BWAWA la UMEME la MWALIMU NYERERE LIMEFIKIA ASILIMIA 91, MKURUGENZI AFUNGUKA MENGI

  Рет қаралды 9,506

Global TV  Online

Global TV Online

10 ай бұрын

BWAWA la UMEME la MWALIMU NYERERE LIMEFIKIA ASILIMIA 91, MKURUGENZI AFUNGUKA MENGI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji.
Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika Ijumaa Agosti 25, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema kwanza maendeleo ya Mradi ni kuwa hadi Julai 2023 ujenzi wake ulikuwa 90.19% na wanatarajia hadi utakapomalizika mwezi Agosti 2023 mradi utakuwa umefikia 91%.
Ameweka wazi kuwa tayari mchakato wa kuwapeleka Watumishi wa TANESCO kwa ajili ya kujifunza kuendesha mradi huo unaendelea.
Amesema dalili za awali zinaonesha matarajio ya kuanza kuzalisha umeme hatua ya awali ni Juni 2024, kwa kuwa kazi kubwa iliyobaki ni kufunga mitambo ambayo inaendelea vizuri.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 10
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 10 ай бұрын
Daah magufuli alikuwa na maono,,
@thamani5842
@thamani5842 10 ай бұрын
Kazi iendelee
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 10 ай бұрын
R.I.P.JPM ungekuwepo tungekuwa tumeisha anza kutumia na kwabeinafuu hawa wanasema hapatakuwepo na mabadiriko ya bei lakini ngoja uishe kwanza ndiyo tujue bei ya umeme per unity itakuwaje
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 10 ай бұрын
Hongera Mheshimiwa Rais Samia. Hongera Wizara ya Nishati. Mwakani tunawasha Mtambo kisha Bei ya Luku inakuwa Bei Nafuu halafu Umeme unaobakia tunauza Nchi za Nje. Sipati picha Treni za Mwendokasi SGR Itaanza kazi. Uchumi wa Viwanda utakimbia sana. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
@mimiraia2531
@mimiraia2531 9 ай бұрын
@HilaryMrema, kama unajiita MZALENDO,basi huwezi kuacha kumtaja JP Magufuli, ambayo alihakikisha anapambana kujenga bwawa hii dhidi ya upinzani wote wa ndani na nje ya nchi. HUYO mama yako unayempongeza, kama siyo Magufuli hakungekuwa na chochote hapo Rufiji kuhusu mradi huu. Najua Wachagga wengi wenu mlimchukia sana JPM NDIYO maana hamuwezi thubutu hata kumpa pongezi kwa uthubutu huu
@allymusira2153
@allymusira2153 10 ай бұрын
Kazi iendelee hongera rais samia
@zawadix9574
@zawadix9574 10 ай бұрын
Hizo megawatt 1400mw nchi ya 65 million aibu sana!!!! Africa kusini Wana megawatts 55000 mna kazi sana tanesco amkeni
@Kamikaze-ks9hr
@Kamikaze-ks9hr 6 ай бұрын
2115 megawatts 4th Kwa ukubwa Africa nzima
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 10 ай бұрын
Boss wenu mpya anasema kinachotakiwa na wananchi ni umeme nadhani muda si mrefu na wewe utabadirika.kama hutobadirika utapisha waje watu wanaojua kuwa wananchi wanahitaji umeme na tunatakakujua kwanini mradi huo mpaka sasa hajaanza kuzarisha angalia eti bwawa la kiansi maji yamepu gua da rais kashutuka mapema tulikuwa tunarudi kwenye majenereta.mbona.kipindi cha JPM mrikuwa hakuna hayo ndiyo maana.karibu wataatamu mliowakuta mliwatoa haya.sasa wananchi wanahitaji umeme Boss kasema hutaki njia nyeupe yetu macho.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 527 М.
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН
Ufafanuzi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji, Maharage Chande
2:35
Tanescoyetu
Рет қаралды 2,2 М.
Bwawa lenye utata la Grand Ethiopian Renaissance  laanza kuzalisha umeme
1:47
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 527 М.