ASKOFU KAJITITOA MHANGA SIRI NZITO YA SAMIA KASHINDWA KUMALIZIA MIRADI YA MAGUFULI DARAJA LA BUSISI

  Рет қаралды 7,819

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Amen Amen Amen Askofu Mwanamapinduzi ubarikiwe sana Mungu akulinde❤❤❤🎉🎉🎉
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Ай бұрын
Jpm alikuwa na maono sahihi.tazama miladi kat ya Marais wote iliyo tikisa Dunia kama miradi ya jpm.kama ipo ya raisi mwingine nakupa milioni mia.
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps Ай бұрын
Ni kweli kabisa
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 Ай бұрын
Kweli tunazunguka na kuzurula sana bila mwelekeo!
@victorrobert7797
@victorrobert7797 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Mungu akupe maisha marefu,nchi iko pabaya
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 Ай бұрын
Poleni watanzania.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Ай бұрын
Kweli rais wa zambia baada ya kuanguka uchaguzi mwaka juzi amekimbilia uchina ambawo wanadai zambia .hawo wachina wapo TRA wanachukuwa pesa yao mkigoma wanauwezo wakuingia kijeshi. Wakimaliza pesa yao wanakuja liba wakimaliza liba wana waacha mko hoi watanzania mimi na kubari wajinga tupo asilimia kubwa.
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps Ай бұрын
Nchi haiwezi kuendeshwa Kwa mawazo ya mtu au chama chama kinatakiwa kutekeleza ajenda za serikari sio nchi kuendeshwa na maoni ya chama.vyama vinapita na kuisha serikali itabaki kuwa Tanzania .
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Uko sahihi kabisa! Hizo sera za Chama wanazinadi wakati wa kampeni hazina uhalisia katika utekelezaji wake, ni ulaghai mtupu wa kupatia kura!
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Hapo mnapindua ulimwengu, vyama uongozi serikali. Shida vyama vinatakiwa viwe na wazalendo. Usio Kambi au uchawa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
@@GodfreyOsward Sasa kama vyama vimekosa wazalendo vina machawa vina faida gani kwa Wananchi?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Huyo bishop fake badala ya kuhubiri tuache d h ambi,anahubiri siasa😢😢😢
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Lengo la kukopa kopa na kuuza raslimali za Tanzania Bara ni kwa lengo la kuitafutia Zanzibar pesa anakopa kwa jina la Muungano lakini mlipaji Bara zanzibar hawatakubali kulipa kwa sababu watasema Rais wao wa Zanzibar hajakopa kwa hiyo hizi pingu za mikopo tutafilisiwa sisi Bara
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Samahani uhalisia hakuna Tanzania bara kama vile ambavyo hatuna Tanzania visiwani bali tuna TANGANYIKA na Zanzibar!
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Ай бұрын
Duh
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Wishful thinking ya Askofu G
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Hii nchi inafaa kuitwa ni nchi ya msemo unaovuma sasa. "UBAYA UBWELA".
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Ай бұрын
Weka maono kanisani kwako tuone
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Changamoto kubwa sana
@peterkibiriti5601
@peterkibiriti5601 Ай бұрын
Wewe acha ukristo wako ,mbona hukuropoka miaka sita iliopita
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Wewe Askofu aliyebinafishisha mashirika ya Umma alikua Rais Mwinyi alistaafu kabla hajamaliza kubinafisisha mashirika yote Mkapa alipoingia akamalizia mashirika yaliyobakia kwa hiyo mwanzilishi wa ubinafishaji ni Rais Mwinyi siyo Mkapa
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
MWONGO MKUBWA MBONA KWSS KUNA MAKANISA TOFAUTI TOFAUTI ZAIDI YA MADHEHEBU ZAIDI YA 40,000 DUNIANI ? NI KWSSB YA MAONO TOFAUTI YA WATU NA LAZIMA YAHESHIMIWE ...MBONA WW SIO MKATOLIKI ? NI MAONO TOFAUTI....
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Ай бұрын
Kwenye hili, huko sahihi
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Ай бұрын
Duuuuuu
@hajiameir8688
@hajiameir8688 Ай бұрын
Ww askofu acha upuzi huo acha kusakama mama yetu mpendwa ccm ilipoteza dira toka wakati wa Kolimba kama unamjuwa kutokana na mambo yenu ya hovyo kolimba mkamuona hafai yaani nyinyi watanganyika mna shida gani mtayaona wapi maono na nyinyi roho zenu mbaya mna chuki na wazanzibari na zanziba yenyewe nakuhakikishia kwa huko tunakokwenda mtazidi kuwa hamna dira wala maono kama hamjasema na roho zenu
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Ай бұрын
Wewe mwislamu nausilamu wake nahuyo unaye mtetea huku anaharibu nchi ni wapumbavu na wajinga kweli uisilamu ni ugaidi
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Ай бұрын
Ni mama yako siyo mama yetu sisi tunawaheshimu mama zetu walio tuzaa siyo kibaraka na mwizi huyu
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
Wasu kuma
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Mwenye akili ya kimaadili ya malezi, makuzi na maadili ya dini hudhibiti heshima ya utu wake na hofu ya Mungu! Kutukana ni kujidhalilisha mwenye.
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Ай бұрын
Acha kelele Tapeŕi mkubwa Huna Uaskofù unatoka dhehebu gani?
@huyu1993
@huyu1993 Ай бұрын
Mjinga Mama ako mpuuzi wewe wewe
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
1. MAMBO YA KUFANYA UNAPOKATALIWA KIMFUMO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TABORA
2:21:46
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 25 М.
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 302 М.
SASA NI CHRISTOS ASSEMBLIES OF GOD
59:48
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 2,5 М.
Trump Rally in PA: FULL SPEECH
1:31:21
FOX 4 Dallas-Fort Worth
Рет қаралды 562 М.
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
Mbarikiwa AMEMSIFIA MPINA. Huyo ni TAJIRI kuliko WABUNGE WOTE
10:48
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 13 М.