Yesu Ali waambia wanafunzi wake nendeni mkaihubiri injili mkisema ufalume wa mbinguni ume karibia pozeni wagonjwa fufueni wafu takaseni wenye ukoma toeni pepo". Mme pata bure toeni bure. Msichukue dhahabu Wala fedha Wala mapesa mishipini mwenu ,, soma mathayo sura10:7-15
@allahisone6386Ай бұрын
😅😅
@goldmansun5859Ай бұрын
Soma biblia uelewe, bila sadaka huduma itaenda wapi, ujue hata Yesu alikuwa akipokea sadaka, unajua nani alikuwa anazipiga?Mr Yuda, usichomoe kaandiko kamoja tu tumia na akil yako, sema kuuza muujiza ni kosa kibiblia
@goldmansun5859Ай бұрын
Halaf ulishawah kwenda kwa mganga bila kitu, kama hapana hujawah na haiwezekan basi usimdharau Mungu
@MichaelNgowi-nc3vnАй бұрын
@@goldmansun5859 Bado huijui Imani na upo nyuma sana kiimani ivo watu kama nyie mna hitaji msaada wa ziada kumtambua mungu ipasavyo
@bestkatunzi2824Ай бұрын
kzbin.infoMFPs9z5RQ9U?feature=share
@user-sj3wf5vz7lАй бұрын
Ni kumdharau mungu kwenda kanisani mikono mitupu. Ukikosa hela peleka hata mahindi.
@goldmansun5859Ай бұрын
Ulishawahi kwenda kwa mganga bila kitu, hahah, tusindharau Mungu
@aboudasilver6541Ай бұрын
Yup sawa huyo😊
@rajabomary528028 күн бұрын
Huyu Mzee anaongea Ukweli Mtupu hapindishi pindishi ndio maana watu wengi wanamchukia
@barakakevela245Ай бұрын
MCHUNGAJI LUSEKERO YUKO SAWA UNAENDA KANISANI UKIWA LOFA TATIZO WATU WENGI HAWAPENDI KUWAAMBIA UKWELI
@gabrielmchau8764Ай бұрын
Mungu amrehemu huyu
@user-sj3wf5vz7lАй бұрын
Nampenda mzee wa upako huwa hapindishi maneno.
@AmbokileIbrahimАй бұрын
Bora umpende mungu ,soma
@user-sj3wf5vz7lАй бұрын
Ni sawa huwezi kwenda kwa Mungu mikono mitupu.
@omarimhd771623 күн бұрын
Baba levooo
@ombenimbise9293Ай бұрын
Tutaona na kusikia mengi hizi nyakati, huku Lusekelo huku mwamposa. Kazi ipo .
@fidelfidel-jz4iwАй бұрын
Yupo sawa kabisa tumifunikwa gunia kichwani mungu alimuumba mtu na kumpa utajili hapo kuna shida mtu akiwa maskini hiyo ni ahadi ya mungu imagine madini mashamba bahari mafuta gas nk mungu aliweka kutusaidia ila binadamu ndio anayesababisha shida yote hii.
@andrewmhagama9816Ай бұрын
Ndugu Mungu anaposema utajiri anamaana ya Mtu mwenye neno la kweli .Ata ukipewa vitu vyote alafu ukakosa ufalme wa Mungu si umejisumbukia nafsi yako? Watumishi wa sasa ndio mafarisayo wa kipindi cha Yesu. Neno limefunguliwa kwa wao limefungwa hawaelewi.
@hamisimkoma7380Ай бұрын
Dah!
