TUJUWANE JAMANI WASHABIKI WA MAGUFULI .RAIS HODARI MCHAPA KAZI ASIYE CHOKA.MASHAALLAH
@VallentinoEmmanuel6 жыл бұрын
Namwona mzungu kila akijaribu kutupia neno anatulizwa na kamanda wetu, apa ni mwendo wa kazi na sio siasa na majembe. Hongera sana mkuu wa nchi, asante kwa kuja.
@ernestibrahim85866 жыл бұрын
Kiukweli itachukua miaka milongo mingi sana kumpata rais kama huyu..Mungu akusimamie katika kazi zako baba nasi tupo nyuma yako tukuunga mkono..Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki rais wetu
@ancomagu85316 жыл бұрын
Kama unamkubali jpm gonga like
@milkamusa58376 жыл бұрын
Excellent. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
@hakimukondo47366 жыл бұрын
Baba kwa kweli umeshushwa kwa ajili ya ukombozi wetu piga kazi mkuu and you are in good in chemistry!
@nimrodmareges31316 жыл бұрын
Thats why you have been chosen my neighbour Magufuli May the allmighty Jah be with you in every step you took
@mwinukafundibombanjombe3 жыл бұрын
Yaan Mungu katupatia Raisi anajua vitu zaid ya 95% kila idara yeye ni Mwamba..Nitamshukuru sana Mungu Rais wetu JPM siku akiwa wakudumu ..nahili swala la kuwa Rais wakudumu Kunawatu wanaliogopa kwasababu ya benefit zao binafsi na sio kwa maslahi makubwa ya Inchi yetu The Great Nation TANZANIA..God help us
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Mungu akulinde Rais wetu Magufuli mtetezi wa wanyoge
@biggamihayombotte1846 жыл бұрын
The best speech ever
@MrKhatibu6 жыл бұрын
I wish sikumoja tu Rais wa SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR akaibia hii style, sio mbaya japo kwa sikumoja tu pale Zanzibar Airport
@fabianfabian70066 жыл бұрын
I real proud with my presedent! God bless u
@mgorebahati75826 жыл бұрын
Mungu akutangulie muheshimiwa Rais wetu mpendwa
@abdalahmnyawi71566 жыл бұрын
Mungu akulinde zaidi my prsdnt.
@nyangimarwa34483 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Baba, Mzalendo wetu wa kweli Daima hatutakusahau katika kuisimamia nchi na kuiongoza nchi yako
@masungakibinza13126 жыл бұрын
watanzania mnataka Rais wa aina gani nyie awafanyie nini Jpm ili mrizike . nawashangaa sana wanaompiga Jpm
@mauricebaraka91194 жыл бұрын
Asante sana Mr Presidaa
@victorykilindo42886 жыл бұрын
Ahsante Baba mkemia , Nakumbuka bango mojawapo wakati wa uchaguzi liliandikwa "Magufuli ni Mfuatiliaji" Go ahead God Bless you! sikukuchagua ila next time nitakuchagua na wengine wote I mean Diwani na Mbunge
@fredkyara.babamunguwambing4826 жыл бұрын
Tulikusubiri miaka mingi sasa Mungu kakuleta. Lonnie's taifa lako Baba mamilioni ya watanzania wamesha iyelewa dhamira yako njema na uwezo ulionao kwa taifa Lako na Hakika unaonyesha kwavitendo uzalendo wako uliotukuka kwa taifa lako ulipendalo Mungu akubariki sana.
@biggamihayombotte1846 жыл бұрын
Aisee, JPK Umeni impress sana kwa Speech yako ya Kitaaluma... Yaan, umekuwa kama Lecturer ukishusha Madini kwa theatre flani...HV... ..Bravo JPM you are more than a president for this country.... #MzalendowaKweli..!
@mishelimaiko64146 жыл бұрын
asante baba kazi tu 20/20 mbele kwa mbele baba
@fredkyara.babamunguwambing4826 жыл бұрын
Aaaa JPM. Kipenzi cha Watanzaniaaa. Mungu Akubariki Ututumikie Miaka 20 Jemedari Wetu Mpendwa. Penda Sana Rais Wangu
@bumiobel19266 жыл бұрын
huyu ndie rais tuliekuomba eeeh Mungu wetu asante sana kwa kujibu maombi yetu sawasawa na tulivyokuomba tunalokuomba sasa ni afya na uzima wake na amani ya nchi yetu naamini hivi vyote viko mikononi kwako Mungu wwtu KURA YANGU IKO VIZURI
@clt99146 жыл бұрын
Great Leader! Fact ziwe wazi. Muhimu ni uhuni wa wafanyabiashara wanaotaka waaminike.
