DAR24 YAMTUNUKU MZEE MAKOSA/ AFUNGUKA MAZITO MBELE YA MEYA/ "SIKUTARAJIA HAYA"

  Рет қаралды 46,682

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#IRINGA #MZEEMAKOSA #Dar24Media

Пікірлер: 303
@kiezeraalfred4493
@kiezeraalfred4493 23 күн бұрын
Dar 24 mmefanya kazi kubwa sana kumuibua mzee Makosa. Leo hii Mzee Makosa amekuwa Darasa ktk maisha yetu
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 Жыл бұрын
Yaan naomba mpk Rais Samia amtambue apate kurudishiwa vitu vyake km zile ushuru walizomtoa wakati ilikuwa kwa faida ya nchi Ahsante Dar 24💪🏼
@rinasmart5123
@rinasmart5123 Жыл бұрын
Utambuliwaji wa watu muhimu kama Makosa ni kitu chenye maana na chenye matokeo chanya. Nimependa mtazamo na namna Makosa anavyoyachukulia maisha. Ana akili na upeo mkubwa pamoja na changamoto kubwa aliyoipitia. Nawashukuru nakuwapongeza Dar 24 kwa kulisukuma mbele hili swala la mchango wa Makosa. I just loved it. So very much.
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Жыл бұрын
Bila kumsahau Eddo Bashir alie anza nae mpeni like zake hapa
@peterstewart9935
@peterstewart9935 Жыл бұрын
very interesting kwa kwel...Hongereni Dar24 na mzee makosa
@jumaally7021
@jumaally7021 Жыл бұрын
Nikikosa kuwapa pongezi dar24 nitakua mchoyo na mdhaifu wa nafsi. Hongera kwa kazi nzuri hasa niliyoifuatilia kuhusu mzee makosa. Mungu awape nguvu,afya,imani na kipato kinachotoshereza kukuza kazi zenu
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
Kazi nzuri Dar24, tunakushukuru Makosa kwa kutoa kwa jamii, Mungu akujalie heri.
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 Жыл бұрын
Safi sana, Wema siku zote hauozi, hongera mzee Makosa.
@davidadammssika3374
@davidadammssika3374 Жыл бұрын
@Dar 24 mmefanya kazi nzuri sana! Nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa Mzee Makosa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Жыл бұрын
Niliomba msaada wao nikashindwa kusaidiwa kuna huyu tapeli anajiita Zabron C mwita, hili limtu limetapeli weng linazunguka kwenye mitandao kila media nakujifanya ana sitori ili awatapeli watu
@sakuranitillya6088
@sakuranitillya6088 Жыл бұрын
Nimependa sanaaaa hongereni dar 24 huaga hamkoseagi hongereni sana
@johnsondavid1619
@johnsondavid1619 Жыл бұрын
Dar24, Mmefanya kazi nzuri na kumbwa sana, Mbarikiwe
@Winstonfying
@Winstonfying Жыл бұрын
Dar24 mmefanya jambo jema sana sana, nimejikuta na smile kwa ajili ya Makosa. Safi sana
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 Жыл бұрын
Hawa ndo watu wa kuenziwa sasa cyo mtu anakuwa maarufu kwa kunywa pombe n.k tunategemea tumwone akialikwa bungeni na kwny majukwaa mengine 'big up dar 24 media my favorite online media👏
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Жыл бұрын
Wewe ni akili kubwa, NAUNGA mkono hoja yako. Watu kama Hawa wanastahili kupewa heshima na vyuo vikuu, pia kualikwa bungen. LAKINI maajabu hapa kwetu mlevi anakuwa recognized na anaalikwa bungeni, na wabunge wanamshangilia Kwa makofi😝😝
@dictarchelsea
@dictarchelsea Жыл бұрын
Halafu akishaitwa bungeni?
