DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

  Рет қаралды 82,987

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai (Chadema), Helga Mchomvu, leo Alhamisi Novemba 14,2019 wamekamatwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya.
Akizungumza na GlobaTV Online, Sabaya amethibitisha kukamatwa kwa Lema na Mchomvu.
Sabaya amedai kiini cha kuagiza viongozi hao wakamatwe ni kutokana na kile alichokiita kuendeleza njama zao za kuvuruga amani katika wilaya hiyo na kusababisha taharuki kwa wananchi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
“Kitendo cha mbunge Lema kutoka Arusha na kuja hapa Hai na kufanya vikao vya siri ni sawa na kuvuka mstari mwekundu na hili sisi kama Serikali hatuwezi kulivumilia. Namtaka Lema ajisalimishe mwenyewe polisi,” amesisitiza Sabaya.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
kzbin.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzbin.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzbin.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
kzbin.info?li

Пікірлер: 308
@msovietimjamaa3017
@msovietimjamaa3017 4 жыл бұрын
Vivaaa!!!! Lema vivaaaaaaaaa!!! Mwenyzi Mungu akutie nguvu brother. Unapitia mateso sana.
@jimjam7687
@jimjam7687 4 жыл бұрын
Ukitaka kuwa juwa ma DC vilaza moja wao ni uyu lengai .
@paulinakatemi7119
@paulinakatemi7119 4 жыл бұрын
Lema ni maarufu siku nyingi....tenaaaaaaaaa
@rehemadani3600
@rehemadani3600 4 жыл бұрын
Huyu DC anapenda sifa
@abdulrahimmohamed7066
@abdulrahimmohamed7066 3 жыл бұрын
@@rehemadani3600 kwanza anaongea utumbo
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
@@rehemadani3600 Lipo jela sasa hivi..
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 4 жыл бұрын
Acha tuone Masai atafikishana wapi na Lema mwenye machame yake ..!!! Hivi uyu Chalie anawajua wachagga vizuri kweli ...
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 4 жыл бұрын
Lema ni maarufu wewe Sabaya ni Agent wa Usalama wa Taifa. Umetumwa wewe
@mwawahjuma7398
@mwawahjuma7398 4 жыл бұрын
Siasa za kitoto
@sylivesterraphael0112
@sylivesterraphael0112 4 жыл бұрын
Hiki kijamaa kenge maji sana kiufupi kipumbavu
@irenegudluck1214
@irenegudluck1214 4 жыл бұрын
Majuzi lema alihojiwa kuhusu uyu sebaya akasema sio type yake 😁😁 naona sebaya analipiza kisasi alikuwa anatafuta sababu tu
@urunyaraurunyara8220
@urunyaraurunyara8220 4 жыл бұрын
Lema sio kwamba analeta siasa za kihuni hapana, bali nyie viongozi ndio mnaongoza watu kihuni
@worldtechnology492
@worldtechnology492 4 жыл бұрын
Haaahaa ww umechizikaa kwel mtu afanye fujo asichukuliwe hatua
@shukururashidy7689
@shukururashidy7689 4 жыл бұрын
@@worldtechnology492 fujo gan ww mboga Saba nn,,wanakamatwa ndo wasema kweli
@ernestlaiza9489
@ernestlaiza9489 4 жыл бұрын
@@worldtechnology492 amefanya kosa gani
@bakariyahaya1809
@bakariyahaya1809 2 жыл бұрын
Kila uovu una mwisho...Yuko wapi leo sabaya
@bro.thobiassilas421
@bro.thobiassilas421 4 жыл бұрын
Jamani, yanatosha .Mrs Sabeya na Magufuli wameshapata jibu.Kwanza naona watu wana hasira sana, mwaka kesho ni uchaguzi , kazi kwenu.
