Hongera kaka Chris mungu akubariki sana kwenye kazi zako,nimejifunza japo kubwa sana kwenye mafundisho Yako.
@IreneSantu-fd7kb6 ай бұрын
Nimeumizwa saaana kwenye mahusiano pia, pamoja na uaminifu wangu wote😭
@happynescostat74202 жыл бұрын
Asante mauki, 🙏🙏 Mimi nimeyaona hayo kwa macho yangu,aliondoka akaanza Maisha yake, na alipoenda alifanikiwa alijenga nyumba akawapeleka ndugu zake na marafik zake waone mafanikio yake,lakini uwa anarudi sikumona na kufanya vurugupaka ndani silali,nimechoka na nimempeleka mahakamani na case inaendelea,nimejifunza kitu,
@barnabaskavishe2618 Жыл бұрын
pole sanaaa . Umepata mtu au bado maana tulioumizwa tnapambana na hali zetu
@HawaAkida3 ай бұрын
😂😂😂
@hashilalkharusi59262 жыл бұрын
Mbona hyu ni mimi jamn dr😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@teychriss3248 Жыл бұрын
Nihuyu wangu kabisa!! Nilisha mkatia tamaa kitambo sana Sasa hivi ni Bora liende tu!! Niko tayari kwa lolote tu!!
@happyemanuel2070 Жыл бұрын
Yaann daah
@melisabahati81342 жыл бұрын
Nimekuelewaa sana mm napitia hapo na mwenzangu Hadi nyumbani kaondoka na hataki hata kunisikia naomba ushauri wako
@phoebeadikinyi3441 Жыл бұрын
Nimeguzwa sana ,hongera Sana ndugu chris
@zainazaina8711 Жыл бұрын
Hallo doc dat"s true Tunafanya kazi sote na yy ana huge salary than me bt he is jealous wid me he always said oookh u hv alot of money coz I save alot u hv a son and I take care of my son myself he always complaining I don't hv money and I don't even ask him about money and my son he is in international school and I want to start building my house without her help I hv alot to talk doc bt anyway I thank for Ur channels tey improve my life alot god bless u doc In'sha'allah
@asmaafamau92932 жыл бұрын
Shukran Dr Chris mauki ubarikiwe
@jamesobedy39402 жыл бұрын
Tusichoke kupenda mapenzi anaumiza sana lakini ni vingumu kuishi mwenyewe binafsi kwasasa natamani nipate aliye umizwa kama nilivyo umizwa mimi naamini tutapendana maana kila mtu atakuwa na shauku ya kufurahia mapenzi
@happynescostat74202 жыл бұрын
Uko wapi my dear, angalau ata tuwe tunachat,
@happynescostat74202 жыл бұрын
Uko wapi tuchat?
@martha7941 Жыл бұрын
Nko hapa
@rosemaryjohn2017 Жыл бұрын
🙏
@paulynepyuza1767 Жыл бұрын
Mm sitaman
@sadikizuberi25642 жыл бұрын
Be blessed doctor we learn more from ue
@rehemasharifu89852 жыл бұрын
Asnt dokta uko sahihi kabisaa
@NurinahStanley Жыл бұрын
Asante kak mauki tunayaona
@barakakamuga44742 жыл бұрын
Hii kweli ni ya kwangu dah😔😔😔
@alinenkomeje2 жыл бұрын
We learn more from you
@YulithaClement6 ай бұрын
Upon vzur bro
@JohnkisinzaJohn9 ай бұрын
Good point
@SikituKamwambi12 күн бұрын
Mm uyo jmn na visasi ten nakwambya kbsa ntakulipizia
@samwelwallace2692 жыл бұрын
Dr mm nmeyaona hayo kwa mpendwa wangu sasa nfanyeje kushughurkia hloo tafadhar
@alinenkomeje2 жыл бұрын
Be blessed Dr Chris Mauki
@ratifayahaya5572 жыл бұрын
Unaponaje mauki ukiwa na machungu jaman ili furaha y awali irudi kama zaman
@johnkasambula3457 ай бұрын
Aseee kweli kabisaaa
@SikituKamwambi12 күн бұрын
Doctor mimi apa nina visasi vingi jmn n nkijaribu kuacha visasi kwenye mahusiano na kununa nuna nkijitahid niache kabisa swezi
@feli6manangu1822 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa somo zuri
@wahidamumy91392 жыл бұрын
Ubarikiwe 🙏🤝❤️❤️💕💕
@jeniphertillya70402 жыл бұрын
Mwasaikolojia nimepata somo.
@thereziamasalu369 Жыл бұрын
Dalili zote anazo mpnz wangu na bado nampenda ila nahis kukata tamaa msaada wako kaka chris
@aishadulla7364 Жыл бұрын
Mm nlichoka kabisa 😢
@pendoamos4929 Жыл бұрын
Asant Sana barikiwa Sana
@DorcasCynthia-sk3yf Жыл бұрын
Ukweli kabisa ndugu
@DorisMotto-m4h8 ай бұрын
Hahahahahaha. Hapa baaaasiiii ni mm. Anyway nimepitia yote hayo ila sawa. Bora uhai
@SifraceNgomoka-tv1lm Жыл бұрын
Be blessed DR
@mj.tv.forpeople9922 жыл бұрын
Sasa natokaje kwenye hiyo hali, mana nahisi kama ninakisasi na mtu
@HAPPYMWAISUNGU9 күн бұрын
Dr ikifikia hatua mume anakwambia onyesha upendo Kwa vitendo ana maanisha nini.....?
@LidyaWasmile-uo4fg Жыл бұрын
Dokta nampenda sana ila yeye hanioneshi
@mohamediddi-kh9ip Жыл бұрын
Nashukuru
@neemashirima61212 жыл бұрын
Ushauri mzuri
@SADIKI-h4u Жыл бұрын
Ahsante doctor ila inauma mungo tuu ndie mwamuzi wa yte
@reginadaud28792 жыл бұрын
Asante
@kizazijeur75182 жыл бұрын
Asant san dr
@mishi18292 жыл бұрын
Mm kuna kitu nataka unielekee kma kitanisaidia nikifanye plz
@EstherOnyoro5 ай бұрын
Mie mawili nimejaribu kueka sawa lkn nikama ataki kunielewa
@monicandunguru6602 жыл бұрын
Ubarikiwe
@jacklinemurenjekha9253 Жыл бұрын
heeee.hayo nayaona. mimi
@MaryWilson-lt2nh Жыл бұрын
Huyu ni mm kabisa
@judynyantika1981 Жыл бұрын
Ni ukweli
@RoseMrio11 ай бұрын
duh mm nimo
@harosicharo2736 Жыл бұрын
Nimechoka kumizwa sana hta kwa ssa siamini mtu tenda bora nipende alie ni zaa
@jacklinekimario296 Жыл бұрын
Jamani😐
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Unatakiwa kutulia kwanza isije ukaingia kutaka kujipoonza ukaja kujuta tena
@joyfrancy76442 жыл бұрын
Woooow ❤
@berthadenis1713 Жыл бұрын
huyu n mm kabisa 😣
@stevenbrunomatalu45692 жыл бұрын
Yakwanza naya pili ni yakwangu
@zenaal-baalawy19532 жыл бұрын
👌
@monicaalute31432 жыл бұрын
Hii imenikuta Ila jamaa alikuwa kiboko kaniacha lkn bdo ana kinyongo na mm😂😂
@cindyfrancis27222 жыл бұрын
Tupo wengi aiseee🤣🤣🤣
@swaumamiriy22342 жыл бұрын
😃😃😃😃mi naambiwa ukiolewa ntakuchoma kisu haha
@swaumamiriy22342 жыл бұрын
@@cindyfrancis2722 😃😃😃
@sarahkidanha72012 жыл бұрын
Mbona ndo Mimi huyu
@jacklinelukumay12992 жыл бұрын
Hii yangu ase 😂😂😂
@salimamasanja4659 Жыл бұрын
ndiomimi
@rebbecamwankotwa8295 Жыл бұрын
Nahitaji namba zako Mauki napataje
@dianangeno9920 Жыл бұрын
Naitaji pia
@tabiamaheke Жыл бұрын
Mm ninauchungu na mumewangu lkn hataki kukubali kosa hili tulijadili tatizo nini na tumalize tatizo! Sasa nifanyije
@happyemanuel2070 Жыл бұрын
Yaan ww tunaelekeana kabisa yaan mtu anakukossa akuonesh kama.amekosa ataki kujilekenbisha jamani
@StellaOwdenАй бұрын
@@happyemanuel2070me pia napitia hii changamoto
@VictoriaZacharia-pl9gk Жыл бұрын
Naomba Namba yako ya Whatsapp nahitaji ushauri binafis