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Dar24 mkovizuuri sana hua nawafatilia sana 👍 MAKOSA nizaidi ya Stering, Bg up sanaa
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 Жыл бұрын
Jambo kubwa sana dar24 kwa Mzee huyu ni shujaa wa kweli hongera
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Dar 24 asanteni sana kiukweli
@salmaheri971
@salmaheri971 Жыл бұрын
Jambo la Baraka Sana kuona a naanza kuedhiwa
@msigalatv241
@msigalatv241 Ай бұрын
Hongereni sana DAR 24 hii interview kwa ujumla imebeba vitu vingi ndani yake vya kujifunza huyo mzee pia mmempa furaha kwa hicho kidogo mlichomfanyia 🫡 CHAMPION MAKOSA & DAR24
@kelvinmsodoki7130
@kelvinmsodoki7130 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa huwo wema mliofanya
@suleimanpossa5474
@suleimanpossa5474 Жыл бұрын
Mr makosa ulinisaidia nikiwa nasoma Mkwawa na siku hiyo nilikua dispensary Yako kutibiwa. Nikafanyiwa vipimo nikalipia. Ila sikua na hela za kutosha kulipia dawa. Mr Makosa alinisaidia kupata dawa Toka dispensary yake bila kulipia. Natamani siku Moja nikutane nae nimpe japo laki 1
@saburimvano3514
@saburimvano3514 3 ай бұрын
Nikukumbushe tu kuwa hiyo ahadi yako kama haujawahi kuonana naye naomba utafute namna ya kuwasiliana naye na umtumie hata kwa mpesa
@dennisnjonanje62
@dennisnjonanje62 2 ай бұрын
Kuna mpesa mzee 😂😂😂
@TishaniUlanga-bj3nx
@TishaniUlanga-bj3nx Ай бұрын
Hakuna bahat mbaya ,,Makosa yupo iringa njoo umpe ili dhamira yako itimie
@saidjephter
@saidjephter 3 ай бұрын
hongera sana Dr24 , kwakweli nmefatilia mahojiano yako na mzee Makosa 1 ad 5, Hakika nimejifunza mambo mengi Shukrani sana.
@vom84
@vom84 Жыл бұрын
Mtabarikiwa sana Dar24
@johnbosconagalau1586
@johnbosconagalau1586 Жыл бұрын
Dar24 mko sahihi sanaa sio kuonyesha mambo yasiyo na msingi huu ndio mfano mzuri vyombo vingine vya habari vijifunze kutoka kwenu nimewapenda sanaa
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Namkubali sana mjomba makosa. Mzalendo👏🇹🇿.
@innocentpaulchillu1512
@innocentpaulchillu1512 7 ай бұрын
you deserve credit mzee makosa,u did good job .mtu mmoja tu mzee makosa by then alifanya kitu ambacho wengi by then hakuona impact yake baadae lkn Leo watu wa iringa wana enjoy muonekano mzuri na hewa nzuri ,ingekuwaje kama wangetokea akina mzee makosa 100 hapo iringa kwa kipindi hicho? Hongereni dar24 media
@bobboris4859
@bobboris4859 Жыл бұрын
MAKOSA THE LEGEND
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
Kuishi na mtu na kumpenda ni vitu viwili tofaut.💪🙏♥️
@fadhilsalum2143
@fadhilsalum2143 Жыл бұрын
Nic 1❤
@angebizokunda3447
@angebizokunda3447 Жыл бұрын
Wow.❤
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Mungu nipe roho ya uvumilivu kama wa mzee makosa
@maryamali5679
@maryamali5679 Жыл бұрын
Jamani makosa amenigusa sana,very smart, akumbukwe kitaifa kama balozi wa mazingira kitaifa.yaani dar 24 mmefanya jambo,mungu awabariki.
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 Жыл бұрын
Nimependa sana jitihada za Mzee Makosa pia Dar 24 nimependa sana mwandishi huna Roho mbaya kabisa Ongera sana Kaka.