@hamoudcreator6343Ай бұрын
DAAAHHH, YANI MTU ANAONGEA BILA HATA USHAHIDI KUTOKA KWENYE HUCHO KITABU ANACHOKIAMINI.. SIASA KWENYE DINI.. WATU WAZIMA WAMEKAA WANAITIKIA, WAKITOKA HAPO HAWAFANYI HATA UCHUNGUZI WAO BINAFSI, NDO IMEISHA IYOOO... MUNGU TUONGOZE WAJA WAKO 🤲🤲🤲
@JoramSimion9 күн бұрын
Dada za kàzi naomba namba yako tuongee
@user-iw1ro5lh9dАй бұрын
🤔 Dunia ina matokeo yaajabu.Wakati wa Kuomba,Nusura ya Mungu wa Mbinguni,ni huu sasa.Tukizembea ndio.Tusubiri Majanga ya Kutengezwa...👈
@RaphaelKaswahiliАй бұрын
Kumsikiliza huyu ni sawa na kuvaa kondomu iliyotumika 😅😅 yaani ni uchafu kama uchafu mwingine
@allahisone6386Ай бұрын
Eeweeeeeh_🤔 😅😅
@Zenny89Ай бұрын
Hawa Wezi tuu wanajifanya watumishi wa Mungu
@user-px3po9lt8gАй бұрын
Duuuuh mwisho wa siku tutatozwa mbaka pumzi tunayovuta zama za manabii wa uwongo ndio hizii someni vitabu vya dini sio maji mafuta jamanii
@robertkisasa1346Ай бұрын
mzee wa upako kiukweli ana knowledge sana na neno la Mungu ila tu kauli zake anavyoongea anaongea kinamna flani watu wanaona wanatukanwa😀😀😀😀...halafu sisi masikini tunatakaga sana huruma
@alzawahirabdallah2299Ай бұрын
Wachungaji wezi tu hao wanataka sadaka tu
@noahchepe8036Ай бұрын
Mpuuzi tu huyu! kwahiyo kama mtu ni maskini hafai kuingia kanisani. Masikini si ndio aingie kanisani aombe mungu akafanye kazi ili afanikiwe?
@robertmodestmushema1297Ай бұрын
Kwahiyo tuelewe lipi kwenye hoja yako! Maskini akaombe au akafanye kazi?
@noahchepe8036Ай бұрын
@@robertmodestmushema1297 elewa vyovyote uelewavyo maana maelezo yangu yako wazi kabs
@healinggospeltz4762Ай бұрын
😂 wew kwel ndio mpumbavu
@rajabomary528028 күн бұрын
Sio Mpuuzi tatiz lenu mnataka kudanganywa ila huyu mzee kwenye NO ni NO na kwenye YES ni YES
@universaldesign4295Ай бұрын
Amejibu in very political way, safi kabsa...
@osmanhajj3059Ай бұрын
Uislamu raha karibunii
@user-ni2kv3yf6eАй бұрын
Hatutakiii
@user-ln9tk3qr2rАй бұрын
M
@user-gv2un4jl3mАй бұрын
Jamani Adela malofa tusimuabudu MUNGU? Kisa hatuna pesa Tobaasa
@edwinmbunda6709Ай бұрын
Kutoza muumini ili kumuona Mchungaji, Nabii ni utapeli, wizi
@user-db6ej8cc1nАй бұрын
Duh siku za mwisho
@franklinjoseph5487Ай бұрын
Nyinyi wote mnaitajika kisi
@nduwayoplacide3174Ай бұрын
These so called men of God ni wale waliosemwa kwenye Bible ambao watakuja siku za mwisho wa dunia
@GibsonNtamamiloАй бұрын
Bahati mabaya kwa dhambi uluzonazo huna jicho la kimungu kujua hilo😂😂😂
@stewartmgallahАй бұрын
Tufanye hiviii yeye aachane na sadaka za kanisa alafu atafute utajiri na asipopata asirudi kanisani
@festofeisag392Ай бұрын
Nmeingiza kitu
@sorwasoudy6256Ай бұрын
Hamna kitu apa,,anapotosha t.
@MichaelNgowi-nc3vnАй бұрын
Hamna kitu apo siwezi kupoteza muda kumsikiliza pumba uyu
@evaristkobelo3936Ай бұрын
Kanisani ni mahali pakujifunza njooni tujifunze
@PrinceMgambwa-h7rАй бұрын
Wakala wa mizimu na uchawi ndiyo huyu anajiita chufu
@zebedayokatamaduni9676Ай бұрын
Lusekelo umepata pesa kidogo moyo wako umesha badilika , usidharau watu maskini, ni watu wa Mungu. Mungu hakusema marofa hayo ni maneno yako. Mungu alisema tusiingie nyumbani mwake mikono mitupu. Maana yake Kutoa ni Ibada. Mungu asinge sema hilo neno watu tungetumia hiari kwenda na kitu au la. Sasa umeweka dhana kwamba hilo neno lina wahusu malofa hapana siyo tafsiri sahihi ya hilo neno.
@albertvalentino130Ай бұрын
Kwani yeye huyo MZEE LUSEKELO ni tajiri ? --- Mzee LUSEKELO acha kupptosha watu ---- unadanda danda tu.Hicho unachokizungumza,kinakubaliana na maandiko ? --- " Mungu hahitaji visaidizi --- " umefirisika kiroho mzee "
@BenjaminChakweАй бұрын
We chura kweli we kwa akiri zako huyo ni masikini tuulize sisi tunaemjua hadi nyumba zake