@damianmachilutv1167
@damianmachilutv1167 4 жыл бұрын
Kuna viongozi hapa nchini mwetu wanajionaga walishakua miungu watu na walishamalizaga yani, sijui kama kutakua na mwisho salama dhidi ya wanaowaonea
@unclesaleh3257
@unclesaleh3257 2 жыл бұрын
Sasa Sabaya ameelewa kuwa kachumbali si mboga. Ukiwa mtiifu kwa muda wa miaka3, Mkuu wa Magereza atakufikilia hata Uaskali sell au bwana afya.
@nestokisima5193
@nestokisima5193 4 жыл бұрын
Ww ni mwenyekiti wa ccm hai na cyo mkuu wa wilaya kadanganye mafala
@giftkaaya2301
@giftkaaya2301 4 жыл бұрын
Tutaona mengi yetu macho
@priscaaloyce8098
@priscaaloyce8098 4 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@vicyprincemusical3704
@vicyprincemusical3704 4 жыл бұрын
Mmmh jamani mungu ibariki Africa
@kariankeirelionka3549
@kariankeirelionka3549 4 жыл бұрын
viva lema viva Tanzania, tunakumbuka ya soweto, God yupo atanyosha ukweli
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 4 жыл бұрын
JAMANI SIASA HIZI ZA KOMBE LA NDONDO ZITAIPELEJA NCHI PABAYA....Dunia mzima hakuna siasa hizi..munaongoza watu, na siyo wanyama kuna siku watakujachoka.....IT WILL BE TOO LATE...
@weranyari4571
@weranyari4571 4 жыл бұрын
Ee mungu mungu mwenye haki zote unaependa watu wote unaehukumu kwa haki simama katikati ya wanaoteseka bila kosa
@LaBboogo
@LaBboogo 4 жыл бұрын
Huyu jamaaa sie kweli ivi kwan serikali ndo inamlipa lema hajui kma hio serikali bila ya wanachi kulipa kodi ata mshahara wa raisi na DC hautapatikana
@PaulMadatta
@PaulMadatta 4 жыл бұрын
Mh! Mungu tusaidie.
@kidubwashaone6092
@kidubwashaone6092 4 жыл бұрын
Wewe mbwa tuu.hukui Lema kazaliwa Hai na ndio kwake. Nyumbani?
@tensonmzumbwe1701
@tensonmzumbwe1701 4 жыл бұрын
Siasa za Tanzania pasua kichwa,
@doubleymkuu4267
@doubleymkuu4267 4 жыл бұрын
Huyu kenge sabaya sijui anjiamini nini huyu!!
@jadidaabdullahi6707
@jadidaabdullahi6707 4 жыл бұрын
Lema ni jambazi2 kamata sweka ndani
@mustaphampandi137
@mustaphampandi137 2 жыл бұрын
kweli hakuna mtu alikuwa mzushi muwongo Kama sabaya watu wote aliyo wafanyia ubaya Leo sabaya nimfungwa mungu amemlipa mabaya yake ndo mjue cheo no dhamana
@amadikasim5054
@amadikasim5054 4 жыл бұрын
sijawai kuonaDc mjinga kamauyu
@fanuelmsigwa9446
@fanuelmsigwa9446 4 жыл бұрын
Lema hana noma
@eabdabdallah2661
@eabdabdallah2661 4 жыл бұрын
Sema tu Sabaya hata kabla hajazaliwa, Lema ashakuwa mtoto wa mjini Kitambo, leo kamgeuka!
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Leo kipo wap?? Sabaya cheo ni dhamana nadhan unajuta leo,maana ulilewa madaraka ukaanz kuonea watu ovyooo
@dctbawiliahmadimasato2529
@dctbawiliahmadimasato2529 4 жыл бұрын
Dc. Sabaya ww chunga sana utapata mtihani wamungu unakaribia kwani wewe nawe nimgombea. Hajatishia mtu. Ikiwa nimkutona wanje au. Ndani wewe unakuhusu nini nani kauwawa
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Huyu alikuwa dc mpumbavu sana kuwahi kutokea.