@husnaameen9309
@husnaameen9309 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah mungu ni mwema , tunaomba apatiwe mwanasheria mzuri hata wa serikali ili afuatiliwe Mali zake kama hospital na gesti zake zirudishwe kwenye mikono yake ,amefanya kazi kubwa baba wa watu halafu wakampola kirahisi inauma sana .Asante da24 Kwa kulitilia mkazo hongereni sana
@cathykayinga9327
@cathykayinga9327 Жыл бұрын
Hospital yake hakuzurumiwa ila aliuza mwenyewe na wake zake nilikua shahidi siku ya mauziano na walianza kdg kdg kuuza mara viti mara madawa mwisho hospital ikawa haina kitu ndio akanunua daktar alieitwa Dr Ngallah
@bonaventuremwaipaja1938
@bonaventuremwaipaja1938 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kufuatilia kipindi hiki cha Mzee MAKOSA kwa kweli ana IQ Kubwa Sana. Mfano aliposema *Kila Mwanafunzi aminishwe kupanda mti Mmoja tu kwa kipindi hicho cha Masomo yake 7 ya elimu ya msingi mti utakuwa mkubwa* Nipo Washington DC nawafuatilia Dar 24 Shukrani
@emmanuelbernard8628
@emmanuelbernard8628 Жыл бұрын
Hongera sana Dar 24
@manallayusuf4951
@manallayusuf4951 Жыл бұрын
Safi sana hongera makosa
@jamesmwakibinga4611
@jamesmwakibinga4611 Жыл бұрын
Sijawahi Kuchanga Michango ya Jamii za media... Uyu Mzee Mkianzisha Kampeni ya Saidia Kumuinua Makosa Mimi nitachanga.
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 Жыл бұрын
Uyu mzee kanibadilisha sana moyo wangu kanifanya ninyanyuke nifute machozi niende mbele nakujipiga kifua kwamba kuanguka kimaisha si mwisho wa maisha mungu amtunze mr makosa
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Жыл бұрын
Hakika tupo wengi
@rubenprince8990
@rubenprince8990 Жыл бұрын
@@Josephineexsuper huyo mzee makosa maneno yote aliyoyasema mimi nimeyaweka moyoni mpaka nakufa naishi hapa AUSTRALIA 🇦🇺 lakini nimekubali mzee makosa ndo mpango mzima
@mandalujuma5208
@mandalujuma5208 Ай бұрын
Well! Done!!!Makosa ww ni shujaaa legend kbx ❤️❤️❤️✊🏾✊🏾
@asajilepiusmahenge5729
@asajilepiusmahenge5729 Жыл бұрын
Kweli maisha ni safari ndefu sana kikubwa ni kuishi na watu vizuri mzee makosa kweli una moyo mkubwa jinsi ulivyokuwa na majumba nk looh!🙏🙏🙏
@everlastthebad4441
@everlastthebad4441 Жыл бұрын
Dar24......hongereni kwa kazi nzuri ...kwa kazi kuu ya Mungu
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Жыл бұрын
Aisee nilifuatilia interview zz nyuma,mpka hii nimeifuatilia kiukweli Dar 24 mmefanya jambo kubwa sana la kutambua mchango wa mzee makosa,mwenyewe nimeanza kupanda miti kupitia mawazo niliyoyapata. Upendo mwingi kutoka hapa Finland 🇫🇮🇫🇮🤝
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Жыл бұрын
Safi sana. Kama upo Finland ukumbuke pia kurudi upande na huku nyumbani
@kingnassor9438
@kingnassor9438 2 ай бұрын
Welldone well done again . Thanks so much Dar24. From England. King uk
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Жыл бұрын
Daa machozi yananitoka anaongea kwa hisia sanaa na machungu ya selikali kuchukua pesa zake ❤❤ anko makosa
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Ай бұрын
Mr. Makosa is very sincere and frankly speaking!!!
@leonardnyange7152
@leonardnyange7152 Жыл бұрын
Uyu mzee anakitu kikubwa sema tz atuwezi kumuendo
@neemalambo9790
@neemalambo9790 Жыл бұрын
Aisee bigup Dar 24. Nimeguswa sana na Makosa, Mungu amlejeshee hali yake kwa kuwa ni mtoa msaada
@edibilyedson6442
@edibilyedson6442 Жыл бұрын
Kaka asante kwa Interview makin, ila nakuomba kama ikiwezekana Serikali wafanye kumrudishia kias cha pesa yake iliyotaifishwa ili aweze endelea jimudu kimaisha na endelea mawazo yake ya kutunza mazingira. Kimsingi aliweka hazina ya badae japo watu hawakuitambua na serikal ikampiga nyundo japo ili lilikuwa suala la serikali flani na mfumo wake.
