын
Yapige machawi yafe yanstesa sana watu
@MeshackNanyaro-xg8qg3 ай бұрын
Kwamtu aliye rohoni na anaukaribu mzuri na Yesu kristo hakika Mtumish wa kweli wa Yesu kristo anajulikana kuanzia muonekano wa nje mpaka rohoni ikiwa mtumishi wa Mungu atapaka nywele bleach je watu wengine wataiga nn kutoka kwake hata kama hujui kusoma basi angalia ata picha tu utaelewa
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Mipasho waimba taalabu hawaoni ndani
@MdAr-q7i4 ай бұрын
Nacho fanya baba ni makubwa jaman bababyetu anaokoa maisha ya watu asokubali roho mbaya 2
@ElizaMolle4 ай бұрын
Baba watu wangorongoro Wana tamani kusikiya uduma Yako ila rediyo Yako ayishiki
@jumamohamed3168Ай бұрын
Na wewe unataka aje huko awatapeli .ei acha ujinga.
@Upendomlay4 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe tabiri juu yangu baba
@JacobMaganga-re9ji4 ай бұрын
😂😂😂
@africanqueen-ms3cl3 ай бұрын
Kuja kenya tafadhàli
@imeldastephano92214 ай бұрын
Hata mm nilipata nikiwa Mwanza nilinyanyua cm
@adelgotingingo83964 ай бұрын
Kanisagani
@stevensovan41784 ай бұрын
Hv huyu baunsa nilimuonaga wap🤣🤣
@NuruNswebe4 ай бұрын
Eti naamrisha pesa aingie nainaingia
@ChristineKassanga-xm9xe4 ай бұрын
Nabii njooTabora kuna wachawi balaa hakueleweki yan utaua sana tunakuomba nabii njoo tusafishie mkoa
@fotunatusiMsongole4 ай бұрын
Mwamposaaa unamujuaa mbona anajazaaaa sanaaa
@Mwasame_Official12 ай бұрын
Tapeli mkubwa wewe,,,mungu atajipigania mwenyewe
@sixberthcostantini9290Ай бұрын
KUSEMA UKWELI Wapo wajinga wachache wanaopotosha watu huyu ni mmoja wapo hakuna mchungaji hapa Mungu atuongoze kiukweli Mungu amsehe sana
@EvaristoMwasenga3 ай бұрын
CONGO tumepigwa apa
@samsonhamery38094 ай бұрын
Huyu mhojaji hajui kazi yake yeye anauliza simple question za kuunga tu mkono kazi yake Miujiza si dalili ya kuwepo Mungu hata shetani ana miujiza hata hiyo miamala anagawa kwa watu wake tu si kila mtu anagawa kwa wapambe wake tu yeye ana utajiri gani agawe mapesa kila siku
@claralucy42304 ай бұрын
Napokea
@SAMWELIAMOS4 ай бұрын
Nitabirie Nabii mimi Samweli mungure
@Makikokasongo4 ай бұрын
We chuzi afu mwanaume etii hhhh brain washed
@NuruNswebe4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eunicekiilu74854 ай бұрын
🌹🌹🌹maua baba ayoooooo🤝👏👏👏
@pastoreliya6634 ай бұрын
Mungu achangamani ujinga wako unataka uwachukuwe misukule
@AnthonyNjanii4 ай бұрын
Unabii kwa mke wangu
@nelsonnyamle4 ай бұрын
FREEMASON NDANI YA KANISA KUWENI MAKINI SANA WATU WA MUNGU SOMENI MAANDIKO MTAWAJUA KWA JINA LA YESU SHETANI HUYO
@LodvolaLameck-jl5vs3 ай бұрын
Ninakufananisha au ni wewe muimbaji nahisi tulikutana Mkuyuni Morogoro
@piusrweyemamu39003 ай бұрын
Mizuka!!!!!!!!!!!! 😂😂😂😂😂😂
@EvaristoMwasenga3 ай бұрын
Kujichua je
@SmilingCityMap-xb9md3 ай бұрын
Umesema washilika wako hudanga hapo unasemaje hudanga kanisani au hudanga buza mitaani ili wewe upewe sadaka au hapo unasemajej😮e kiboko na unaonaje kuhusu waumini wako kwenda mbinguni kiboko maneno mengi mipasho kama yote na majigambo vijembe kama vyote
@restitutalaurence62644 ай бұрын
Fanya kaz baba
@rashidhassan81564 ай бұрын
Huyu mwamba kajiongeza
@HildaMarcus4 ай бұрын
Tabiri juu yangu Hilda kiwonde
@trophywilson72114 ай бұрын
hahaha
@NuruNswebe4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kabaranamaganga66464 ай бұрын
1Yohana 4:1-3 zijaribuni roho
@SalimaSaidi-zr5nm4 ай бұрын
Nabii naomba unitabilie na mimi nina changa moto nyingi
@pastoreliya6634 ай бұрын
Ndivyo Lusifa alijitapa sana akataka kutukuzwa na Wewe ,Ndivyo Ulivyo ,Mimi Nakujua Kwakua mimi ni Mtu wa Mungu Basi Ujuwe Giza alichangamani na ,nuru Endelea kunywa Damu ,Ujui Biblia Wewe ni Ajent Freemason
@ramadhaninyangasa72753 ай бұрын
Ngozi ya kondoo walakini ndani yao ni mbwa mwitu 😂
@Muhojashijaseselese3 ай бұрын
Tapeli huyu kashanitukana sana alilala loji kwetu 😅sina hamu nae
@bambone19382 ай бұрын
Criminal 😂
@righitkileo2 ай бұрын
Namaa umepiqa mkoroqo unadanqanya watu ,hakuna cha kuqawa wewe ni kibaka