@SaidSaid-cs7mm
@SaidSaid-cs7mm 4 жыл бұрын
Unaongea pumba mushaachiwa uchaguzi bado munapiga makelele 😄😄
@abrahamluther9988
@abrahamluther9988 4 жыл бұрын
Hivi huyu n masai wa wap!!!? mbona wamasai wengne hawako hv, Mheshimiwa Rais wetu mpendwa naomba ufutilie mbali viongozi limbukeni wa kimadaraka kama huyo Sabaya wanakupaka matope wakati unafanya kazi nzuri na tunaiona.
@manfredtweve8939
@manfredtweve8939 4 жыл бұрын
Kwani hela Ni za wananchi au ni za serikali?.....Kama unaona hela ni za wananchi ..gonga like hapa
@barackajustine5853
@barackajustine5853 4 жыл бұрын
Sababu alizotoa Dc hazina mashiko kabisaa
@josephizengo5912
@josephizengo5912 4 жыл бұрын
BIG UP SABAYA ww ndo kiongozi
@danymsinga7048
@danymsinga7048 2 жыл бұрын
Hatimaee yupo wap hiv sasa
@angelinasimchimba705
@angelinasimchimba705 4 жыл бұрын
Huyu DC ni jembe namkubali sana PGA kazi mheshimiwa@
@pauljackson8120
@pauljackson8120 4 жыл бұрын
mheshimiwa dc wajingawajinga kama hao kina lema dawa yao nihiyo wanafikiri wewe mwana siasa shona ndani hawana adabu hao kamanda
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 4 жыл бұрын
miongoni mwa ma - DC wajinga na wapuuzi tz
@jebace
@jebace 4 жыл бұрын
ndio dc wa hai hakuna namna
@kiatu
@kiatu 4 жыл бұрын
Onesmo Haule Wow, I like this.
@collincarlos7433
@collincarlos7433 4 жыл бұрын
Mjinga/mpuuz kwa maon yko LKN NDIO RAIS WA HAI UNAPENDA NDIYE HUPENDI NDIYE
@stewardheaven8382
@stewardheaven8382 4 жыл бұрын
Collin Carlos upuuuzi Mtupuuuu@hakunaga raisi anaeapishwa n'a RC
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 жыл бұрын
Huyu Sabaya alikuwa mwizi sijui kama ameacha. Mwizi kabisa hata sijui kama Magufuli alimtoa wapi mjinga kama huyu. Magufuli anajidhalilisha. Nchi nzima Sabaya, Sabaya, Sabaya kila mahali shida tu.
@hamadalesry3587
@hamadalesry3587 4 жыл бұрын
Wewe DC Njaa itakupeleka Pabaya
@tricemakau980
@tricemakau980 4 жыл бұрын
kwahyo watu wa vyama vingi wakionekana tu wanasababisha vurugu jmn wew kuwa na sifa tu sabaya vitaisha tu hawaruhusiwi viongoz wa vyama vingi hta tu kukutana kufanya mazungumzo ya chama chao ni wanafanya uchochez na vurugu ukwel uko iv mnawaogopa chadema watawapiga chin ndio maana mnawafanya hya yote ila haturud nyuma ng'oo
@youngjeezytz2920
@youngjeezytz2920 4 жыл бұрын
Hivi vyeo sijui kwanini viliwekwa kisiasa, DC anaongea pumba kabisa. Come on Tanzania
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 жыл бұрын
Jamani kwa nini tusiishi kwa upendo. Dunia hii ni mapito tu.
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 4 жыл бұрын
Nimeapa kamwe sitokuwa sehemu ya udhalimu,ukiwa CCM raha sana maana kuwa ndani ya CCM unasahau kila kitu
@mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
@mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 4 жыл бұрын
Mimi NI mwana CCM lkn sikubaliani na uonevu huu mkubwa ktk nchi yetu ya Tz, huyu DC ametereza kdg
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 жыл бұрын
Aise kwanini nchi ifikie hapa,dah! Tufute vyama vingi Tz,hii siniuchaguzi wa viongozi kwenye chama jamani
@adamhashayro3133
@adamhashayro3133 4 жыл бұрын
Hii sio siasa
@braytonkilongosi4760
@braytonkilongosi4760 4 жыл бұрын
Hii ndo inchi ya amaniiii sawa
@johnmwambungu7434
@johnmwambungu7434 4 жыл бұрын
Big up district commission you did a good job of controlling the violence in your district... Just move forward.
@johnmwambungu7434
@johnmwambungu7434 4 жыл бұрын
@@titojace1598 wewe ndiye!
@brysonmakundi413
@brysonmakundi413 2 жыл бұрын
Kilamtu ataubeba mzigowake Mwenyewe Nakilamtu Atatowa Esabu yamaneno yake Sasa uyuana Lipiya kwaalichopanda Sasa atajuwa ajuiii
@stephanondakama5128
@stephanondakama5128 4 жыл бұрын
Kifo ndo kiboko yetu hayo yote yataisha tu hapa hapa duniani.
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 жыл бұрын
Yametokea kweli
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 3 жыл бұрын
Kama ulikuwa umeongea na Mungu aisee. Na ndo kiboko yao kweli
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 жыл бұрын
@@simonrusigwa3024 acha kabisa
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 4 жыл бұрын
Mnafiki tu wewe" elewa hutengenezi oxygen yako mchumia tumbo tu" wewe
@jameskishiwa1121
@jameskishiwa1121 4 жыл бұрын
Letty Shaban acha uchaw ww jielewe siasa cyo uvunjaji wa sheria
@emmanuelmollel5636
@emmanuelmollel5636 4 жыл бұрын
Ulevi wa madaraka huo sabaya hahaha hii nchi munafanya ya baba zenu ila ipo siku
@munuoisaack418
@munuoisaack418 4 жыл бұрын
Kiukweli Mimi ni ccm damu lakini kwa hapa sabaya umejikanyaga,,,,,,,,,hiyo ni sura ya ukabila na ubaguzi tunaona popote anapokwenda Raid yupo na mawaziri je! Wao siyo wabunge???????dublestandad
@johnjoseph2778
@johnjoseph2778 3 жыл бұрын
Tatizo la ole sabaya ni njaa tu ndo inamsumbua wala hana lolote lema hawezi tishia wananchi
@florameza3491
@florameza3491 4 жыл бұрын
Lema ni maarufu tu ila tuombeeni jamani kwa nini tunafanya hivyo tunasali? Tunaenda kanisani tuna hofu ya mungu kwa nini tunakuwa na roho za shetani je ni kipi kitakutenga na upendo wa YESU je ni njaa, uchi, vyeo ,dhiki? Nakupenda Tz
@oscarkasalile8146
@oscarkasalile8146 4 жыл бұрын
Mimi nashangaa kuzaliwa kwa Lema mkoa wa Kilimanjaro sio ticket ya kufanya vurugu. Mnaosema kuwa Lema kazaliwa hapa Kilimanjaro nawashangaa Sana kwa kauli zenu hizo zisizofaa.
@ibrahissa7758
@ibrahissa7758 2 жыл бұрын
Sasa kukamatwa au kaenda mweny haloo hiii nchi ngumu sana
@christophertarimo8877
@christophertarimo8877 4 жыл бұрын
Mbona kila kitu ni Chadema
@kimbulumathayo3373
@kimbulumathayo3373 4 жыл бұрын
Wameanza kuchanganyikiwa ma, DC lema jembe atatoka tu
@nasrisiabu3727
@nasrisiabu3727 4 жыл бұрын
Mbona wanaotekwa na watu hamuwakamati???munaonea pizani mpaka lini???Tanzania tumefika mwisho wa amani,maana Kama kufanya siasa ni zambi,kwa nchi yenye Uhuru Kama tz,mm nahisi hicho kiama hakuna atakaye pona.mhhh ongezeni majengo maana hakuna atakaye baki.