@samidquiz6316
@samidquiz6316 Жыл бұрын
Kumbe alifillisiwa daah
@apolinarytheking
@apolinarytheking Жыл бұрын
Dar24 mumejua kuonyesha upendo wa pekee kwa mzee wetu.Mungu awabariki sanaa.
@tolepeter3538
@tolepeter3538 6 ай бұрын
Pongezi sana kwa kumtambua Huyu bwana.Napenda habari za Tanzania.Salamu kutoka Kenya.🇰🇪
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Bless up Stand up Jah bless you makosa
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 Жыл бұрын
Hongera sana dar24 hakika mmefanya jambo kubwa sana mungu atawalipa
@emmanuelemmanuel3047
@emmanuelemmanuel3047 Жыл бұрын
anampenda sn Mumgu huyu mzee Mungu Ampe maisha mema
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Asantee dar24 leo nimekutana na mtu mweny idea Yangu asantee Kwa kunipa nguvu
@gindamaster1784
@gindamaster1784 Жыл бұрын
Very impressed with this keep it up
@musamlulu2233
@musamlulu2233 7 ай бұрын
Dar24 mmefanya jambo jema sana hii nimeitazama 2024 kwa mara ya kwanza ila imenigusa sana mungu awabarki muendelee kufanya vyema pia mungu ambariki mzee makosa huko aliko.
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 Жыл бұрын
Hongeraaa sanaaa Dar 24 kwa kumjalii nduguu yetuu makosaaa miakaa ya 1996 mpk 2000 nikiwa Iringaa
@AmaKay-q8m
@AmaKay-q8m Ай бұрын
Respect mze kwaushauri wako hasa lile lakuacha bier
@akramissa3393
@akramissa3393 Жыл бұрын
Mngetengeneza GO FUND MAKOSA achangiwe chochote kilichopo.
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Yeah noma sana my brother 🔥🔥🔥🔥
@spkaprotas
@spkaprotas 3 ай бұрын
DAR 24 MNAPASWA KUPEWA TUZO❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NiyongabireEgide-h4g
@NiyongabireEgide-h4g 5 ай бұрын
I'm watching it from south Africa
@noelmeshack2934
@noelmeshack2934 16 күн бұрын
Nmechelewa kuitazama hii story, nmeipenda na imentoa macho maeneo mengi.... Nataman Dar 24 mrudi tena tuone nn watu na serikal tumekifanya kwake had sasa. Na hata ikiwezekana uwekwe utaratibu wa kumshika mkono champion wa mazingira Iringa Bwana Makosa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Tutakukumbuka mzee makosa kwa uhai wako huu god bless you
@edwardmwakanolo1259
@edwardmwakanolo1259 Жыл бұрын
Pongezi nyingi sana kwenu Dar 24 kwa kazi nzuri,huyo mzee aungwe mkono kwa nguvu zote,ikiwezekana mbali na kuwa balozi wa Mazingira kwenu Dar 24 basi awe balozi pia mkoa wa Iringa upande wa mazingira,mzee anakitu kikubwa saba kichwani kwake kwa ustawi wa mazingira
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Ай бұрын
.''... Foundation is people and their hard-work" Mwl. J.K. Nyerere.
