MAHOJIANO MAALUMU NABII KIBOKO YA WACHAWI USWAHILINI BUZA KWA LULENGE / KWANINI ANAOGOPWA NA WACHAWI

  Рет қаралды 39,268

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MAHOJIANO MAALUMU NABII KIBOKO YA WACHAWI USWAHILINI BUZA KWA LULENGE / KWANINI ANAOGOPWA NA WACHAWI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm #trending #mswahili #virah

Пікірлер: 211
@lilianmnkondya150
@lilianmnkondya150 Ай бұрын
Amina Baba piga kazi umenisaidia sana Madhabahu yako ina nguvu🙌
@worth_monkey
@worth_monkey 2 ай бұрын
jamni umasikinii utatuburuzaa sisi wabongooo tutumie akiliiii hawa watu ni matapelii na washirikinaaaa hata kwa macho hatuoniii jamaniii dah
@user-ic8dz9mw7e
@user-ic8dz9mw7e Ай бұрын
Nakuelewa sana mtumishi Mungu akutunze
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 2 ай бұрын
Huyu jamaa. Ukimzingatia na ukiwa na akili timamu utajua anamuabudu nani. Kama C3 huna hutonielewa. Mungu atuongoze.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Sokuona sababu ya muziki huo katikati ya mahojiano
@ChristinaNshatsi
@ChristinaNshatsi Ай бұрын
Jamani mnahukumu adi mnakela
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 2 ай бұрын
Nilichokuelewa ni kwamba ww ni tajiri wa moyo ndo mana una uthubutu wakutoa sadaka sanaa na ndo mana unatamani watumishi wako wajenge wawe na magari wasije pia na mashat yaliochanika god bless my broo
@ElionaMbise
@ElionaMbise 2 ай бұрын
Mtu.wa.mungu piga kazi.mungu.amekupa Kibali.cha.kuwa.kiboko.cha.wachawi.hapa 🇹🇿
@wildlife5730
@wildlife5730 2 ай бұрын
Wakristo tusome biblia vzr tusibebwe na huu upepo
@MulshiduYusuph-yw2os
@MulshiduYusuph-yw2os Ай бұрын
Nakukubali baba
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 ай бұрын
Aisee nimesikiliza vizuri sana jamaa unajua kujieleza vyema una utaniutani kitu ambacho ni kizuri pia God bless all of us
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 ай бұрын
Mimi ni Mkristo huyu jamii ni tapel wa kiroho hafai hata kusikilizwa kwa mtu anaye mjua Mungu lakini kwasababu ya ujinga wenu ataendelea kuwa ibia hana ukibo wowote
@matolasalumu2625
@matolasalumu2625 2 ай бұрын
Mwizi tu kupitia imani ira mungu anawaona kazi ipo kwenye malipizo
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 2 ай бұрын
Wenye wivu acheni upuuzi hebu kuwen makini na maneno yake katika maisha yangu sikutegemea kuwakubali wachungaji ila kwahuyu kiboko acheni wivu.jaman pambaneni na hali zenu tunampenda huyu baba mie nipo oman namkubali kula tano👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪💪
@shinshi9696
@shinshi9696 2 ай бұрын
Utakuwa fala wa mwisho wewe. Nahisi mkeo na watoto wanatombwa na houseboy au housegirl wako jinsi akili zako zilivyo. ulivyoshikwa akili fala mbwa mzee wewe 😅😅😅
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Uc ya nn kama mtu humuelewi kaa pembeni
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Wazawa woote wa buza mpaka daladala zoote zimeneemekakama huku wai kufika kanisani kwake nenda kaone usithubutu kutukanavkabla magereza hospital polise kooote kapeleka magari namisoc
@PaulinaNyanzalashija
@PaulinaNyanzalashija 2 ай бұрын
Nabiii wote ni safi tu wewe unaeita nabii tapeli no moja ni wewe zungumza yako msiwachafue manabii wazuri wanasaidia sana
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 2 ай бұрын
Tapeli Mwingine😂😂😂😂
@shinshi9696
@shinshi9696 Ай бұрын
@@PaulinaNyanzalashija fala Paulina shija
@didasmajor9288
@didasmajor9288 Ай бұрын
Dada Mimi ni mkristo, nitafute tufanye maombi Mungu mwenyewe atuoneshe kipi ni kipi
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Ай бұрын
Usijali roho mtakatifu atawashukia😊​@@didasmajor9288
@hebrontesha7184
@hebrontesha7184 Ай бұрын
Ni kweli kabisa huyu ni nabii ila wa uongo
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c 2 ай бұрын
Dalili za kuchochea Ushoga kwa Huyu ??
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@NelsonAlphonce
@NelsonAlphonce Ай бұрын
Jamaaa hafai hata kidogo mwanzo alianzaa vizuri amepata umarufu na kuanza kuvaa majoho ya freemason hapo kuanza kukejeri dini nakuanza kuongea utumbo
@salomefaith2410
@salomefaith2410 Ай бұрын
Amewakosea sana wazee. Wananchi wenye umri mkubwa. Kwa hiyo waende wapi? Maana amegeneralise kuwa ni wachawi. Angesema baadhi yao. Na anataka kuaminisha umma kuwa hakuna vijana wachawi.
@elizamasangula2935
@elizamasangula2935 Ай бұрын
Hata yeye siku Moja atazeeka kama hao
@Tg.7_7
@Tg.7_7 2 ай бұрын
This man Big Brain,🙌 mengine sijui nawaachie walimwengu!!😅
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Aamina sana Mtumishi wa Mungu.
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 Ай бұрын
Matapeli wapi nyinyi wivu tu ndo unawasumbua na mtu hayajawapata mtu siku akirogwa ndo atajua umuhimu wa kiboko ya wachawi 😭😭😏😏😏
@kennethjunior6071
@kennethjunior6071 Ай бұрын
Sister acha kudanganywaa Hawa ni wahunii tuu
@nekaagripa3993
@nekaagripa3993 2 ай бұрын
Watu 70,000 hivi anawajua? Means uwanja wa mkapa?? Watu bwana
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 2 ай бұрын
Wacha uhuni wewe uchawi ndionini ? Yaani mzee wamiaka 70 akifa tayari ni mchawi ? Kweli?
@Commentsplus
@Commentsplus Ай бұрын
Yani hera Hera ndo neno Lake Kuu umakini uwepo wakati ukimsikiliza
@VeronicaFedrick
@VeronicaFedrick Ай бұрын
Nakukubali sana baba wasemewasemavo akilizao na zenyewe zimefungwa hawajielewi kazi kubwabwajatu
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 2 ай бұрын
Kuhusu vitambi nimecheka 🤣🤣Nakupenda ❤
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 2 ай бұрын
Binafsi nilikuwa ckufwatilii kabsa lakn kws maelezo haya nahis kama naanza kukuelewa sanaaa sanaaaa sanaaaa nankukufwatilia umachosema ni kweli kabisa
@naturelle1097
@naturelle1097 Ай бұрын
Hapo kwa watumishi wako hawajapauka wala mashati yaliyo chanika nakupa pongezi..big high five!
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 2 ай бұрын
Biggerup Mtumishi wa Mungu Dominiq, Mungu awalindee woote
@AliAli-n3k2f
@AliAli-n3k2f Ай бұрын
Huyo ni aina ya tajiri,,😂hawezi kutuharbu akili zetu imeishaaaa io
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 2 ай бұрын
Najivunia Sana kua Muislam maana nina uwelewa wa hali ya juu sana huyu jamaa ni tapeli tu na hao wote anaojifanya anawatibu anawapanga
@bobdelwinsky9363
@bobdelwinsky9363 2 ай бұрын
Hauhitaji kuwa muislamu kujua uhuni wa mwamba. Hata wakristo wanajua mwamba ni msakatonge sheikh. Ni vile tunajivunia kuvumiliana na umoja ndio maana wahuni kama hawa wanaibuka kama uyoga. Sheria na taratibu za nchi zitakapobadilika kuwashughulikia hawa watu kihalali kama kutaifisha mali na kuwafunga watajifikiria sana.
@richardvallerian1003
@richardvallerian1003 2 ай бұрын
Hauhitajiki uelewa wa juu kujua huyu ni tapeli, ni uelewa wa kawaida kabisa!
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 ай бұрын
Weslam nao wanachanga moto yao acheni unafki nyinyi Weslam huku unajiitq Mweslam baadaye unaenda Gest kufirwa mkunduni
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 ай бұрын
​@@bobdelwinsky9363 ubarikiwe kakangu unasema ukweli kabisa Yani nahitaji Serekali iwashike handi Ndani hata myaka 10 kumi tu watanyooka kweli kweli
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 2 ай бұрын
Wee ni mwanga TU umepangwa na shetani na wewe!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 ай бұрын
Najivunia sana kuwa mkiristo wa kikatoliki
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 2 ай бұрын
Walewale Wote Wasaka Tonge😂😂😂😂
@ElionaMbise
@ElionaMbise 2 ай бұрын
Nabii.nipo.harusha.nimefatilia maji na.tishet.sijawakuta.watendakazi.stedim arusha❤
@coolsinare8824
@coolsinare8824 Ай бұрын
kuna mambo kadhaa umeyasema nimefurah..moja wapo ni kuwa”utajiri wa kweli ni kile unachokiacha kwenye mioyo ya watu”ni ujumbe tosha na nadhan kwa hali ilivyo sasa watumishi wa Mungu,Raisi wa nchi na viongozi wake jalini sana mioyo ya wananchi mnaiachaje kutokana na nguvu za mamlaka mliyopewa na Mungu
@CamillahAdam
@CamillahAdam 2 ай бұрын
Mtumishi wa mungu 🎉
@justusngonyani165
@justusngonyani165 Ай бұрын
Mbingu si ya wakristo,bali ya waliookoka.Waliomkubali Yesu kuwa Mungu na mwokozi.
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 2 ай бұрын
Tapeli wa kikongo huyu uhamiaji weka ndani wewe ndie mchawi mkubwa mshirikina wa kwanza kwanza ni mchochezi eti wazee wachawi imaana ata babu yako kule kongo ni mchawi eti tumepiga maombi wazee wamekufa sasa unawaponya watu au unaua watu mpigaji mkubwa..
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 2 ай бұрын
Yaani anafurahi kuua wazee. Una uhakika gani Kama ni wachawi kuweni makini jamii
@GluckSifaeli
@GluckSifaeli Ай бұрын
watu wa mungu tusikilze sauti ya mungu tuu
@imanimahundi8293
@imanimahundi8293 2 ай бұрын
Wagawanye tuwatawale. Shida ndio zinatusonga mpaka tusijue lakufanya EE mungu tujalie ufahamu
@shinshi9696
@shinshi9696 2 ай бұрын
Huyu bishop anahitaji matibabu ya akili
@ramsonhudson4013
@ramsonhudson4013 Ай бұрын
Kiboko ya wachawi ana bordgurd anawezaje ku deal na watu wasionekana akashindwa hawa anaowaona jamana jamani 😢 Uweze wachawi uogope watu hawa unaowaona?
@chrisshonga
@chrisshonga Ай бұрын
Mashemasi zaidi uya 100 wanalipwa zaidi ya Wabunge duuuh! naomba nitumie application form please! Kkkkkkkkkkkk
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 ай бұрын
YEREMIA 50:6. YEHOVA ACMA KONDOO WANGU WANAPOTEZWA NA WACHUNGAJI WAO.
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 2 ай бұрын
Ana sifa huyo namajigambo mmh nilishatapeliwA pesa nyingi na mgonjwa broo hakupona fyuuuu anawapaga watu anaogea kwenye redio vinzur lkn ukienda kanisani anakuchamba wee sijawai onaa utakufa utaenda motoni kafiri wewe
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Ай бұрын
Nchi nzuri kuishi anasema Tanzania, sababu sisi mabumbu tunaibiwa tu!
@BonifaceOirere
@BonifaceOirere Ай бұрын
Hapa ni biashara na uganga Bali si injili ya kueneza ukombozi.Mungu akaokoe kondoo na mchunga wao
@djumakonki1964
@djumakonki1964 Ай бұрын
Mheshimiwa Zembwela vipi unapoteza muda wako kuhojiana na mtu kama huyu! tafadhali utapoteza heshima katika jamii inayokueshimu. huyu mtu anaongea nini hapo. hapa tanzania siyo Kongo. watanzania ni waungwana. anatukana viongozi wa dini ya kikristo mchana kweupe mnamwacha hivi hivi. Nani mkristo kutoka tanzania anaweza kwenda kusema maneno kama anayosema huyu na akabaki salama! tanzania mkiruhusu kuchezewa kiasi hicho ! MwenyeziMungu atawashushia nakama.
@lickumikidadi7630
@lickumikidadi7630 Ай бұрын
Aaaminaaaa
@user-bs7dj7ps9g
@user-bs7dj7ps9g 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂watu niwajinga sana
@justineswai5885
@justineswai5885 Ай бұрын
Wamejivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu, ole wenu KRISTO YESU anarudi
@AhadiPromise-z3z
@AhadiPromise-z3z Ай бұрын
Nakukubali sana wataongea sana awakuwezi babaa wambie😂😂
@wistonmajenda
@wistonmajenda Ай бұрын
Roho yang inaumia sana dada yangu alikuja kwako anaumwa umsaidie ukamwambia umpe million1 ndio umsaidie we sio nabii ww ni tapel tu
@mulashanibrasio8151
@mulashanibrasio8151 2 ай бұрын
Niçe interview, May God bless you
@michaelmbeti5040
@michaelmbeti5040 Ай бұрын
Naomba mwili upoe kwa nguvu sana
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r Ай бұрын
yanii mtu anatoka kongo anakuja Tanzania kuchoma wazee wetu kwamba ni wachawii
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 2 ай бұрын
UJINGA MTUPU NENDA KAJITANGAZE KUA WEWE NI KIBOKO YA WACHAWI TANGA AU SUMBAWANGA VIJIJINI ACHENI UJINGA dar Kuna wachawi hizo ni biashara za utapeli wahuni nyie
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 Ай бұрын
Hapo pa kuwapenda mashemasi na wahudumu nimekukubali, mtu huwezi kuwa mbaya kwa nyanja zote.
@worth_monkey
@worth_monkey 2 ай бұрын
watuu mbona hamfungukiii akili zenuuu huyu ni tapeliii jamaniii fungukeniiiii
@Gislamushi
@Gislamushi 2 ай бұрын
Amewai kukutapeli Nini?😂
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 2 ай бұрын
Tapeli la Kikongo Kawasaidie Congo..Vita ishe..
@jumarajab5316
@jumarajab5316 2 ай бұрын
mbona anaongea tu bila kuulizwa
@bobdelwinsky9363
@bobdelwinsky9363 2 ай бұрын
Msaka tonge muhuni na Mhuni makini
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 25 күн бұрын
Huyu hata ukimwangalia tu majibu unayapata.najiuliza hao waumini wanakuwa na shida gani jamani?
@salomefaith2410
@salomefaith2410 Ай бұрын
Huyu mkongo arejeshwe kwao kongo. Hatutaki alete maafa ya shakahola
@dianaemmanuel3471
@dianaemmanuel3471 2 ай бұрын
Baba Niko mwanza nataka kuzulumiwa asilimia zangu za uchimbaji wadhahabu Niko mwanza baba nisaidie
@shinshi9696
@shinshi9696 2 ай бұрын
Tafuta mwanasheria haraka na acha kujilengesha laa sivyo utatapeliwa na utalia zaidi. Pole sana
@HangiMakina-wf8hw
@HangiMakina-wf8hw 2 ай бұрын
Mgodi gani huyo kunajamaangu anaweza saidia
@NelsonAlphonce
@NelsonAlphonce Ай бұрын
​@@shinshi9696mwambie atume laki Tano Mimi ni msaidizi wa kiboko ya wachawi hatazurumiwa tena
@NelsonAlphonce
@NelsonAlphonce Ай бұрын
Tuma kwanza sadaka ya laki Tano nitakuombea mi msaidizi wa kiboko ya wachawi .
@shinshi9696
@shinshi9696 Ай бұрын
@@NelsonAlphonce 🤣🤣🤣
@andrewkamese8492
@andrewkamese8492 2 ай бұрын
Kama umeshinda jaribu la pesa basii nabii kiboko Sio mtumishi wa mchezomchezo!
@omarally5460
@omarally5460 Ай бұрын
Hii issue ni mtambuka, Jamaa kaanzia kuziba midomo watendaji wa chini wa Serikali na Jeshi la police, Ni Ngumu kumchukulia hatua zozote,, Inahitaji maamuzi magumu sana. 🤔🤔🤔
@ElionaMbise
@ElionaMbise 2 ай бұрын
Kweli nabii.umesema ukweli.hapo.hata.kama.wanasema.wewe.ni.nabii.wa.uongo wanakuonea wife.piga.kazi.baba.fufua.watu.wataelewa tuu.mungu.akitie.nguvu
@rahabmausli4183
@rahabmausli4183 Ай бұрын
Muogo Kiboko Ya Wachawi 🫣unawapatia Kisha Sinakurudia unasema watoe Sadaka kilamutu erufukumi Mungu alisema chochote ukonacho utoe lakini Yeye lazima utoe vile Yeye Anataka Anatagaza tutoe Sadaka ya kwanza 20.000- ya pili 10.000 yatatu 5.000- That Is Business my my friend😳👎👎chako kikomotoni😳🤔
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 ай бұрын
Kwaiyo hizo sadaka umeona uwape bodaboda wenye kipato kuliko kuwapa wasio jiweza Kaya maskini, magereza na hospitalini
@wizebiligetwaziri5540
@wizebiligetwaziri5540 2 ай бұрын
Alafu utasikia mpuuzi mmoja ana sema unatumika nashetani ukimuuliza ulifunuliwa nanani anakusomea andikotu lisemalo "watajitokeza manabii wauongo " shida yabongo wajuaji wengi
@EllyMoshi-vd9ds
@EllyMoshi-vd9ds 2 ай бұрын
Wewe utafurahishwa😂 tulia na ubishi wako unapenda kuombewa eee
@mobilebeats3086
@mobilebeats3086 2 ай бұрын
Anapenda kuombewa huyo haelewi mtandao unasumbua kama angeielewa biblia asingeongea utumbo uo
@kutailass6671
@kutailass6671 2 ай бұрын
Kwan uongo? Hakuna nabii zama hiz wote matapel tu washirikina tu
@designdesign4426
@designdesign4426 2 ай бұрын
inaonekana akilizako nifupisana naww unategemewa kua nafamilia polesana
@mobilebeats3086
@mobilebeats3086 2 ай бұрын
@@kutailass6671 hayo umesema wewe
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj 2 ай бұрын
Amna k2 apoo
@frankdaniel8010
@frankdaniel8010 Ай бұрын
Pambana mtumishi
@GodloveTyoe-fv8or
@GodloveTyoe-fv8or Ай бұрын
Kwaio kila mzee ni mchawi selkai usiken uu ni uchochez wa mambo ya kipuz husababisha watu kuja kukosa aman wazee wetu
@emanuelnjiku7354
@emanuelnjiku7354 2 ай бұрын
Sikiliza rafiki katika bwana katika Yesu kristo nikwambie tu dini wala madhehebu sikitu mbele za mungu wetu kilicho bora kati yetu ni kumjua mungu kikamilifu ili katika yeye tumlaki mwokozi mawinguni. Wasikutishe na misaada yao kwa jamiii maana walio wa shetani wanajua kutoa sadaka kwa shetani kuliko hata watu wanao mcha mungu na wanajua kuongea ukiwasikiliza unajua wanaroho wa mungu kumbe ni chenga
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 ай бұрын
Mmmmmmmh
@Commentsplus
@Commentsplus Ай бұрын
Huyu ni muhalifu!!! Ila inabidi uwe na elimu ya #cuba
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
SASA IVI TOA UDUMA NA FULSA KWENU MWIZI TAPELI 😂😂😂
@AberhartNdauka-nu3do
@AberhartNdauka-nu3do Ай бұрын
We msenge kweli tapeli mkubwa kabsa
@mbarukumakakala4895
@mbarukumakakala4895 2 ай бұрын
Uyu ni mkongomani kamata rudisha kwao
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 ай бұрын
Kiboko ya wachawi nimependa hilo jina. Wachawi niwakuchapa sana
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 2 ай бұрын