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Sukuma ndani kwenye mikono salama kibaraka uchwara uyo
@mkosianga6826
@mkosianga6826 4 жыл бұрын
Ccm acheni siasa za kishamba.lengai mbona wabunge wa ccm wanazunguka kila kona?ccm chama changu lakni ushamba wenu is too much.let free political group happen.let democracy operate.kama watatushinda ndiyo ushindani tutajipanga
@hamedmaskari518
@hamedmaskari518 4 жыл бұрын
Muachieni lema haraka sana mitaa vitongoji vijiji mushachiwa nini muna tafuta tena au ndio munataka damu na kwa nini hawa wabunge wa Tanzania hawana hadhi hata kidogo ivi Dc tu anamtia ndani MP very shame
@maithamhassan120
@maithamhassan120 4 жыл бұрын
Mm sijamwelewa kabisaa huyuu dc sababu alizozitoa mpka kukamatwaa kwa lema
@mjige9088
@mjige9088 4 жыл бұрын
Kweli DC kama huyu ni kumpeleka serengeti akawe DC wa wanyama pori
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Fala wewe sasa upo wewe kituo cha polisi pumbavu wewe unaifanya inchi km ya baba ako mzazi Rema ametishia watu gan Rema sio km wewe unaeumiza watu huna akili wewe
@maikoandrew58
@maikoandrew58 2 жыл бұрын
Leo hii upo jela, ebu jiulizeni lengai yupo wapi ?. Sizani kama akili yako inakusaidia,
@eabdabdallah2661
@eabdabdallah2661 4 жыл бұрын
Me nilijua Mkuu wa Wilaya hatakiwi kujihusisha na Siasa kumbe duuuu, Sabaya yupo ktk Siasa na Lema, Wananchi wa Hai watapata Maendeleo ln?
@musafredy9382
@musafredy9382 2 жыл бұрын
dunia inakupa kiburi and then inakufundisha.mwamba on the jil right NOW.
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 4 жыл бұрын
huyu DC hana akili chochote anachopewa Lema na serikali na haki yake kisheria na kikatiba wala sio kumsaidia kama ambavyo yeye DC analipwa na serikali kisheria na kikatiba asiulaghai uma
@mtemeclarence3238
@mtemeclarence3238 4 жыл бұрын
What kind of dc?
@noelsimon3320
@noelsimon3320 4 жыл бұрын
We dc unakuwaga muonevu tunakufahamu
@joyharvey432
@joyharvey432 4 жыл бұрын
Shame to sabaya lema kumbe amekuwa tishioo bravo chadema bravo lema viva tundu lissu
@jumamnyambwa7993
@jumamnyambwa7993 4 жыл бұрын
Mamaako ndiyo mhuni
@jastinesamboto4674
@jastinesamboto4674 4 жыл бұрын
Mna hofu karibu nchi nzima, kuna siku mkimwona kiongoz wa upinzan barabaran tu akipita mtamkamata bila sababu kwa hofu hii mliyonayo. Mnatafuta sifa na kiki mpaka mnapitiliza. Aibuuuuu.
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 4 жыл бұрын
Hayo matumbo yenu yatawapeleka jehanam ipo siku
@ramadhanmanko4614
@ramadhanmanko4614 4 жыл бұрын
Siokweli
@calvinamon4125
@calvinamon4125 2 жыл бұрын
Kafungwa yeye.... Hii dunia ndogo sana
@bkatricalstv2752
@bkatricalstv2752 4 жыл бұрын
yetu macho na masikio
@adamhashayro3133
@adamhashayro3133 4 жыл бұрын
Ni mambo ya kukomoana yatatupeleka pabaya viongozi tumieni busara.
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 4 жыл бұрын
Lema maafufu kitambo ww ndo u ajulikana tu huko kwenu ila Lema Tz nzima inamjua
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
Kiukweli Lema ni shujaa na maarufu kuliko wewe. Hapo umaarufu wake haukunyimi kufanya kazi yako.
@paulmbogo382
@paulmbogo382 4 жыл бұрын
Mtumishi WA MUNGU Josephati mwingira alihoji " hawa wakuu wa wilaya wanapata wapi mamlaka ya kamatakamata"
@martinekija4188
@martinekija4188 4 жыл бұрын
Paul Mbogo Niwaliz Wa usalama katka wilaya
@bwangajatown4237
@bwangajatown4237 4 жыл бұрын
Wewe mkuu wawilaya hufai hata kua balozi
@alinanuswemsokile7403
@alinanuswemsokile7403 4 жыл бұрын
Hovyo sana,hivi tunawezaje kuwa na Dc wa aina hii?
@ibrahimfrank1382
@ibrahimfrank1382 4 жыл бұрын
Hii tanzania yawapi hiiii?
@masanjashilingi694
@masanjashilingi694 4 жыл бұрын
Kila jambo lina mwisho wake hakuna mwenye nchi da maonez makubwa mungu anaona atalipa
@olathom7ya756
@olathom7ya756 4 жыл бұрын
its sound poa
@adamonesmo6269
@adamonesmo6269 4 жыл бұрын
Ni mjinga wewe chadema haina ya kununua wanachama na magu hakupandishi cheo cpendi unauza sana sura kwenye mitandao
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
SIASA KITU CHA AJABU SANA , LEO HUYU MMASAI YUPO JELA😂
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 4 жыл бұрын
WEWE NI MPUMBAVU SANA DC HIVI WEWE NA LEMA NANI ANAYETAFUTA UMAARUFU
@rehemakacheya1670
@rehemakacheya1670 2 жыл бұрын
Umeona sasa malipo Yako,
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 Жыл бұрын
Mchimba mashimo ili wengine watumbukie umetumbukia mwenyewe
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 жыл бұрын
Yani huyu sabaya ni mpuuzi ki ukweli sasa lema atafute umaarufu wakati kazaliwa huko mbona ni vitu vya ajabu..... Ila nyie wachumia tumbo mnaipeleka nchi yetu sehemu sio kabsa
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 4 жыл бұрын
Piga kazi DC hugo si muhuni tu!wamezoe kuvunja sharia!usicheke na kima!
@georgebongi4844
@georgebongi4844 2 жыл бұрын
Sasa hivi lijinga lisha nyeshewa mvua 30 Mwisho wa ubaya aibu
@moringelangas7276
@moringelangas7276 4 жыл бұрын
Sisi Wamasai ni washamba kweli!ila huyu mwenzetu ni limbukeni mshamba.
@ernestlaiza9489
@ernestlaiza9489 4 жыл бұрын
huyo lengai ni nyangulo ndogo bado ajaiva mjinga sana
@moringelangas7276
@moringelangas7276 4 жыл бұрын
@@ernestlaiza9489 itadwaa toi
@ernestlaiza9489
@ernestlaiza9489 4 жыл бұрын
@@moringelangas7276 abarakin
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 жыл бұрын
Nachojiuliza mkimaliza miaka yenu mtaishije ikiwa mnaishi kwa visasi kiasi hiki
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 жыл бұрын
Watakuja wengine na wataendelea
@theresiammanga4206
@theresiammanga4206 4 жыл бұрын
Sina hakika ya kuhesabiwa haki katika karne hii wema wanakufa Dunia isiwachafue waovu wanachwa lli watubu Mungu nihurumie nifundishe kuacha dhambi Duniani sintaishi milele kuna Dhabi za wazi na za siri lla za wazi zimetamalaki machoni na maskioni mwangu kadri tunavyohubiria neno la Mungu ndivyo tunavyokaza mwendo kuitafuta jehanam
@ibrahimkakange9166
@ibrahimkakange9166 4 жыл бұрын
Ivii mbona izo nchi zilizoendelea awafanyi siasa za kijinga ivoo
@prospermakela7791
@prospermakela7791 4 жыл бұрын
Ibrahim Kakange ,ushasema ni nchi zilizoendelea
@kamalissabig8649
@kamalissabig8649 4 жыл бұрын
Hautambui nn maana ya siasa ww
@sanyolee1396
@sanyolee1396 4 жыл бұрын
Haya nenda kaishi uko sasa
@samwelinangolem7264
@samwelinangolem7264 4 жыл бұрын
Sabaya acha ujinga nikawaid ya muarusha umepata kidogo umeota pembe
@paull8659
@paull8659 4 жыл бұрын
@@samwelinangolem7264 , umejibu " nchi zilizoendelea". Sisi ni nchi ambayo hata haki zetu kisheria hatuzijui au waogo kuzidai, ndiyo maana watawala wanatufanyia wanavyotaka. Viongozi wetu wako juu ya sheria - tume huruu, katiba mpya👉 tumuondoe huyu nduli, nyoka CCM.
@paull8659
@paull8659 4 жыл бұрын
DC ni fala kati ya mafala wa CCM. Mbona kila siku CCM wanafanya siasa za kihuni miaka yote? Hiyo haisadii CCM kumkamata Lema. Kilimanjaro hawaitaki CCM.
@joyharvey432
@joyharvey432 4 жыл бұрын
Naona unatafuta kupandishwaa cheo kupitia lema na utapata muulize mwenzio gamboo
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 жыл бұрын
MUNGU KALETA MITIHANI MINGI SANA KWA MWANADAMU NA YAKUOGOPESHA TENA SANA LKN BINADAMU HAWA HAWA WANAONYESHA HUZUNI MUDA MFUPI SANA IWE KWENYE MISIBA AU TUKIO ALF BAADA YA HAPO UNYAMA NA UBABE NDIO UNAOENDELEA TENA KWA KUMSAHAU MUNGU KWAMBA PUMZI YAKE TUNAITUMIA VIBAYA.. HIVI MUNGU ANGEAMUA KUHUKUMU PALE TU TUNAPOMKOSEA YUPO AMBAYE ANGEBAKI? LEO SIASA ZIMEFANYWA NGAZI YA KUUMIZIA WANANCHI KWA KUJENGEWA TOFAUTI KM ILIVYOKUA TIMU ZA MPIRA ,SASA NI MATUSI NA HUKU WAPO WANAOFAIDIKA NA UPANDE FLN NA KUSAIDIA KUTOA MATUSI KWA UPANDE MWINGINE JAMBO LINALOCHANGIA CHUKI NA VISASI MIONGONI MWA WANANCHI ...KWELI TUMEFIKIA MAHALI PAKUOGOPESHA HATA KUFIKA MAHALI KM UNA BUSARA UNAKAA KIMYA TU NA KUMUOMBA MUNGU AWAPE HAWA VIONGOZ BUSARA YA KUJUA HII MBEGU WANAYOIPANDA ITAANGAMIZA TAIFA LETU
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 4 жыл бұрын
YAJAYO YANAFURAHISHA.KILA MTU ANATAKA KUONYESHA NGUVU ZAKE.MUNGU MWENYE NGUVU ZOTE TUHURUMIE WATOTO WAKO.
@marrycosmas7757
@marrycosmas7757 4 жыл бұрын
Ww DC limbukeni ndio unatafuta umaarufu kupitia watu maarufu Shenzi kabisa huo mkoa unaokaa ipo siku utaomba kuhama na najua arusha unapenda kukaa pale trip A watakukamata tu
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 4 жыл бұрын
sabaya ndiyo anaandaliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani 2020 ulishaona mzee baba anamgusaga huyo kamanda anampa tano tu kimya kimya
@jeradimlima2615
@jeradimlima2615 4 жыл бұрын
Mohammed Mdangwe hahahaha ipo cku
Ruge Mutahaba: Kama Makonda Hakutaka Nije Hapa Kwanini TEF Mliniita?
7:41
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 68 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 53 МЛН
CORONA, DC SABAYA Amkazia MZUNGU - "Walipe MISHAHARA Yao"
8:34
Global TV Online
Рет қаралды 94 М.
DC Sabaya Aibua Madudu Kwenye Kahawa Wawili Wadakwa
11:39
Global TV Online
Рет қаралды 108 М.
GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATU
3:14
Chadema Media TV
Рет қаралды 399 М.
UK election: Rishi Sunak resignation speech in full | BBC News
5:35
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44
Millard Ayo
Рет қаралды 729 М.
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 68 МЛН