@luhizomkombozi5763
@luhizomkombozi5763 Жыл бұрын
Duh!! Haya maisha tumwombe MUNGU tuwe na mwisho mwema!! Asanteni sana dar 24
@hassanihathunu9531
@hassanihathunu9531 5 ай бұрын
Thummah amiin
@hassanihathunu9531
@hassanihathunu9531 5 ай бұрын
Thummah amiin
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 Ай бұрын
Thumma Amiin
@CharlesMabwayi
@CharlesMabwayi Ай бұрын
Hellow ancel makosa bigup sana nmejifunza jambo kupitia wewe,mungu akujalie,
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Hongereni Dar24 lkn kumbukeni awali alisema aliambiwa alipie miti alitopanda hapo mmepawekaje, japo jingine ni kuwa watu waache kupanda mti moja na sherere kwa kiongozi kumwagilia maji mti
@alexaugustino4644
@alexaugustino4644 Жыл бұрын
🙏🙏🙏dar24 kwa kuibua hili alisahaulika jaman makosa ahsante sana
@mahutaayeba3163
@mahutaayeba3163 Ай бұрын
Hongera Mzee Wangu Makosa Mungu Anakuona
@filemonnoah9082
@filemonnoah9082 Жыл бұрын
Haijalishi style ya Maisha aliyo nayo, Haijalishi nyakati mbaya alizopitia wala haijalishi makosa aliyoyafanya katika maisha yake, Ila ijulikane Mungu hutumia vidhaifu kwa ajili ya utukufu wake! Yeye kuwajali wengine kuliko yeye mwenyewe ametimiza kile ambacho wanadamu wote tunapaswa kufanya kwa ajili ya wengine. Mungu anamuona na atambadilisha na kuwa bora zaidi na hata maisha yake yakikoma, kuna jambo la kujifunza atakaloliacha kwa vizazi vijavyo!...Lipo tumaini la mti kuwa ukatwapo huchipua tena.....! Ayubu 14:7-9
@tecnosparck2751
@tecnosparck2751 Жыл бұрын
Pongezi sana kwenu dar 24
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Makosa your servant of God, you did well in
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Wow Babaangu Makosa Leo apigwa na kitu kizito yani bong la surprise.ila nyie Dar 24 Mumebarikiwa sio kidongo na Mungu azidi kuwabariki bila kusahau wote ambao wameshiriki.nimeamini mazuri haozi
@Levis_Victoria
@Levis_Victoria Ай бұрын
Japo nimechelewa, ila Nimependa sana nia na uthubutu wa mheshimiwa makosa juu ya utunzaji wa mazingira, kwa kweli hii ni moja kati ya tunu kubwa na mchango mkubwa kwa Iringa na Tanzania kwa ujumla. Ahsante sana makosa, pia Ahsanteni Dar24 kwa kuuibu na kuitambulisha tunu hii kwa jamii ya Tanzania kwa kutambua mchango wake katika jamii ya Tanzania.
@YohanaKigua
@YohanaKigua 7 ай бұрын
Mungu ambariki kwa kujari utu
@SalimIssa-r1f
@SalimIssa-r1f Ай бұрын
Mzee makosa Amenifundisha Namimi Lazima nipande miti hata 50 Huku Tanga Mzee makosa Ametoa Wazo zuri Sana lakushauri wanafunz wapande Hata MTI mmoja ❤
@hamisinamanolo9570
@hamisinamanolo9570 Жыл бұрын
Dar 24 Ongereni sana kwa kupost vitu vya msingi na kuelimisha.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Kufilisika kwa wajasiriamali kama hawa iwe changamoto kwa wasomi wetu wanaotuaminisha kuwa na weledi ktk masuala ya uchumi na biashara. Mifumo ya uchumi ya Wenzetu wa huko "majuu" huwalinda sana entrepreneurs wa namna ya Mr. Makosa. Mfumo wetu wa Uchumi na biashara Tz, maafisa biashara wanafanyakazi ya kukamata na kufunga biashara za watu, siyo kuzifanya ziendelee. TRA, mabenki ya biashara siyo rafiki wa biashara na wafanyabiashara, na, ndiyo maana wengi wanajiingiza kwenye matumizi ya ushirikina "ndagu" kwa imani kulinda na kuendeleza biashara zao. Tanzania pagumu sana kufanya biashara.
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Жыл бұрын
Genius. Akili kubwa. Umewaza Kwa MAPANA, na huu ndio ukweli
@mosesmashili4969
@mosesmashili4969 Жыл бұрын
Umeongea pakubwa sana.