Mungu wenu alikua analindwa na panga
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 ай бұрын
Ni mupango wa ubunge
@JoselineAlmasi
@JoselineAlmasi 29 күн бұрын
Mukimtaka huyu tapeli mfateni ichin kwake huyu so mtazanzania nimtapeli mfateni
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 2 ай бұрын
We Mkongo TAPELI..Kawaombee Watu Wako Wanauwawa Na Madin Yanaibiwa 😁😁😁
@MariyamSimba-ub7lz
@MariyamSimba-ub7lz Ай бұрын
ACHA hizo Wewe
@worth_monkey
@worth_monkey 2 ай бұрын
Tapeliii huyuu hmna kitu hapa
@user-uy5nx1bj5r
@user-uy5nx1bj5r 2 ай бұрын
Hii move mwisho wake tutauona
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 2 ай бұрын
Mmmh mbona kama nimeanza kukuelewa mtumishi
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Huyu mtu hauhitaji udhahidi kuwa ni muongo huwenda kajijazia misukule pale sisi tunaona ni watu
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi Ай бұрын
Hujui kusoma hata picha huioni
@mbarukumakakala4895
@mbarukumakakala4895 2 ай бұрын
Sasa unasema mtu mwenye kitambi hana yesu kwa sababu yesu akuwa na kitambi mbona yesu akuwq na pesa ww pesa unatoa wapi pia yesu akuoa ww kwann uoe umejipiga mkorogo umenyoa wey mmh
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 2 ай бұрын
Nabii yupo vizuri aendereza huduma hiyo haina upinzani?
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r Ай бұрын
unakuta limtu lizima limekaa kanisani ni kusema amenii ameniii shenzi na nusu
@barakanatus5676
@barakanatus5676 Ай бұрын
Uyu jamaa kweli anaongea kweli
@user-nl9xe5bu1x
@user-nl9xe5bu1x 2 ай бұрын
Ile ni pesa Yako au ni , ?
@musamusa6374
@musamusa6374 2 ай бұрын
Watu 70000 unajua ni zaidi ya watu wanaoingia kwa mkapa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 ай бұрын
mi nilimkataa pale alipomfukuza muumini😊 kazini kwake
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 2 ай бұрын
Kuma la mamayako
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 ай бұрын
@@elijahchegere4974 mamako ana bwawa...kuma nn
@lucasmasumbuko2098
@lucasmasumbuko2098 2 ай бұрын
na wewe​@@elijahchegere4974
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
​@@elijahchegere4974 Jamani matusi ya nini? Kwani mama yako ana nini? Na wewe ulizaliwa na mama yako kupitia wapi? Matusi yanaonyesha wewe ni mtu wa namna gani!
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 2 ай бұрын
Tatizo comment zingine zinazingua
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 ай бұрын
Someni bible
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 Ай бұрын
Natamani niende hata leo kwa huyu nabii.
@KaguluZuu
@KaguluZuu Ай бұрын
Nasisi waislam tunawo mataperi kama huyu baba acheni kulaumu ukiristo biblia ilisema manabii feki watajitokeza wakiristo wanaojielewa huwakuti kwa huyu jangiri hata siku moja.sijui serikari iko wapi kanisa uchwara zinajitokeza kila kona imekuwa biashara Kawanunulia police nini?😮
@WilfredMsechu
@WilfredMsechu Ай бұрын
Duuu
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 ай бұрын
Atuambie amepata wapi hela?
@julianusjameskimodoi4186
@julianusjameskimodoi4186 2 ай бұрын
Wote nyiei ni iwezi tu
@BongoflevaHits
@BongoflevaHits Ай бұрын
Tapeli la kikongo
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 22 М.
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 57 М.