@traudkamugisha12886 жыл бұрын
Dah!!!! MH:Rais yupo vizur sana kwenye Sayansi amebobea huwezi kumdanganya kitu.
@ismailmunish70586 жыл бұрын
Jaman watanzania tumuombee huyuu rais magufuli aishi muda mrefu na awe na afya njema. Maan mungu katuona watanzania kutushushia rais mtukufu magufuli.asante mungu kwa kutupa rais huyuu.aendelee namadaraka paka 3000
@eliyawilliammagesamarwa84136 жыл бұрын
Safi tata
@zachmaselle66356 жыл бұрын
Hii ni faida kubwa ya kuwa na raisi anayetumia wasomi wetu. Elimu and wasomi walikuwa wamedharirishwa mno kiasi cha kwamba kila mmoja alikuwa anataka awe mwanasiasa. Hongera sana Raisi kuwatambua watu wetu.
@damianmhagama27926 жыл бұрын
Rais wangu unatupenda sana, kumbe ndio maana nguvu za kiume zinapungua tunakula mavitu yasio eleweka
@dorahisaya29086 жыл бұрын
Mungu nakushukuru, kwa kunipa rais mwenye hekima ya mungu. Hakika sikukosea kuchagu wala sikupoteza mda kukaa foleni. Mungu Akubaliki sanaaaa baba wa Tnz
@Kaka_Rambo3 жыл бұрын
This kind of leader happen only when God wishes
@godfreybigeyo91056 жыл бұрын
mungu atakulinda kwa kazi nzuri ya kulinda taifa lako
@cosmpuya52076 жыл бұрын
Mimi huu ni msimu wa pili nipo shamba nalima nilijua tu kwa huyu Mzee town hapakaliki
@happynesgodfrey91846 жыл бұрын
nikweli mama g màkanya
@mathmapunda4306 жыл бұрын
💃💃💃baba angu yupo kazini kifimbo cheza na ........ baba mungu akutangulie
@shabaninyanda42624 жыл бұрын
Very Detailed President
@godfreyshila39696 жыл бұрын
rahaaa sana J.p.m.upo vzr mwenyezi mungu akupe miaka mingi amina
@godwinsimba1776 жыл бұрын
In all fairness, you can question or doubt the competency of this man of the land... his intent and vision, too. God bless him
@transmadale6 жыл бұрын
Ngosha umeshaaaaaa,,BigUp
@buberwakategere94156 жыл бұрын
kaz nzuri mzee magu allah akuujalie umri mrefu
@hanaalfarsi25786 жыл бұрын
sijakosea kumchagua magufuli nasikia raha sana
@daudodemba20736 жыл бұрын
Nakupenda sn jpm
@JosephDesideri6 жыл бұрын
Hongera sana Mh. Rais Dr. John Joseph Magufuli. This is very amazing. Ningefurahi sana mheshimiwa hawa wanotuibia kila wakati wao wanatajirika sisi tunateseka wapate haki yao. I don't see to why some of your officials hawana maelezo ya kutosheleza. They were supposed to give exact report siyo wanasoma taarifa as if wao hawakufanya analysis ya hizo sample
@godfreybigeyo91056 жыл бұрын
mungu akulinde sana
@refraysimeon97636 жыл бұрын
We trust you..
@jumasaid12416 жыл бұрын
Big up!
@coterstar82846 жыл бұрын
hongera
@godfreybigeyo91056 жыл бұрын
jpm, jpm asante mungu
@yonaziyelemia28836 жыл бұрын
Mungu anatembea na watu wanaojiamini kama mh.Magufuli.Mungu alipomwambia musa dondasha fimbo yako ikageuka nyoka,musa hahukimbia maana alikuwa jasiri kisha aliiokota.Baba Raising kamata nyoka na nge usiigope.Mungu amekutuma OK!
@jeremiasteven39386 жыл бұрын
Hongera sana mkuu tupo pamoja
@johnshirima45476 жыл бұрын
Pongez mh Rais wa Wanyonge Mungu akutangulie aamn
@salmaothman1536 жыл бұрын
asante Jpm kwa kutupenda waislaama na ramadhan yetu mungu akubarki sana
@robertbenard71536 жыл бұрын
mh rais natamani uongoze hadi 2050,tutafika mbali sana,miaka kumi ni kidogo sana na haitoshi,pia makonda MPE uwaziri mambo yataenda sana kwan yule jamaa uwezo wake ni mkubwa sana,salute to u hon.magufuli my president!
@yakutiyussuph44706 жыл бұрын
i 'm proud with you my president
@hermanmalima82746 жыл бұрын
long live president Magufuli
@KUTOKA-ep2fk6 жыл бұрын
Sijawahigi kujua kama kuna siku wazungu wataongea kwa adabu kama huyu heshima kubwa kwa awamu ya tano.
@emanueljoshua9256 жыл бұрын
Rais ni mwalimu mzuri sana. Hata mm nisiesoma science nimeelewa!!!!
@Akilihq6 жыл бұрын
Mungu akutunze Rais wetu
@bensonmaselle23726 жыл бұрын
hawajui kama we mkemia bora Africa Hongera baba kwa ufuatiliaji huu kweli tutasonga mbele
@emmanuelmajovenee89546 жыл бұрын
safi saana yaan rais wetu....apo wanavyoogopa ata ukiwaambia wajambe wanajamba
@kabugashija20586 жыл бұрын
huhuhuuu Majoveneeeeee balaaaa
@abubakarsaid7303 Жыл бұрын
Aliemuua huyu kamanda.ipo siku mungu atamuumbuwa tuuu inshaall 😢😢😢😢
@aphoncembas62566 жыл бұрын
Good job Mr president .
@trullymasters16256 жыл бұрын
Perfect president
@omarameirsalum88796 жыл бұрын
That's a good bodyguard ohoooo
@ernestibrahim85866 жыл бұрын
wameingia anga za mkemia leo show wanayo
@hashimwaziri66826 жыл бұрын
Nakushuru rais wangu endelea kuchapa kazi naomba matenki ya Mafuta ya nje yawe mbali na tunayo tumia
@revocatusbusanya27836 жыл бұрын
sikupoteza kura yangu kwako chapa kazi mkuu na sisi wadogo zako tunachapa kazi,wababaishaji ondoa mkuu sio serekali ya ubabaishaji hii.
@ernestomwakababu26756 жыл бұрын
So interesting,, huyu ndiye rais anayehitajika Afrika
@chescomnyangali86013 жыл бұрын
Umetangulia mbele za haki ila kazi uliyoifanya inaonekana sana tutaienzi daima
@trickytriggtz94406 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@davidmihambo30516 жыл бұрын
Mzungu kapata wakat mgumu sana kutoka kwa bodyguard kila saa anasukumwa pembeni ila rais anamwita tena. Kuna bodyguard mwingine yule atatolewa kwenye duty muda si mrefu maana amekuwa mnene sana. Kwenye events hizi huwa napenda sana kuangalia bodyguards wanavyofanya kazi zao very interesting.
@godfreybigeyo91056 жыл бұрын
I'm proudly of having u president, thank u God,
@alphoncekabellerge95566 жыл бұрын
Mr. President..The chemist. Talking some clever.
@nyikuragrbeti13136 жыл бұрын
Jamni rais wetu si uje Serengeti
@mathkk67096 жыл бұрын
kwa hiyo TRA walikuwa waongo bwana!
@___19965 Жыл бұрын
For all African countries to develop this should be done! We shall do the Democracy Nonsense after! All developed countries first pit the Democracy shenanigans aside... They won't tell you because they don't want you to develop
@dismasmacha94096 жыл бұрын
mr president thanks so much for your good decision
@kitalalarobert9566 жыл бұрын
Asante raisi wa wanyonge
@bensonmaselle23726 жыл бұрын
hakika we ni mfano wa kuigwa rais wetu
@iddmbiha12403 жыл бұрын
Msukuma kamzidi elim mkwere, ona msukuma anavyotema madini aliyopata darasani.