@Amoskyakajumba
@Amoskyakajumba 3 ай бұрын
Dar 24 big up bro! well done 👍 Lkn nawashukuru kwa kumwon Makosa na pia nimependa technical questions unazo muuliza makosa. So kazi isiishie hapa tafuta sponcer, NGO's kumsaport makosa angalau .Mungu atawabariki.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, msiishie kumpatia tuzo ya karatasi tu, mpangieni Mr. Makosa posho ya kila mwezi angalau 300,000/= pamoja na NHIF yake na mkewe, hii itakuwa hamasa kwa Wanairinga wengine kuupenda mkoa na Serikali yao.
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 Жыл бұрын
Uko SAHIHI 💯 and it's very simple!!!! ‼️‼️
@thabitmolly6957
@thabitmolly6957 Жыл бұрын
Wema unaishi hongera Dar 24 hongera Mzee wangu Makosa kwa kuipendezesha Iringa
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Hongera sana dar 24 hongera sana Mzee makosa, ila isije ikatokea baadae kuwa hizo miti zimeoteshwa na halimashauri kama kwa sasa ilivyokua kwa majaliwa aliyeokoa kwenye precision
@PascalErnest
@PascalErnest 4 ай бұрын
Makosa nimejifunza vingi kwako babA mungu akupe Maisha marefu mzee wetu🎉🎉❤❤
@ntiliyothomas225
@ntiliyothomas225 4 ай бұрын
Daaaaah Mungu atamuinua tena hakika anaani sana na Mungu
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Nimemuelewa Mzee hapo amemaanisha Anaishi nae ki mazoea tu ila sio Love 💕 katika moyo anaishi nae ki mazoea tu Yani amemzoea hawezi kumkosa kwa mazoea aliojijengea kwake ila Hana Love 💕 kumoyo gwake😂😂😂😂😂😍😭
@happyhousekeeper
@happyhousekeeper Жыл бұрын
Haha inauma ukijua 😀😀 imbora angekuwa make ndio hapendi yeye .
@abdallahmanula1627
@abdallahmanula1627 Жыл бұрын
Watu kama aho wachache duniani
@fatumahamadi6072
@fatumahamadi6072 4 ай бұрын
Dar24 hongereni sanaa
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Жыл бұрын
Mwaandishi uko vizuri
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Hata kwa mungu kesho ana ujira mkubwa sana hiyo ni sandakan na hazina ya kudumu ❤❤❤❤❤❤
@cuthbertbruce2098
@cuthbertbruce2098 Жыл бұрын
Sasa wale wafanyabiashara wakubwa wa Iringa wajitafakari Kama media inatoka dar na kuja kumshika mkono makosa wa Iringa na wao wapo serikali idara ya mazingira ipo haioni haja yakufanya kitu ni aibu sana
@MohamedAli-mv6dk
@MohamedAli-mv6dk Жыл бұрын
Hondera Dar24 kwa kumukubuka shuja mzee makosa kwa hodari wake wa ki pekee kwa kugusa mazingira mimi niko usa 🇺🇸
@aminahassan4523
@aminahassan4523 Жыл бұрын
Love from Kenya 😍
@hajimrisholukamba602
@hajimrisholukamba602 Жыл бұрын
@The real and the living champion #NEMC
@mussajuma9044
@mussajuma9044 Жыл бұрын
Safi Sana kazi zuri dar 24
@johnbosconagalau1586
@johnbosconagalau1586 Жыл бұрын
Genius huyu jamaa
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Nimependa makosa, nimkweli haongei uongo mbali na, kusema kuwa hampendi mkewe bali alimuita wakati anaulizwa nini afanyiwe anamthamini pia mkewe
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Mzee Mungu akupe mrefu akujalie afya njema amin nimekupenda una hekima sana
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
Namkumbuka sana makosa pale wilolesi alikuwa anatupa tule maembe ila kokwatumuachie then anatengenezea miti na kuppanda kila nyumba
@lorubaresimon2023
@lorubaresimon2023 Жыл бұрын
FANTASTIC
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Makambakotc
Рет қаралды 9 М.
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 231 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН