wangapi waliomuona huyo mwenyekiti walijua ni bwana harusi😁😁😁😁😁 au mm tuuuuuuu
@judnesstemba72525 жыл бұрын
Elida Simon me mwenyewe nlijua ndio bwana harusi
@shambaprojects4885 жыл бұрын
Na mm pia
@jamilaomar98605 жыл бұрын
✋
@estajumanne65415 жыл бұрын
Mm pia
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Me too 😜😂😂
@ThobiasMarandu5 жыл бұрын
Huyo Bwana Mke wake huyo, Alitakiwa Amwache kanisani Angojee Mungu ampe Mume mwingine. Yaani Ugomvi siku ya kwanza!
@jescahkaaya17435 жыл бұрын
Thobias Marandu ahahahhahaa mapensiiii
@happypa20274 жыл бұрын
@@jescahkaaya1743 🤣😂ayo siyo mapenzi
@KhalidKhalid-zt1bc3 жыл бұрын
matatizo ya kuishi pamoja miaka 10 kisha kufunga ndoa, ugomvi haukosekani
@ruthmdamo76614 жыл бұрын
Dada angu Geah Ahsante kwa kutuburudisha, yaan kwa upande wangu naona kama Dunia ya sasa imevaa koti ndoa nyingi maigizo enzi ya Mabibi na mababu ndoa zao zilidumu. Yaan mitihani sana
@salharunguma42104 жыл бұрын
Ntawaalika mmoja mmoja mje kula nyumban kwangu🤣🤣🤣🤣km unaamin bw haruc nimchaga gonga like yanguvu
@happymericho94645 жыл бұрын
Wanaume wa ivi mwisho wasiku ndotunaishia kuchomwa namagunia mawili ya mkaa
@tumainpeter38055 жыл бұрын
Happy Mericho hahahaaaaa yan we acha tu
@agnesskimweri87375 жыл бұрын
Hahaaaa kabisa gubu gani hilo habembelezeki
@angelkimaro98515 жыл бұрын
😂😂😂
@angelazizi48315 жыл бұрын
Uwiiiiiii hahahaha happy ww una kituko
@tayanamaleko20205 жыл бұрын
Mm pia
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Bwana harusi anaanza ukorofi mapama, ila Bibi harusi jifunze kitu hapa 😂😂 Nacheka kwa uchungu wallah.
@victoriabenedict81125 жыл бұрын
Uyo mwanaume angenifaa sipendi mambo ya sherehe bora tufunge church twende nyumban
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Hata Mimi sipendi Mambo ya sherehe
@naimanurdin28465 жыл бұрын
Kama una Amini huyo Bwana Harusi ndo wale magunia 2 ya mkaa Gonga like hapa
@JescaTenga4 жыл бұрын
Uyo bibi harusi anamoyo sana 🥺😂ningeondoka ndoa iishe tu
@felixmwania85845 жыл бұрын
Maajabu haya. MC mwenye hekima.
@zennakailo81065 жыл бұрын
Khaaaaaaaaa mie ningekataa,bwana harusi mjanja Kweli 😂😂😂😂😂😂😂makufuri kabana kila Kona 😂😂😂😂👏👏
@tunkuh6615 жыл бұрын
Dalili chafu hizi ... wanaume wa hivi hawachelewi kufanya maajabu ya kuchomana 🔥
@fransiscamatemu9875 жыл бұрын
QUBY ACKIM kabisa
@fatmaabuubakar54245 жыл бұрын
Kabisa
@emmyyahya83585 жыл бұрын
Siyo ladhima jamani ukumbini biharus angefanya kitchen party yake apewe zawad kivake km bwana alikuwa hatak cyo wote wanapenda mambo mengi wengine hawapendi mambo mengi
Helena Mwaipopo yani yetu inakua ni macho na masikio tu hahahaha
@marymathias95124 жыл бұрын
Nalijua mbishi kweli mmmh muuzanguo kawr
@asiazuberi97225 жыл бұрын
Kupatwa kwa harusi ila harusi za kikristo zina gharama sna ujipange kweli kweli
@josephpaul49865 жыл бұрын
Achaa udini nawwe harusi kuwa na gharama ni mapenzi ya walengwa tuuu mbn harus nying tu za kiislamu znakuwa na gharama piaa
@pillykenedy21405 жыл бұрын
Asia Zuberi uwiii hujashuhudia harusi za kisilamu zanzibar,
@Bintimrembo-y1v5 жыл бұрын
Hawana ubahili
@najmasalimsalim27415 жыл бұрын
@@josephpaul4986 bythewy nimekuelewa haruc zagarama nikujitakia pande zote mbili
@bimsinan87435 жыл бұрын
Njoo zanzibar uone harusi za kiislam na za gharama kuliko izo .....
@sophiajackson50015 жыл бұрын
daaah ahahahahaahah siyo yakucheka lakini daaah huyo jamaa atakuwa ana shida au kuna mwanamke kamchezesha akili baada ya kusikia anaoa
@irenemwakalinga43505 жыл бұрын
Yaani bwana harusi kaonyesha tabia zake mapema kabla ya cku yaan ningekua ndo mm bibi harusi mh kwakwer cjui ingekuaje.
@annaupendo47685 жыл бұрын
Ukigundua mbwembwe za mwenzio kabla hujaingia kwake pandisha mikono angalia juu sema asante Mungu baba kunionyesha tabia ya huyu mwezangu mapena na mwache aende zake 😏😏😏
@beautycaren72573 жыл бұрын
Kweli kbsa
@bellahyuzzomylife44285 жыл бұрын
jamani michepuko ina nguvu sana😀
@floramajor33813 жыл бұрын
Hahahhahaha
@agnesdeonatus92315 жыл бұрын
Mwanaume ana gubu huyo🤣🤣🤣pole kwa bi harusi
@hamisidawa76085 жыл бұрын
Safi sana, bwana Harusi tendo la Mungu ndio muhimu,yaliyobaki ni anasa tu
@faridamkesso975 жыл бұрын
Duh Masikini huyo bibi harusi Mngoni mwenzangu namuonea huruma maana vitimbwi vimeanza mapema duh huyo shemeji ana nongwa na gubu juu
@salamasalama39555 жыл бұрын
Pole yake kwakwel huko aendako atajuta maana huyo mwanaume anaonekana hana mswalie kabisa 😂😂😂
@user-zj3ke9gc2u5 жыл бұрын
Mtihani jamani
@happybalama35915 жыл бұрын
Hataki kuoa
@husnasimba53575 жыл бұрын
Kumbe Wa kunyumba
@faridamkesso975 жыл бұрын
@@husnasimba5357 kabisa
@esterelias81894 жыл бұрын
Hata mie jmn nilijua ni bwana harusi.
@OnlyRuky5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Eti bwana harusi ni muajiriwa wa serekali haki nimechekaaa😛
@soniahomary64305 жыл бұрын
Hahahaaa makubwa
@annahatamiminilinilivutiwa97545 жыл бұрын
😂😂😂😂wametumia hekima ya jabusana hadini meipenda😜😜😜😜😜
@mtagechota10025 жыл бұрын
Jaman uyu baba nimenpenda buree dada geah nigee namba zake😁🤗🤗
@saidyomary17345 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiii
@esterpaul4305 жыл бұрын
Mungu amlinde Huyo bi haruc
@mariacassian85483 жыл бұрын
Mmhhh nahyuyo mke kampata mvumilivu kweli loo mie nisinge weza hata kwa nukta
@sesiliasalleko20133 жыл бұрын
Hakuna mume hapo aiseee ningemvulia Pete hapo kanisani woooi
@abdulqareemabdala27725 жыл бұрын
We unayehojiwa umenifuraisha sanaa safi sanaa zawad apeleke kwao
@chikukipinga45712 жыл бұрын
Duuuh,tuangaliage na wanaume wa kuolewa mimi bado nipo nipo
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Watu wengine hawapendi mambo yakuimbiana anamelemeta 🤣🤣🤣
@doreengeorge9395 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Bwana harusi jamani katia fola, sio kwa gubu hilo jamani.
@happynescharles15115 жыл бұрын
Uwiiii Yesu, cjui huko ndan anaishi kwa style gn wanawake tunaweza tunakazi hii nayo kazi kwel
@beatricetarimo73715 жыл бұрын
Mhhh nimeshtuka sana nikadhni uncle wangu(mwenyekiti) ndo anafunga ndoa Mara ya pili
@zuleyvendor65775 жыл бұрын
Hiyo ndio faida ya mapenzi ya kuloga😁😁😁 unamloga mwanaume akuoe wakat akupendi....mwanaume anayekupenda atakuwa yuko radhi kufanya chochote
@ziadasalim88075 жыл бұрын
Zuley Vendor umeonaee ndoa cha uchawini ugangani izo
@fidesbenard27015 жыл бұрын
Zuley Vendor 😁😁😁😁😁
@subiramussa14285 жыл бұрын
Ha ha ha
@lisajackson58675 жыл бұрын
kabisa wanawk wng wanarog san il wapndw matokeo yk n hyo
@banshbansh23295 жыл бұрын
Hujaelewa yy alikuwa nataka achangiwe pesa nyingi sio uchawi
@rosejoharikipinga16683 жыл бұрын
Heee kazi kwelikweli
@coneschikulo38175 жыл бұрын
Hiyo ndoa sio mpango wa mungu!!!!!!!
@paulomwalimu67315 жыл бұрын
Kweli kabisa iyo ndoa c mpango wa mungu kwani wao hawakufanya mafundisho yanayo usu ndoa?
@lisajackson58675 жыл бұрын
wengine mnfos ndoa mpka mnaroga wanaume madaw yana mwisho wake
@zakakilaku65855 жыл бұрын
Paulo Mwalimu 5
@getrudapius16823 жыл бұрын
Bwanaa Harusii ni mnara
@shamimuhasan3055 жыл бұрын
Hata mm nilijua ni bwana harusi jaman
@dusilaabuock80604 жыл бұрын
Bwana harusi alitaka ela ya mchango iwe ela ya kuanzia maisha ya ndoa
@soniafashion32584 жыл бұрын
Bwana harusi konki master
@pendocharles87865 жыл бұрын
😂😂😂bwana harusi alikuwa anataka apewe tu hela hizo akaanzie maisha yako
@Mpakauseme2 жыл бұрын
yah
@itshiddah64945 жыл бұрын
Yan mm ningekula ningeshiba ningechukua zawad zang alaf narud kwetu ndoa ctak tena
@petronillajosephat26555 жыл бұрын
ahahaha wala usingefanya hvyo c kwa maumiv hayo
@lameckmichael7605 жыл бұрын
ww n kam mm kabsaa hahaha
@salamaadammleke14535 жыл бұрын
hahahahah
@momirjulias99854 жыл бұрын
Yani mim baada ya zawadi tu ningeenda kwetu ningevunja ndoa palepale
@hairunpaul9245 жыл бұрын
Na Mimi nisingetokea kanisani ctakagi ujinga😂😂😂 bibi harusi ana kazi
Duuu hii ya mwaka ,mwanamke mwezangu mume kaonyeshaa kabisaaa hakutaki mbele za familia yako. Halafu unaenda tu, hadharani kakataa bila aibu kwenda na wewe hata ukumbini huko ndani mkiwa wawili utakuwa salama kweli??? Mmmh Mungu akulinde!
@beatriceannamaria81065 жыл бұрын
Agness Lyatuu kweli Agnes mwezangu mmh nishida
@kilavomngara56035 жыл бұрын
Uyo alitaka apewe ela nasimke, maana angeomba msaada hasingepewa bora michango ili afanye yake apo nymbn ni tembele na kisamvu mwaka mzima
@janemsongole98865 жыл бұрын
Agness Lyatuu.
@annahatamiminilinilivutiwa97545 жыл бұрын
Kiukweli wana wake ni wavumilivu sanaaa!!!!
@aishandayishimiye51275 жыл бұрын
Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke watu wamechanganyikiwa. Pole bibie apo ukitakakuishi na huyo babu mwenye gubu lake maombi kwa sana tena yahaja 😱😂
@tumainimango81405 жыл бұрын
aisha ndayishimiye hahaaaaa
@nyesamgeta75225 жыл бұрын
Bwana harusi mkorofi
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Amma kweli huu ni mwisho wa dunia Mimi ningemwambia Padre au mchungaji avunje ndoa aaaaaa
Mshenji kweli bwana haruc,huchangaji aibu huyo,wengine 2mepata million 40.
@sheisgodorait57215 жыл бұрын
Da Pole biharusi changamoto zimeanza mwanzo ukaaji upo hapo
@huktyasnaty40234 жыл бұрын
Sasa km MTU kaweka vikwazo toka mwanzo yann kukubalii ndoaa mmmh Dada kuwa makini usifaidii saba tuu uyo kaka usikutee ana michepuko anaogopa kuonekan uskutee ajawaambiaa
@ramadhanimahongole87645 жыл бұрын
huyu bwana harus kwel ni danger huyo bi harus atapata tabu sana kwenye hiyo ndoa
@meshackalex1245 жыл бұрын
Uyo bwana harusi atakua kasusa labla mtonyo ulivyo patikana mdogo
@halfanrashid49775 жыл бұрын
mkt bhana eti tulicheza sana tena sana
@cheiknamouna20583 жыл бұрын
Nimecheka mwanzo mwisho hapo kwenye pete ndo kabisaa nikamalizia na huo mwaliko wa kuita mtu mmoja mmoja nyumbani kuja kula huyo baba akapimwe akili au kalogwa!!?
@habibabarker1644 Жыл бұрын
Amenusulika mapema kabda ya ndoa
@nellyrhn43494 жыл бұрын
Njo matatizo ya kuolewa namwanaume anaye penda pesa jamani niatari
@tegemeareuben76185 жыл бұрын
Daah huyo bwana harusi ameshindwa kuwasikiliza hata watumishi wa MUNGU daah huyo dada ajipange kabisa maana huyo mwanaume
@penny43105 жыл бұрын
Kuna wanaume waroho. ...!..Tamaa! nikiwa mie siwezi rudi kwake. .... mitiahani kabla ndoa. .. hapo hakuna ndoa. ... mmmh tisha sana. ..
@Mamkubwa5 жыл бұрын
Alisema mapema jamani hawakutaka kusikia. Mimi mwanamke sikupenda mambo ya ukumbini ilinilazimu tu kufurahisha ndugu na jamaa..... kwa hiyo namuelewa kwa kias flan.
@sofiasaidi46275 жыл бұрын
ka kachi
@newovoice12095 жыл бұрын
Jmn maneno mengi hayana maaana sana kikubwa bi harus mpende mumeo na umuweke Mungu karibu na mumeo atakuwa mume mwema tu hiyo ni kawaida ukiona majaribu kama hayo jua Mungu anakufanya kuwa mwanamke wa historia God bless u bi harusi
@sifamugwaneza11785 жыл бұрын
Duh! jmn wanaume wengine buana 😏 kiukweli ingawa mim ndo mama harusi naairisha Ndoa kbs harusi kuisha moja kwamoja narudi kwetu maana sio kwa vitimbwi hivyo 😂😂😂 Pole san Mama harusi
@minzagabriel61505 жыл бұрын
Uwiii jaman Mungu tusaidie.
@hawachilemba25622 жыл бұрын
Bwana Arusi ni mpare
@janewangaringoiya57045 жыл бұрын
Huyu baba kuna jambo alilojua la bibi arusi na hataki kusema."jipange mama mapema kabla kiumane"
@evasanga10305 жыл бұрын
Changa uchangiwe😀😀😀😀 ningekuwa huyo mdada nami ningemaliza shelehe na kwenda nyumbani kwetu sio kwa mume tena
@gloryassey39625 жыл бұрын
Inaitwa sononeko hilo lilimpata Bwana Harusi
@mpakarangi87044 жыл бұрын
nikajua ndo muhuni mwenyewe
@rukiasalim25125 жыл бұрын
Mimi Sitaki kwenda kuchomwa moto akha ngunia mbili za mkaa siyo mchezo unaanza kuunguzwa dunia sipendi
@hosnaemam68315 жыл бұрын
Daa umenichekesha wewe
@faithdaniel56525 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@beatriceannamaria81065 жыл бұрын
Rukia Salim ha ha ha ha teh kumbe dawayako hyo rukia
@silmachimamy16935 жыл бұрын
Rukia Salim 😂😂😂
@jasminliwenga69545 жыл бұрын
Rukia Salim
@cellinechengula84094 жыл бұрын
Bwana harus bhana 😂😂😂😂
@oliviamasao28914 жыл бұрын
Hivi bibi harusi huyo alikuwa hadeki ck hiyo ya harusi yake?..Duuh huyo bwana balaa km amemdindia still honey moon then akimchoka itakuwaje
@fefenailsandmakeup13534 жыл бұрын
Alitaka kuoa kimya kimya, amuongopee mtu ( mchepuko) hajaoaa
@raymondclaud60264 жыл бұрын
Inawezekana kwakwelii
@ednagodson75404 жыл бұрын
Ningeenda mwenyewe ningekulaaaaaaa n ndugu zangu ingekuwa bridal shower hiyo baada ya hapo ningeenda kwetu
@tumainpeter38055 жыл бұрын
yan nimecheka kifala sana eti nitawaalika kwa wakati wangu
@angelazizi48315 жыл бұрын
Hatar sana
@airinistivini6712 жыл бұрын
Hatari
@roseodipo98685 жыл бұрын
Aabarikiwe bibi harusi....mc mjanja sana nimempenda
@annedavienyamhanga47385 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
Ni kweli kabisa watu watajitoa iwapo na wewe ulijitoa Hata hivyo huyo mwanaume alioa sababu ya kutimiza hilo tendo ila hakumpenda huyo mkewe
@suzannmaswatu65015 жыл бұрын
hahahahaaa kwa nini mmepata hrla ndogo? jamani dunia ina mambo
@mariej69622 жыл бұрын
Walitegemea mteremko watu wachange mamilioni. Hata hivyo walikubeba kweli. Bwana harusi bahili aliyekubuhu, na mbishi aliyekubuhu hadi kukataa ushauri wa viongozi wa dini.
@AngelAfrica-w5x5 жыл бұрын
Ingekuwa mm ningevunja uchumba tangu huyo mwanaume ameanza mauza uza yake mana anaonekana ana shida ni mkorofi pia. Na uskute ana mke mwingine huyo mwanaume so hakutaka mapicha picha
@asiaasia-pl4fl5 жыл бұрын
Jmn kweli hekahela
@jayjay43135 жыл бұрын
Haki hiyo njemba itakuwa inamke mwingine. Kaona kanisani dakika sifuri. Ukumbini lazima angetafutwa. Siku mtasikia.