@athumanomary14386 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz raisi wetu
@lyongomeza58826 жыл бұрын
Rais ikibidi waadhibu hao wahindi wamezoea sana kutuibia wanakuja masikini wa kutupa baada ya mda matirionea walaze hata segerea mwz 6 wajifunze
@valenakomba76866 жыл бұрын
Muheshimiwa Rais huyoooo!!!! Aaah Ubarikiwe sanaa na Mungu akuongezee akili , na hekima zaidi ili usidanganywe na hao majambazi wasiotumia siraha. Maana hao ni hatari zaidi kwa maendeleo yetu kuliko hata wale wanaotumi siraha. Tena wabane hasa ,hata wakisema we ni Dikteta usijarli WaTanzania wengi wao wapo pamoja na wewe na hasa sisi wanawake (kinamama).Na tunajua mipango yao ya kukupakazia kuwa eti wewe ni DIKTETA ili Mataifa ya nnje ya Kuhukumu. Ni Mungu Tuu ndo anaweza kukuhukumu.
@shukurumwangosi90116 жыл бұрын
najivunia sikukosea kukupa kura yangu VIVA MAGUFULI VIVA. #Mambo ni fayaaaaaa
@clementhiddi14864 жыл бұрын
May our lord give you Mr president strength and wisdom as well as humility and good health, we all see your good intentions towards our people however the people around you needs to be disciplined.
@mashramadhani19896 жыл бұрын
Rais msomi hadanganywi kizembezembe
@Zaidiyaomusic6 жыл бұрын
KAZI KAZI HONGERA
@misomisomisoji77223 жыл бұрын
Rest in Power JPM
@silasjames74826 жыл бұрын
Sasa nimekuelewa mheshimiwa Raisi, nakuunga mkono kwa asilimia 100 na nipo pamoja na wewe.
@mupagedragon19724 жыл бұрын
Unaweza raisi wetu
@vishalmkopwaki24656 жыл бұрын
akitoka magufuli aingie mwingine wa kuendeleza mambo kama haya ili Tanzania tuache kushika Mkia. Long Life Mr. Magufuli.
@abubakarsaid7303 Жыл бұрын
Muwache makamba na watu wake warambe asali ipo siku tu hiyo asali itageuka na kua shubiei inshaall
@dickaugustino22146 жыл бұрын
Good Mr,president this how you suppose to be, we really depend on you.
yule ni usalama wa taifa so lazima awe makini na mawasiliano na wenzake
@lyongomeza58826 жыл бұрын
Kati ya ciku ulizonifurahisha mheshimiwa Rais ni Leo hakika wamejua we we ni mwanasayansi
@nehemiahmaphie91336 жыл бұрын
for sure our country is heading some where under your leadership. Be of good COURAGE Mr President!!
@johnpesambili48066 жыл бұрын
Ni kukazana kukuombea kwa mungu tu. Pekeke yako huwezi mana kazi bado unayo mkuu.
@piusjaphet27606 жыл бұрын
Ndio maana tunaugua magonjwa ya ajabu
@williamgaonyangasa3526 жыл бұрын
Japo hatua hii ni sahihi lakini ni ishara kuwa Mawaziri na watendaji wengine hawakutekeleza majukumu yao ipasavyo. Haikupaswa mkuu wa nchi afanye kazi hii badala ya Mawaziri. Atafanya mangapi kwa nchi yetu ilivyo kubwa? Kama wahusika wangetekeleza wajibu wao inavyostahili, hali isingefikia hapa ilipo. Watendaji wajiongeze.
@davidemanuel80446 жыл бұрын
mheshimiwa nakuomba umpe uwaziri, mheshimiwa Paul makonda akusaidie kazi, jamaa anaweza sana yule. naona asilimia kubwa ya mawaziri wengi ni vilaza
@damianmhagama27926 жыл бұрын
unawaza kama mimi
@andreamalevu67496 жыл бұрын
naungana nawe JAMAA rais wanamchosha sana ,HV rais hebu changua mawaziri kama kina makonda wakusaidie kazi wengine wanakuhujumu tu mheshimiwa.
@andreamalevu67496 жыл бұрын
Hugo mzungu VP hebu atulie bana
@mashramadhani19896 жыл бұрын
David Emanuel point
@iddmaftah6 жыл бұрын
David Emanuel 😂😂😂
@georgesamwelchacha76806 жыл бұрын
Huyo mzungu Anaonekana ni mstaarabu sana Lakini kuna kitu labda wanashindwa kumweleza vizuri hao wasimamizi wa hayo mafuta ya kula 😂😂😂😂😂
@SalumMacrine8 ай бұрын
Huyu tumepoteza chuma kweriii kweriii alikuwa anajuah mambo mengi ndo mana alikuwa adanganywi na yeyote but now days ni matatizo mtupu ziara za hivi hakuna tena makonda nakuombea kwa mora uwenda ukaja ziba pengo la magufuli